0:00:01.930,0:00:03.091 Mara nyinyi 0:00:03.115,0:00:05.068 Huwa nachukua darasa la mazoezi 0:00:05.092,0:00:07.924 Au naenda kwenye ukumbi wa muziki 0:00:07.948,0:00:11.283 Au, kwa kweli, popote panapochezwa muziki kwa nyuma 0:00:11.307,0:00:14.336 na najipata nayapenda mahadhi 0:00:14.360,0:00:16.753 na wimbo na midundo 0:00:17.357,0:00:19.956 alafu nachukua Sekunde kuyasikiza maneno ya muziki 0:00:19.980,0:00:21.620 maneno ambayo, kwa mfano 0:00:21.620,0:00:22.620 Yanatuweka katika nafasi ya utiifu 0:00:23.620,0:00:26.852 ambayo hatungevumilia katika mukhtadha wowote mwingine 0:00:26.876,0:00:29.177 Na nashangaa kiwango ambacho 0:00:29.177,0:00:30.177 tunafanya taasubi kuwa kawaida katika utamaduni wetu 0:00:31.177,0:00:33.596 Nasikiliza wimbo huu na kufikiri 0:00:33.620,0:00:36.747 Sitaki kulazimika kuibuka kwa sauti ya huzuni yangu mwenyewe 0:00:36.771,0:00:42.694 Unajua, muziki Ni moja ya mbinu za kuwasiliana ambayo Ina nguvu zaidi 0:00:42.718,0:00:46.750 Kwa sababu Ina uwezo wa kuinua au kuhuzunisha 0:00:47.567,0:00:51.025 Muziki inahudumia hisia. Muziki inahudumia roho 0:00:51.049,0:00:52.765 Muziki yafungua roho zetu 0:00:52.789,0:00:55.145 Yafungua njia zetu kupokea habari 0:00:55.169,0:00:57.005 Kuhusu maisha ya mtu mwengine 0:00:57.029,0:00:59.170 Kujuza majukumu yetu wenyewe 0:00:59.194,0:01:03.355 Na ingawa Sina shida na ndoto zao wanaume 0:01:03.379,0:01:04.530 Kile ambacho Nina shida nacho Ni, 0:01:05.530,0:01:09.550 Kulingana na matokeo ya utafiti hivi majuzi, 0:01:09.550,0:01:10.550 2.6 pekee ya waimbji Ni wanawake. Hii inamaanisha kuwa 0:01:12.810,0:01:17.003 hata asilimia ndogo zaidi Ni wa jinsia nyingine 0:01:17.669,0:01:19.497 Kwa Nini Jambo hili Lina uzito 0:01:19.521,0:01:22.930 Kwa sababu Kama hatumiliki na kudhibiti hadithi yetu 0:01:22.954,0:01:26.121 Mtu mwengine atatusemea hadithi zetu 0:01:26.145,0:01:27.958 Na itakuwa na makosa 0:01:27.982,0:01:31.133 Na kuendeleza hadithi zenyewe za uongo zinazoturudisha nyuma 0:01:31.565,0:01:35.174 Na sijakuja hapa kuwaambia wengine jinsi ya kutengeneza nyimbo zao 0:01:36.063,0:01:39.702 Lakini Niko hapa kutoa mbadala wake 0:01:40.250,0:01:43.430 Mkakati mmoja ninaouchukua katika muziki wangu 0:01:43.454,0:01:48.474 Ni kutengeneza midundo yenye kupa nguvu na kuinua 0:01:48.498,0:01:50.237 Na kueka maneno ninayosema juu yao 0:01:50.261,0:01:53.813 Inayoeleza kwa halisi matukio ya maisha yangu 0:01:53.837,0:01:56.700 Bila kuchangia kuteseka kwa mwengine 0:01:57.152,0:01:59.410 Ni ya kuchekesha kwani Ni sababu hii hii 0:01:59.434,0:02:03.209 Inayotufanya tupuuze maneno mengi yanayoleta shida 0:02:03.233,0:02:05.994 Ni kwa sababu tunapenda hisia zinazoletwa na midundo 0:02:07.144,0:02:11.202 Mfano wa nyimbo hizi Ni wimbo wangu: "Top knot turn up" 0:02:14.015,0:02:16.456 (Muziki: "Top knot turn up) 0:02:31.075,0:02:35.010 (aimba) Nilizima arifa za simu yangu ili niwe na wakati 0:02:35.034,0:02:38.638 Hakuna Cha kusumbua utulivu wangu 0:02:38.662,0:02:40.760 Kitu kimoja kijulikane sijakuja hapa kufurahisha 0:02:40.784,0:02:42.688 Nywele inapofungwa, naifanya vizuri 0:02:42.712,0:02:44.229 Wakati wangu si mali yako 0:02:44.253,0:02:46.524 Nikiwa na nguvu za uzalishaji Kama ovari zangu 0:02:46.548,0:02:49.951 Mpe msichana mzima nafasi ya kupumua haki za kimsingi na Uhuru wake 0:02:49.975,0:02:53.537 Bila ukosefu wa usalama ambayo dunia inanisababishia 0:02:53.561,0:02:55.607 Tafadhali usinisumbue nikiwa makini 0:02:55.621,0:02:57.668 Siku zijazo wanawake watawala, tayari unajua hili 0:02:57.682,0:02:59.881 Napiga ufisadi katika SCOTUS 0:02:59.905,0:03:02.744 Ilitokea katika fundo langu la juu tangu Mara ya kwanza nilipoandika hili 0:03:03.789,0:03:07.273 Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo, Ni tokeo 0:03:07.297,0:03:11.094 Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo Ni tokeo 0:03:11.118,0:03:14.597 Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, eyyyy 0:03:14.621,0:03:16.321 Ni tokeo la fundo la juu 0:03:16.749,0:03:18.049 (muziki unaisha) 0:03:18.178,0:03:22.438 Nataka tuendelee kutengeneza nyimbo za kuinua jinsia zote na iliyo maridadi 0:03:22.462,0:03:24.625 Kuhusu furaha na uhuru 0:03:24.649,0:03:26.481 Nataka tukumbatie raha yetu 0:03:26.505,0:03:28.577 Kama tunavyokumbatia uchungu wetu 0:03:28.601,0:03:30.995 Nataka tusherehekee ule uhalisi 0:03:31.019,0:03:32.368 Uwazi 0:03:32.392,0:03:35.757 Na upana wa vipengele vya kuwepo kwetu 0:03:36.575,0:03:41.694 Badala ya kuwasilisha hadithi za uongo zinazodhalilisha ujinsia 0:03:41.718,0:03:44.269 Ili kuhisi umekubalika au kupendwa 0:03:44.293,0:03:47.186 Na mkakati mwingine ninaochukua katika muziki wangu 0:03:47.210,0:03:50.126 Ni kupinga taasubi iliyopo kwenye hewa 0:03:50.150,0:03:53.890 Ni kuonyesha kwa macho dunia ambayo ningependa tuishi kwayo 0:03:53.914,0:03:56.474 Katika video ya wimbo wangu "see me through" 0:03:56.498,0:04:00.755 Ambao Ni wimbo wa R and B wenye mihemko na isiyo ya kawaida 0:04:00.779,0:04:04.836 Naonyesha wawili wa marafiki wangu, Ania na Dejha 0:04:04.860,0:04:08.534 Kufanya jukumu la wapendanao, kwa sababu wameolewa katika maisha halisi 0:04:08.558,0:04:11.910 Lakini ambacho hujui na kuwa wapo pia nyuma ya kamera 0:04:11.934,0:04:15.070 Wakitengeneza na kuelekeza video nzima 0:04:16.206,0:04:24.137 (video) Heey ooh. Hisia zangu zilikuwa zimechoka 0:04:26.682,0:04:30.154 Muziki unafaa kuwa salama na yenye kupatikana ili kila mtu ausikize 0:04:30.192,0:04:33.049 Unavyoona, si kuhusu kupoteza rufaa ya ngono au madoido 0:04:33.073,0:04:34.278 Iliyopo kwenye muziki 0:04:34.302,0:04:38.049 Ni kuhusu kuandika ujumbe unaoleta hisia chanya 0:04:38.073,0:04:41.023 Na kuifanya muziki unaotuinua na kutupa changamoto 0:04:41.706,0:04:45.178 Na ingawa sisi Kama wanamuziki tuna jukumu 0:04:45.202,0:04:47.968 Kutengeneza muziki ambayo haidhalalishi 0:04:47.992,0:04:50.408 Wanaopokea wanaweza kuchangia katika badiliko hili 0:04:50.432,0:04:52.992 Kwanza, tunaweza kuchagua nyimbo zipi hatutaki kusikiza 0:04:53.016,0:04:54.912 Na nyimbo zipi tunataka kusikiza zaidi 0:04:54.935,0:04:55.899 Tunaweza kusema 0:04:55.899,0:04:56.863 "Heshima niliyo nayo inanitosha kusema 0:04:57.863,0:04:58.863 Sitaki kusikiza hii 0:04:58.863,0:05:01.735 Na sitaki isikilizwe na wengine pia 0:05:01.759,0:05:04.038 Pili, tunaweza kujiuliza 0:05:04.062,0:05:06.090 Muziki huu au ujumbe huu 0:05:06.114,0:05:08.312 Unaweza kuleta kuteseka kwa mtu mwengine 0:05:08.336,0:05:09.517 Mbona naivumilia 0:05:09.541,0:05:13.696 Na mwisho, tunaweza wote kuchagua kutengeneza orodha ya nyimbo 0:05:13.720,0:05:17.274 Zinazoleta hisia tunazohitaji katika wakati huo 0:05:17.298,0:05:19.216 Na isiyokuwa na ujumbe wa kuleta shida 0:05:19.683,0:05:20.896 Kwa Nini Jambo hili Lina uzito 0:05:20.920,0:05:24.354 Kwa sababu inatoa mwelekeo kwa dunia kuhusu 0:05:24.378,0:05:27.420 kile ambacho tunataka kusikiliza 0:05:28.444,0:05:31.335 Na kutengeneza mabadiliko ya muda na utaratibu wa maoni 0:05:31.359,0:05:33.077 Inayoathiri sekta yote ya muziki 0:05:33.966,0:05:35.615 Huu si ujumbe 0:05:36.482,0:05:38.499 Wa kikundi kidogo tu Cha watu 0:05:38.523,0:05:41.222 Huu Ni ujumbe unaoathiri kila mmoja wetu 0:05:41.246,0:05:45.236 Kwa sababu tunapoinua na kuweka huru jinsia dhaifu 0:05:45.260,0:05:46.976 Tunaweka kila mtu huru