0:00:01.425,0:00:02.204 Karibu tena. 0:00:02.300,0:00:06.960 Wakanada wengi hawatahitaji kushawishiwa kuwa chanjo ya UVIKO inastahili, 0:00:06.960,0:00:07.948 pindi ifikapo. 0:00:07.948,0:00:11.067 Lakini jinsi ulivyosikia, Wakanada wengi wapo na maswali. 0:00:11.067,0:00:12.759 Kwa hivyo kujibu baadhi, 0:00:12.811,0:00:15.841 Dkt. Cora Constantinescu, mtaalam wa magonjwa ya kuambukizwa 0:00:15.934,0:00:18.834 anayehudumu katika kliniki ya kuchunguza mienendo ya kusita kuchanjwa 0:00:18.980,0:00:21.460 katika hospitali ya watoto ya Alberta iliyoko Caligary. 0:00:21.641,0:00:25.301 Na daktari, sikujua sehemu kama yako ipo 0:00:25.541,0:00:27.954 Ni nani hasa huletwa kwako? 0:00:28.065,0:00:31.299 Tumeifanya kuwa mchakato nyoofu 0:00:31.299,0:00:33.880 na tumefikia jamii ya matabibu 0:00:33.880,0:00:35.751 na kuwaambia kuwa tuko hapa 0:00:35.751,0:00:39.277 kuwaunga mkono wanapotuletea wagonjwa. 0:00:39.277,0:00:43.867 Unaona kushawishi watu kuchanjwa kuwa kazi yako? 0:00:46.471,0:00:49.133 Naona kuwa ni kazi yangu kuwasaidia watu 0:00:49.133,0:00:51.963 wanapofanya uamuzi kuchanja. 0:00:53.140,0:00:56.818 Mdahalo huo huwa vipi? Unaanzia wapi? 0:00:59.809,0:01:02.552 Ninaanza kwa kujikumbusha kila wakati 0:01:02.552,0:01:05.952 kuwa katika kiini cha kila miadi ya kusita kuchanjwa 0:01:05.952,0:01:08.262 ni mzazi anayejaribu 0:01:08.452,0:01:11.842 uamuzi mwafaka kwao na familia yao. 0:01:11.842,0:01:14.462 Na inahitaji ukakamavu mwingi kuja 0:01:14.462,0:01:18.000 kwa sababu wanapambana na uoga mwingi na habari potofu, 0:01:18.000,0:01:20.100 na kwa ujumla ukosefu wa uaminifu. 0:01:20.247,0:01:24.857 Kwa hivyo tunatumia muda mwingi kujenga uhusiano na uaminifu na kila familia, 0:01:24.857,0:01:29.646 kuwaelewa ilituweze kubinafsisha 0:01:29.646,0:01:34.458 mawasiliano na ujumbe tunaowapa kuhusu chanjo. 0:01:34.458,0:01:36.595 Halafu tunahushisha afya ya umma kwa karibu 0:01:36.595,0:01:39.500 kisha wanafululiza na kupeana chanjo. 0:01:39.500,0:01:44.440 Na inashangaza kuwa unasema kuwa kuna huu ukosefu wa uaminifu. 0:01:44.973,0:01:48.662 Unawezaje kuanza kushauri 0:01:48.662,0:01:52.148 serikali ya mkoani, serikali ya mtaa, ama serikali ya jumuiya 0:01:52.148,0:01:54.846 kuiunda? 0:01:57.394,0:01:59.864 Nafikiri kuwa tunapofikiria kuhusu uaminifu, 0:01:59.864,0:02:03.900 lazima tufikirie kwa kiwango cha ubinafsi na kwa kiwango cha umma. 0:02:04.352,0:02:06.294 na kwa kiwango binafsi, 0:02:06.294,0:02:10.964 inarejelea hii wazo ya kuweka kwa taswira 0:02:10.964,0:02:15.907 na kuelewa ni nini manufaa ya chanjo 0:02:15.907,0:02:19.432 na hatari ya ugonjwa kwa kila mmoja wetu. 0:02:19.502,0:02:21.852 Kwa hivyo ikija kwa UVIKO kwa mfano, 0:02:21.852,0:02:26.231 Ningependa kuhimiza kila mkanada kufikiria kile hili janga, 0:02:26.573,0:02:28.573 limewamelifanyia, 0:02:28.573,0:02:30.682 na kile limewanyanganya. 0:02:30.682,0:02:33.016 Kwa hivyo, inaweza kuwa wengine wamepoteza wapendwa wao, 0:02:33.016,0:02:37.644 wengine wamepoteza kutangamana kwao, uwezekano wa watoto kwenda shule. 0:02:37.748,0:02:40.668 Kuna gharama kwa kila mmoja wetu 0:02:40.761,0:02:44.191 na kwa hivyo, kuna manufaa kwa kila mmoja wetu. 0:02:44.421,0:02:49.140 Halafu, itabidi sote twende kuchanjwa 0:02:49.140,0:02:52.250 ili tuonyeshe kuwa tuko kwa hili pamoja. 0:02:52.250,0:02:54.919 Halafu tunapozidi kwenda kiwango cha umma, 0:02:54.919,0:02:57.779 Ni muhimu sana kuanza kujenga uhusiano huu. 0:02:57.779,0:03:00.658 Na ni kazi ngumu kutekeleza, 0:03:00.788,0:03:04.330 kwa sababu inabidi umezingatia utata wa tabia za binadamu, 0:03:04.330,0:03:06.716 hususan kuhusu UVIKO-19. 0:03:06.716,0:03:09.746 Na taasisi zetu za afya haziwezi fanya hii pekee yao. 0:03:09.746,0:03:13.194 Sitaki hii kutokezea kama swali ya kijinga, 0:03:13.194,0:03:16.414 lakini ni vipi unajua unachofanya kimefaulu? 0:03:16.414,0:03:19.200 Kwa sababu sio wewe unayepeana chanjo, sawa? 0:03:19.200,0:03:22.530 Unafuatilia viwango vya mafanikio? 0:03:22.822,0:03:24.491 Kulingana na jinsi tunavyoitazama 0:03:24.491,0:03:27.802 ni uwezekano wa takriban asilimia 50 mpaka 60. 0:03:27.802,0:03:30.485 kuwa wagonjwa watafululiza kupokea chanjo. 0:03:30.485,0:03:32.218 baada ya kuhudhuria kliniki yetu. 0:03:32.218,0:03:35.649 na katika ulimwengu wa kusita kuchanjwa hayo ni mafanikio. 0:03:35.649,0:03:37.849 Huu umekuwa mdahalo wa kusisimua. 0:03:37.849,0:03:40.300 Dkt. Constantinescu, asante sana kwa muda wako. 0:03:40.410,0:03:43.361 nimefurahia kuwa hapa, asante kwa kunialika.