Kila uchao hapa nchini,
familia wanalazimika kufanya
maamuzi magumu sana
yanayohusu huduma yao ya afya
Kama Kimberly, aliyesema,
"Kuna wakati nafanya maamuzi
kati ya chakula changu na vidonge"
Haikuwa raha
sababu kipato changu ni duni.
Mfano,"Naweza nunua shampu ama kiyoyozi ?"
Vitu tunachukulia kua ya kawaida"
Na Debbie,aliyesema,
"Unaweka dawa kwa mkono mmoja,
na mahitaji ya maisha kwa mwingine.
Sawa, ntafanya nini ?
Nitanunua dawa
ama kulipa bili zangu?
Na siwezi ishi bila dawa zangu,
na sitaishi bila kulipa bili zangu."
Watu elfu kumi wanafariki
kila mwezi hapa nchini,
kwa sababu hawatumii
dawa inavyostahili,
Watu wengi hufa
kwa kutomeza dawa
kuzidi utumizi wa afyuni kupita kiwango
na ajali za barabara zikijumuishwa
Lakini huwezi meza tembe
kama hutamudu gharama yake.
Leo hii,familia ya kawaida
inatumia dola 3000 kila mwaka
kwa matibabu.
Takriban thuluthi moja ya wasio na bima
walisema waliacha
kutumia dawa walivyoagizwa
kwa ajili ya gharama ya juu
Hata wenye bima,
na kipato chini ya dola 35,000 kwa mwaka
nusu yao walisema
walirukisha kumeza dawa
kama bima haitagharamia
Kunao watu wazima milioni kuni
kama Kimberly na Debbie
amabao wanalazimika
kufanya maamuzi magumu kilasiku,
Sote tunafahamu madawa
ya kuagizwa ni bei ghali mno.
Na mfumo wetu wa huduma za afya,
inayobagua wengine kutopata bima
na wengineo kupata bima ya chini,
haipi kipaombele
watu wanaohitaji usaidizi kwa sasa
na matibabu sasa.
Milioni kumi---- hiyo ni idadi kubwa,
lakini ni nambari lina suluhu,
kwa sababu pia kuna dola bilioni 10
ya madawa mazuri haijatumika
yanayoharibika.
Hii ni udhalimu kwa pande mbili:
watu kutopata madawa
wanayohitaji kua hai na kustawi,
na ni dawa hivi
vinatumwa kasha moto la madawa
kuharibiwa.
Huu uharibifu unapumbaza,
lakini pia unatoa fursa.
Nilianzisha SIRUM,
Kiwanda cha teknolojia isio ya faida,
na wanzilishi wenza Adam na George,
kuibadili madawa yanayotupwa
kua na manufaa
kama vile madawa
yaliyo kwa hili ghala
Labda hatutaweza rekebisha
yote yanayotufeli
katika mfumu wetu ya huduma za afya
lakini hili tunaweza tengeneza.
Madawa hutoka viwandani
na wauzi jumla wanao hifadhi salama
na wakati wa kuraribika ikiwadia
wanatofua
Wakati mwingine, hutoka vituo vya afya
kama hospitali, famasia,na
uguzia
wanaobaki na ziada,
zisizomezwa
au wakati wagonjwa wanapofariki.
Tweza nufuika na haya
madawa ziada
kusambazia watu milioni kumi
wanaohitaji haya madawa.
Na tunaweza fanya hivyo leo.
SIRUM inapata madawa ziada
kwa kuweka chombo cha matumizi tena
kwa haya majumba
yenye ziada
Chombo
linapojaa
SIRUM inatuma gari
kuchukua hayo madawa,
tunashughulikia usafirishaji,ufuatiliaji,
dhihirisho, na risiti ya kodi.
Wafadhili wa madawa wanataka kutoa
kwa sababu ni nafuu na rahisi
kuliko kutofoa madawa
yenye kanuni mingi
Na pia kunayo motisha kikodi
kutoa
Baadaye tunafikisha haya madawa
kwa watu wazozihitaji.
Pendekezo mpya inapokuja,
jukwaa letu inaambatanisha matakwa
ya mgonjwa na dawa ilioko
Jukwaa letu basi inatoa
orodha ya kuchukua dawa bohari
madawa yanachukuliwa
na mapendekezo kuandikwa
Tunajega duka ya kisasa
wenye uzoefu ya karne 21
Wanayostahili familia wenye mapato madogo
Wagonjwa wanaweza jiandikisha
chini ya dakika tano
na kufikia
zaidi ya madawa 500,
yenye orodha toka
afkani
mpaka kichaa
Kiukweli imewakilisha asilimia 75
ya madawa yanayoagizwa
Amerika leo.
Pia tunashirikiana na mtandao wa madaktari
wauguzi na wasimamizi wa kesi
katika hospitali
na kliniki huru
wanaopendekeza wagonjwa kwetu
Tunarahisishia wadumu wa afya
kazi
kwa kutoa madawa
yaliyoagizwa
kwa vile kuituma kwa famasia ya mtaa
Na wagojwa kuchukulia
kwa moja wa washirika wetu
ama kupelekewa madawa
nyumbani
Kwa kutofualitia
njia ya kawaida
tunaweza dai bei sawa na
ilio wazi -
kama dola mbili kila mwezi
kununua takriban madawa zote
Hii inadhihirisha bei
inayotabirika na nafuu
ambayo watu wanaweza bajetia.
Tumegawa dawa za kutosha
kwa takriban watu 150,000
Lakini tunaweza fanya zaidi.
Lengo letu ni kufikia watu milioni
na madawa ya
dola takriban bilioni
kwa miaka tano ijayo,
kupanua miradi yetu hadi majimbo 12
Kwa kiwango hii,kufikia
jamii ambao ni
asilimia 40 kwa hao milioni 10
waliokosa ufikavu thabiti na nafuu
Huduma yetu moja kwa moja kwa watu milioni
itashusha bei chini
kwa watu wengi
Ni Walmart pekee wamezindua
bei ya dawa
mnamo mwaka 2016,
kwa kutoa orodha finyu wa madawa
kwa bei iliyosimama ya dola nne
Huu ulizindua mabadiliko makubwa,
Kupelekea washindani wake
kutoa orodha zao
na bei wangeshusha,
Kwa malengo ya madawa
yenye uwazi na nafuu
kwenye majimbo haya mapya,
tunaweza shawishi
bei kwenye maeneo haya
kushuka kwa jamii
wenye mapato ya chini
Mfumo wetu wa hali ya afya ni changamani
Inachosha,
Ni kama hayamkini kupiga hatua.
Tweza badili
kufikia dawa.
Kwa kutunia madawa ya ziada
kama kigezo cha kushinikiza mabadiliko
katika hii sekta wenye bilioni kadha
tunaweza pindua ufikaji
kwa madwa
kwa kuegemea msingi thabiti
kwamba watu waoishi moja ya
nchi tajiri duniani
wanaweza na wanafaa wafikie
kila aina ya dawa wanahitaji
kuishi wa kunawiri
Sitadanganya nina suluhu zote
kurekebisha shida ilioko
katika mfumo wetu wa afya
Lakini kufikishia mamilioni
ya watu dawa
wanayohitaji kuishi kwa afya,
kuokoa madawa ili kuokoa maisha -
hio tunaweza fanya leo.
Ahsanteni