0:00:06.407,0:00:10.697 Bibi muongeaji na mhalifu anayezurura[br]wakizozana katika barabara chafu. 0:00:10.697,0:00:14.798 Muuza Biblia anampeleka mwanafalsafa[br]mwenye mguu mmoja bandani. 0:00:14.798,0:00:19.641 Fundi anaesafiri anamfundisha mwanamke[br]kiziwi neno lake la kwanza shambani. 0:00:20.231,0:00:22.561 Kutoka shambani kwake vijijini Georgia, 0:00:22.561,0:00:25.053 akizungukwa na kundi la ndege wa kufugwa, 0:00:25.053,0:00:27.533 Flannery O'Connor aliandika simulizi[br]za waliotengwa, 0:00:27.533,0:00:31.363 wavamizi na wasioleweka waliunda[br]dunia aliyoifahamu vizuri: 0:00:31.753,0:00:33.013 Marekani Kusini. 0:00:33.513,0:00:34.962 Alichapisha riwaya mbili, 0:00:35.202,0:00:37.652 lakini anajulikana zaidi[br]kwa simulizi zake fupi, 0:00:37.852,0:00:42.612 ambazo zilichunguza maisha ya mji mdogo kwa[br]lugha kali, na ucheshi usio wa kawaida, 0:00:42.752,0:00:45.152 na mazingira ya kufurahisha yenye karaha. 0:00:45.482,0:00:48.538 Kwenye muda wake wa ziada O'Connor[br]alichora katuni, 0:00:48.538,0:00:51.088 na uandishi wake pia[br]umejaa masihara. 0:00:51.088,0:00:56.088 Kwenye simulizi zake, mama na sura[br]"pana na ya upole kama kabichi", 0:00:56.768,0:00:59.858 mwanaume ana nguvu sana kama "dekio la[br]sakafuni", 0:01:00.268,0:01:03.217 na mwili wa mwanamke mmoja[br]una umbo kama "chombo cha kuzika". 0:01:04.247,0:01:06.787 Majina ya wahusika wake yamejawa ujanja. 0:01:07.147,0:01:10.127 Chukulia simulizi "Maisha Unayoyaokoa[br]Yanaweza Kuwa ya Kwako", 0:01:10.257,0:01:13.257 ambapo mtembezi mwenye mkono mmoja[br]Tom Shiftlet anaenda kwenye maisha 0:01:13.257,0:01:15.767 ya ajuza mmoja aitwae Lucynell Crater 0:01:15.767,0:01:17.737 na binti yake ambaye ni kiziwi na bubu. 0:01:17.737,0:01:19.767 Japo mama Carter anajiamini, 0:01:19.767,0:01:21.967 nyumba yake iliyojitenga inaanguka. 0:01:22.197,0:01:25.107 Mwanzoni, tunaweza kushuku nia za Shiflet 0:01:25.107,0:01:27.297 alipojitolea kusaidia kwenye nyumba, 0:01:27.297,0:01:29.957 lakini O'Connor anaenda kuonyesha[br]kuwa yule ajuza ni 0:01:29.957,0:01:32.547 mjanja kama mgeni wake asiotarajiwa- 0:01:32.547,0:01:35.697 na kutikisa mategemeo ya msomaji[br]kuhusu nani ana faida zaidi. 0:01:35.857,0:01:38.467 Kwa O'Connor, hamna somo lililokuwa[br]na kizuizi. 0:01:38.847,0:01:40.637 Japo alikuwa ni Mkatoliki aliyejitoa, 0:01:40.637,0:01:42.767 hakuogopa kufuatilia uwezekano 0:01:42.767,0:01:45.007 wa mawazo mema na tabia isiyo njema, 0:01:45.007,0:01:46.967 inayokuwepo kwa mtu mmoja. 0:01:47.027,0:01:49.317 Kwenye riwaya yake ya Wajeuri[br]Wanaiondolea Mbali, 0:01:49.317,0:01:52.797 mhusika mkuu anatingwa na mawazo[br]ya kuwa mtu wa Mungu - 0:01:52.987,0:01:55.637 lakini pia anawasha moto na kuua. 0:01:55.757,0:01:59.907 Kitabu kinaanza na nabii amaesita[br]akiwa kwenye nafasi yenye utata: 0:02:00.037,0:02:04.237 "Mjomba wa Francis Marion Tarwater[br]alikua amekufa kwa nusu siku tu 0:02:04.287,0:02:07.597 pale huyo mvulana alipolewa sana akashindwa[br]kumalizia kuchimba kaburi lake". 0:02:07.597,0:02:11.648 Hii inamuacha mpita njia "kuvuta[br]mwili kutoka kwenye meza ya chai 0:02:11.668,0:02:13.728 ambapo ulikuwa umekaa bado na[br]kuuzika [...] 0:02:13.728,0:02:16.358 na udongo wa kutosha kwa juu[br]kuzuia mbwa kuufukua". 0:02:17.068,0:02:19.108 Japokuwa siasa zake bado ni za kulumbana, 0:02:19.108,0:02:22.518 bunilizi ya O'Connor inaweza pia[br]kulinganishwa na ubaguzi wa Kusini. 0:02:23.218,0:02:25.768 Kwenye "Kila Kinachopanda Lazima[br]Kikutane", 0:02:25.788,0:02:28.508 anaelezea mvulana anayechukizwa[br]na upendeleo wa mama yake. 0:02:28.698,0:02:31.598 Lakini simulizi inaelezea kuwa[br]ana mapungufu yake 0:02:31.658,0:02:34.048 na inasema kwamba kuyagundua mabaya tu 0:02:34.048,0:02:36.598 haitetei tabia yake kutokuthibitiwa. 0:02:36.608,0:02:39.857 Hata O'Connor anavyochunguza[br]mambo potofu ya ubinadamu, 0:02:39.917,0:02:42.577 anaacha mlango wa ukombozi wazi kidogo. 0:02:42.817,0:02:45.007 Kwenye "Mwanaume Mzuri ni Mgumu Kupata", 0:02:45.007,0:02:48.897 anamkomboa ajuza anayeteseka kwa[br]kumsamehe mshitakiwa aliyekubuhu, 0:02:48.992,0:02:51.232 hata anavyoikaribia familia yake. 0:02:51.762,0:02:54.987 Japo tunaweza kushtushwa na malipo[br]anayolipa huyu mama kusamehewa, 0:02:54.987,0:02:57.427 tunalazimika kukabiliana na[br]yanayoendelea kwenye mda 0:02:57.427,0:03:00.367 tunapoweza kuzingatia kuwa[br]ukatili au ubaya. 0:03:00.367,0:03:02.777 Uwezo wa O'Connor wa ajabu 0:03:02.777,0:03:06.131 na tafiti zake za kujitenga na[br]ushirikina wa Kusini 0:03:06.391,0:03:09.681 ulimpelekea kutambuliwa kama[br]mwandishi wa Kigothi wa Kusini. 0:03:09.681,0:03:12.371 Lakini kazi yake ilisogea kupita[br]tabia za kijinga kabisa 0:03:12.371,0:03:14.936 na za kutisha zilizohusishwa[br]na huo mtindo 0:03:14.936,0:03:18.316 kuvumbua tofauti na mchanganyiko[br]wa tabia za binadamu. 0:03:18.336,0:03:20.776 Alijua baadhi ya hii tofauti[br]ilileta karaha, 0:03:20.796,0:03:23.286 na kuwa hadithi zake zingekuwa[br]na ladha inayohitajika - 0:03:23.286,0:03:25.976 lakini alisikia raha kuwachanganya[br]wasomaji wake, 0:03:26.136,0:03:29.136 O'Connor alikufa kwa lupus akiwa[br]na miaka 39, 0:03:29.136,0:03:33.396 baada ya ugonjwa kumweka shambani mwake[br]Georgia kwa miaka kumi na mbili. 0:03:33.556,0:03:35.036 Kwenye miaka hiyo, 0:03:35.036,0:03:37.316 aliandika kazi zake nyingi[br]alizokuwa akiwaza. 0:03:37.416,0:03:40.246 Uwezo wake wa kuhama kati ya[br]maudhi na uvumbuzi 0:03:40.376,0:03:44.536 unaendelea kuvutia wasomaji kwenye[br]dunia yake ya kufikirika isiyoisha. 0:03:44.696,0:03:47.176 Kama mhusika Tom Shirlet anavyosema, 0:03:47.436,0:03:49.316 mwili ni "kama nyumba: 0:03:49.416,0:03:50.696 haiendi popote, 0:03:50.766,0:03:53.750 lakini roho, mwanamke,[br]ni kama gari moto: 0:03:53.880,0:03:56.150 daima lipo kwenye mwendo".