[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.90,0:00:04.83,Default,,0000,0000,0000,,Masoko ya Afrika yasiyo rasmi huwekewa kasumba kwa kuonekana Dialogue: 0,0:00:04.86,0:00:06.70,Default,,0000,0000,0000,,vile yana kasheshe na goigoi. Dialogue: 0,0:00:07.23,0:00:09.89,Default,,0000,0000,0000,,Ubaya wa kusikia neno "yasiyo rasmi" Dialogue: 0,0:00:09.91,0:00:12.58,Default,,0000,0000,0000,,hutokana na jumuiya inayojiendesha ya misaada tuliyonayo, Dialogue: 0,0:00:12.60,0:00:14.23,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ina mitazamo hasi sana, Dialogue: 0,0:00:14.25,0:00:18.76,Default,,0000,0000,0000,,na ilikuwa na madhara makubwa katika kuanguka kwa uchumi, Dialogue: 0,0:00:18.79,0:00:24.27,Default,,0000,0000,0000,,kuongeza kirahisi -- au kupunguza -- asilimia 40 hadi 60 ya ukomo wa faida Dialogue: 0,0:00:24.30,0:00:27.13,Default,,0000,0000,0000,,kwa masoko yasiyo rasmi pekee. Dialogue: 0,0:00:27.16,0:00:31.46,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa moja ya jukumu la kuweka ramani ya mzunguko wa biashara zisizo rasmi, Dialogue: 0,0:00:31.48,0:00:34.02,Default,,0000,0000,0000,,tumetengeneza machapisho kwa kina Dialogue: 0,0:00:34.04,0:00:38.99,Default,,0000,0000,0000,,ya ripoti zote na tafiti kwenye biashara za mipakani katika ukanda wa Afrika Mashariki, Dialogue: 0,0:00:39.02,0:00:40.83,Default,,0000,0000,0000,,tukirudi nyuma hadi miaka 20. Dialogue: 0,0:00:40.85,0:00:45.18,Default,,0000,0000,0000,,Hii ilikuwa ni kwa ajili ya kutuandaa kwa ajili ya kazi ya kwenda kutathmini tatizo ni nini, Dialogue: 0,0:00:45.21,0:00:49.37,Default,,0000,0000,0000,,kipi kilichokuwa kinarudisha nyuma biashara isiyo rasmi katika sekta isiyo rasmi. Dialogue: 0,0:00:49.99,0:00:53.49,Default,,0000,0000,0000,,Tulichogundua katika miaka 20 iliyopita ni kwamba, Dialogue: 0,0:00:53.52,0:00:57.27,Default,,0000,0000,0000,,hakuna aliyeweza kutofautisha kati ya magendo -- Dialogue: 0,0:00:57.30,0:01:01.74,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni sawa na upenyeshaji mali isiyo halali au iliyopigwa marufuku katika sekta isiyo rasmi -- Dialogue: 0,0:01:01.76,0:01:04.10,Default,,0000,0000,0000,,na mali halali ambayo haikuwekwa katika kumbukumbu Dialogue: 0,0:01:04.13,0:01:07.13,Default,,0000,0000,0000,,kama nyanya, machungwa, matunda. Dialogue: 0,0:01:07.70,0:01:10.02,Default,,0000,0000,0000,,Uhalifu huu -- Dialogue: 0,0:01:10.04,0:01:15.24,Default,,0000,0000,0000,,ambao kwa kiswahili unafahamika kama "biashara," ambao ni biashara, Dialogue: 0,0:01:15.26,0:01:18.70,Default,,0000,0000,0000,,ukilinganisha na "magendo", ambayo upenyeshaji bidhaa usio halali -- Dialogue: 0,0:01:18.72,0:01:22.24,Default,,0000,0000,0000,,uhalifu katika sekta isiyo rasmi, Dialogue: 0,0:01:22.27,0:01:26.14,Default,,0000,0000,0000,,kwa Kiingereza, bila kutofautisha nyanja hizi, Dialogue: 0,0:01:26.16,0:01:31.75,Default,,0000,0000,0000,,kwa urahisi inaweza kugharimu kila uchumi wa Afrika kati ya asilimia 60 hadi 80 ukiongezea Dialogue: 0,0:01:31.78,0:01:34.54,Default,,0000,0000,0000,,katika ukuaji wa pato la taifa kwa mwaka, Dialogue: 0,0:01:34.57,0:01:38.30,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hatujambua injini Dialogue: 0,0:01:38.33,0:01:40.90,Default,,0000,0000,0000,,inayofanya uchumi kuendelea. Dialogue: 0,0:01:40.92,0:01:44.40,Default,,0000,0000,0000,,Sekta isiyo rasmi inaongeza ajira mara nne katika kiasi Dialogue: 0,0:01:44.42,0:01:46.37,Default,,0000,0000,0000,,cha uchumi ulio rasmi, Dialogue: 0,0:01:46.39,0:01:48.95,Default,,0000,0000,0000,,au uchumi wa "kisasa", kama wengi wauitavyo. Dialogue: 0,0:01:48.97,0:01:52.44,Default,,0000,0000,0000,,Hutoa nafasi za ajira na kuweza kujipatia kipato Dialogue: 0,0:01:52.46,0:01:56.16,Default,,0000,0000,0000,,kwa wale wengi ambao hawana "ujuzi wa darasani" katika nyanja mbalimbali za taaluma. Dialogue: 0,0:01:56.18,0:01:59.82,Default,,0000,0000,0000,,Lakini, je unaweza kutengeneza mashine ya kukaanga chipsi kutokana na gari bovu? Dialogue: 0,0:02:00.40,0:02:03.86,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, hili, mabibi na mabwana, Dialogue: 0,0:02:03.89,0:02:07.10,Default,,0000,0000,0000,,ni jambo ambalo linatakiwa kutambuliwa kwa shauku kubwa. Dialogue: 0,0:02:07.13,0:02:11.39,Default,,0000,0000,0000,,Ambapo mtazamo wa sasa uliopo kuhusu sekta hii ni uhalifu, Dialogue: 0,0:02:11.41,0:02:12.64,Default,,0000,0000,0000,,hiki ni kivuli, Dialogue: 0,0:02:12.66,0:02:14.28,Default,,0000,0000,0000,,hii si halali, Dialogue: 0,0:02:14.30,0:02:18.76,Default,,0000,0000,0000,,hakutakiwa na madhumuni ya kuunganisha mzunguko wa uchumi usio rasmi Dialogue: 0,0:02:18.79,0:02:21.74,Default,,0000,0000,0000,,na ule ulio rasmi au hata ule wa kiulimwengu. Dialogue: 0,0:02:22.97,0:02:25.77,Default,,0000,0000,0000,,Nitawaeleza hadithi inayomuhusu Teresia, Dialogue: 0,0:02:25.80,0:02:29.87,Default,,0000,0000,0000,,mfanyabiashara ambaye anapindua mitazamo yetu yote, Dialogue: 0,0:02:29.90,0:02:33.25,Default,,0000,0000,0000,,anatufanya kuhoji kasumba zetu zote tulizokuwa nazo, Dialogue: 0,0:02:33.27,0:02:36.18,Default,,0000,0000,0000,,ukihusisha na ripoti ya miaka 20 nyuma. Dialogue: 0,0:02:37.68,0:02:43.16,Default,,0000,0000,0000,,Teresia anauza nguo chini ya mti katika mji unaoitwa Malaba, Dialogue: 0,0:02:43.19,0:02:45.28,Default,,0000,0000,0000,,katika mpaka wa Uganda na Kenya. Dialogue: 0,0:02:45.88,0:02:48.04,Default,,0000,0000,0000,,Unadhani ni rahisi sana, au sivyo? Dialogue: 0,0:02:48.81,0:02:51.47,Default,,0000,0000,0000,,Tutakwenda ning'iniza nguo mpya kwenye matawi, Dialogue: 0,0:02:51.49,0:02:54.42,Default,,0000,0000,0000,,tutatandika turubai, kisha kuketi chini, kusubiri wateja, Dialogue: 0,0:02:54.45,0:02:55.79,Default,,0000,0000,0000,,na hivyo ndivyo inakuwa. Dialogue: 0,0:02:55.82,0:02:59.20,Default,,0000,0000,0000,,Alikuwa ni mtu ambaye tuliona anarandana na yale yaliyomo katika ripoti, Dialogue: 0,0:02:59.22,0:03:00.49,Default,,0000,0000,0000,,katika tafiti, Dialogue: 0,0:03:00.52,0:03:04.29,Default,,0000,0000,0000,,alikuwa ni mama mjane anayefanya biashara, Dialogue: 0,0:03:04.32,0:03:05.81,Default,,0000,0000,0000,,akilea watoto wake. Dialogue: 0,0:03:07.09,0:03:09.70,Default,,0000,0000,0000,,Ni kipi kilibadili udhanifu wetu? Dialogue: 0,0:03:09.73,0:03:11.24,Default,,0000,0000,0000,,Kipi kilitushangaza? Dialogue: 0,0:03:11.27,0:03:14.99,Default,,0000,0000,0000,,Kwanza, Teresia analipia kodi ya serikali ya soko la mkoa Dialogue: 0,0:03:15.02,0:03:16.85,Default,,0000,0000,0000,,kila siku anayofanya biashara Dialogue: 0,0:03:16.87,0:03:20.12,Default,,0000,0000,0000,,kutokana na kuweka biashara chini ya mti wake. Dialogue: 0,0:03:20.15,0:03:22.20,Default,,0000,0000,0000,,Amekuwa akifanya hivi kwa miaka saba, Dialogue: 0,0:03:22.22,0:03:24.14,Default,,0000,0000,0000,,na amekuwa akipewa risiti. Dialogue: 0,0:03:24.56,0:03:26.04,Default,,0000,0000,0000,,Anatunza kumbumkumbu. Dialogue: 0,0:03:26.06,0:03:29.23,Default,,0000,0000,0000,,Tunamuona asiye hafifu, Dialogue: 0,0:03:29.25,0:03:30.60,Default,,0000,0000,0000,,masikini, Dialogue: 0,0:03:30.62,0:03:36.44,Default,,0000,0000,0000,,mwanamke asiye na uwezo anayefanya biashara pembezoni mwa barabara -- hapana. Dialogue: 0,0:03:36.46,0:03:40.56,Default,,0000,0000,0000,,Tunamuona mfanyabiashara ambaye anatunza kumbukumbu za mauzo kwa miaka; Dialogue: 0,0:03:40.59,0:03:46.91,Default,,0000,0000,0000,,mtu ambaye amekuwa na mzunguko wote wa biashara za rejareja zitokazo Uganda Dialogue: 0,0:03:46.93,0:03:49.25,Default,,0000,0000,0000,,hadi orodha ya uchukuaji; Dialogue: 0,0:03:49.27,0:03:53.13,Default,,0000,0000,0000,,aliye na mkokoteni unaoleta bidhaa, Dialogue: 0,0:03:53.16,0:03:56.07,Default,,0000,0000,0000,,au wakala wa mfumo wa fedha wa simu anayekuja kuchukua pesa taslimu Dialogue: 0,0:03:56.10,0:03:57.52,Default,,0000,0000,0000,,kila mwisho wa jioni. Dialogue: 0,0:03:57.55,0:04:01.96,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kisia ni kiasi gani Teresia hutumia, kwa wastani, Dialogue: 0,0:04:01.98,0:04:04.58,Default,,0000,0000,0000,,kila mwezi katika uorodheshaji bidhaa -- Dialogue: 0,0:04:04.60,0:04:07.27,Default,,0000,0000,0000,,shehena ya nguo mpya ambazo anapata kutoka Nairobi? Dialogue: 0,0:04:07.82,0:04:10.01,Default,,0000,0000,0000,,Dola za Kimarekani elfu moja na mia tano. Dialogue: 0,0:04:10.52,0:04:15.96,Default,,0000,0000,0000,,Ambayo ni takribani dola za Kimarekani 20,000 zilizowekezwa kwenye katika bidhaa za biashara na huduma Dialogue: 0,0:04:15.99,0:04:17.54,Default,,0000,0000,0000,,kila mwaka. Dialogue: 0,0:04:17.57,0:04:19.02,Default,,0000,0000,0000,,Huyu ni Teresia, Dialogue: 0,0:04:19.04,0:04:20.44,Default,,0000,0000,0000,,asiyeonekana, Dialogue: 0,0:04:20.46,0:04:21.74,Default,,0000,0000,0000,,aliyefichwa katikati. Dialogue: 0,0:04:22.44,0:04:26.54,Default,,0000,0000,0000,,Na huyu ni mtu wa ngazi ya kwanza ya wajasiriamali wadogo, Dialogue: 0,0:04:26.56,0:04:30.65,Default,,0000,0000,0000,,biashara ndogo ndogo zinazopatikana katika masoko ya ya miji hii. Dialogue: 0,0:04:30.67,0:04:35.56,Default,,0000,0000,0000,,Angalau katika mpaka mkubwa wa Malaba, yupo katika ngazi ya kwanza. Dialogue: 0,0:04:36.52,0:04:39.16,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa mbele zaidi wanathamini mlolongo huu Dialogue: 0,0:04:39.18,0:04:42.23,Default,,0000,0000,0000,,na kwa rahisi wanafanya biashara tatu, Dialogue: 0,0:04:42.25,0:04:47.34,Default,,0000,0000,0000,,wakiwekeza dola za Kimarekani kati ya 2500 hadi 3000 kila mwezi. Dialogue: 0,0:04:47.77,0:04:51.75,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tatizo lilikuja gundulika kwamba halikuwa uhalifu; Dialogue: 0,0:04:51.78,0:04:56.42,Default,,0000,0000,0000,,huwezi kumtuhumu mtu ambaye unamtoza na kumpa risiti. Dialogue: 0,0:04:56.96,0:05:02.35,Default,,0000,0000,0000,,Ni ukosefu wa kutambua ujuzi wa kazi zao. Dialogue: 0,0:05:03.05,0:05:07.04,Default,,0000,0000,0000,,Mifumo ya kibenki haina njia ya kuwatambua Dialogue: 0,0:05:07.07,0:05:08.56,Default,,0000,0000,0000,,kama wafanyabiashara ndogo ndogo. Dialogue: 0,0:05:08.58,0:05:11.16,Default,,0000,0000,0000,,pasipo kukataa ukweli, unajua, Dialogue: 0,0:05:11.18,0:05:13.39,Default,,0000,0000,0000,,mti wake hauna anuani. Dialogue: 0,0:05:13.91,0:05:16.24,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo amebanwa katikati. Dialogue: 0,0:05:16.26,0:05:18.69,Default,,0000,0000,0000,,Anaangukia katika mpasuko wa dhana zetu. Dialogue: 0,0:05:18.72,0:05:22.26,Default,,0000,0000,0000,,Unaijua ile mikopo midogo midogo ya kusaidia wanawake wa Kiafrika ambao ni wafanyabiashara? Dialogue: 0,0:05:22.65,0:05:25.48,Default,,0000,0000,0000,,Watampa mkopo wa dola za Kimarekani 50 au 100. Dialogue: 0,0:05:25.50,0:05:27.11,Default,,0000,0000,0000,,Atafanyia nini kiasi hiki? Dialogue: 0,0:05:27.13,0:05:29.47,Default,,0000,0000,0000,,Anatumia mara 10 ya kiasi hicho kila mwezi Dialogue: 0,0:05:29.50,0:05:31.10,Default,,0000,0000,0000,,katika uorodheshaji tu. Dialogue: 0,0:05:31.12,0:05:33.41,Default,,0000,0000,0000,,hatuongelei huduma nyingine za ziada Dialogue: 0,0:05:33.43,0:05:35.27,Default,,0000,0000,0000,,au mzunguko wote. Dialogue: 0,0:05:35.86,0:05:39.45,Default,,0000,0000,0000,,Hawa ni wale ambao hawastahili kuwepo katika kasumba ya sera Dialogue: 0,0:05:39.48,0:05:41.88,Default,,0000,0000,0000,,ya walio na ujuzi mdogo au wale duni, Dialogue: 0,0:05:41.90,0:05:44.78,Default,,0000,0000,0000,,wala si mwajiriwa, ofisa anayelipwa mshahara Dialogue: 0,0:05:44.80,0:05:46.66,Default,,0000,0000,0000,,au mtumishi aliye na pensheni Dialogue: 0,0:05:46.68,0:05:50.06,Default,,0000,0000,0000,,ambapo ndipo watu wa kipato cha kati walipo. Dialogue: 0,0:05:50.08,0:05:54.63,Default,,0000,0000,0000,,Badala yake, tulichonacho hapa ni mifano ya viwanda vidogo na vya kati Dialogue: 0,0:05:54.66,0:05:58.45,Default,,0000,0000,0000,,hizi ni mbegu zilizo na rutuba za biashara na viwanda Dialogue: 0,0:05:58.48,0:06:00.42,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zinafanya injini iendelee kutembea. Dialogue: 0,0:06:00.44,0:06:02.18,Default,,0000,0000,0000,,Vinaleta chakula mezani. Dialogue: 0,0:06:02.20,0:06:05.27,Default,,0000,0000,0000,,Hata hapa katika hotel hii, wasioonekana -- Dialogue: 0,0:06:05.30,0:06:08.75,Default,,0000,0000,0000,,wachinjaji nyama, watengeneza mikate na watengeneza mishumaa -- Dialogue: 0,0:06:08.77,0:06:11.17,Default,,0000,0000,0000,,wanatengeneza mashine ambazo zinatengeneza chipsi Dialogue: 0,0:06:11.19,0:06:12.42,Default,,0000,0000,0000,,na wanatengeneza vitanda vyako, Dialogue: 0,0:06:12.44,0:06:15.85,Default,,0000,0000,0000,,Hawa ni wanawake ambao hawaonekani wanaofanya biashara mipakani, Dialogue: 0,0:06:17.04,0:06:19.41,Default,,0000,0000,0000,,pembezoni mwa barabara, Dialogue: 0,0:06:19.43,0:06:22.35,Default,,0000,0000,0000,,hawaonekani kwa watu wanaokusanya taarifa. Dialogue: 0,0:06:22.70,0:06:26.36,Default,,0000,0000,0000,,Na wanawekwa pamoja katika sekta kubwa isiyo rasmi Dialogue: 0,0:06:26.38,0:06:31.46,Default,,0000,0000,0000,,ambayo haihangaiki kutofautisha watu wanaopenyesha bidhaa na wakwepa kodi Dialogue: 0,0:06:31.48,0:06:34.09,Default,,0000,0000,0000,,na wale wanaofanya biashara za magendo, Dialogue: 0,0:06:34.11,0:06:36.14,Default,,0000,0000,0000,,na wanawake wanaofanya bashara, Dialogue: 0,0:06:36.17,0:06:40.31,Default,,0000,0000,0000,,na wale wanaoleta chakula mezani na kuwasomesha watoto zao hadi chuo kikuu Dialogue: 0,0:06:40.34,0:06:43.56,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hili ndilo ninalouliza hapa. Dialogue: 0,0:06:43.59,0:06:46.42,Default,,0000,0000,0000,,Hayo ndiyo tunatakiwa kuanza kufanya. Dialogue: 0,0:06:46.87,0:06:51.48,Default,,0000,0000,0000,,Je tunaweza kuanza kwa kutambua ujuzi, kazi? Dialogue: 0,0:06:51.50,0:06:56.12,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza kubadili uchumi wa sekta isiyo rasmi kwa kuanza na utambuzi huu Dialogue: 0,0:06:56.15,0:07:00.83,Default,,0000,0000,0000,,na kisha kutengeneza milango ya wao kupita Dialogue: 0,0:07:00.85,0:07:03.06,Default,,0000,0000,0000,,na kushirikiana na sekta iliyo rasmi, Dialogue: 0,0:07:03.09,0:07:04.39,Default,,0000,0000,0000,,na ulimwengu, Dialogue: 0,0:07:04.42,0:07:06.13,Default,,0000,0000,0000,,na mfumo mzima. Dialogue: 0,0:07:06.15,0:07:07.71,Default,,0000,0000,0000,,Asante, mabibi na mabwana. Dialogue: 0,0:07:07.74,0:07:11.46,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)