Kila uchao hapa nchini, familia wanalazimika kufanya maamuzi magumu sana yanayohusu huduma yao ya afya Kama Kimberly, aliyesema, "Kuna wakati nafanya maamuzi kati ya chakula changu na vidonge" Haikuwa raha sababu kipato changu ni duni. Mfano,"Naweza nunua shampu ama kiyoyozi ?" Vitu tunachukulia kua ya kawaida" Na Debbie,aliyesema, "Unaweka dawa kwa mkono mmoja, na mahitaji ya maisha kwa mwingine. Sawa, ntafanya nini ? Nitanunua dawa ama kulipa bili zangu? Na siwezi ishi bila dawa zangu, na sitaishi bila kulipa bili zangu." Watu elfu kumi wanafariki kila mwezi hapa nchini, kwa sababu hawatumii dawa inavyostahili, Watu wengi hufa kwa kutomeza dawa kuzidi utumizi wa afyuni kupita kiwango na ajali za barabara zikijumuishwa Lakini huwezi meza tembe kama hutamudu gharama yake. Leo hii,familia ya kawaida inatumia dola 3000 kila mwaka kwa matibabu. Takriban thuluthi moja ya wasio na bima walisema waliacha kutumia dawa walivyoagizwa kwa ajili ya gharama ya juu Hata wenye bima, na kipato chini ya dola 35,000 kwa mwaka nusu yao walisema walirukisha kumeza dawa kama bima haitagharamia Kunao watu wazima milioni kuni kama Kimberly na Debbie amabao wanalazimika kufanya maamuzi magumu kilasiku, Sote tunafahamu madawa ya kuagizwa ni bei ghali mno. Na mfumo wetu wa huduma za afya, inayobagua wengine kutopata bima na wengineo kupata bima ya chini, haipi kipaombele watu wanaohitaji usaidizi kwa sasa na matibabu sasa. Milioni kumi---- hiyo ni idadi kubwa, lakini ni nambari lina suluhu, kwa sababu pia kuna dola bilioni 10 ya madawa mazuri haijatumika yanayoharibika. Hii ni udhalimu kwa pande mbili: watu kutopata madawa wanayohitaji kua hai na kustawi, na ni dawa hivi vinatumwa kasha moto la madawa kuharibiwa. Huu uharibifu unapumbaza, lakini pia unatoa fursa. Nilianzisha SIRUM, Kiwanda cha teknolojia isio ya faida, na wanzilishi wenza Adam na George, kuibadili madawa yanayotupwa kua na manufaa kama vile madawa yaliyo kwa hili ghala Labda hatutaweza rekebisha yote yanayotufeli katika mfumu wetu ya huduma za afya lakini hili tunaweza tengeneza. Madawa hutoka viwandani na wauzi jumla wanao hifadhi salama na wakati wa kuraribika ikiwadia wanatofua Wakati mwingine, hutoka vituo vya afya kama hospitali, famasia,na uguzia wanaobaki na ziada, zisizomezwa au wakati wagonjwa wanapofariki. Tweza nufuika na haya madawa ziada kusambazia watu milioni kumi wanaohitaji haya madawa. Na tunaweza fanya hivyo leo. SIRUM inapata madawa ziada kwa kuweka chombo cha matumizi tena kwa haya majumba yenye ziada Chombo linapojaa SIRUM inatuma gari kuchukua hayo madawa, tunashughulikia usafirishaji,ufuatiliaji, dhihirisho, na risiti ya kodi. Wafadhili wa madawa wanataka kutoa kwa sababu ni nafuu na rahisi kuliko kutofoa madawa yenye kanuni mingi Na pia kunayo motisha kikodi kutoa Baadaye tunafikisha haya madawa kwa watu wazozihitaji. Pendekezo mpya inapokuja, jukwaa letu inaambatanisha matakwa ya mgonjwa na dawa ilioko Jukwaa letu basi inatoa orodha ya kuchukua dawa bohari madawa yanachukuliwa na mapendekezo kuandikwa Tunajega duka ya kisasa wenye uzoefu ya karne 21 Wanayostahili familia wenye mapato madogo Wagonjwa wanaweza jiandikisha chini ya dakika tano na kufikia zaidi ya madawa 500, yenye orodha toka afkani mpaka kichaa Kiukweli imewakilisha asilimia 75 ya madawa yanayoagizwa Amerika leo. Pia tunashirikiana na mtandao wa madaktari wauguzi na wasimamizi wa kesi katika hospitali na kliniki huru wanaopendekeza wagonjwa kwetu Tunarahisishia wadumu wa afya kazi kwa kutoa madawa yaliyoagizwa kwa vile kuituma kwa famasia ya mtaa Na wagojwa kuchukulia kwa moja wa washirika wetu ama kupelekewa madawa nyumbani Kwa kutofualitia njia ya kawaida tunaweza dai bei sawa na ilio wazi - kama dola mbili kila mwezi kununua takriban madawa zote Hii inadhihirisha bei inayotabirika na nafuu ambayo watu wanaweza bajetia. Tumegawa dawa za kutosha kwa takriban watu 150,000 Lakini tunaweza fanya zaidi. Lengo letu ni kufikia watu milioni na madawa ya dola takriban bilioni kwa miaka tano ijayo, kupanua miradi yetu hadi majimbo 12 Kwa kiwango hii,kufikia jamii ambao ni asilimia 40 kwa hao milioni 10 waliokosa ufikavu thabiti na nafuu Huduma yetu moja kwa moja kwa watu milioni itashusha bei chini kwa watu wengi Ni Walmart pekee wamezindua bei ya dawa mnamo mwaka 2016, kwa kutoa orodha finyu wa madawa kwa bei iliyosimama ya dola nne Huu ulizindua mabadiliko makubwa, Kupelekea washindani wake kutoa orodha zao na bei wangeshusha, Kwa malengo ya madawa yenye uwazi na nafuu kwenye majimbo haya mapya, tunaweza shawishi bei kwenye maeneo haya kushuka kwa jamii wenye mapato ya chini Mfumo wetu wa hali ya afya ni changamani Inachosha, Ni kama hayamkini kupiga hatua. Tweza badili kufikia dawa. Kwa kutunia madawa ya ziada kama kigezo cha kushinikiza mabadiliko katika hii sekta wenye bilioni kadha tunaweza pindua ufikaji kwa madwa kwa kuegemea msingi thabiti kwamba watu waoishi moja ya nchi tajiri duniani wanaweza na wanafaa wafikie kila aina ya dawa wanahitaji kuishi wa kunawiri Sitadanganya nina suluhu zote kurekebisha shida ilioko katika mfumo wetu wa afya Lakini kufikishia mamilioni ya watu dawa wanayohitaji kuishi kwa afya, kuokoa madawa ili kuokoa maisha - hio tunaweza fanya leo. Ahsanteni