WEBVTT 00:00:01.119 --> 00:00:02.998 Kila uchao hapa nchini, 00:00:03.022 --> 00:00:05.996 familia wanalazimika kufanya maamuzi magumu sana 00:00:06.020 --> 00:00:08.113 yanayohusu huduma yao ya afya 00:00:08.137 --> 00:00:10.388 Kama Kimberly, aliyesema, 00:00:11.388 --> 00:00:15.634 "Kuna wakati nafanya maamuzi kati ya chakula changu na vidonge" 00:00:15.658 --> 00:00:18.989 Haikuwa raha sababu kipato changu ni duni. 00:00:19.013 --> 00:00:21.869 Mfano,"Naweza nunua shampu ama kiyoyozi ?" 00:00:22.586 --> 00:00:24.299 Vitu tunachukulia kua ya kawaida" 00:00:24.323 --> 00:00:26.950 Na Debbie,aliyesema, 00:00:26.974 --> 00:00:29.773 "Unaweka dawa kwa mkono mmoja, 00:00:29.797 --> 00:00:31.998 na mahitaji ya maisha kwa mwingine. 00:00:32.618 --> 00:00:35.163 Sawa, ntafanya nini ? 00:00:35.187 --> 00:00:37.116 Nitanunua dawa 00:00:37.140 --> 00:00:38.774 ama kulipa bili zangu? 00:00:39.340 --> 00:00:41.952 Na siwezi ishi bila dawa zangu, 00:00:41.976 --> 00:00:44.666 na sitaishi bila kulipa bili zangu." NOTE Paragraph 00:00:45.065 --> 00:00:49.469 Watu elfu kumi wanafariki kila mwezi hapa nchini, 00:00:49.493 --> 00:00:52.068 kwa sababu hawatumii dawa inavyostahili, 00:00:52.623 --> 00:00:55.929 Watu wengi hufa kwa kutomeza dawa 00:00:55.953 --> 00:01:00.707 kuzidi utumizi wa afyuni kupita kiwango na ajali za barabara zikijumuishwa 00:01:01.488 --> 00:01:04.868 Lakini huwezi meza tembe kama hutamudu gharama yake. NOTE Paragraph 00:01:05.280 --> 00:01:10.388 Leo hii,familia ya kawaida inatumia dola 3000 kila mwaka 00:01:10.412 --> 00:01:11.983 kwa matibabu. 00:01:12.007 --> 00:01:14.929 Takriban thuluthi moja ya wasio na bima 00:01:14.953 --> 00:01:18.720 walisema waliacha kutumia dawa walivyoagizwa 00:01:18.744 --> 00:01:20.169 kwa ajili ya gharama ya juu 00:01:20.193 --> 00:01:22.574 Hata wenye bima, 00:01:22.598 --> 00:01:25.871 na kipato chini ya dola 35,000 kwa mwaka 00:01:25.895 --> 00:01:29.493 nusu yao walisema walirukisha kumeza dawa 00:01:29.517 --> 00:01:31.355 kama bima haitagharamia 00:01:31.814 --> 00:01:36.671 Kunao watu wazima milioni kuni kama Kimberly na Debbie 00:01:36.695 --> 00:01:41.104 amabao wanalazimika kufanya maamuzi magumu kilasiku, NOTE Paragraph 00:01:41.555 --> 00:01:45.544 Sote tunafahamu madawa ya kuagizwa ni bei ghali mno. 00:01:46.131 --> 00:01:48.114 Na mfumo wetu wa huduma za afya, 00:01:48.138 --> 00:01:52.263 inayobagua wengine kutopata bima na wengineo kupata bima ya chini, 00:01:52.287 --> 00:01:56.678 haipi kipaombele watu wanaohitaji usaidizi kwa sasa 00:01:56.702 --> 00:01:59.147 na matibabu sasa. NOTE Paragraph 00:01:59.532 --> 00:02:01.837 Milioni kumi---- hiyo ni idadi kubwa, 00:02:01.861 --> 00:02:03.858 lakini ni nambari lina suluhu, 00:02:03.882 --> 00:02:07.921 kwa sababu pia kuna dola bilioni 10 00:02:07.945 --> 00:02:11.313 ya madawa mazuri haijatumika 00:02:11.337 --> 00:02:12.733 yanayoharibika. 00:02:12.757 --> 00:02:15.389 Hii ni udhalimu kwa pande mbili: 00:02:15.413 --> 00:02:20.264 watu kutopata madawa wanayohitaji kua hai na kustawi, 00:02:20.288 --> 00:02:25.917 na ni dawa hivi vinatumwa kasha moto la madawa 00:02:25.941 --> 00:02:27.293 kuharibiwa. 00:02:27.317 --> 00:02:32.212 Huu uharibifu unapumbaza, lakini pia unatoa fursa. NOTE Paragraph 00:02:32.236 --> 00:02:34.045 Nilianzisha SIRUM, 00:02:34.069 --> 00:02:39.349 Kiwanda cha teknolojia isio ya faida, na wanzilishi wenza Adam na George, 00:02:39.373 --> 00:02:43.452 kuibadili madawa yanayotupwa kua na manufaa 00:02:43.476 --> 00:02:46.469 kama vile madawa yaliyo kwa hili ghala 00:02:46.862 --> 00:02:48.441 Labda hatutaweza rekebisha 00:02:48.465 --> 00:02:51.896 yote yanayotufeli katika mfumu wetu ya huduma za afya 00:02:51.920 --> 00:02:54.307 lakini hili tunaweza tengeneza. NOTE Paragraph 00:02:54.927 --> 00:02:59.561 Madawa hutoka viwandani na wauzi jumla wanao hifadhi salama 00:02:59.585 --> 00:03:01.746 na wakati wa kuraribika ikiwadia wanatofua 00:03:02.130 --> 00:03:04.455 Wakati mwingine, hutoka vituo vya afya 00:03:04.479 --> 00:03:07.555 kama hospitali, famasia,na uguzia 00:03:07.579 --> 00:03:11.388 wanaobaki na ziada, zisizomezwa 00:03:11.412 --> 00:03:13.212 au wakati wagonjwa wanapofariki. 00:03:13.236 --> 00:03:17.307 Tweza nufuika na haya madawa ziada 00:03:17.331 --> 00:03:22.449 kusambazia watu milioni kumi wanaohitaji haya madawa. 00:03:22.473 --> 00:03:24.117 Na tunaweza fanya hivyo leo. NOTE Paragraph 00:03:24.589 --> 00:03:27.404 SIRUM inapata madawa ziada 00:03:27.428 --> 00:03:31.134 kwa kuweka chombo cha matumizi tena kwa haya majumba 00:03:31.158 --> 00:03:32.539 yenye ziada 00:03:32.563 --> 00:03:35.799 Chombo linapojaa 00:03:35.823 --> 00:03:39.725 SIRUM inatuma gari kuchukua hayo madawa, 00:03:39.749 --> 00:03:46.262 tunashughulikia usafirishaji,ufuatiliaji, dhihirisho, na risiti ya kodi. NOTE Paragraph 00:03:46.286 --> 00:03:51.278 Wafadhili wa madawa wanataka kutoa kwa sababu ni nafuu na rahisi 00:03:51.302 --> 00:03:54.511 kuliko kutofoa madawa yenye kanuni mingi 00:03:54.917 --> 00:03:59.215 Na pia kunayo motisha kikodi kutoa 00:03:59.239 --> 00:04:03.674 Baadaye tunafikisha haya madawa kwa watu wazozihitaji. 00:04:03.698 --> 00:04:05.517 Pendekezo mpya inapokuja, 00:04:05.541 --> 00:04:10.950 jukwaa letu inaambatanisha matakwa ya mgonjwa na dawa ilioko 00:04:10.974 --> 00:04:14.015 Jukwaa letu basi inatoa orodha ya kuchukua dawa bohari 00:04:14.039 --> 00:04:17.047 madawa yanachukuliwa na mapendekezo kuandikwa 00:04:17.428 --> 00:04:21.864 Tunajega duka ya kisasa wenye uzoefu ya karne 21 00:04:21.888 --> 00:04:24.706 Wanayostahili familia wenye mapato madogo 00:04:25.017 --> 00:04:27.932 Wagonjwa wanaweza jiandikisha chini ya dakika tano 00:04:27.956 --> 00:04:32.469 na kufikia zaidi ya madawa 500, 00:04:32.493 --> 00:04:37.169 yenye orodha toka afkani 00:04:37.193 --> 00:04:39.145 mpaka kichaa 00:04:39.169 --> 00:04:45.167 Kiukweli imewakilisha asilimia 75 ya madawa yanayoagizwa 00:04:45.191 --> 00:04:46.812 Amerika leo. NOTE Paragraph 00:04:47.204 --> 00:04:52.481 Pia tunashirikiana na mtandao wa madaktari wauguzi na wasimamizi wa kesi 00:04:52.505 --> 00:04:55.154 katika hospitali na kliniki huru 00:04:55.178 --> 00:04:57.465 wanaopendekeza wagonjwa kwetu 00:04:57.489 --> 00:05:00.461 Tunarahisishia wadumu wa afya kazi 00:05:00.485 --> 00:05:03.644 kwa kutoa madawa yaliyoagizwa 00:05:03.668 --> 00:05:07.507 kwa vile kuituma kwa famasia ya mtaa 00:05:07.917 --> 00:05:12.683 Na wagojwa kuchukulia kwa moja wa washirika wetu 00:05:12.707 --> 00:05:16.068 ama kupelekewa madawa nyumbani 00:05:16.423 --> 00:05:19.954 Kwa kutofualitia njia ya kawaida 00:05:19.978 --> 00:05:23.792 tunaweza dai bei sawa na ilio wazi - 00:05:23.816 --> 00:05:28.185 kama dola mbili kila mwezi kununua takriban madawa zote 00:05:29.003 --> 00:05:33.150 Hii inadhihirisha bei inayotabirika na nafuu 00:05:33.174 --> 00:05:35.742 ambayo watu wanaweza bajetia. NOTE Paragraph 00:05:36.091 --> 00:05:41.239 Tumegawa dawa za kutosha kwa takriban watu 150,000 00:05:41.756 --> 00:05:43.566 Lakini tunaweza fanya zaidi. 00:05:43.590 --> 00:05:46.754 Lengo letu ni kufikia watu milioni 00:05:46.778 --> 00:05:50.817 na madawa ya dola takriban bilioni 00:05:50.841 --> 00:05:52.471 kwa miaka tano ijayo, 00:05:52.495 --> 00:05:55.231 kupanua miradi yetu hadi majimbo 12 00:05:55.255 --> 00:05:59.672 Kwa kiwango hii,kufikia jamii ambao ni 00:05:59.696 --> 00:06:03.614 asilimia 40 kwa hao milioni 10 00:06:03.638 --> 00:06:07.691 waliokosa ufikavu thabiti na nafuu 00:06:07.715 --> 00:06:11.315 Huduma yetu moja kwa moja kwa watu milioni 00:06:11.339 --> 00:06:14.816 itashusha bei chini kwa watu wengi NOTE Paragraph 00:06:14.840 --> 00:06:18.923 Ni Walmart pekee wamezindua bei ya dawa 00:06:18.947 --> 00:06:20.599 mnamo mwaka 2016, 00:06:20.623 --> 00:06:23.211 kwa kutoa orodha finyu wa madawa 00:06:23.235 --> 00:06:25.436 kwa bei iliyosimama ya dola nne 00:06:25.460 --> 00:06:27.487 Huu ulizindua mabadiliko makubwa, 00:06:27.511 --> 00:06:31.071 Kupelekea washindani wake kutoa orodha zao 00:06:31.095 --> 00:06:33.656 na bei wangeshusha, 00:06:33.680 --> 00:06:37.822 Kwa malengo ya madawa yenye uwazi na nafuu 00:06:37.846 --> 00:06:39.747 kwenye majimbo haya mapya, 00:06:39.771 --> 00:06:43.122 tunaweza shawishi bei kwenye maeneo haya 00:06:43.146 --> 00:06:48.522 kushuka kwa jamii wenye mapato ya chini NOTE Paragraph 00:06:48.879 --> 00:06:51.731 Mfumo wetu wa hali ya afya ni changamani 00:06:52.398 --> 00:06:53.715 Inachosha, 00:06:54.217 --> 00:06:57.452 Ni kama hayamkini kupiga hatua. 00:06:57.476 --> 00:07:02.322 Tweza badili kufikia dawa. 00:07:03.242 --> 00:07:08.421 Kwa kutunia madawa ya ziada kama kigezo cha kushinikiza mabadiliko 00:07:08.445 --> 00:07:11.877 katika hii sekta wenye bilioni kadha 00:07:11.901 --> 00:07:15.920 tunaweza pindua ufikaji kwa madwa 00:07:15.944 --> 00:07:18.139 kwa kuegemea msingi thabiti 00:07:18.163 --> 00:07:22.859 kwamba watu waoishi moja ya nchi tajiri duniani 00:07:22.883 --> 00:07:27.417 wanaweza na wanafaa wafikie kila aina ya dawa wanahitaji 00:07:27.441 --> 00:07:29.903 kuishi wa kunawiri NOTE Paragraph 00:07:30.522 --> 00:07:33.997 Sitadanganya nina suluhu zote 00:07:34.021 --> 00:07:37.763 kurekebisha shida ilioko katika mfumo wetu wa afya 00:07:38.189 --> 00:07:41.602 Lakini kufikishia mamilioni ya watu dawa 00:07:41.626 --> 00:07:44.279 wanayohitaji kuishi kwa afya, 00:07:44.303 --> 00:07:47.659 kuokoa madawa ili kuokoa maisha - 00:07:47.683 --> 00:07:51.788 hio tunaweza fanya leo. NOTE Paragraph 00:07:52.762 --> 00:07:53.980 Ahsanteni