1 00:00:01,912 --> 00:00:03,237 Hauwajui. 2 00:00:04,150 --> 00:00:05,436 Hauwaoni. 3 00:00:06,405 --> 00:00:08,408 Lakini daima wapo wanazunguka, 4 00:00:09,404 --> 00:00:11,084 wananong'oneza, 5 00:00:11,108 --> 00:00:12,922 wakitengeneza mipango ya siri, 6 00:00:13,700 --> 00:00:17,382 wakijenga jeshi la mamilioni ya wanajeshi. 7 00:00:18,826 --> 00:00:20,617 Na wanapoamua kushambulia, 8 00:00:21,435 --> 00:00:23,697 wanashambulia kwa wakati mmoja. 9 00:00:27,130 --> 00:00:28,909 Ninaongelea kuhusu bakteria. 10 00:00:28,933 --> 00:00:30,258 (Kicheko) 11 00:00:30,282 --> 00:00:32,517 Mlidhani ninaongelea kuhusu nani? 12 00:00:34,401 --> 00:00:37,595 Bakteria wanaishi kwenye jamii kama tu binadamu. 13 00:00:37,619 --> 00:00:38,892 Wana familia, 14 00:00:38,916 --> 00:00:40,067 wanaongea, 15 00:00:40,091 --> 00:00:41,933 na wanapanga shughuli zao. 16 00:00:41,957 --> 00:00:44,614 Na kama tu binadamu, wanahila, waongo, 17 00:00:44,638 --> 00:00:46,772 na wengine hata wanadanganyana wenyewe. 18 00:00:48,127 --> 00:00:51,974 Je kama nikikuambia kua tunaweza kusikiliza mazungumzo ya bakteria 19 00:00:51,998 --> 00:00:55,572 na kutafsiri taarifa zao za siri kuwa lugha ya binadamu? 20 00:00:56,255 --> 00:01:01,053 Na kama je nikiwaambia kuwa kutafsiri mazungumzo ya bakteria kutaokoa maisha? 21 00:01:02,519 --> 00:01:04,290 Nina PhD ya nanofizikia, 22 00:01:04,314 --> 00:01:08,690 na nimetumia teknolojia ya nano kuunda chombo cha kutafsiri cha muda halisi 23 00:01:08,714 --> 00:01:11,033 kinachoweza kupeleleza kwenye jamii za bakteria 24 00:01:11,057 --> 00:01:13,973 na kutupa rekodi za nini bakteria wanafanya. 25 00:01:16,123 --> 00:01:17,719 Bakteria wanaishi kila sehemu. 26 00:01:17,743 --> 00:01:20,072 Wako kwenye udongo, kwenye samani zetu 27 00:01:20,096 --> 00:01:21,407 na ndani ya miili yetu. 28 00:01:22,083 --> 00:01:26,622 Ki ukweli, asilimia 90 ya seli zote hai kwenye huu ukumbi ni bakteria. 29 00:01:27,685 --> 00:01:29,514 Baadhi ya bakteria ni wazuri kwetu; 30 00:01:29,538 --> 00:01:32,750 wanatusaidia kumeng'enya chakula au kutengeneza dawa. 31 00:01:32,774 --> 00:01:34,866 Na baadhi ya bakteria na wabaya kwetu: 32 00:01:34,890 --> 00:01:36,784 wanasababisha magonjwa na kifo. 33 00:01:37,794 --> 00:01:40,210 Kushirikisha kazi zote bakteria walizonazo, 34 00:01:40,234 --> 00:01:42,306 wanatakiwa wawe na uwezo wa kupanga, 35 00:01:42,330 --> 00:01:44,371 na wanafanya hivyo kama tu sisi binadamu -- 36 00:01:44,395 --> 00:01:45,554 kwa mawasiliano. 37 00:01:46,751 --> 00:01:48,226 Lakini badala ya kutumia maneno, 38 00:01:48,250 --> 00:01:51,192 wanatumia molekuli za ishara kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe. 39 00:01:51,903 --> 00:01:53,340 Bakteria wanapokuwa wachche, 40 00:01:53,364 --> 00:01:56,107 molekuli za ishara zinatiririka nje, 41 00:01:56,131 --> 00:01:58,636 kama kelele za mtu peke yake jangwani. 42 00:01:59,518 --> 00:02:03,510 Lakini kukiwa na bakteria wengi, molekuli za ishara zinajikusanya, 43 00:02:03,534 --> 00:02:06,526 na bakteria wanaanza kuhisi kuwa hawapo peke yao. 44 00:02:07,309 --> 00:02:08,643 Wanasikilizana wenyewe. 45 00:02:09,459 --> 00:02:12,275 Kwa njia hii, wanapima wako wangapi 46 00:02:12,299 --> 00:02:15,620 na wanapokuwa wengi wa kutosha kuanzisha hatua mpya. 47 00:02:16,575 --> 00:02:20,432 Na pale molekuli za ishara zinafika kizingiti flani, 48 00:02:20,456 --> 00:02:23,577 bakteria wote wanahisi kwa mara moja kua wanahitaji kutenda 49 00:02:23,601 --> 00:02:24,919 kwa tendo hilo hilo. 50 00:02:25,967 --> 00:02:30,293 Hivyo mazungumzo ya bakteria yanakuwa na mwanzo na jibu, 51 00:02:30,317 --> 00:02:33,389 uzalishaji wa molekuli na majibu yake. 52 00:02:35,094 --> 00:02:38,434 Kwenye utafiti wangu, nimelenga kupeleleza kwenye jamii za bakteria 53 00:02:38,458 --> 00:02:39,861 ndani ya mwili wa binadamu. 54 00:02:40,343 --> 00:02:41,588 Inafanyaje kazi? 55 00:02:42,385 --> 00:02:44,300 Tunasampuli kutoka kwa mgonjwa. 56 00:02:44,324 --> 00:02:46,862 Inaweza kuwa ni sampuli ya damu au mate. 57 00:02:47,304 --> 00:02:49,841 Tunapiga elektroni ndani ya sampuli, 58 00:02:49,865 --> 00:02:53,785 elektroni zitaingilia na molekuli zozote za mazungumzo zilizopo, 59 00:02:53,809 --> 00:02:56,190 na huu muingiliano utatupa taarifa 60 00:02:56,214 --> 00:02:58,105 ya aina ya bakteria, 61 00:02:58,129 --> 00:02:59,800 aina ya mawasiliano 62 00:02:59,824 --> 00:03:02,117 na kiasi gani bakteria wanazungumza. 63 00:03:04,269 --> 00:03:06,590 Lakini inakuaje pale bakteria wakizungumza? 64 00:03:07,747 --> 00:03:11,507 Kabla sijaunda chombo cha kutafsiri, 65 00:03:11,531 --> 00:03:15,377 dhana yangu ya kwanza ilikua bakteria watakua na lugha ya halisi, 66 00:03:15,401 --> 00:03:18,579 kama vichanga ambao bado hawajaunda maneno na sentensi. 67 00:03:19,208 --> 00:03:22,129 Wanapocheka, wanafuraha; wanapolia, wanahuzuni. 68 00:03:22,153 --> 00:03:23,303 Rahisi kama hivyo. 69 00:03:24,008 --> 00:03:28,123 Lakini bakteria walionekana kutokuwa karibu na halisi kama nilivyodhani. 70 00:03:28,615 --> 00:03:30,855 Molekuli sio tu molekuli. 71 00:03:30,879 --> 00:03:33,633 Inaweza kumaanisha vitu tofauti kulingana na muktadha, 72 00:03:34,404 --> 00:03:37,346 kama tu vilio vya watoto vinavyomaanisha vitu tofauti: 73 00:03:37,370 --> 00:03:39,140 saa nyingine mtoto ana njaa, 74 00:03:39,164 --> 00:03:40,358 saa nyingine amelowa, 75 00:03:40,382 --> 00:03:42,401 saa nyingine ameumia au anaogopa. 76 00:03:42,425 --> 00:03:44,775 Wazazi wanajua jinsi ya kusoma hivi vilio. 77 00:03:45,624 --> 00:03:47,506 Na kua chombo kizuri cha kutafsiri, 78 00:03:47,530 --> 00:03:50,503 kinatakiwa kiwe na uwezo wa kusoma molekuli za ishara 79 00:03:50,527 --> 00:03:54,588 na kuzitafsiri kulingana na muktadha. 80 00:03:55,497 --> 00:03:56,648 Na nani anajua? 81 00:03:56,672 --> 00:03:58,833 Labda Tafsiri ya Google inaweza kuiptisha hii. 82 00:03:58,857 --> 00:04:01,226 (Kicheko) 83 00:04:02,386 --> 00:04:04,104 Hebu niwape mfano. 84 00:04:04,128 --> 00:04:07,717 Nimeleta baadhi ya taarifa za bakteria zinazoweza kuwa ngumu kuelewa 85 00:04:07,741 --> 00:04:08,892 kama hauna mafunzo, 86 00:04:08,916 --> 00:04:10,261 lakini jaribu kuangalia. 87 00:04:11,548 --> 00:04:13,467 (Kicheko) 88 00:04:14,959 --> 00:04:18,436 Hii ni familia ya bakteria yeye furaha ambayo imemshambulia mgonjwa. 89 00:04:20,261 --> 00:04:22,294 Wacha tuwaite familia ya Montague. 90 00:04:23,920 --> 00:04:27,381 Wanatumia wote rasilimali, wanazaliana, wanakua. 91 00:04:28,294 --> 00:04:30,273 Siku moja, wanapata mgeni mpya, 92 00:04:32,746 --> 00:04:34,513 familia ya bakteria Capulet. 93 00:04:34,537 --> 00:04:35,687 (Kicheko) 94 00:04:36,157 --> 00:04:38,947 Kila kitu ni sawa, alimradi wanafanya kazi kwa pamoja. 95 00:04:40,377 --> 00:04:43,383 Lakini kitu kisichopangwa kinatokea. 96 00:04:44,449 --> 00:04:48,667 Romeo wa Montague anakua na mahusiano na Juliet wa Capulet. 97 00:04:48,691 --> 00:04:49,841 (Kicheko) 98 00:04:50,978 --> 00:04:53,873 Na ndio, wanagawiana chembe za urithi. 99 00:04:53,897 --> 00:04:56,006 (Kicheko) 100 00:04:58,260 --> 00:05:01,381 Sasa, uhamisho wa kinasaba unaweza kuwa hatari kwa wakina Montague 101 00:05:01,405 --> 00:05:05,365 waliokuwa na matarajio ya kuwa familia pekee kwenye mgonjwa waliomshambulia, 102 00:05:05,365 --> 00:05:06,999 kugawana chembe za urithi kunachangia 103 00:05:06,999 --> 00:05:09,777 kwa wakina Capulet kutengeneza kinga kwa dawa. 104 00:05:11,747 --> 00:05:16,392 Hivyo wakina Montague wanaanza kuongea kwa ndani kuondoa hii familia nyingine 105 00:05:16,416 --> 00:05:18,138 kwa kutoa molekuli hii. 106 00:05:18,688 --> 00:05:19,838 (Kicheko) 107 00:05:20,700 --> 00:05:22,062 Na kwa maelezo: 108 00:05:22,372 --> 00:05:23,978 [Hebu turatibu shambulizi.] 109 00:05:24,002 --> 00:05:25,293 (Kicheko) 110 00:05:25,639 --> 00:05:27,430 Hebu turatibu shambulizi. 111 00:05:29,148 --> 00:05:32,248 Na kila mtu mara moja akaitikia 112 00:05:32,272 --> 00:05:36,595 kwa kutoa sumu itakayoua ile familia nyingine. 113 00:05:36,619 --> 00:05:38,387 [Ondoa!] 114 00:05:40,129 --> 00:05:42,261 (Kicheko) 115 00:05:43,338 --> 00:05:47,731 Wakina Capulet wakajibu kwa kuita shambulizi la kujibu. 116 00:05:47,755 --> 00:05:48,911 [Shambulia!] 117 00:05:48,935 --> 00:05:50,360 Na wakawa na vita. 118 00:05:52,090 --> 00:05:56,708 Hii ni video ya bakteria wa ukweli wakipigana na viumbe kama upanga, 119 00:05:56,732 --> 00:05:58,345 ambapo wanajaribu kuuana 120 00:05:58,369 --> 00:06:01,207 kwa kuchomana kihalisi na kupasuana wenyewe. 121 00:06:02,784 --> 00:06:06,745 Familia ya yeyote atakayeshinda hii vita anakuwa bakteria mkuu. 122 00:06:08,360 --> 00:06:11,633 Hivyo ninachoweza kufanya ni kuchunguza mazungumzo ya bakteria 123 00:06:11,633 --> 00:06:13,725 yanayopelekea tabia tofauti za kwa pamoja 124 00:06:13,725 --> 00:06:15,154 kama ugomvi mliyouona. 125 00:06:15,633 --> 00:06:18,550 Na nilichofanya ni kupeleleza kwenye jamii za bakteria 126 00:06:18,574 --> 00:06:20,617 ndani ya mwili wa binadamu 127 00:06:20,641 --> 00:06:22,357 kwenye wagonjwa hospitalini. 128 00:06:22,737 --> 00:06:25,207 Nilifuatilia wagonjwa 62 kwenye jaribio, 129 00:06:25,231 --> 00:06:28,979 ambapo nilipima sampuli ya mgonjwa kwa aina moja ya shambulizi, 130 00:06:29,003 --> 00:06:32,332 bila kujua majibu ya vipimo vya kawaida. 131 00:06:32,356 --> 00:06:36,576 Basi, kwenye upimaji wa bakteria, 132 00:06:36,600 --> 00:06:38,581 sampuli inasambazwa kwenye kisahani, 133 00:06:38,605 --> 00:06:41,729 na kama bakteria watakua ndani ya siku tano, 134 00:06:41,753 --> 00:06:44,117 mgonjwa anagunduliwa kama ameathirika. 135 00:06:45,842 --> 00:06:48,661 Nilipomaliza utafiti na kulinganisha majibu ya chombo 136 00:06:48,685 --> 00:06:51,923 na vipimo vya kawaida na vipimo vya kuhakikisha, 137 00:06:51,947 --> 00:06:53,347 nilishtuka. 138 00:06:53,371 --> 00:06:57,082 Ilikua inashangaza zaidi kuliko nilivyowahi kutarajia. 139 00:06:58,011 --> 00:07:00,150 Ila kabla sijawaambia nini chombo kilionyesha, 140 00:07:00,174 --> 00:07:03,168 ningependa kuwaambia kuhusu mgonjwa mahsusi niliomfuatilia, 141 00:07:03,192 --> 00:07:04,359 binti mdogo. 142 00:07:04,803 --> 00:07:06,253 Alikua na cystic fibrosis, 143 00:07:06,277 --> 00:07:10,017 ugonjwa wa kurithi uliofanya mapafu yake kuathiriwa kirahisi na bakteria. 144 00:07:10,837 --> 00:07:13,233 Huyu binti hakua sehemu ya majaribio. 145 00:07:13,257 --> 00:07:16,084 Nilimfuatilia kwa sababu nilijua kutoka kwenye taarifa zake 146 00:07:16,108 --> 00:07:18,208 kua hakuwahi kupata mashambulizi kabla. 147 00:07:19,243 --> 00:07:21,558 Mara moja kwa mwezi, huyu binti alienda hospitali 148 00:07:21,582 --> 00:07:24,236 kuweka sampuli ya kohozi ambayo alitemea kwenye kikombe. 149 00:07:24,916 --> 00:07:28,042 Hii sampuli ilisafirishwa kwa uchunguzi wa bakteria 150 00:07:28,066 --> 00:07:29,996 huko maabara kuu 151 00:07:30,020 --> 00:07:33,486 ili madaktari watende haraka iwapi wangekuta shambulizi. 152 00:07:34,099 --> 00:07:36,973 Iliniruhusu mimi kupima chombo changu kwa sampuli zake pia. 153 00:07:37,355 --> 00:07:40,767 Miezi miwili ya mwanzo nilipima sampuli zake, hakukua na kitu. 154 00:07:41,794 --> 00:07:42,961 Lakini mwezi wa tatu, 155 00:07:42,985 --> 00:07:45,641 Niligundua mazungumzo ya bakteria kwenye sampuli yake. 156 00:07:46,473 --> 00:07:49,585 Bakteria walikua wanashirikiana kuharibu tishu ya pafu lake. 157 00:07:50,534 --> 00:07:54,545 Lakini vipimo vya kawaida havikuonyesha bakteria kabisa. 158 00:07:55,711 --> 00:07:57,630 Nilipima tena mwezi ujao, 159 00:07:57,654 --> 00:08:01,282 na niliona kua yale mazungumzo ya bakteria yamekua makali zaidi. 160 00:08:02,167 --> 00:08:04,919 Bado, vipimo vya kawaida havikuonyesha chochote. 161 00:08:06,456 --> 00:08:10,100 Utafiti wangu ukaisha, lakini nusu mwaka baadae, nikafuatilia hali yake 162 00:08:10,124 --> 00:08:13,365 kuona kama bakteria niliowajua pekee walipotea 163 00:08:13,389 --> 00:08:15,404 bila muingilio wa tiba. 164 00:08:16,350 --> 00:08:17,500 Hawakupotea. 165 00:08:18,020 --> 00:08:20,853 Yule binti sasa alikua amegundulika na mashambulio makali 166 00:08:20,877 --> 00:08:22,195 ya bakteria wabaya. 167 00:08:23,511 --> 00:08:27,589 Walikua ni wale wale bakteria chombo changu kiligundua kabla. 168 00:08:28,537 --> 00:08:31,033 Na licha ya ukali wa dawa za kutibu, 169 00:08:31,057 --> 00:08:33,586 ilikua inashindikana kuondoa mashambulizi. 170 00:08:34,816 --> 00:08:37,898 Madaktari waliona kua asingeweza kufikia miaka ya 20. 171 00:08:40,404 --> 00:08:42,509 Nilipopima kwenye sampuli ya binti huyu, 172 00:08:42,533 --> 00:08:44,732 kifaa changu kilikua kwenye hatua za mwanzo. 173 00:08:44,756 --> 00:08:47,455 Sikujua hata kama njia yangu ilifanya kazi kabisa, 174 00:08:47,479 --> 00:08:49,626 hivyo nikawa na makubaliano na madaktari 175 00:08:49,650 --> 00:08:51,511 kutowaambia chombo changu kilichoonyesha 176 00:08:51,535 --> 00:08:53,675 ili kutokuharibu matibabu yao. 177 00:08:53,861 --> 00:08:56,914 Hivyo nilipoona haya majibu ambayo hata hayakuwa yamehakikishwa, 178 00:08:56,938 --> 00:08:58,290 sikudhubutu kusema 179 00:08:58,314 --> 00:09:01,121 ka sababu kutibu mgonjwa bila mashambulizi halisi 180 00:09:01,145 --> 00:09:03,755 pia ina matokeo mabaya kwa mgonjwa. 181 00:09:05,092 --> 00:09:06,714 Lakini sasa tunajua bora, 182 00:09:06,738 --> 00:09:10,137 na kuna wavulana na wasichana wadogo wengi bado wanaweza kuokolewa 183 00:09:11,172 --> 00:09:14,596 kwa sababu, bahati mbaya, hii hali inatokea mara nyingi. 184 00:09:14,620 --> 00:09:16,163 Wagonjwa wanaathirika, 185 00:09:16,187 --> 00:09:19,664 bakteria kwa namna flani hawaonekani kwenye vipimo vya kawaida, 186 00:09:19,688 --> 00:09:23,540 na ghafla, maambukizi yanatokea ndani ya mgojwa na dalili kali. 187 00:09:23,564 --> 00:09:25,722 Na kwenye mda huo, tayari tumechelewa. 188 00:09:27,219 --> 00:09:30,773 Majibu ya kushangaza ya wagonjwa 62 niliowafuatilia 189 00:09:30,797 --> 00:09:33,340 yalikua chombo changu kilishika mazungumzo ya bakteria 190 00:09:33,364 --> 00:09:35,580 kwa zaidi ya nusu ya sampuli za wagonjwa 191 00:09:35,604 --> 00:09:38,875 ambao walikua wamegundulika bila kitu kwa njia za upimaji za kawaida. 192 00:09:39,381 --> 00:09:43,055 Kwa maneno mengine, zaidi ya nusu ya hawa wagonjwa walirudi nyumbani wakiwaza 193 00:09:43,079 --> 00:09:44,764 kua wako huru na maambukizi, 194 00:09:44,788 --> 00:09:47,536 japokuwa kihalisi walibeba bakteria hatari. 195 00:09:49,257 --> 00:09:51,554 Ndani ya wagonjwa waliopimwa vibaya, 196 00:09:51,578 --> 00:09:54,598 bakteria walikuwa wanaandaa shambulizi la kuambatanishwa. 197 00:09:55,530 --> 00:09:57,218 Walikua wananong'onezana. 198 00:09:57,892 --> 00:09:59,523 Ninachoita "mnong'ono wa bakteria" 199 00:09:59,547 --> 00:10:02,551 ni bakteria ambao njia za kawaida za upimjai haziwezi kuona. 200 00:10:03,383 --> 00:10:07,326 Mpaka sasa, ni chombo cha kutafsiri tu kinachoweza kudaka hao wanong'onezaji. 201 00:10:08,364 --> 00:10:11,767 Ninaamini kua mda uliopo ambao bakteria bado wananong'onezana 202 00:10:11,791 --> 00:10:14,778 ni nafasi nzuri ya matibabu ya malengo. 203 00:10:15,608 --> 00:10:18,741 Kama yule binti angekua ametibiwwa kwenye kuu mda wenye nafasi, 204 00:10:18,765 --> 00:10:21,266 ingekua inawezekana kuua bakteria 205 00:10:21,290 --> 00:10:22,755 kwenye hatua yao ya mwanzo, 206 00:10:22,779 --> 00:10:24,885 kabla maambukizi kuwa nje ya uwezo. 207 00:10:27,131 --> 00:10:31,102 Nilichopitia na huyu binti mdogo kumenifanya niamue kufanya ninachoweza 208 00:10:31,126 --> 00:10:33,331 kusukuma hii teknolojia kwenye hospitali. 209 00:10:34,212 --> 00:10:35,363 Pamoja na madaktari, 210 00:10:35,387 --> 00:10:38,356 tayari ninafanya kazi kutumia hiki kifaa kwenye kliniki 211 00:10:38,380 --> 00:10:40,202 kutambua maambukizi ya kwanza. 212 00:10:41,319 --> 00:10:44,563 Japo bado haijajulikana jinsi madaktari watatibu wagonjwa 213 00:10:44,587 --> 00:10:46,400 kwenye kipindi cha mnong'ono, 214 00:10:46,424 --> 00:10:50,127 hiki kifaa kinaweza kusaidia madaktari kuwa makini na wagonjwa kwenye hatari. 215 00:10:50,548 --> 00:10:53,830 Kinaweza kuwasaidia kuhakikisha kama tiba imefanya kazi au la, 216 00:10:53,854 --> 00:10:56,618 na inaweza kusaidia kujibu maswali rahisi: 217 00:10:56,642 --> 00:10:58,372 Mgonjwa ana mashambulizi? 218 00:10:58,396 --> 00:11:00,206 Na bakteria wako wanapanga nini? 219 00:11:00,958 --> 00:11:02,745 Bakteria wanaongea, 220 00:11:02,769 --> 00:11:04,795 wanatengeneza mipango ya siri, 221 00:11:04,819 --> 00:11:07,642 na wanatumiana taarifa za siri. 222 00:11:08,253 --> 00:11:10,932 Lakini sio tu kuawaangalia wenyewe wakinong'onezana, 223 00:11:10,956 --> 00:11:13,423 sisi sote tunaweza kujifunza lugha ya siri 224 00:11:13,447 --> 00:11:16,326 na kua wenyewe wanong'onezi wa bakteria. 225 00:11:16,973 --> 00:11:18,687 Na, kama bakteria wangesema, 226 00:11:19,656 --> 00:11:22,754 "3-oxo-C12-aniline." 227 00:11:23,763 --> 00:11:24,931 (Kicheko) 228 00:11:24,955 --> 00:11:26,040 (Makofi) 229 00:11:26,064 --> 00:11:27,248 Asanteni.