1 00:00:00,984 --> 00:00:03,256 Ambieni ma binti wenu kuhusu mwaka huu 2 00:00:03,280 --> 00:00:05,376 jinsi tulivyo amka tukihitaji kahawa 3 00:00:05,400 --> 00:00:09,216 ila tukapata pindi imemwagwa, kati ya magazeti ya asubuhi 4 00:00:09,240 --> 00:00:14,040 faksi za dada, mke/mume, watoto wadogo zilizojaa maji 5 00:00:14,600 --> 00:00:18,216 Mwambie mwana wako kuhusu huu mwaka atakapo kuuliza, anavyofaa kukuuliza, 6 00:00:18,240 --> 00:00:19,816 mwambie ili kuwa imechelewa kuja 7 00:00:19,840 --> 00:00:24,296 Kubali kuwahata ule mwaka tulikodisha uhuru,hatuku umiliki moja kwa moja 8 00:00:24,320 --> 00:00:27,136 Bado kulikuwa na sheria jinsi tunavyotumia sehemu zetu za siri. 9 00:00:27,160 --> 00:00:29,656 ilhali wakivuruga upole wetu 10 00:00:29,680 --> 00:00:32,415 wakatunyakua bila kujali ridhaa 11 00:00:32,439 --> 00:00:35,056 Hamna sheria ziliundiwa wanaume walioitekeleza 12 00:00:35,080 --> 00:00:37,496 Tulifunzwa ku hepa, 13 00:00:37,520 --> 00:00:40,136 kungoja, kuhofia, na kujifunika 14 00:00:40,160 --> 00:00:43,056 kungoja zaidi, na bado kungoja. 15 00:00:43,080 --> 00:00:44,960 Tuliambiwa tuwe kimya 16 00:00:45,440 --> 00:00:47,696 Ila ambia ma binti wako kuhusu muda huu wa vita 17 00:00:47,720 --> 00:00:50,296 mwaka uliotanguliwa na matokeo sawa, 18 00:00:50,320 --> 00:00:52,576 kama miongo miwili iliyopita 19 00:00:52,600 --> 00:00:54,136 tuliyapangusa macho yetu 20 00:00:54,160 --> 00:00:56,056 ma jeneza yakafunikwa na bendera 21 00:00:56,080 --> 00:00:58,256 kuondoa eneo la uhalifu wa Klabu, 22 00:00:58,280 --> 00:00:59,576 kwaruza kuomboleza mitaani, 23 00:00:59,600 --> 00:01:02,896 tukailaza mili yetu kwenye sakafu ya saruji tukiegemea walioanguka, 24 00:01:02,920 --> 00:01:04,855 tukalia, "Bila shaka tuna umuhimu," 25 00:01:04,879 --> 00:01:06,256 tukawaimbia waliopotea. 26 00:01:06,280 --> 00:01:07,880 Wanawake walilia huu mwaka. 27 00:01:08,440 --> 00:01:09,656 Walilia. 28 00:01:09,680 --> 00:01:12,136 Mwaka huo huo, tulikuwa tayari. 29 00:01:12,160 --> 00:01:15,256 Mwaka tuliopoteza uoga na kusonga kwa ujasiri 30 00:01:15,280 --> 00:01:17,776 huu pia ndio mwaka tulioyangalia chini mapipa 31 00:01:17,800 --> 00:01:20,136 tukaimba korongo angani, tuka hepa na kupangua, 32 00:01:20,160 --> 00:01:22,616 kashika dhahabu kwa hijab, tukapokea vitisho vya kifo, 33 00:01:22,640 --> 00:01:23,976 tulijifahamu kama wazalendo, 34 00:01:24,000 --> 00:01:27,216 kasema, "tuko 35 sasa, mda wa kutulia na kumtafuta mgombea mwenza," 35 00:01:27,240 --> 00:01:30,376 tukakuza ramani ya furaha mpya ya kitoto, kutokua na aibu ila ya hofu, 36 00:01:30,400 --> 00:01:32,656 tukajiita wanene na kumaanisha, bila shaka, 37 00:01:32,680 --> 00:01:33,896 safi kabisa 38 00:01:33,920 --> 00:01:35,856 Mwaka huu, tulikuwa wanawake, 39 00:01:35,880 --> 00:01:37,656 sio bibi harusi au kishaufu, 40 00:01:37,680 --> 00:01:39,176 sio jinsia duni, 41 00:01:39,200 --> 00:01:41,336 sio mawaidha, ila wanawake. 42 00:01:41,360 --> 00:01:42,656 Wafunze watoto wako. 43 00:01:42,680 --> 00:01:46,056 Wakumbushe kua mwaka wa kuwa watulivu au wadogo umepita. 44 00:01:46,080 --> 00:01:48,696 Wale kati yetu waliosema ni wanawake kwa mara ya kwanza, 45 00:01:48,720 --> 00:01:51,096 kachukua kiapo hiki cha umoja kwa umahiri 46 00:01:51,120 --> 00:01:53,376 Kuna wale walizaa watoto na wale hawakuzaa, 47 00:01:53,400 --> 00:01:55,816 na hamna miongoni mwetu aliuliza ilitufanyawakweli 48 00:01:55,840 --> 00:01:57,616 au sahihi au kweli. 49 00:01:57,640 --> 00:01:59,776 Anapokuuliza juu ya mwaka huu, 50 00:01:59,800 --> 00:02:02,705 binti wako, iwapo mwanawe au mrithi wa ushindi wako, 51 00:02:02,729 --> 00:02:05,736 toka pande ya faraja yake historia, kiyumba kuelekea wanawake, 52 00:02:05,760 --> 00:02:08,056 atashangaa na kuuliza kwa lafua, 53 00:02:08,080 --> 00:02:10,015 licha yake kutoweza kuelewa kafara yako, 54 00:02:10,039 --> 00:02:12,816 ataiweka ukadiri wako takatifu, 55 00:02:12,840 --> 00:02:15,336 jambo la ajabu atadadisi,"Ulikuwa wapi? 56 00:02:15,360 --> 00:02:18,376 Ulipigana? Ulikuwa na hofu au ulihofisha? 57 00:02:18,400 --> 00:02:20,256 Nini ilikupa majuto? 58 00:02:20,280 --> 00:02:22,936 Ulifanyia nini wanawake katika mwaka uliowasili 59 00:02:22,960 --> 00:02:25,856 Njia hii ulio nitengezea, mifupa ipi ilibidii ivunjwe? 60 00:02:25,880 --> 00:02:28,136 Ulifanya ya kutosha, na je uko sawa, mama? 61 00:02:28,160 --> 00:02:29,376 Na je wewe ni shujaa? 62 00:02:29,400 --> 00:02:31,816 Atauliza yale maswali magumu. 63 00:02:31,840 --> 00:02:34,016 Hatajali juu ya mikunjo ya uso wako, 64 00:02:34,040 --> 00:02:35,296 uzito wa ufumbata wako. 65 00:02:35,320 --> 00:02:36,976 Hatakuuliza kuhusu kutajwa kwako. 66 00:02:37,000 --> 00:02:40,376 Binti wako, uliyembebea mengi, anataka kujua 67 00:02:40,400 --> 00:02:43,896 ulimletea nini, zawadi ipi, ulizuia nuru ipi kutokomea 68 00:02:43,920 --> 00:02:45,856 Walipowakujia waathirika usiku, 69 00:02:45,880 --> 00:02:47,976 ulilala au uliamshwa? 70 00:02:48,000 --> 00:02:49,656 Bei ya kuwa macho ilikuwa nini? 71 00:02:49,680 --> 00:02:53,146 Nini, kwa mwaka tuisema saa imefika, ulifanyia nini upendeleo wako? 72 00:02:53,170 --> 00:02:54,696 Uliyanywa umaskini wa wengine? 73 00:02:54,720 --> 00:02:56,856 Uliangalia kando au uliuangalia moto? 74 00:02:56,880 --> 00:02:59,416 Uliujua ujuzi wako au uliutunza kama dhima? 75 00:02:59,440 --> 00:03:02,776 Je ulidanganywa na matusi ya "gonjwa" au "ndogo kuliko"? 76 00:03:02,800 --> 00:03:05,296 Je ulifunza na moyo mkunjufu au ngumu iliyokazwa? 77 00:03:05,320 --> 00:03:06,536 Ulikuwa wapi? 78 00:03:06,560 --> 00:03:08,416 Mwambie ukweli. Ifanye iwe maisha yako. 79 00:03:08,440 --> 00:03:10,416 Ithibitishe. Sema,"Binti, nilisimama pale 80 00:03:10,440 --> 00:03:12,656 kwa muda, uliochorwa kwa uso wangu kama sime 81 00:03:12,680 --> 00:03:14,016 na kuirusha ilipotoka 82 00:03:14,040 --> 00:03:15,456 kukata nafasi kwa'jili yako." 83 00:03:15,480 --> 00:03:18,296 Mwambie ukweli, vile ulivyoishi licha ya tabia mbaya 84 00:03:18,320 --> 00:03:19,576 Mwambie ulikuwa jasiri 85 00:03:19,600 --> 00:03:21,936 na daima, daima ukaungana na ujasiri, 86 00:03:21,960 --> 00:03:24,256 sana sana zile siku, ulikuwa wewe mwenyewe, 87 00:03:24,280 --> 00:03:26,256 Mwambie alizaliwa jinsi wewe ulivyo, 88 00:03:26,280 --> 00:03:28,896 kama kina mama wako mbeleni, na kina dada kando yao, 89 00:03:28,920 --> 00:03:31,016 Katika muda wa wazalendo, kama kawaida. 90 00:03:31,040 --> 00:03:33,736 Mwambie alizaliwa kwa muda uliyofaa, 91 00:03:33,760 --> 00:03:35,040 kwa muda uliyofaa 92 00:03:35,520 --> 00:03:36,736 kuongoza. 93 00:03:36,760 --> 00:03:44,096 (Vigelegele)