(Muziki)
Sophie Hawley-Weld: Sawa huhitaji kusimama
lakini...
tunaweza kuwaona vizuri kabisa --
(Kicheko)
Kwa hiyo mcheze nasi.
Na tuna hii, kama,
Uchezaji maalum tunaokwenda kuufanya
Betta Lemme: Rahisi sana.
SHW: Na tutapunga viganja vyetu namna hii,
na mtafanya pamoja nasi.
Na pia mnaweza kusimama.
(Muziki)
(Anaimba) Najua sikunyanyua kiganja
(Wote wanaimba) Najua sikuikamata
Ilikuja, ilikuja
Ikaenda, ikaenda
Iliteka haraka
Nilikuwa pale na kisha nikaacha
Awoo!
Najua sikunyanyua kiganja
Najua sikuikamata
Ilikuja, ilikuja,
Ikaenda, ikaenda
Iliteka haraka
Nilikuwa pale na kisha nikaacha
Awoo!
BL: (Anaongea) Hapo unaona!
(Muziki)
SHW: Tunayo nyingine inakuja.
Ni uchezaji wa kuelekeza kidole
(Muziki)
Watu waliokaa chini,
Nataka kuona mkielekeza vidole vyenu.
Ndiyo!
(Anaimba) Najua sikunyanyua kiganja
(Wote wanaimba) Najua sikuikamata
Ilikuja, ilikuja.
Ikaenda, ikaenda
Iliteka haraka
Nilikuwa pale kisha nikaacha
Aaaa ...
(Makofi)
Awoo!
(Muziki)
(Makofi yanapigwa kuendana na mdundo)
(Muziki)
Aaaa...
SHW: (Anaongea) Sawa, chezesha mkono.
(Wote wanaimba) Najua sikunyanyua kiganja
Najua sikuikamata
Ilikuja, ilikuja,
Ikaenda, ikaenda
Iliteka haraka
Nilikuwa pale kisha nikaacha
Najua sikunyanyua kiganja
Najua sikuikamata
Ilikuja, ilikuja,
ikaenda, ikaenda
Iliteka haraka
Nilikuwa pale kisha nikaacha
(Muziki)
Tucker Halpern: Nyie majamaa mnafurahisha
sana kuliko nilivyodhani mtakuwa.
(Kicheko)
(Muziki)
Awoo!
(Makofi)
SHW: Asanteni sana.
(Makofi)