je umeelewa chochote? (kicheko) hao ni takriban watu milioni 63 wasioweza kusikia hapa india wanao pitia haya kila mwaka siku baada ya nyingine kujaribu kuleta ufahamu kwa ulimwengu wasiousikia bila ufahamu na unyanyapaa kaitka jamii kwa kujaliwa na mtoto asiye na maumbile sawa wazazi hukimbia hapa na pale kujaribu kuelewa jinsi ya kumulea mtoto wao kisha wanapoelezwa hata kama mtoto wako han uwezo wa kusikia haina tatizo na sauti yake na koromeo hana shida na ala za kuwezesha sauti na anaweza fundishwa jinsi ya kuzungumza kisha unakua mwanzo wa safari ndefu ya miaka kujaribu kumfundisha huyu mtoto mdogo jinsi ya kuyatamka maneno ambayo hayasikii hata katika famila anakotoka huyu mtoto anapowasiliana na wazazi wake anapotamani kuhusika katika mazungumzo kaitka familia yake lakini hawezi. na haelewi ni kwa nini kila mmoja hamsikilizi hivo basi anaonekana kutengwa na kukosa maswala muhimu yanayo mwezesha kukua vyema anaenda shuleni akiwa na fikra,"labda mambo yatajakuwa tofauti." kisha ankutana na waalimu wakifungua vinywa na kufunga nakuandika maajabu ubaoni bila kuelewa kwa kuwa hana uwezo wa kusikia, anayaandika yote chini kisha kuyaweka kwa mtihanai yalivyo, na kwa hali hii na alama za neema anakamilisha masomo ,hadi kidato. Je, ananafasi ipi katika ajira? Hapa huyu mtoto ambaye hana masomo halisi. maneno ya kujionea,misamiati thelathini hadi arobaini. Hajihisi salama tena kihisia,na sasa anakerwa na dunia nzima, amabayo kwa sasa ,anadhani imesababisha kulemazwa kwake. Afanye ajira ipi? Kazi mza kijungu jiko,kazi zisizo za taaluma, kila wakati akiwa katika hali inayomkejeli. Na hapo ndipo safari yangu "ilipozaliwa" mwaka 2004.Sina kama alivyo nena Kelly, sina yeyote katika familia aliye na ulemavu wa kusikia. ila kwa hali geni tu na wala sio fikira bayana. niliingia katika dunia hii na kujifunza lugha ishara kwa wakati huo,ilikua ni changa moto,hakuna aliyetaka....hakuna aliyefahamu.. "Ni nini hicho wataka kusoma,Ruma? je hiyo ni lugha? Haya,kusomea lugha ishara ilifungua maisha mapya katika jamii hii ambayo ni kimya lakini inangaa na matamnio na ari ya wanfunzi wa kuona Na kisha nikasikia hadithi zao kile walichotaka kufanya Na kisha mwaka uliofuata,wa 2005, na kiasi ya akiba $5,000 ya bima, nilianzisha kituo hiki kwa vyumba viwili na wanafunzi sita nami nikawa nawafundisha lugha ya kimombo kwa lugha ishara changamoto,na kwa wakati huo hitaji likawa naweza vipi kukutana na hawa watoto waliakamilisha shule ya upili kwa ajira halisi kwa makampuni? kazi za heshma.ajira zinazow eza kudhibitisha kua bubu si ujinga. Naikawa chamgamoto kuu.Na hawa bubu waliishia kuishi hivi miaka mingi. na miaka ya giza. Walihitaji wajiamini wenyewe.Wazazi walihitajika kushawishika. kuwa mtoto huyu si bubu na mjinga Na anuwezo wa kusimama kivyake kwa miguu yake miwili Basi cha muhimu zaidi itawezekana muajiri kuajiri mtu asiyeweza kuzungumza. kusikia,na hata kusona na kuandika pia Niliketi pamoja na marafiki kaitka nyanja hii, na nikawapa hadithi yangu ilivyokua maisha ya kutoweza kusikia. Na nilifahamu kuna sehemu wazi katika kampuni ambapo watu walio na ulemavu wakusikia wanaweza kufanya kazi,watu wasio na uwezo wa kisikia kuzidisha thamani. na kwa raslimali finye tulianzisha ya kwazna ya aina yake Mwito wa mtaala wa mafundisho ya watu wasio na uwezo wa kusikia nchini. Kupata waalimu ilikua vigumu.Basi niliwafundisha mwenyewe . niliwafudisha wanafunzi wangu kuwa waalimu wa watu wasio na uwezo wa kusikia. Na ni kazi walioichukulia kwa makini na wajibu wa hali ya juu. Lakini bado mwajiri alikua na wasiwasi.Masomo,na hatima ya kidato cah nne tu. "La, la, la, Ruma hatuwezi kummpa ajira." Hiyo ilikua shida kubwa " Na hata kama tunaweza kumpa ajira tutawasiliana naye vipi? Hawezi kuandika wala kusoma. hawezi sikia na kusema" Nami nikawasihi," tafdhali tuchukue haya hatua kwa wakati? Tunaweza kuzingatia yale anayoweza kutenda mwnazo?