WEBVTT 00:00:00.984 --> 00:00:03.256 Ambieni ma binti wenu kuhusu mwaka huu 00:00:03.280 --> 00:00:05.376 jinsi tulivyo amka tukihitaji kahawa NOTE Paragraph 00:00:05.400 --> 00:00:09.216 ila tukapata pindi imemwagwa, kati ya magazeti ya asubuhi 00:00:09.240 --> 00:00:14.040 faksi za dada, mke/mume, watoto wadogo zilizojaa maji 00:00:14.600 --> 00:00:18.216 Mwambie mwana wako kuhusu huu mwaka atakapo kuuliza, anavyofaa kukuuliza, 00:00:18.240 --> 00:00:19.816 mwambie ili kuwa imechelewa kuja 00:00:19.840 --> 00:00:24.296 Kubali kuwahata ule mwaka tulikodisha uhuru,hatuku umiliki moja kwa moja 00:00:24.320 --> 00:00:27.136 Bado kulikuwa na sheria jinsi tunavyotumia sehemu zetu za siri. 00:00:27.160 --> 00:00:29.656 ilhali wakivuruga upole wetu 00:00:29.680 --> 00:00:32.415 wakatunyakua bila kujali ridhaa 00:00:32.439 --> 00:00:35.056 Hamna sheria ziliundiwa wanaume walioitekeleza 00:00:35.080 --> 00:00:37.496 Tulifunzwa ku hepa, 00:00:37.520 --> 00:00:40.136 kungoja, kuhofia, na kujifunika 00:00:40.160 --> 00:00:43.056 kungoja zaidi, na bado kungoja. 00:00:43.080 --> 00:00:44.960 Tuliambiwa tuwe kimya NOTE Paragraph 00:00:45.440 --> 00:00:47.696 Ila ambia ma binti wako kuhusu muda huu wa vita 00:00:47.720 --> 00:00:50.296 mwaka uliotanguliwa na matokeo sawa, 00:00:50.320 --> 00:00:52.576 kama miongo miwili iliyopita 00:00:52.600 --> 00:00:54.136 tuliyapangusa macho yetu 00:00:54.160 --> 00:00:56.056 ma jeneza yakafunikwa na bendera 00:00:56.080 --> 00:00:58.256 kuondoa eneo la uhalifu wa Klabu, 00:00:58.280 --> 00:00:59.576 kwaruza kuomboleza mitaani, 00:00:59.600 --> 00:01:02.896 tukailaza mili yetu kwenye sakafu ya saruji tukiegemea walioanguka, 00:01:02.920 --> 00:01:04.855 tukalia, "Bila shaka tuna umuhimu," 00:01:04.879 --> 00:01:06.256 tukawaimbia waliopotea. 00:01:06.280 --> 00:01:07.880 Wanawake walilia huu mwaka. 00:01:08.440 --> 00:01:09.656 Walilia. NOTE Paragraph 00:01:09.680 --> 00:01:12.136 Mwaka huo huo, tulikuwa tayari. 00:01:12.160 --> 00:01:15.256 Mwaka tuliopoteza uoga na kusonga kwa ujasiri 00:01:15.280 --> 00:01:17.776 huu pia ndio mwaka tulioyangalia chini mapipa 00:01:17.800 --> 00:01:20.136 tukaimba korongo angani, tuka hepa na kupangua, 00:01:20.160 --> 00:01:22.616 kashika dhahabu kwa hijab, tukapokea vitisho vya kifo, 00:01:22.640 --> 00:01:23.976 tulijifahamu kama wazalendo, 00:01:24.000 --> 00:01:27.216 kasema, "tuko 35 sasa, mda wa kutulia na kumtafuta mgombea mwenza," 00:01:27.240 --> 00:01:30.376 tukakuza ramani ya furaha mpya ya kitoto, kutokua na aibu ila ya hofu, 00:01:30.400 --> 00:01:32.656 tukajiita wanene na kumaanisha, bila shaka, 00:01:32.680 --> 00:01:33.896 safi kabisa NOTE Paragraph 00:01:33.920 --> 00:01:35.856 Mwaka huu, tulikuwa wanawake, 00:01:35.880 --> 00:01:37.656 sio bibi harusi au kishaufu, 00:01:37.680 --> 00:01:39.176 sio jinsia duni, 00:01:39.200 --> 00:01:41.336 sio mawaidha, ila wanawake. NOTE Paragraph 00:01:41.360 --> 00:01:42.656 Wafunze watoto wako. 00:01:42.680 --> 00:01:46.056 Wakumbushe kua mwaka wa kuwa watulivu au wadogo umepita. 00:01:46.080 --> 00:01:48.696 Wale kati yetu waliosema ni wanawake kwa mara ya kwanza, 00:01:48.720 --> 00:01:51.096 kachukua kiapo hiki cha umoja kwa umahiri 00:01:51.120 --> 00:01:53.376 Kuna wale walizaa watoto na wale hawakuzaa, 00:01:53.400 --> 00:01:55.816 na hamna miongoni mwetu aliuliza ilitufanyawakweli 00:01:55.840 --> 00:01:57.616 au sahihi au kweli. NOTE Paragraph 00:01:57.640 --> 00:01:59.776 Anapokuuliza juu ya mwaka huu, 00:01:59.800 --> 00:02:02.705 binti wako, iwapo mwanawe au mrithi wa ushindi wako, 00:02:02.729 --> 00:02:05.736 toka pande ya faraja yake historia, kiyumba kuelekea wanawake, 00:02:05.760 --> 00:02:08.056 atashangaa na kuuliza kwa lafua, 00:02:08.080 --> 00:02:10.015 licha yake kutoweza kuelewa kafara yako, 00:02:10.039 --> 00:02:12.816 ataiweka ukadiri wako takatifu, 00:02:12.840 --> 00:02:15.336 jambo la ajabu atadadisi,"Ulikuwa wapi? 00:02:15.360 --> 00:02:18.376 Ulipigana? Ulikuwa na hofu au ulihofisha? 00:02:18.400 --> 00:02:20.256 Nini ilikupa majuto? 00:02:20.280 --> 00:02:22.936 Ulifanyia nini wanawake katika mwaka uliowasili 00:02:22.960 --> 00:02:25.856 Njia hii ulio nitengezea, mifupa ipi ilibidii ivunjwe? 00:02:25.880 --> 00:02:28.136 Ulifanya ya kutosha, na je uko sawa, mama? 00:02:28.160 --> 00:02:29.376 Na je wewe ni shujaa? 00:02:29.400 --> 00:02:31.816 Atauliza yale maswali magumu. NOTE Paragraph 00:02:31.840 --> 00:02:34.016 Hatajali juu ya mikunjo ya uso wako, 00:02:34.040 --> 00:02:35.296 uzito wa ufumbata wako. 00:02:35.320 --> 00:02:36.976 Hatakuuliza kuhusu kutajwa kwako. 00:02:37.000 --> 00:02:40.376 Binti wako, uliyembebea mengi, anataka kujua 00:02:40.400 --> 00:02:43.896 ulimletea nini, zawadi ipi, ulizuia nuru ipi kutokomea 00:02:43.920 --> 00:02:45.856 Walipowakujia waathirika usiku, 00:02:45.880 --> 00:02:47.976 ulilala au uliamshwa? 00:02:48.000 --> 00:02:49.656 Bei ya kuwa macho ilikuwa nini? 00:02:49.680 --> 00:02:53.146 Nini, kwa mwaka tuisema saa imefika, ulifanyia nini upendeleo wako? 00:02:53.170 --> 00:02:54.696 Uliyanywa umaskini wa wengine? 00:02:54.720 --> 00:02:56.856 Uliangalia kando au uliuangalia moto? 00:02:56.880 --> 00:02:59.416 Uliujua ujuzi wako au uliutunza kama dhima? 00:02:59.440 --> 00:03:02.776 Je ulidanganywa na matusi ya "gonjwa" au "ndogo kuliko"? 00:03:02.800 --> 00:03:05.296 Je ulifunza na moyo mkunjufu au ngumu iliyokazwa? 00:03:05.320 --> 00:03:06.536 Ulikuwa wapi? NOTE Paragraph 00:03:06.560 --> 00:03:08.416 Mwambie ukweli. Ifanye iwe maisha yako. 00:03:08.440 --> 00:03:10.416 Ithibitishe. Sema,"Binti, nilisimama pale 00:03:10.440 --> 00:03:12.656 kwa muda, uliochorwa kwa uso wangu kama sime 00:03:12.680 --> 00:03:14.016 na kuirusha ilipotoka 00:03:14.040 --> 00:03:15.456 kukata nafasi kwa'jili yako." 00:03:15.480 --> 00:03:18.296 Mwambie ukweli, vile ulivyoishi licha ya tabia mbaya 00:03:18.320 --> 00:03:19.576 Mwambie ulikuwa jasiri 00:03:19.600 --> 00:03:21.936 na daima, daima ukaungana na ujasiri, 00:03:21.960 --> 00:03:24.256 sana sana zile siku, ulikuwa wewe mwenyewe, 00:03:24.280 --> 00:03:26.256 Mwambie alizaliwa jinsi wewe ulivyo, 00:03:26.280 --> 00:03:28.896 kama kina mama wako mbeleni, na kina dada kando yao, 00:03:28.920 --> 00:03:31.016 Katika muda wa wazalendo, kama kawaida. NOTE Paragraph 00:03:31.040 --> 00:03:33.736 Mwambie alizaliwa kwa muda uliyofaa, 00:03:33.760 --> 00:03:35.040 kwa muda uliyofaa 00:03:35.520 --> 00:03:36.736 kuongoza. NOTE Paragraph 00:03:36.760 --> 00:03:44.096 (Vigelegele)