1 00:00:00,901 --> 00:00:04,832 Masoko ya Afrika yasiyo rasmi huwekewa kasumba kwa kuonekana 2 00:00:04,856 --> 00:00:06,703 vile yana kasheshe na goigoi. 3 00:00:07,234 --> 00:00:09,887 Ubaya wa kusikia neno "yasiyo rasmi" 4 00:00:09,911 --> 00:00:12,580 hutokana na jumuiya inayojiendesha ya misaada tuliyonayo, 5 00:00:12,604 --> 00:00:14,230 ambayo ina mitazamo hasi sana, 6 00:00:14,254 --> 00:00:18,763 na ilikuwa na madhara makubwa katika kuanguka kwa uchumi, 7 00:00:18,787 --> 00:00:24,273 kuongeza kirahisi -- au kupunguza -- asilimia 40 hadi 60 ya ukomo wa faida 8 00:00:24,297 --> 00:00:27,133 kwa masoko yasiyo rasmi pekee. 9 00:00:27,157 --> 00:00:31,459 Ikiwa moja ya jukumu la kuweka ramani ya mzunguko wa biashara zisizo rasmi, 10 00:00:31,483 --> 00:00:34,016 tumetengeneza machapisho kwa kina 11 00:00:34,040 --> 00:00:38,991 ya ripoti zote na tafiti kwenye biashara za mipakani katika ukanda wa Afrika Mashariki, 12 00:00:39,015 --> 00:00:40,826 tukirudi nyuma hadi miaka 20. 13 00:00:40,850 --> 00:00:45,184 Hii ilikuwa ni kwa ajili ya kutuandaa kwa ajili ya kazi ya kwenda kutathmini tatizo ni nini, 14 00:00:45,208 --> 00:00:49,370 kipi kilichokuwa kinarudisha nyuma biashara isiyo rasmi katika sekta isiyo rasmi. 15 00:00:49,990 --> 00:00:53,494 Tulichogundua katika miaka 20 iliyopita ni kwamba, 16 00:00:53,518 --> 00:00:57,271 hakuna aliyeweza kutofautisha kati ya magendo -- 17 00:00:57,295 --> 00:01:01,740 ambayo ni sawa na upenyeshaji mali isiyo halali au iliyopigwa marufuku katika sekta isiyo rasmi -- 18 00:01:01,764 --> 00:01:04,104 na mali halali ambayo haikuwekwa katika kumbukumbu 19 00:01:04,128 --> 00:01:07,133 kama nyanya, machungwa, matunda. 20 00:01:07,697 --> 00:01:10,017 Uhalifu huu -- 21 00:01:10,041 --> 00:01:15,239 ambao kwa kiswahili unafahamika kama "biashara," ambao ni biashara, 22 00:01:15,263 --> 00:01:18,697 ukilinganisha na "magendo", ambayo upenyeshaji bidhaa usio halali -- 23 00:01:18,721 --> 00:01:22,242 uhalifu katika sekta isiyo rasmi, 24 00:01:22,266 --> 00:01:26,135 kwa Kiingereza, bila kutofautisha nyanja hizi, 25 00:01:26,159 --> 00:01:31,752 kwa urahisi inaweza kugharimu kila uchumi wa Afrika kati ya asilimia 60 hadi 80 ukiongezea 26 00:01:31,776 --> 00:01:34,544 katika ukuaji wa pato la taifa kwa mwaka, 27 00:01:34,568 --> 00:01:38,302 kwa sababu hatujambua injini 28 00:01:38,326 --> 00:01:40,900 inayofanya uchumi kuendelea. 29 00:01:40,924 --> 00:01:44,401 Sekta isiyo rasmi inaongeza ajira mara nne katika kiasi 30 00:01:44,425 --> 00:01:46,367 cha uchumi ulio rasmi, 31 00:01:46,391 --> 00:01:48,948 au uchumi wa "kisasa", kama wengi wauitavyo. 32 00:01:48,972 --> 00:01:52,438 Hutoa nafasi za ajira na kuweza kujipatia kipato 33 00:01:52,462 --> 00:01:56,159 kwa wale wengi ambao hawana "ujuzi wa darasani" katika nyanja mbalimbali za taaluma. 34 00:01:56,183 --> 00:01:59,819 Lakini, je unaweza kutengeneza mashine ya kukaanga chipsi kutokana na gari bovu? 35 00:02:00,403 --> 00:02:03,864 Kwa hiyo, hili, mabibi na mabwana, 36 00:02:03,888 --> 00:02:07,104 ni jambo ambalo linatakiwa kutambuliwa kwa shauku kubwa. 37 00:02:07,128 --> 00:02:11,386 Ambapo mtazamo wa sasa uliopo kuhusu sekta hii ni uhalifu, 38 00:02:11,410 --> 00:02:12,637 hiki ni kivuli, 39 00:02:12,661 --> 00:02:14,279 hii si halali, 40 00:02:14,303 --> 00:02:18,763 hakutakiwa na madhumuni ya kuunganisha mzunguko wa uchumi usio rasmi 41 00:02:18,787 --> 00:02:21,735 na ule ulio rasmi au hata ule wa kiulimwengu. 42 00:02:22,968 --> 00:02:25,772 Nitawaeleza hadithi inayomuhusu Teresia, 43 00:02:25,796 --> 00:02:29,872 mfanyabiashara ambaye anapindua mitazamo yetu yote, 44 00:02:29,896 --> 00:02:33,246 anatufanya kuhoji kasumba zetu zote tulizokuwa nazo, 45 00:02:33,270 --> 00:02:36,176 ukihusisha na ripoti ya miaka 20 nyuma. 46 00:02:37,675 --> 00:02:43,164 Teresia anauza nguo chini ya mti katika mji unaoitwa Malaba, 47 00:02:43,188 --> 00:02:45,284 katika mpaka wa Uganda na Kenya. 48 00:02:45,876 --> 00:02:48,045 Unadhani ni rahisi sana, au sivyo? 49 00:02:48,810 --> 00:02:51,467 Tutakwenda ning'iniza nguo mpya kwenye matawi, 50 00:02:51,491 --> 00:02:54,423 tutatandika turubai, kisha kuketi chini, kusubiri wateja, 51 00:02:54,447 --> 00:02:55,792 na hivyo ndivyo inakuwa. 52 00:02:55,816 --> 00:02:59,201 Alikuwa ni mtu ambaye tuliona anarandana na yale yaliyomo katika ripoti, 53 00:02:59,225 --> 00:03:00,493 katika tafiti, 54 00:03:00,517 --> 00:03:04,294 alikuwa ni mama mjane anayefanya biashara, 55 00:03:04,318 --> 00:03:05,806 akilea watoto wake. 56 00:03:07,092 --> 00:03:09,702 Ni kipi kilibadili udhanifu wetu? 57 00:03:09,726 --> 00:03:11,245 Kipi kilitushangaza? 58 00:03:11,269 --> 00:03:14,991 Kwanza, Teresia analipia kodi ya serikali ya soko la mkoa 59 00:03:15,015 --> 00:03:16,846 kila siku anayofanya biashara 60 00:03:16,870 --> 00:03:20,123 kutokana na kuweka biashara chini ya mti wake. 61 00:03:20,147 --> 00:03:22,198 Amekuwa akifanya hivi kwa miaka saba, 62 00:03:22,222 --> 00:03:24,144 na amekuwa akipewa risiti. 63 00:03:24,560 --> 00:03:26,037 Anatunza kumbumkumbu. 64 00:03:26,061 --> 00:03:29,228 Tunamuona asiye hafifu, 65 00:03:29,252 --> 00:03:30,599 masikini, 66 00:03:30,623 --> 00:03:36,439 mwanamke asiye na uwezo anayefanya biashara pembezoni mwa barabara -- hapana. 67 00:03:36,463 --> 00:03:40,562 Tunamuona mfanyabiashara ambaye anatunza kumbukumbu za mauzo kwa miaka; 68 00:03:40,586 --> 00:03:46,907 mtu ambaye amekuwa na mzunguko wote wa biashara za rejareja zitokazo Uganda 69 00:03:46,931 --> 00:03:49,246 hadi orodha ya uchukuaji; 70 00:03:49,270 --> 00:03:53,132 aliye na mkokoteni unaoleta bidhaa, 71 00:03:53,156 --> 00:03:56,072 au wakala wa mfumo wa fedha wa simu anayekuja kuchukua pesa taslimu 72 00:03:56,096 --> 00:03:57,524 kila mwisho wa jioni. 73 00:03:57,548 --> 00:04:01,956 Unaweza kisia ni kiasi gani Teresia hutumia, kwa wastani, 74 00:04:01,980 --> 00:04:04,577 kila mwezi katika uorodheshaji bidhaa -- 75 00:04:04,601 --> 00:04:07,274 shehena ya nguo mpya ambazo anapata kutoka Nairobi? 76 00:04:07,819 --> 00:04:10,009 Dola za Kimarekani elfu moja na mia tano. 77 00:04:10,525 --> 00:04:15,965 Ambayo ni takribani dola za Kimarekani 20,000 zilizowekezwa kwenye katika bidhaa za biashara na huduma 78 00:04:15,989 --> 00:04:17,544 kila mwaka. 79 00:04:17,568 --> 00:04:19,018 Huyu ni Teresia, 80 00:04:19,042 --> 00:04:20,439 asiyeonekana, 81 00:04:20,463 --> 00:04:21,743 aliyefichwa katikati. 82 00:04:22,442 --> 00:04:26,535 Na huyu ni mtu wa ngazi ya kwanza ya wajasiriamali wadogo, 83 00:04:26,559 --> 00:04:30,650 biashara ndogo ndogo zinazopatikana katika masoko ya ya miji hii. 84 00:04:30,674 --> 00:04:35,558 Angalau katika mpaka mkubwa wa Malaba, yupo katika ngazi ya kwanza. 85 00:04:36,523 --> 00:04:39,159 Watu wa mbele zaidi wanathamini mlolongo huu 86 00:04:39,183 --> 00:04:42,228 na kwa rahisi wanafanya biashara tatu, 87 00:04:42,252 --> 00:04:47,343 wakiwekeza dola za Kimarekani kati ya 2500 hadi 3000 kila mwezi. 88 00:04:47,772 --> 00:04:51,752 Kwa hiyo tatizo lilikuja gundulika kwamba halikuwa uhalifu; 89 00:04:51,776 --> 00:04:56,421 huwezi kumtuhumu mtu ambaye unamtoza na kumpa risiti. 90 00:04:56,957 --> 00:05:02,347 Ni ukosefu wa kutambua ujuzi wa kazi zao. 91 00:05:03,048 --> 00:05:07,044 Mifumo ya kibenki haina njia ya kuwatambua 92 00:05:07,068 --> 00:05:08,556 kama wafanyabiashara ndogo ndogo. 93 00:05:08,580 --> 00:05:11,158 pasipo kukataa ukweli, unajua, 94 00:05:11,182 --> 00:05:13,390 mti wake hauna anuani. 95 00:05:13,912 --> 00:05:16,238 Kwa hiyo amebanwa katikati. 96 00:05:16,262 --> 00:05:18,693 Anaangukia katika mpasuko wa dhana zetu. 97 00:05:18,717 --> 00:05:22,256 Unaijua ile mikopo midogo midogo ya kusaidia wanawake wa Kiafrika ambao ni wafanyabiashara? 98 00:05:22,646 --> 00:05:25,476 Watampa mkopo wa dola za Kimarekani 50 au 100. 99 00:05:25,500 --> 00:05:27,106 Atafanyia nini kiasi hiki? 100 00:05:27,130 --> 00:05:29,472 Anatumia mara 10 ya kiasi hicho kila mwezi 101 00:05:29,496 --> 00:05:31,098 katika uorodheshaji tu. 102 00:05:31,122 --> 00:05:33,409 hatuongelei huduma nyingine za ziada 103 00:05:33,433 --> 00:05:35,267 au mzunguko wote. 104 00:05:35,864 --> 00:05:39,452 Hawa ni wale ambao hawastahili kuwepo katika kasumba ya sera 105 00:05:39,476 --> 00:05:41,880 ya walio na ujuzi mdogo au wale duni, 106 00:05:41,904 --> 00:05:44,775 wala si mwajiriwa, ofisa anayelipwa mshahara 107 00:05:44,799 --> 00:05:46,660 au mtumishi aliye na pensheni 108 00:05:46,684 --> 00:05:50,056 ambapo ndipo watu wa kipato cha kati walipo. 109 00:05:50,080 --> 00:05:54,632 Badala yake, tulichonacho hapa ni mifano ya viwanda vidogo na vya kati 110 00:05:54,656 --> 00:05:58,451 hizi ni mbegu zilizo na rutuba za biashara na viwanda 111 00:05:58,475 --> 00:06:00,418 ambazo zinafanya injini iendelee kutembea. 112 00:06:00,442 --> 00:06:02,177 Vinaleta chakula mezani. 113 00:06:02,201 --> 00:06:05,274 Hata hapa katika hotel hii, wasioonekana -- 114 00:06:05,298 --> 00:06:08,750 wachinjaji nyama, watengeneza mikate na watengeneza mishumaa -- 115 00:06:08,774 --> 00:06:11,167 wanatengeneza mashine ambazo zinatengeneza chipsi 116 00:06:11,191 --> 00:06:12,417 na wanatengeneza vitanda vyako, 117 00:06:12,441 --> 00:06:15,846 Hawa ni wanawake ambao hawaonekani wanaofanya biashara mipakani, 118 00:06:17,037 --> 00:06:19,406 pembezoni mwa barabara, 119 00:06:19,430 --> 00:06:22,348 hawaonekani kwa watu wanaokusanya taarifa. 120 00:06:22,704 --> 00:06:26,360 Na wanawekwa pamoja katika sekta kubwa isiyo rasmi 121 00:06:26,384 --> 00:06:31,457 ambayo haihangaiki kutofautisha watu wanaopenyesha bidhaa na wakwepa kodi 122 00:06:31,481 --> 00:06:34,089 na wale wanaofanya biashara za magendo, 123 00:06:34,113 --> 00:06:36,144 na wanawake wanaofanya bashara, 124 00:06:36,168 --> 00:06:40,313 na wale wanaoleta chakula mezani na kuwasomesha watoto zao hadi chuo kikuu 125 00:06:40,337 --> 00:06:43,562 Kwa hiyo hili ndilo ninalouliza hapa. 126 00:06:43,586 --> 00:06:46,421 Hayo ndiyo tunatakiwa kuanza kufanya. 127 00:06:46,868 --> 00:06:51,477 Je tunaweza kuanza kwa kutambua ujuzi, kazi? 128 00:06:51,501 --> 00:06:56,125 Tunaweza kubadili uchumi wa sekta isiyo rasmi kwa kuanza na utambuzi huu 129 00:06:56,149 --> 00:07:00,830 na kisha kutengeneza milango ya wao kupita 130 00:07:00,854 --> 00:07:03,063 na kushirikiana na sekta iliyo rasmi, 131 00:07:03,087 --> 00:07:04,391 na ulimwengu, 132 00:07:04,415 --> 00:07:06,126 na mfumo mzima. 133 00:07:06,150 --> 00:07:07,714 Asante, mabibi na mabwana. 134 00:07:07,738 --> 00:07:11,459 (Makofi)