0:00:00.000,0:00:05.342 (Muziki) 0:00:05.639,0:00:07.865 Sophie Hawley-Weld: Sawa huhitaji kusimama 0:00:07.865,0:00:09.894 lakini... 0:00:09.918,0:00:12.202 tunaweza kuwaona vizuri kabisa -- 0:00:12.226,0:00:13.266 (Kicheko) 0:00:13.290,0:00:14.763 Kwa hiyo mcheze nasi. 0:00:14.787,0:00:17.193 Na tuna hii, kama, 0:00:17.217,0:00:19.703 Uchezaji maalum tunaokwenda kuufanya 0:00:19.727,0:00:20.938 Betta Lemme: Rahisi sana. 0:00:20.962,0:00:23.779 SHW: Na tutapunga viganja vyetu namna hii, 0:00:23.803,0:00:25.439 na mtafanya pamoja nasi. 0:00:25.463,0:00:27.434 Na pia mnaweza kusimama. 0:00:27.458,0:00:30.984 (Muziki) 0:00:32.179,0:00:36.010 (Anaimba) Najua sikunyanyua kiganja 0:00:36.034,0:00:39.597 (Wote wanaimba) Najua sikuikamata 0:00:39.962,0:00:40.898 Ilikuja, ilikuja 0:00:40.898,0:00:42.318 Ikaenda, ikaenda 0:00:42.342,0:00:44.102 Iliteka haraka 0:00:44.126,0:00:47.705 Nilikuwa pale na kisha nikaacha 0:00:47.729,0:00:49.021 Awoo! 0:00:49.045,0:00:51.718 Najua sikunyanyua kiganja 0:00:51.742,0:00:55.563 Najua sikuikamata 0:00:55.587,0:00:56.747 Ilikuja, ilikuja, 0:00:56.771,0:00:57.937 Ikaenda, ikaenda 0:00:57.961,0:00:59.721 Iliteka haraka 0:00:59.745,0:01:03.080 Nilikuwa pale na kisha nikaacha 0:01:03.104,0:01:04.926 Awoo! 0:01:04.950,0:01:06.418 BL: (Anaongea) Hapo unaona! 0:01:06.442,0:01:10.465 (Muziki) 0:01:10.489,0:01:12.199 SHW: Tunayo nyingine inakuja. 0:01:12.223,0:01:13.957 Ni uchezaji wa kuelekeza kidole 0:01:13.981,0:01:16.981 (Muziki) 0:01:29.040,0:01:30.215 Watu waliokaa chini, 0:01:30.239,0:01:32.248 Nataka kuona mkielekeza vidole vyenu. 0:01:32.678,0:01:34.019 Ndiyo! 0:01:34.586,0:01:38.525 (Anaimba) Najua sikunyanyua kiganja 0:01:38.549,0:01:42.408 (Wote wanaimba) Najua sikuikamata 0:01:42.432,0:01:43.599 Ilikuja, ilikuja. 0:01:43.623,0:01:44.774 Ikaenda, ikaenda 0:01:44.798,0:01:46.585 Iliteka haraka 0:01:46.609,0:01:50.010 Nilikuwa pale kisha nikaacha 0:01:50.615,0:01:55.415 Aaaa ... 0:01:56.966,0:01:58.116 (Makofi) 0:01:58.140,0:01:59.362 Awoo! 0:01:59.386,0:02:01.048 (Muziki) 0:02:01.072,0:02:03.390 (Makofi yanapigwa kuendana na mdundo) 0:02:07.858,0:02:11.864 (Muziki) 0:02:14.065,0:02:19.812 Aaaa... 0:02:20.115,0:02:21.917 SHW: (Anaongea) Sawa, chezesha mkono. 0:02:21.941,0:02:25.343 (Wote wanaimba) Najua sikunyanyua kiganja 0:02:25.367,0:02:29.181 Najua sikuikamata 0:02:29.205,0:02:30.362 Ilikuja, ilikuja, 0:02:30.386,0:02:31.544 Ikaenda, ikaenda 0:02:31.568,0:02:33.319 Iliteka haraka 0:02:33.343,0:02:36.668 Nilikuwa pale kisha nikaacha 0:02:37.083,0:02:41.028 Najua sikunyanyua kiganja 0:02:41.052,0:02:44.851 Najua sikuikamata 0:02:44.875,0:02:46.025 Ilikuja, ilikuja, 0:02:46.049,0:02:47.201 ikaenda, ikaenda 0:02:47.225,0:02:48.991 Iliteka haraka 0:02:49.015,0:02:53.046 Nilikuwa pale kisha nikaacha 0:02:53.070,0:02:55.581 (Muziki) 0:02:55.581,0:02:59.723 Tucker Halpern: Nyie majamaa mnafurahisha [br]sana kuliko nilivyodhani mtakuwa. 0:02:59.747,0:03:00.965 (Kicheko) 0:03:00.989,0:03:04.955 (Muziki) 0:03:07.995,0:03:09.576 Awoo! 0:03:09.600,0:03:12.565 (Makofi) 0:03:13.389,0:03:14.997 SHW: Asanteni sana. 0:03:15.021,0:03:17.123 (Makofi)