Swahili subtitles

← Ubabe wa ustahi

Get Embed Code
39 Languages

Showing Revision 5 created 09/28/2020 by Nelson Simfukwe.

 1. Kuna swali tunafaa
  kujiuliza:
 2. Kipi hakikwenda sawa?
 3. Si tu kuhusiana na janga
 4. lakini na uraia wetu.
 5. Nini kilichotuletea huu mgawano
  na chuki kisiasa ?
 6. Kwa miongo ya karibu,

 7. utengano baina ya washindi na
  walioshindwa umezidi,
 8. na kutia sumu siasa yetu,
 9. kututenganisha.
 10. Mgawanyiko huu unahusu udhalimu kwa kiasi fulani.
 11. Lakini pia mtazamo
  kuhusu kushinda na kushindwa
 12. ambayo huja nayo.
 13. Walio kileleni
 14. wanaamini ufanisi wao
  ni juhudi yao,
 15. kipimo cha ustahili wao,
 16. na walioanguka
  hawana wa kulaumu bali nafsi zao.
 17. Mtazamo huu wa mafanikio

 18. unatokana na
  kanuni inayovutia,
 19. kwamba kila mtu ana nafasi sawa,
 20. na washindi wanstahili ushindi wao.
 21. Huu ndio kiini cha
  wazo la ustahi.
 22. Kwa vitendo,bila shaka, tuna upungufu.
 23. Si kila mtu ana nafasi sawa kuinuka.
 24. Watoto wazaliwao kwa jamii maskini
  hukua kwa umaskini,
 25. Wazazi tajiri wana uwezo
  kupitisha manufaa kwa wototo wao.
 26. Kwa mfano, katika vyuo bora zaidi,
 27. idadi wengi wametoka
  familia tajiri sana
 28. kushinda nusu ya chini ya nchi
  ukijumuishwa.
 29. Shida sio tu
  kushindwa kufikia

 30. mawazo ya ustahi
  tunavyopiga mbiu.
 31. Wazo lenyewe lina kasoro.
 32. Ina dosari.
 33. Ustahi una madhara
  kwa manufaa kwa watu wote.
 34. unaleta kiburi kwa washindi
 35. na kufedhehesha waliopeteza.
 36. huchochea washindi
  kujiona bora zaidi
 37. na kusahau nasibu na uenyemali
  iliyowasaidia kupata mafanikio.
 38. Na kupelekea kuonea
  wasiobahatika,
 39. na wasio na wasifi kama wao.
 40. Huu hujalisha kisiasa.
 41. Mojawapo ya chanzo kuu
  cha upinzani maarufu
 42. miongoni mwa wafanyikazi
  ni dhana ya wasomi kuwadharau.
 43. Ni lawama halali.
 44. Ingawaje utandawazi
  umezidi kukosesha usawa

 45. na mshahara usioongezeka,
 46. watetezi wake walishauri
  wafanyikazi.
 47. "Kama unataka kushindana na kushinada
  karika uchumi wa kimataifa,
 48. enda chuo"
 49. "Mapato yako yanalingana na masomo yako"
 50. "Utafaulu ukijaribu"
 51. Hawa wasomi hawazingatii tusi
  fiche kwenye huu ushauri.
 52. Usipoenda chuo,
 53. usiponawiri kwenye huu uchumi mpya,
 54. basi shida ni lako.
 55. Huo ndio sababu.
 56. Si ajabu wafanyikzi wengi
  waligeukia ustahi wa wasomi.
 57. Tunafaa tufanye nini ?

 58. Tunafaa kuwazia kipengee tatu
  cha uraia wetu.
 59. Nafasi ya chuo,
 60. usharifu wa kazi
 61. na maana ya ufanisi.
 62. Tunafaa kuwazia tena
  nafasi ya vyuo

 63. kama suluhishi la fursa.
 64. Kwa watu kama sisi
  tunaotangamana na wasomi,
 65. ni rahisi kusahau hakika sahili:
 66. Watu wengi hawana sahada
  la miaka minee chuoni.
 67. Kwa hakika, thuluthi mbili
  Wamerikani hawana.
 68. Kwa hivyo ni upumbavu kujenga uchumi
 69. inayoshurutisha shahada ya chuo
 70. ili kuwepo na maisha sharifu.
 71. Kuhimiza watu kwenda chuo
  ni wazo mzuri.

 72. Upanuzi wa ufikavu
  kwa wasiojiweza
 73. ni bora zaidi
 74. Lakini huu si suluhu la kutokuwa na usawe.
 75. Haina faida kuandaa watu
  kupambania ustahi
 76. ni kuboresha maisha
  tunafaa kuzingatia
 77. kwa watu hawana diploma
 78. lakini wenye mchango muhimu
  katika jamii.
 79. Tunafaa kufufua usharifu wa kazi.

 80. na kuiweka kati kwenye siasa zetu
 81. Tunafaa kukumbuaka kazi
  sio tu kupata riziki,
 82. ila pia ni kuchangia
  uzuri wa pamoja
 83. na kushindania utambuzi wakati huo
 84. Robert F. Kennedy alisema vyema
  nusu karne iliyopita

 85. Ushirika,jumuiya, uzalendo shirika
 86. Malengo haya hayaji
 87. kwa ununuzi na ulaji
  wa bidhaa pamoja.
 88. Zinatokana na ajira adhama,
 89. kwa mshahara lifaalo.
 90. Ni aina ya ajira
  inatuwezesha kusema,
 91. "Nilichangia ujuenzi wa huu nchi.
 92. Mimi ni mshiriki
  wa ubia umma zake kubwa"
 93. Huu hisia wa uraia
 94. Haipo pakubwa
  katika maisha ya umma siku hizi
 95. Mara mingi tunadhania kipato cha watu

 96. ni kipimo cha mchango wao
  kwa mazuri kwa wote
 97. Huu ni kosa.
 98. Martin Luther King Jr alielezea mbona.
 99. Kwa kutafakari mgomo
  wa wasafishaji mazingira
 100. uko Memphis, Tennessee,
 101. muda mfupi kabla hajawawa,
 102. King alisema,
 103. "Mtu anyezoa takataka,
  kwa uchambuzi wa kina,
 104. ana umuhimu sawa na daktari,
 105. asipofanya kazi yake,
 106. magonjwa yanakithiri.
 107. Kazi zote zina usharifu"
 108. Janga tunao leo unadhihirisha huu.

 109. Unaonyesha tunavyotegemea sana
 110. wafanykazi kunapuuza wakati mwingi.
 111. Wafanyikazi wa upelekaji,
 112. wafanyikazi wa matengenezo,
 113. karani wa duka,
 114. wafanyikazi wa bohari,
 115. madereva wa lori,
 116. wauguzi wasaidizi,
 117. watunza watoto,
 118. wahuduma wa afya nyumbani.
 119. Wafanyikazi hawa kipato
  ni duni na wanapuuziliwa.
 120. Lakini sasa, tunawaona muhimu.
 121. Huu ni fursa wa mjadala wa umma
 122. kuhusu kuinua mapato yao na
  kuwatambua
 123. kulingana na umuhimu wa
  kazi wanayofanya.
 124. Ni wakati wa kubadili
  maadili, hata roho,

 125. kuulizia kiburi cha ustahi.
 126. Kimaadili,nastahiki talanta
  zinazoniwezesha kunawiri ?
 127. Ni uwezo wangu
 128. kua naishi katika jamii
  inayothamini talanta
 129. ninazo ?
 130. Ama ni bahati ?
 131. Kusisitiza ufanisi ni haki yangu
 132. huleta ugumu kujiweka
  kwa niaba ya watu wengine.
 133. Kuthamini nafasi ya baraka maishani
 134. yanaweza leta unyenyekevu flani.
 135. Kama si kwa ajali ya uzazi,
  ama neema ya mungu
 136. ama fimbo la hatima,
 137. ningekua nani.
 138. Huu moyo wa unyenyekevu

 139. ndio fadhila ya uraia tunahitaji sasa.
 140. Ndio mwanzo wa kurudi
 141. toka maadili makali ya ufanisi
  unaotutenganisha.
 142. Inatuelekeza kupita ubabe wa ustahi
 143. hadi maisha ya ukarimu zaidi ya umma