[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.12,0:00:02.100,Default,,0000,0000,0000,,Kila uchao hapa nchini, Dialogue: 0,0:00:03.02,0:00:05.100,Default,,0000,0000,0000,,familia wanalazimika kufanya \Nmaamuzi magumu sana Dialogue: 0,0:00:06.02,0:00:08.11,Default,,0000,0000,0000,,yanayohusu huduma yao ya afya Dialogue: 0,0:00:08.14,0:00:10.39,Default,,0000,0000,0000,,Kama Kimberly, aliyesema, Dialogue: 0,0:00:11.39,0:00:15.63,Default,,0000,0000,0000,,"Kuna wakati nafanya maamuzi\Nkati ya chakula changu na vidonge" Dialogue: 0,0:00:15.66,0:00:18.99,Default,,0000,0000,0000,,Haikuwa raha\Nsababu kipato changu ni duni. Dialogue: 0,0:00:19.01,0:00:21.87,Default,,0000,0000,0000,,Mfano,"Naweza nunua shampu ama kiyoyozi ?" Dialogue: 0,0:00:22.59,0:00:24.30,Default,,0000,0000,0000,,Vitu tunachukulia kua ya kawaida" Dialogue: 0,0:00:24.32,0:00:26.95,Default,,0000,0000,0000,,Na Debbie,aliyesema, Dialogue: 0,0:00:26.97,0:00:29.77,Default,,0000,0000,0000,,"Unaweka dawa kwa mkono mmoja, Dialogue: 0,0:00:29.80,0:00:31.100,Default,,0000,0000,0000,,na mahitaji ya maisha kwa mwingine. Dialogue: 0,0:00:32.62,0:00:35.16,Default,,0000,0000,0000,,Sawa, ntafanya nini ? Dialogue: 0,0:00:35.19,0:00:37.12,Default,,0000,0000,0000,,Nitanunua dawa Dialogue: 0,0:00:37.14,0:00:38.77,Default,,0000,0000,0000,,ama kulipa bili zangu? Dialogue: 0,0:00:39.34,0:00:41.95,Default,,0000,0000,0000,,Na siwezi ishi bila dawa zangu, Dialogue: 0,0:00:41.98,0:00:44.67,Default,,0000,0000,0000,,na sitaishi bila kulipa bili zangu." Dialogue: 0,0:00:45.06,0:00:49.47,Default,,0000,0000,0000,,Watu elfu kumi wanafariki \Nkila mwezi hapa nchini, Dialogue: 0,0:00:49.49,0:00:52.07,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hawatumii\Ndawa inavyostahili, Dialogue: 0,0:00:52.62,0:00:55.93,Default,,0000,0000,0000,,Watu wengi hufa\Nkwa kutomeza dawa Dialogue: 0,0:00:55.95,0:01:00.71,Default,,0000,0000,0000,,kuzidi utumizi wa afyuni kupita kiwango\Nna ajali za barabara zikijumuishwa Dialogue: 0,0:01:01.49,0:01:04.87,Default,,0000,0000,0000,,Lakini huwezi meza tembe\Nkama hutamudu gharama yake. Dialogue: 0,0:01:05.28,0:01:10.39,Default,,0000,0000,0000,,Leo hii,familia ya kawaida\Ninatumia dola 3000 kila mwaka Dialogue: 0,0:01:10.41,0:01:11.98,Default,,0000,0000,0000,,kwa matibabu. Dialogue: 0,0:01:12.01,0:01:14.93,Default,,0000,0000,0000,,Takriban thuluthi moja ya wasio na bima Dialogue: 0,0:01:14.95,0:01:18.72,Default,,0000,0000,0000,,walisema waliacha\Nkutumia dawa walivyoagizwa Dialogue: 0,0:01:18.74,0:01:20.17,Default,,0000,0000,0000,,kwa ajili ya gharama ya juu Dialogue: 0,0:01:20.19,0:01:22.57,Default,,0000,0000,0000,,Hata wenye bima, Dialogue: 0,0:01:22.60,0:01:25.87,Default,,0000,0000,0000,,na kipato chini ya dola 35,000 kwa mwaka Dialogue: 0,0:01:25.90,0:01:29.49,Default,,0000,0000,0000,,nusu yao walisema\Nwalirukisha kumeza dawa Dialogue: 0,0:01:29.52,0:01:31.36,Default,,0000,0000,0000,,kama bima haitagharamia Dialogue: 0,0:01:31.81,0:01:36.67,Default,,0000,0000,0000,,Kunao watu wazima milioni kuni\Nkama Kimberly na Debbie Dialogue: 0,0:01:36.70,0:01:41.10,Default,,0000,0000,0000,,amabao wanalazimika \Nkufanya maamuzi magumu kilasiku, Dialogue: 0,0:01:41.56,0:01:45.54,Default,,0000,0000,0000,,Sote tunafahamu madawa\Nya kuagizwa ni bei ghali mno. Dialogue: 0,0:01:46.13,0:01:48.11,Default,,0000,0000,0000,,Na mfumo wetu wa huduma za afya, Dialogue: 0,0:01:48.14,0:01:52.26,Default,,0000,0000,0000,,inayobagua wengine kutopata bima\Nna wengineo kupata bima ya chini, Dialogue: 0,0:01:52.29,0:01:56.68,Default,,0000,0000,0000,,haipi kipaombele\Nwatu wanaohitaji usaidizi kwa sasa Dialogue: 0,0:01:56.70,0:01:59.15,Default,,0000,0000,0000,,na matibabu sasa. Dialogue: 0,0:01:59.53,0:02:01.84,Default,,0000,0000,0000,,Milioni kumi---- hiyo ni idadi kubwa, Dialogue: 0,0:02:01.86,0:02:03.86,Default,,0000,0000,0000,,lakini ni nambari lina suluhu, Dialogue: 0,0:02:03.88,0:02:07.92,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu pia kuna dola bilioni 10 Dialogue: 0,0:02:07.94,0:02:11.31,Default,,0000,0000,0000,,ya madawa mazuri haijatumika Dialogue: 0,0:02:11.34,0:02:12.73,Default,,0000,0000,0000,,yanayoharibika. Dialogue: 0,0:02:12.76,0:02:15.39,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni udhalimu kwa pande mbili: Dialogue: 0,0:02:15.41,0:02:20.26,Default,,0000,0000,0000,,watu kutopata madawa\Nwanayohitaji kua hai na kustawi, Dialogue: 0,0:02:20.29,0:02:25.92,Default,,0000,0000,0000,,na ni dawa hivi\Nvinatumwa kasha moto la madawa Dialogue: 0,0:02:25.94,0:02:27.29,Default,,0000,0000,0000,,kuharibiwa. Dialogue: 0,0:02:27.32,0:02:32.21,Default,,0000,0000,0000,,Huu uharibifu unapumbaza,\Nlakini pia unatoa fursa. Dialogue: 0,0:02:32.24,0:02:34.04,Default,,0000,0000,0000,,Nilianzisha SIRUM, Dialogue: 0,0:02:34.07,0:02:39.35,Default,,0000,0000,0000,,Kiwanda cha teknolojia isio ya faida,\Nna wanzilishi wenza Adam na George, Dialogue: 0,0:02:39.37,0:02:43.45,Default,,0000,0000,0000,,kuibadili madawa yanayotupwa\Nkua na manufaa Dialogue: 0,0:02:43.48,0:02:46.47,Default,,0000,0000,0000,,kama vile madawa \Nyaliyo kwa hili ghala Dialogue: 0,0:02:46.86,0:02:48.44,Default,,0000,0000,0000,,Labda hatutaweza rekebisha Dialogue: 0,0:02:48.46,0:02:51.90,Default,,0000,0000,0000,,yote yanayotufeli\Nkatika mfumu wetu ya huduma za afya Dialogue: 0,0:02:51.92,0:02:54.31,Default,,0000,0000,0000,,lakini hili tunaweza tengeneza. Dialogue: 0,0:02:54.93,0:02:59.56,Default,,0000,0000,0000,,Madawa hutoka viwandani\Nna wauzi jumla wanao hifadhi salama Dialogue: 0,0:02:59.58,0:03:01.75,Default,,0000,0000,0000,,na wakati wa kuraribika ikiwadia\Nwanatofua Dialogue: 0,0:03:02.13,0:03:04.46,Default,,0000,0000,0000,,Wakati mwingine, hutoka vituo vya afya Dialogue: 0,0:03:04.48,0:03:07.56,Default,,0000,0000,0000,,kama hospitali, famasia,na\Nuguzia Dialogue: 0,0:03:07.58,0:03:11.39,Default,,0000,0000,0000,,wanaobaki na ziada,\Nzisizomezwa Dialogue: 0,0:03:11.41,0:03:13.21,Default,,0000,0000,0000,,au wakati wagonjwa wanapofariki. Dialogue: 0,0:03:13.24,0:03:17.31,Default,,0000,0000,0000,,Tweza nufuika na haya\Nmadawa ziada Dialogue: 0,0:03:17.33,0:03:22.45,Default,,0000,0000,0000,,kusambazia watu milioni kumi\Nwanaohitaji haya madawa. Dialogue: 0,0:03:22.47,0:03:24.12,Default,,0000,0000,0000,,Na tunaweza fanya hivyo leo. Dialogue: 0,0:03:24.59,0:03:27.40,Default,,0000,0000,0000,,SIRUM inapata madawa ziada Dialogue: 0,0:03:27.43,0:03:31.13,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuweka chombo cha matumizi tena\Nkwa haya majumba Dialogue: 0,0:03:31.16,0:03:32.54,Default,,0000,0000,0000,,yenye ziada Dialogue: 0,0:03:32.56,0:03:35.80,Default,,0000,0000,0000,,Chombo\Nlinapojaa Dialogue: 0,0:03:35.82,0:03:39.72,Default,,0000,0000,0000,,SIRUM inatuma gari\Nkuchukua hayo madawa, Dialogue: 0,0:03:39.75,0:03:46.26,Default,,0000,0000,0000,,tunashughulikia usafirishaji,ufuatiliaji,\Ndhihirisho, na risiti ya kodi. Dialogue: 0,0:03:46.29,0:03:51.28,Default,,0000,0000,0000,,Wafadhili wa madawa wanataka kutoa \Nkwa sababu ni nafuu na rahisi Dialogue: 0,0:03:51.30,0:03:54.51,Default,,0000,0000,0000,,kuliko kutofoa madawa\Nyenye kanuni mingi Dialogue: 0,0:03:54.92,0:03:59.22,Default,,0000,0000,0000,,Na pia kunayo motisha kikodi\Nkutoa Dialogue: 0,0:03:59.24,0:04:03.67,Default,,0000,0000,0000,,Baadaye tunafikisha haya madawa\Nkwa watu wazozihitaji. Dialogue: 0,0:04:03.70,0:04:05.52,Default,,0000,0000,0000,,Pendekezo mpya inapokuja, Dialogue: 0,0:04:05.54,0:04:10.95,Default,,0000,0000,0000,,jukwaa letu inaambatanisha matakwa \Nya mgonjwa na dawa ilioko Dialogue: 0,0:04:10.97,0:04:14.02,Default,,0000,0000,0000,,Jukwaa letu basi inatoa\Norodha ya kuchukua dawa bohari Dialogue: 0,0:04:14.04,0:04:17.05,Default,,0000,0000,0000,,madawa yanachukuliwa\Nna mapendekezo kuandikwa Dialogue: 0,0:04:17.43,0:04:21.86,Default,,0000,0000,0000,,Tunajega duka ya kisasa\Nwenye uzoefu ya karne 21 Dialogue: 0,0:04:21.89,0:04:24.71,Default,,0000,0000,0000,,Wanayostahili familia wenye mapato madogo Dialogue: 0,0:04:25.02,0:04:27.93,Default,,0000,0000,0000,,Wagonjwa wanaweza jiandikisha\Nchini ya dakika tano Dialogue: 0,0:04:27.96,0:04:32.47,Default,,0000,0000,0000,,na kufikia\Nzaidi ya madawa 500, Dialogue: 0,0:04:32.49,0:04:37.17,Default,,0000,0000,0000,,yenye orodha toka\Nafkani Dialogue: 0,0:04:37.19,0:04:39.14,Default,,0000,0000,0000,,mpaka kichaa Dialogue: 0,0:04:39.17,0:04:45.17,Default,,0000,0000,0000,,Kiukweli imewakilisha asilimia 75\Nya madawa yanayoagizwa Dialogue: 0,0:04:45.19,0:04:46.81,Default,,0000,0000,0000,,Amerika leo. Dialogue: 0,0:04:47.20,0:04:52.48,Default,,0000,0000,0000,,Pia tunashirikiana na mtandao wa madaktari\Nwauguzi na wasimamizi wa kesi Dialogue: 0,0:04:52.50,0:04:55.15,Default,,0000,0000,0000,,katika hospitali\Nna kliniki huru Dialogue: 0,0:04:55.18,0:04:57.46,Default,,0000,0000,0000,,wanaopendekeza wagonjwa kwetu Dialogue: 0,0:04:57.49,0:05:00.46,Default,,0000,0000,0000,,Tunarahisishia wadumu wa afya\Nkazi Dialogue: 0,0:05:00.48,0:05:03.64,Default,,0000,0000,0000,,kwa kutoa madawa\Nyaliyoagizwa Dialogue: 0,0:05:03.67,0:05:07.51,Default,,0000,0000,0000,,kwa vile kuituma kwa famasia ya mtaa Dialogue: 0,0:05:07.92,0:05:12.68,Default,,0000,0000,0000,,Na wagojwa kuchukulia\Nkwa moja wa washirika wetu Dialogue: 0,0:05:12.71,0:05:16.07,Default,,0000,0000,0000,,ama kupelekewa madawa\Nnyumbani Dialogue: 0,0:05:16.42,0:05:19.95,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kutofualitia\Nnjia ya kawaida Dialogue: 0,0:05:19.98,0:05:23.79,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza dai bei sawa na\Nilio wazi - Dialogue: 0,0:05:23.82,0:05:28.18,Default,,0000,0000,0000,,kama dola mbili kila mwezi\Nkununua takriban madawa zote Dialogue: 0,0:05:29.00,0:05:33.15,Default,,0000,0000,0000,,Hii inadhihirisha bei\Ninayotabirika na nafuu Dialogue: 0,0:05:33.17,0:05:35.74,Default,,0000,0000,0000,,ambayo watu wanaweza bajetia. Dialogue: 0,0:05:36.09,0:05:41.24,Default,,0000,0000,0000,,Tumegawa dawa za kutosha\Nkwa takriban watu 150,000 Dialogue: 0,0:05:41.76,0:05:43.57,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tunaweza fanya zaidi. Dialogue: 0,0:05:43.59,0:05:46.75,Default,,0000,0000,0000,,Lengo letu ni kufikia watu milioni Dialogue: 0,0:05:46.78,0:05:50.82,Default,,0000,0000,0000,,na madawa ya\Ndola takriban bilioni Dialogue: 0,0:05:50.84,0:05:52.47,Default,,0000,0000,0000,,kwa miaka tano ijayo, Dialogue: 0,0:05:52.50,0:05:55.23,Default,,0000,0000,0000,,kupanua miradi yetu hadi majimbo 12 Dialogue: 0,0:05:55.26,0:05:59.67,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kiwango hii,kufikia\Njamii ambao ni Dialogue: 0,0:05:59.70,0:06:03.61,Default,,0000,0000,0000,,asilimia 40 kwa hao milioni 10 Dialogue: 0,0:06:03.64,0:06:07.69,Default,,0000,0000,0000,,waliokosa ufikavu thabiti na nafuu Dialogue: 0,0:06:07.72,0:06:11.32,Default,,0000,0000,0000,,Huduma yetu moja kwa moja kwa watu milioni Dialogue: 0,0:06:11.34,0:06:14.82,Default,,0000,0000,0000,,itashusha bei chini\Nkwa watu wengi Dialogue: 0,0:06:14.84,0:06:18.92,Default,,0000,0000,0000,,Ni Walmart pekee wamezindua\Nbei ya dawa Dialogue: 0,0:06:18.95,0:06:20.60,Default,,0000,0000,0000,,mnamo mwaka 2016, Dialogue: 0,0:06:20.62,0:06:23.21,Default,,0000,0000,0000,,kwa kutoa orodha finyu wa madawa Dialogue: 0,0:06:23.24,0:06:25.44,Default,,0000,0000,0000,,kwa bei iliyosimama ya dola nne Dialogue: 0,0:06:25.46,0:06:27.49,Default,,0000,0000,0000,,Huu ulizindua mabadiliko makubwa, Dialogue: 0,0:06:27.51,0:06:31.07,Default,,0000,0000,0000,,Kupelekea washindani wake\Nkutoa orodha zao Dialogue: 0,0:06:31.10,0:06:33.66,Default,,0000,0000,0000,,na bei wangeshusha, Dialogue: 0,0:06:33.68,0:06:37.82,Default,,0000,0000,0000,,Kwa malengo ya madawa\Nyenye uwazi na nafuu Dialogue: 0,0:06:37.85,0:06:39.75,Default,,0000,0000,0000,,kwenye majimbo haya mapya, Dialogue: 0,0:06:39.77,0:06:43.12,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza shawishi\Nbei kwenye maeneo haya Dialogue: 0,0:06:43.15,0:06:48.52,Default,,0000,0000,0000,,kushuka kwa jamii\Nwenye mapato ya chini Dialogue: 0,0:06:48.88,0:06:51.73,Default,,0000,0000,0000,,Mfumo wetu wa hali ya afya ni changamani Dialogue: 0,0:06:52.40,0:06:53.72,Default,,0000,0000,0000,,Inachosha, Dialogue: 0,0:06:54.22,0:06:57.45,Default,,0000,0000,0000,,Ni kama hayamkini kupiga hatua. Dialogue: 0,0:06:57.48,0:07:02.32,Default,,0000,0000,0000,,Tweza badili\Nkufikia dawa. Dialogue: 0,0:07:03.24,0:07:08.42,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kutunia madawa ya ziada\Nkama kigezo cha kushinikiza mabadiliko Dialogue: 0,0:07:08.44,0:07:11.88,Default,,0000,0000,0000,,katika hii sekta wenye bilioni kadha Dialogue: 0,0:07:11.90,0:07:15.92,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza pindua ufikaji\Nkwa madwa Dialogue: 0,0:07:15.94,0:07:18.14,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuegemea msingi thabiti Dialogue: 0,0:07:18.16,0:07:22.86,Default,,0000,0000,0000,,kwamba watu waoishi moja ya\Nnchi tajiri duniani Dialogue: 0,0:07:22.88,0:07:27.42,Default,,0000,0000,0000,,wanaweza na wanafaa wafikie\Nkila aina ya dawa wanahitaji Dialogue: 0,0:07:27.44,0:07:29.90,Default,,0000,0000,0000,,kuishi wa kunawiri Dialogue: 0,0:07:30.52,0:07:33.100,Default,,0000,0000,0000,,Sitadanganya nina suluhu zote Dialogue: 0,0:07:34.02,0:07:37.76,Default,,0000,0000,0000,,kurekebisha shida ilioko\Nkatika mfumo wetu wa afya Dialogue: 0,0:07:38.19,0:07:41.60,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kufikishia mamilioni\Nya watu dawa Dialogue: 0,0:07:41.63,0:07:44.28,Default,,0000,0000,0000,,wanayohitaji kuishi kwa afya, Dialogue: 0,0:07:44.30,0:07:47.66,Default,,0000,0000,0000,,kuokoa madawa ili kuokoa maisha - Dialogue: 0,0:07:47.68,0:07:51.79,Default,,0000,0000,0000,,hio tunaweza fanya leo. Dialogue: 0,0:07:52.76,0:07:53.98,Default,,0000,0000,0000,,Ahsanteni