1 00:00:01,119 --> 00:00:02,998 Kila uchao hapa nchini, 2 00:00:03,022 --> 00:00:05,996 familia wanalazimika kufanya maamuzi magumu sana 3 00:00:06,020 --> 00:00:08,113 yanayohusu huduma yao ya afya 4 00:00:08,137 --> 00:00:10,388 Kama Kimberly, aliyesema, 5 00:00:11,388 --> 00:00:15,634 "Kuna wakati nafanya maamuzi kati ya chakula changu na vidonge" 6 00:00:15,658 --> 00:00:18,989 Haikuwa raha sababu kipato changu ni duni. 7 00:00:19,013 --> 00:00:21,869 Mfano,"Naweza nunua shampu ama kiyoyozi ?" 8 00:00:22,586 --> 00:00:24,299 Vitu tunachukulia kua ya kawaida" 9 00:00:24,323 --> 00:00:26,950 Na Debbie,aliyesema, 10 00:00:26,974 --> 00:00:29,773 "Unaweka dawa kwa mkono mmoja, 11 00:00:29,797 --> 00:00:31,998 na mahitaji ya maisha kwa mwingine. 12 00:00:32,618 --> 00:00:35,163 Sawa, ntafanya nini ? 13 00:00:35,187 --> 00:00:37,116 Nitanunua dawa 14 00:00:37,140 --> 00:00:38,774 ama kulipa bili zangu? 15 00:00:39,340 --> 00:00:41,952 Na siwezi ishi bila dawa zangu, 16 00:00:41,976 --> 00:00:44,666 na sitaishi bila kulipa bili zangu." 17 00:00:45,065 --> 00:00:49,469 Watu elfu kumi wanafariki kila mwezi hapa nchini, 18 00:00:49,493 --> 00:00:52,068 kwa sababu hawatumii dawa inavyostahili, 19 00:00:52,623 --> 00:00:55,929 Watu wengi hufa kwa kutomeza dawa 20 00:00:55,953 --> 00:01:00,707 kuzidi utumizi wa afyuni kupita kiwango na ajali za barabara zikijumuishwa 21 00:01:01,488 --> 00:01:04,868 Lakini huwezi meza tembe kama hutamudu gharama yake. 22 00:01:05,280 --> 00:01:10,388 Leo hii,familia ya kawaida inatumia dola 3000 kila mwaka 23 00:01:10,412 --> 00:01:11,983 kwa matibabu. 24 00:01:12,007 --> 00:01:14,929 Takriban thuluthi moja ya wasio na bima 25 00:01:14,953 --> 00:01:18,720 walisema waliacha kutumia dawa walivyoagizwa 26 00:01:18,744 --> 00:01:20,169 kwa ajili ya gharama ya juu 27 00:01:20,193 --> 00:01:22,574 Hata wenye bima, 28 00:01:22,598 --> 00:01:25,871 na kipato chini ya dola 35,000 kwa mwaka 29 00:01:25,895 --> 00:01:29,493 nusu yao walisema walirukisha kumeza dawa 30 00:01:29,517 --> 00:01:31,355 kama bima haitagharamia 31 00:01:31,814 --> 00:01:36,671 Kunao watu wazima milioni kuni kama Kimberly na Debbie 32 00:01:36,695 --> 00:01:41,104 amabao wanalazimika kufanya maamuzi magumu kilasiku, 33 00:01:41,555 --> 00:01:45,544 Sote tunafahamu madawa ya kuagizwa ni bei ghali mno. 34 00:01:46,131 --> 00:01:48,114 Na mfumo wetu wa huduma za afya, 35 00:01:48,138 --> 00:01:52,263 inayobagua wengine kutopata bima na wengineo kupata bima ya chini, 36 00:01:52,287 --> 00:01:56,678 haipi kipaombele watu wanaohitaji usaidizi kwa sasa 37 00:01:56,702 --> 00:01:59,147 na matibabu sasa. 38 00:01:59,532 --> 00:02:01,837 Milioni kumi---- hiyo ni idadi kubwa, 39 00:02:01,861 --> 00:02:03,858 lakini ni nambari lina suluhu, 40 00:02:03,882 --> 00:02:07,921 kwa sababu pia kuna dola bilioni 10 41 00:02:07,945 --> 00:02:11,313 ya madawa mazuri haijatumika 42 00:02:11,337 --> 00:02:12,733 yanayoharibika. 43 00:02:12,757 --> 00:02:15,389 Hii ni udhalimu kwa pande mbili: 44 00:02:15,413 --> 00:02:20,264 watu kutopata madawa wanayohitaji kua hai na kustawi, 45 00:02:20,288 --> 00:02:25,917 na ni dawa hivi vinatumwa kasha moto la madawa 46 00:02:25,941 --> 00:02:27,293 kuharibiwa. 47 00:02:27,317 --> 00:02:32,212 Huu uharibifu unapumbaza, lakini pia unatoa fursa. 48 00:02:32,236 --> 00:02:34,045 Nilianzisha SIRUM, 49 00:02:34,069 --> 00:02:39,349 Kiwanda cha teknolojia isio ya faida, na wanzilishi wenza Adam na George, 50 00:02:39,373 --> 00:02:43,452 kuibadili madawa yanayotupwa kua na manufaa 51 00:02:43,476 --> 00:02:46,469 kama vile madawa yaliyo kwa hili ghala 52 00:02:46,862 --> 00:02:48,441 Labda hatutaweza rekebisha 53 00:02:48,465 --> 00:02:51,896 yote yanayotufeli katika mfumu wetu ya huduma za afya 54 00:02:51,920 --> 00:02:54,307 lakini hili tunaweza tengeneza. 55 00:02:54,927 --> 00:02:59,561 Madawa hutoka viwandani na wauzi jumla wanao hifadhi salama 56 00:02:59,585 --> 00:03:01,746 na wakati wa kuraribika ikiwadia wanatofua 57 00:03:02,130 --> 00:03:04,455 Wakati mwingine, hutoka vituo vya afya 58 00:03:04,479 --> 00:03:07,555 kama hospitali, famasia,na uguzia 59 00:03:07,579 --> 00:03:11,388 wanaobaki na ziada, zisizomezwa 60 00:03:11,412 --> 00:03:13,212 au wakati wagonjwa wanapofariki. 61 00:03:13,236 --> 00:03:17,307 Tweza nufuika na haya madawa ziada 62 00:03:17,331 --> 00:03:22,449 kusambazia watu milioni kumi wanaohitaji haya madawa. 63 00:03:22,473 --> 00:03:24,117 Na tunaweza fanya hivyo leo. 64 00:03:24,589 --> 00:03:27,404 SIRUM inapata madawa ziada 65 00:03:27,428 --> 00:03:31,134 kwa kuweka chombo cha matumizi tena kwa haya majumba 66 00:03:31,158 --> 00:03:32,539 yenye ziada 67 00:03:32,563 --> 00:03:35,799 Chombo linapojaa 68 00:03:35,823 --> 00:03:39,725 SIRUM inatuma gari kuchukua hayo madawa, 69 00:03:39,749 --> 00:03:46,262 tunashughulikia usafirishaji,ufuatiliaji, dhihirisho, na risiti ya kodi. 70 00:03:46,286 --> 00:03:51,278 Wafadhili wa madawa wanataka kutoa kwa sababu ni nafuu na rahisi 71 00:03:51,302 --> 00:03:54,511 kuliko kutofoa madawa yenye kanuni mingi 72 00:03:54,917 --> 00:03:59,215 Na pia kunayo motisha kikodi kutoa 73 00:03:59,239 --> 00:04:03,674 Baadaye tunafikisha haya madawa kwa watu wazozihitaji. 74 00:04:03,698 --> 00:04:05,517 Pendekezo mpya inapokuja, 75 00:04:05,541 --> 00:04:10,950 jukwaa letu inaambatanisha matakwa ya mgonjwa na dawa ilioko 76 00:04:10,974 --> 00:04:14,015 Jukwaa letu basi inatoa orodha ya kuchukua dawa bohari 77 00:04:14,039 --> 00:04:17,047 madawa yanachukuliwa na mapendekezo kuandikwa 78 00:04:17,428 --> 00:04:21,864 Tunajega duka ya kisasa wenye uzoefu ya karne 21 79 00:04:21,888 --> 00:04:24,706 Wanayostahili familia wenye mapato madogo 80 00:04:25,017 --> 00:04:27,932 Wagonjwa wanaweza jiandikisha chini ya dakika tano 81 00:04:27,956 --> 00:04:32,469 na kufikia zaidi ya madawa 500, 82 00:04:32,493 --> 00:04:37,169 yenye orodha toka afkani 83 00:04:37,193 --> 00:04:39,145 mpaka kichaa 84 00:04:39,169 --> 00:04:45,167 Kiukweli imewakilisha asilimia 75 ya madawa yanayoagizwa 85 00:04:45,191 --> 00:04:46,812 Amerika leo. 86 00:04:47,204 --> 00:04:52,481 Pia tunashirikiana na mtandao wa madaktari wauguzi na wasimamizi wa kesi 87 00:04:52,505 --> 00:04:55,154 katika hospitali na kliniki huru 88 00:04:55,178 --> 00:04:57,465 wanaopendekeza wagonjwa kwetu 89 00:04:57,489 --> 00:05:00,461 Tunarahisishia wadumu wa afya kazi 90 00:05:00,485 --> 00:05:03,644 kwa kutoa madawa yaliyoagizwa 91 00:05:03,668 --> 00:05:07,507 kwa vile kuituma kwa famasia ya mtaa 92 00:05:07,917 --> 00:05:12,683 Na wagojwa kuchukulia kwa moja wa washirika wetu 93 00:05:12,707 --> 00:05:16,068 ama kupelekewa madawa nyumbani 94 00:05:16,423 --> 00:05:19,954 Kwa kutofualitia njia ya kawaida 95 00:05:19,978 --> 00:05:23,792 tunaweza dai bei sawa na ilio wazi - 96 00:05:23,816 --> 00:05:28,185 kama dola mbili kila mwezi kununua takriban madawa zote 97 00:05:29,003 --> 00:05:33,150 Hii inadhihirisha bei inayotabirika na nafuu 98 00:05:33,174 --> 00:05:35,742 ambayo watu wanaweza bajetia. 99 00:05:36,091 --> 00:05:41,239 Tumegawa dawa za kutosha kwa takriban watu 150,000 100 00:05:41,756 --> 00:05:43,566 Lakini tunaweza fanya zaidi. 101 00:05:43,590 --> 00:05:46,754 Lengo letu ni kufikia watu milioni 102 00:05:46,778 --> 00:05:50,817 na madawa ya dola takriban bilioni 103 00:05:50,841 --> 00:05:52,471 kwa miaka tano ijayo, 104 00:05:52,495 --> 00:05:55,231 kupanua miradi yetu hadi majimbo 12 105 00:05:55,255 --> 00:05:59,672 Kwa kiwango hii,kufikia jamii ambao ni 106 00:05:59,696 --> 00:06:03,614 asilimia 40 kwa hao milioni 10 107 00:06:03,638 --> 00:06:07,691 waliokosa ufikavu thabiti na nafuu 108 00:06:07,715 --> 00:06:11,315 Huduma yetu moja kwa moja kwa watu milioni 109 00:06:11,339 --> 00:06:14,816 itashusha bei chini kwa watu wengi 110 00:06:14,840 --> 00:06:18,923 Ni Walmart pekee wamezindua bei ya dawa 111 00:06:18,947 --> 00:06:20,599 mnamo mwaka 2016, 112 00:06:20,623 --> 00:06:23,211 kwa kutoa orodha finyu wa madawa 113 00:06:23,235 --> 00:06:25,436 kwa bei iliyosimama ya dola nne 114 00:06:25,460 --> 00:06:27,487 Huu ulizindua mabadiliko makubwa, 115 00:06:27,511 --> 00:06:31,071 Kupelekea washindani wake kutoa orodha zao 116 00:06:31,095 --> 00:06:33,656 na bei wangeshusha, 117 00:06:33,680 --> 00:06:37,822 Kwa malengo ya madawa yenye uwazi na nafuu 118 00:06:37,846 --> 00:06:39,747 kwenye majimbo haya mapya, 119 00:06:39,771 --> 00:06:43,122 tunaweza shawishi bei kwenye maeneo haya 120 00:06:43,146 --> 00:06:48,522 kushuka kwa jamii wenye mapato ya chini 121 00:06:48,879 --> 00:06:51,731 Mfumo wetu wa hali ya afya ni changamani 122 00:06:52,398 --> 00:06:53,715 Inachosha, 123 00:06:54,217 --> 00:06:57,452 Ni kama hayamkini kupiga hatua. 124 00:06:57,476 --> 00:07:02,322 Tweza badili kufikia dawa. 125 00:07:03,242 --> 00:07:08,421 Kwa kutunia madawa ya ziada kama kigezo cha kushinikiza mabadiliko 126 00:07:08,445 --> 00:07:11,877 katika hii sekta wenye bilioni kadha 127 00:07:11,901 --> 00:07:15,920 tunaweza pindua ufikaji kwa madwa 128 00:07:15,944 --> 00:07:18,139 kwa kuegemea msingi thabiti 129 00:07:18,163 --> 00:07:22,859 kwamba watu waoishi moja ya nchi tajiri duniani 130 00:07:22,883 --> 00:07:27,417 wanaweza na wanafaa wafikie kila aina ya dawa wanahitaji 131 00:07:27,441 --> 00:07:29,903 kuishi wa kunawiri 132 00:07:30,522 --> 00:07:33,997 Sitadanganya nina suluhu zote 133 00:07:34,021 --> 00:07:37,763 kurekebisha shida ilioko katika mfumo wetu wa afya 134 00:07:38,189 --> 00:07:41,602 Lakini kufikishia mamilioni ya watu dawa 135 00:07:41,626 --> 00:07:44,279 wanayohitaji kuishi kwa afya, 136 00:07:44,303 --> 00:07:47,659 kuokoa madawa ili kuokoa maisha - 137 00:07:47,683 --> 00:07:51,788 hio tunaweza fanya leo. 138 00:07:52,762 --> 00:07:53,980 Ahsanteni