1 00:00:01,436 --> 00:00:03,079 Mpendwa Abuelita, 2 00:00:03,103 --> 00:00:05,357 Najua sijakuwepo nyumbani kwa muda. 3 00:00:05,381 --> 00:00:07,688 Uko nyumbani kwetu pazuri Mexico, 4 00:00:07,712 --> 00:00:10,061 nami niko hapa Marekani, 5 00:00:10,085 --> 00:00:11,458 nikipigania maisha yetu ya baadaye. 6 00:00:11,927 --> 00:00:14,299 Pengine unanyunyuzia ua waridi maji, 7 00:00:14,323 --> 00:00:16,171 ukitunza fyulisi 8 00:00:16,195 --> 00:00:18,995 na kuhakikisha kua kasa wako wameshiba. 9 00:00:19,474 --> 00:00:22,259 Hiyo ni mojawapo ya vitu, navikumbuka sana kuhusu nyumbani -- 10 00:00:22,283 --> 00:00:24,267 kupoteza muda na maua 11 00:00:24,291 --> 00:00:26,773 ukinihadithia kuhusu utoto wako 12 00:00:28,004 --> 00:00:31,988 Unavyojua, tumeishi New York City tangu 2015 13 00:00:32,385 --> 00:00:35,734 Lakini maisha yamebadilika mno kwa mwaka uliopita. 14 00:00:36,243 --> 00:00:39,561 Hapo mwanzoni, New York ilikua ni sehemu ya makumbusho 15 00:00:39,585 --> 00:00:40,783 na hifadhi 16 00:00:40,807 --> 00:00:42,487 na shule na marafiki. 17 00:00:42,830 --> 00:00:45,393 Saaa hii ni kama mtandao 18 00:00:45,417 --> 00:00:47,673 unaoniunganisha na watu wengine 19 00:00:47,697 --> 00:00:49,896 wanaopanga kuokoa dunia. 20 00:00:50,790 --> 00:00:52,957 Wajua nilianzaje ? 21 00:00:52,981 --> 00:00:54,885 Ni baba na busara zake. 22 00:00:55,950 --> 00:00:59,537 Kila kitu ulimfunza, alienda akafunza ulimwengu. 23 00:00:59,561 --> 00:01:04,450 Maneno yake yote kuhusu uwajibikaji tulionao kama binadamu 24 00:01:04,474 --> 00:01:06,514 kuishi kwa usawa na asili 25 00:01:06,538 --> 00:01:08,106 yalipitishwa kwangu. 26 00:01:08,585 --> 00:01:11,991 Nimeona kutokua sawa kwenye ulimwengu wetu 27 00:01:12,015 --> 00:01:14,879 na kukumbuka ulichoniambia wakati mmoja: 28 00:01:14,903 --> 00:01:17,769 "Acha kila kitu bora kuliko ulivyokikuta." 29 00:01:18,625 --> 00:01:21,650 Najua ulikuwa unaongelea kuhusu vyombo, 30 00:01:21,674 --> 00:01:24,447 lakini, hiyo inaleta maana kwa ulimwengu pia. 31 00:01:24,967 --> 00:01:26,853 Sikujua cha kufanya mwanzoni. 32 00:01:27,198 --> 00:01:28,514 Dunia ni kubwa mno, 33 00:01:28,538 --> 00:01:30,744 na ina tabia nyingi mbaya. 34 00:01:30,768 --> 00:01:35,085 Sikujua vile msichana mwenye miaka 15 angebadilisha chochote. 35 00:01:35,109 --> 00:01:36,402 lakini ilinibidi kujaribu. 36 00:01:37,181 --> 00:01:39,317 Ili kuweka hii falsafa katika vitendo, 37 00:01:39,341 --> 00:01:41,895 Nilijiunga na klabu ya mazingira shuleni. 38 00:01:41,919 --> 00:01:46,588 Lakini niliona wanafunzi wenza wakiongelea mchakato wa taka kuna matumizi tena 39 00:01:46,612 --> 00:01:48,509 na kutazama filamu zinazohusu bahari. 40 00:01:48,947 --> 00:01:51,362 Ulikua mwonekano wa kuzingatia mazingira 41 00:01:51,386 --> 00:01:55,839 ulioegemea harakati ya kutunza hali ya hewa isiyofaa, 42 00:01:55,863 --> 00:01:59,279 na kutupa lawama kwa mtumiaji katika janga la kubadiika kwa hali ya hewa 43 00:01:59,303 --> 00:02:01,839 na kutangaza joto inaongezeka 44 00:02:01,863 --> 00:02:05,293 kwa sababu tulisahau kurudisaha mifuko inayoweza tumika tena dukani. 45 00:02:05,665 --> 00:02:08,744 Ulinifunza kwamba kutunza ulimwengu 46 00:02:08,768 --> 00:02:11,888 inahusu uamuzi tunaochukua kwa pamoja. 47 00:02:13,109 --> 00:02:15,369 Nafurahia kukuambia, Abuelita, 48 00:02:15,393 --> 00:02:18,364 kwamba nimebadili wazo la kila mtu klabuni. 49 00:02:18,388 --> 00:02:20,936 Badala ya kuongelea mchakato wa kufanya taka kutumika tena, 50 00:02:20,960 --> 00:02:23,730 tumeanza kuandikia wanasiasa wetu barua, 51 00:02:23,754 --> 00:02:26,079 kupiga marufuku kabisa plastiki laini. 52 00:02:26,498 --> 00:02:29,266 Na kisha, lisilojarajiwa likatokea: 53 00:02:29,871 --> 00:02:32,213 tulianza kugoma shuleni. 54 00:02:33,578 --> 00:02:35,848 Nafahamu ushatazama kwa habari, 55 00:02:35,872 --> 00:02:37,917 au pengine hio si mahususi kwa saa hii. 56 00:02:38,420 --> 00:02:41,622 Lakini wakati huo, ilikuwa ni jambo kubwa. 57 00:02:41,646 --> 00:02:45,999 Hebu fikiria watoto kutoenda shule kisa wanataka watu waokoe dunia. 58 00:02:46,023 --> 00:02:48,964 (Video) Umati: Ulimwengu mwingine unawezekana ! Hatuzuiliki ! 59 00:02:48,988 --> 00:02:51,380 XiyeBastide: Kwa mgomo wa kwanza kimataifa wa hali ya hewa, 60 00:02:51,404 --> 00:02:53,282 ilioandaliwa na Greta Thunberg, 61 00:02:53,306 --> 00:02:56,958 Nilishawishi wanafunzi 600 wenzangu kutembea nami. 62 00:02:58,474 --> 00:03:00,252 Greta Thunberg ni kijana mwanzilishi wa migomo 63 00:03:00,252 --> 00:03:01,252 Uimara wake ulinihamasisha, 64 00:03:01,252 --> 00:03:02,252 na kushtuka na utambuzi huu 65 00:03:02,252 --> 00:03:04,642 kua kijana angebadilisha maono ya umaa kwa masuala ya kijamii 66 00:03:04,666 --> 00:03:07,555 Harakati zikaanza. 67 00:03:07,579 --> 00:03:11,598 (Video) Umati: Nyamazisha ! 68 00:03:12,196 --> 00:03:13,347 XB: Na nikawa mmoja wa waandalizi wakuu 69 00:03:13,371 --> 00:03:14,713 kwa New York, Amerika na ulimwengu 70 00:03:14,737 --> 00:03:16,785 (Video) XB: Tunahitaji nini? Crowd: Haki ya hali ya hewa! 71 00:03:16,809 --> 00:03:19,431 XB: Tunalihitaji lini ? Crowd: Sasa ! 72 00:03:19,455 --> 00:03:21,907 XB: Nilianza kuongelea haki ya hali ya hewa na haki asilia 73 00:03:21,931 --> 00:03:23,556 na ushirika miongoni mwa vizazi tofauti. 74 00:03:23,580 --> 00:03:26,880 Huu ulikuwa mwazo tu, hata hivyo. 75 00:03:26,880 --> 00:03:28,980 Wiki iliyokuwa na shughuli nyingi katika maisha yangu 76 00:03:28,980 --> 00:03:31,117 nyakati zote itakuwa ni wiki ya Septemba 20,2019. 77 00:03:31,141 --> 00:03:32,760 Mimi na marafiki wangu tulipata watu 300,00 kugoma kwa ajiliya hali ya hewa katika jiji la New York 78 00:03:32,784 --> 00:03:36,764 Natamani ungekuwepo. 79 00:03:37,470 --> 00:03:43,595 Tuliandamana mitaani ya Wall Street kudai haki ya hali ya hewa. 80 00:03:44,023 --> 00:03:45,656 (Video) Umati: Hakuna tena kamwe makaa ya mawe, kamwe tena kwa mafuta, acha kaboni kwenye ardhi ! 81 00:03:45,680 --> 00:03:48,613 XB: Mwezi huo, nilihudhuria Mkutano wa Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa. 82 00:03:48,637 --> 00:03:51,925 Niliongea katika jopo alipokuwepo Al Gore 83 00:03:51,949 --> 00:03:55,045 Nikakutana na Jay Inslee na Naomi Klein na Bill McKibben 84 00:03:55,069 --> 00:03:57,053 na rais wa Umoja wa Mataifa 85 00:03:57,664 --> 00:04:01,535 Ilikuwa wiki la kustaajabisha kabisa maishani mwangu, 86 00:04:01,559 --> 00:04:04,159 kwa sababu kila mtu ninayemjua walikuja pamoja- 87 00:04:04,742 --> 00:04:07,035 walimu wangu, wanafunzi wenzangu wote... 88 00:04:07,059 --> 00:04:10,147 Hata maduka niyapendayo yalifungwa kwa ajili ya mgomo wa hali ya hewa. 89 00:04:10,171 --> 00:04:12,757 Kama ungeniuiza kwa nini nilifanya haya yote, 90 00:04:12,781 --> 00:04:17,487 jibu langu lingekuwa, 91 00:04:18,643 --> 00:04:21,180 "Kwanini nishindwe?" 92 00:04:21,204 --> 00:04:23,142 Imekua mwaka tangu nianze, 93 00:04:23,166 --> 00:04:24,606 na wakati mwingine huchosha. 94 00:04:25,847 --> 00:04:29,172 Lakini kama kuna kitu mmoja ulinifunza, ni uthabiti. 95 00:04:29,196 --> 00:04:31,195 Nakumbuka ulienda jiji la Mexico kila siku kwa miaka 30 96 00:04:31,688 --> 00:04:35,182 ili kupata pesa ya mahitaji ya familia. 97 00:04:35,919 --> 00:04:40,207 Na najua Abuelito amekua akitembea nje kwa miaka 20 98 00:04:40,231 --> 00:04:42,152 kulinda ardhi takatifu dhidi ya makampuni makubwa yanayataka kuinyakua 99 00:04:42,176 --> 00:04:46,128 mwaka moja si lolote 100 00:04:46,152 --> 00:04:49,572 kulingana na mapambano familia yetu imepitia. 101 00:04:50,081 --> 00:04:51,485 Na kama mapambano yetu yanaboresha dunia, 102 00:04:51,509 --> 00:04:54,437 yatatufanya kuwa watu bora. 103 00:04:54,855 --> 00:04:58,109 Kumekuwa na matatizo, Abuelita. 104 00:04:58,133 --> 00:05:00,304 Ulimwenguni, 105 00:05:00,673 --> 00:05:03,117 watu wanatarajia watoto kama sisi kufahamu kila kitu, 106 00:05:03,141 --> 00:05:04,547 au angalau wanatarajia tujue, 107 00:05:04,571 --> 00:05:07,807 Wanauliza na najibu, 108 00:05:07,831 --> 00:05:09,544 na kama najua jinsi ulimwengu unavyofanya kazi. 109 00:05:09,568 --> 00:05:12,391 Wanahitaji matumaini, nasi tunawapa. 110 00:05:12,415 --> 00:05:14,950 Nimepanga, kuandika, kuongelea na kusoma kuhusu hali ya hewa na sera 111 00:05:14,974 --> 00:05:17,111 karibu kila siku kwa mwaka moja uliopita. 112 00:05:18,620 --> 00:05:23,903 Na nina wasiwasi kidogo 113 00:05:23,927 --> 00:05:26,260 kwamba sitoweza fanya vya kutosha, Abuelita. 114 00:05:27,204 --> 00:05:28,950 Kwangu, kuwa na miaka 18 and kujaribu kuokoa ulimwengu 115 00:05:28,974 --> 00:05:31,365 inamanisha kuwa mwanaharakati wa hali ya hewa. 116 00:05:32,484 --> 00:05:36,299 Awali, labda ilimanisha kusoma kuwa daktari 117 00:05:36,323 --> 00:05:38,228 au mwanasiasa au mtafiti. 118 00:05:38,617 --> 00:05:41,164 Lakini siwezi ngojea kuwa mkubwa ili niwe mojawapo ya hayo. 119 00:05:41,188 --> 00:05:43,482 Ulimwengu unaumia, 120 00:05:43,800 --> 00:05:46,997 na hatuna taanasa ya wakati kamwe. 121 00:05:47,514 --> 00:05:49,345 Kuokoa ulimwengu kama kijana unahitaji ueledi wa maneno, 122 00:05:49,369 --> 00:05:51,861 kuelewa sayansi inayohusu janga la hali ya hewa 123 00:05:53,469 --> 00:05:57,204 kuleta mtazamo wa kipekee kwa suala ibuka 124 00:05:57,228 --> 00:06:00,093 na kusahau mambo mengineyo 125 00:06:00,117 --> 00:06:03,704 Lakini wakati mwingine, nahisi kuzingatia mambo mengine tena. 126 00:06:03,728 --> 00:06:06,614 Nataka kuimba na kucheza na kufanya mazoezi ya viungo vya mwili 127 00:06:07,333 --> 00:06:10,347 Kiukweli nahisi ikiwa sisi sote tungelinda ulimwengu 128 00:06:10,371 --> 00:06:13,763 kama tabia, 129 00:06:14,214 --> 00:06:18,084 kama tamaduni, 130 00:06:18,108 --> 00:06:19,418 hakuna mtu angekua mwanaharakati wa hali ya hewa wakati wote 131 00:06:19,442 --> 00:06:21,244 Kama biashara zimekua endelevu, 132 00:06:21,268 --> 00:06:24,611 kama gridi ya umeme inaendesha kwa nishati mbadala, 133 00:06:25,360 --> 00:06:27,363 kama mtaala wa shule unatufundisha 134 00:06:27,387 --> 00:06:30,625 kuwa kuzingatia ulimwengu ni moja ya utu wetu 135 00:06:30,649 --> 00:06:33,661 labda naweza fanya mazoezi ya sarekasi tena. 136 00:06:33,685 --> 00:06:36,919 Au sivyo, Abuelita ? 137 00:06:38,008 --> 00:06:40,619 Tunaweza fanya hili. 138 00:06:40,942 --> 00:06:42,441 Yote najaribu kufanya na kazi yangu 139 00:06:42,966 --> 00:06:44,116 ni kuwapa watu wengine mtazamo chanya wa matumaini. 140 00:06:44,569 --> 00:06:46,157 Lakini ni ngumu kidogo. 141 00:06:46,181 --> 00:06:49,189 Kuna tamaa, 142 00:06:49,879 --> 00:06:51,425 kuna kiburi, 143 00:06:51,870 --> 00:06:53,047 kuna pesa, 144 00:06:53,071 --> 00:06:54,490 na pia uyakinifu. 145 00:06:54,514 --> 00:06:55,766 Hulka ya watu hurahisisha kuongelea haya mambo, 146 00:06:55,790 --> 00:06:57,291 lakini napata wakati mgumu kuwafunza. 147 00:06:57,315 --> 00:07:00,478 Nataka wajiamini kwa kujitahidi kila wakati. 148 00:07:00,502 --> 00:07:03,961 Nawatakia kua na moyo na ujasiri 149 00:07:04,502 --> 00:07:07,834 wa kupenda ulimwengu, 150 00:07:08,236 --> 00:07:10,800 kamaulivyonifunza. 151 00:07:10,824 --> 00:07:11,974 Nimeandika barua hii kukushukuru. 152 00:07:12,768 --> 00:07:14,530 Shukrani kwa kunikaribisha kupenda ulimwengu 153 00:07:14,554 --> 00:07:16,455 tangu nizaliwe. 154 00:07:16,895 --> 00:07:19,672 Shukran kwa kucheka kwa kila kitu. 155 00:07:19,696 --> 00:07:21,439 Shukrani kwa kunifunza 156 00:07:21,947 --> 00:07:23,836 kua matumaini na matarajio ndizo zana za nguvu tulizo nazo 157 00:07:23,860 --> 00:07:25,348 kukumbana na shida yoyote. 158 00:07:25,372 --> 00:07:29,727 Nafanya hili kwa kuwa ulinionyesha 159 00:07:29,751 --> 00:07:31,431 kwamba uthabiti, upendo na ujuzi 160 00:07:31,767 --> 00:07:34,855 vinatosha kuleta mabadiliko. 161 00:07:34,879 --> 00:07:36,872 Nataka kurudi Mexico nikutembelee. 162 00:07:36,896 --> 00:07:38,624 Nataka kukuonyesha picha ya vitu nilivyofanya. 163 00:07:39,260 --> 00:07:41,847 Nataka kukuonyesha sheria ya hali ya hewa 164 00:07:41,871 --> 00:07:45,137 tuliyoweza kupitisha. 165 00:07:45,161 --> 00:07:47,482 Nataka kunusa maua 166 00:07:47,506 --> 00:07:49,233 na kupigania haki ya hali ya hewa pamoja nawe 167 00:07:49,257 --> 00:07:50,964 Te quiero mucho.(Nakupenda sana) 168 00:07:50,988 --> 00:07:53,460 Nakupenda 169 00:07:54,179 --> 00:07:55,361 Xiye. 170 00:07:55,385 --> 00:07:56,551 [Te quiero mucho. Xiye.]