WEBVTT 00:00:02.753 --> 00:00:06.008 Saida Aden Said: Bado nina taswira hii mbaya katika kumbukumbu zangu. 00:00:06.032 --> 00:00:08.322 ningeweza ona watu wakianguka chini, 00:00:08.346 --> 00:00:09.510 milio ya risasi. 00:00:09.534 --> 00:00:10.862 Niliogopa sana. 00:00:10.886 --> 00:00:13.095 Kwa kweli, nililia sana. 00:00:13.119 --> 00:00:16.455 Mtu aliyewajua baba na mama yangu akanishika mkono, akisema, 00:00:16.479 --> 00:00:18.443 "Twenda! Twende! Twende!" 00:00:18.467 --> 00:00:21.324 Nikawa nasema," Mamangu yuwapi? Mama yangu? Mama yangu?" NOTE Paragraph 00:00:22.245 --> 00:00:25.341 Noria Dambrine Dusabireme: Usiku tungesikia milio ya risasi, 00:00:25.365 --> 00:00:26.558 tulisikia bunduki, 00:00:26.582 --> 00:00:28.276 Uchaguzi ulitakiwa kufanyika. 00:00:28.300 --> 00:00:30.847 Vijana walienda barabarani, 00:00:30.871 --> 00:00:32.697 walikuwa na migomo. 00:00:32.721 --> 00:00:34.738 Na vijana wengi walifariki NOTE Paragraph 00:00:35.627 --> 00:00:37.428 SAS: Tulipanda gari. 00:00:37.452 --> 00:00:38.652 Lilikuwa limejaa sana 00:00:38.676 --> 00:00:41.181 Watu walikimbia kunusuru maisha yao, 00:00:41.205 --> 00:00:43.662 Hivi ndivyo nilivyochipuruka Somalia. 00:00:44.221 --> 00:00:45.685 Mama yangu alinimisi sana. 00:00:45.709 --> 00:00:47.780 Hakuna yeyote aliyemweleza nilikokwenda. NOTE Paragraph 00:00:48.520 --> 00:00:50.554 NDD:Ukweli ni kwamba, hatukusoma, 00:00:50.578 --> 00:00:53.309 Hatukuweza kwenda sokoni, tulibaki nyumbani tu 00:00:53.333 --> 00:00:57.937 ikanifanya nijue kuwa ningepata nafasi ya kuchagua kitu kizuri, 00:00:57.961 --> 00:01:00.855 ningeweza kukichagua na kuwa na maisha bora mbeleni. NOTE Paragraph 00:01:01.448 --> 00:01:02.540 (Muziki) NOTE Paragraph 00:01:02.564 --> 00:01:05.274 Ignazio Matteini: Duniani, idadi wa watu walio uhamishoni 00:01:05.298 --> 00:01:06.452 imekuwa ikiongezeka 00:01:06.476 --> 00:01:10.414 Sasa takriban watu Millioni 60 wako uhamishoni duniani 00:01:10.438 --> 00:01:12.791 Na kwa bahati mbaya, haipungui. NOTE Paragraph 00:01:13.410 --> 00:01:15.984 Chrystina Russell:Nafikiri jamii ya misaada kibinadamu 00:01:16.008 --> 00:01:18.273 inaanza kugundua kutokana na utafiti na uhakika 00:01:18.297 --> 00:01:20.981 tunaongelea tatizo la kudumu zaidi NOTE Paragraph 00:01:21.005 --> 00:01:24.386 Baylie Damtie Yeshita: Wanafunzi hawa, wanahitaji elimu ya juu, 00:01:24.410 --> 00:01:26.900 shahada wanayoweza kuitumia. 00:01:26.924 --> 00:01:29.268 Ikiwa wanafunzi wanaishi Rwanda sasa, 00:01:29.292 --> 00:01:32.579 Ikiwa watahama, bado wataendelea na masomo yao. 00:01:32.603 --> 00:01:36.806 Bado, shahada yao itakuwa na maana, kokote wako NOTE Paragraph 00:01:37.778 --> 00:01:40.537 CR: Mradi wetu wa kijasiri ulikuwa ni kwa ajili ya kupima 00:01:40.561 --> 00:01:43.662 Vuguvugu la Elimu Ulimwenguni la Chuo cha New Hampshire ya Kusini 00:01:43.686 --> 00:01:45.720 uwezo wa kukuza 00:01:45.744 --> 00:01:48.979 shahada za kwanza na mifumo ya kupata ajira 00:01:49.003 --> 00:01:53.577 kufikia wahamiaji na wale ambao wasingeweza kufikia elimu ya juu NOTE Paragraph 00:01:54.402 --> 00:01:57.543 SAS: Kama mhamiaji, ni changamani 00:01:57.567 --> 00:02:01.330 kujiendeleza kielimu na kitaaluma. 00:02:01.354 --> 00:02:03.231 Jina langu ni Saida Aden Said, 00:02:03.255 --> 00:02:05.824 Na ninatokea Somalia, 00:02:05.848 --> 00:02:08.550 Nilikuwa na miaka tisa, nilipokuja Kakuma, 00:02:08.574 --> 00:02:11.635 na nikaanza shule nikiwa na miaka 17 00:02:11.659 --> 00:02:14.510 Kwa sasa nafanya shahada yangu ya kwanza 00:02:14.534 --> 00:02:16.360 na SNHU. NOTE Paragraph 00:02:17.896 --> 00:02:21.165 NDD: My name is Noria Dambrine Dusabireme. 00:02:21.189 --> 00:02:25.583 Ninasomea shahada ya kwanza ya sanaa katika mawasiliano 00:02:25.607 --> 00:02:27.971 nikijikita katika masuala ya biashara. NOTE Paragraph 00:02:27.995 --> 00:02:31.694 CR:Tunahudumia wanafunzi kutoka nchi tano tofauti: 00:02:31.718 --> 00:02:36.021 Lebanon, Kenya, Malawi, Rwanda na Afrika ya Kusini. 00:02:36.045 --> 00:02:41.615 Tunafurahia wahitimu wa kiwango cha AA 800 na zaidi ya 400 wa shahada ya kwanza 00:02:41.639 --> 00:02:45.051 na karibu wanafunzi 1000 walioandikisha kwa sasa. NOTE Paragraph 00:02:47.391 --> 00:02:52.563 la ajabu, tunaangazia maisha ya wakimbizi kama yalivyo. 00:02:52.587 --> 00:02:54.004 Hakuna ubaguzi kitabaka 00:02:54.028 --> 00:02:55.735 Hakuna mihadhara. 00:02:55.759 --> 00:02:57.239 Hakuna tarehe za mwisho 00:02:57.263 --> 00:02:58.976 Hakuna mitihani ya mwisho. 00:02:59.573 --> 00:03:03.503 shahada hili linapima uwezo na haujafungwa na muda. 00:03:03.527 --> 00:03:05.928 Unachagua muda wa kuanza mradi wako. 00:03:05.952 --> 00:03:08.475 Unachagua utakavyoikabili NOTE Paragraph 00:03:08.499 --> 00:03:11.977 NDD:Unapofungua jukwaa, ndipo unapoweza kuona malengo. 00:03:12.001 --> 00:03:15.253 Kwenye kila lengo, tunaweza kupata miradi. 00:03:15.277 --> 00:03:18.358 Unapofungua mradi, unakutana na uweza 00:03:18.382 --> 00:03:20.235 ambao unatakiwa kumudu, 00:03:20.259 --> 00:03:21.584 uelekeo 00:03:21.608 --> 00:03:23.191 na muhtasari wa mradi, NOTE Paragraph 00:03:23.754 --> 00:03:25.953 CR: Kiungo muhimu cha SNHU 00:03:25.977 --> 00:03:30.197 ni kujumuisha usomaji kwa kuangalia uwezo 00:03:30.221 --> 00:03:33.379 pamoja na usomaji wa pamoja na washirika 00:03:33.403 --> 00:03:35.793 ili kuwa na msaada pande zote 00:03:35.817 --> 00:03:38.123 Hii ni pamoja na ufundishaji kitaaluma. 00:03:38.147 --> 00:03:39.969 Inamaanisha msaada saikolojia-jamii, 00:03:39.993 --> 00:03:41.586 msaada wa kimatibabu, 00:03:41.610 --> 00:03:44.630 na pia ni ule msaada wa mlango wa nyuma wa ajira 00:03:44.654 --> 00:03:48.138 ndiyo inasababisha hitimu kwa asilimia 95, 00:03:48.162 --> 00:03:50.257 na asilimia 88 kuajiriwa, NOTE Paragraph 00:03:50.281 --> 00:03:53.214 NDD: mimi mzoezi wa vitendo ya kuratibu mitandao ya kijamii. 00:03:53.238 --> 00:03:56.937 Inahusiana na shahada ya mawasiliano ninayoifanya. 00:03:56.961 --> 00:04:02.229 Nimejifunza mambo mengi katika mradi huu na dunia halisi. NOTE Paragraph 00:04:02.253 --> 00:04:04.832 CR: Mazoezi ya vitendo yanayoongozwa ni nafasi 00:04:04.856 --> 00:04:07.118 kwa wanafunzi kufanyia mazoezi ujuzi wao 00:04:07.142 --> 00:04:10.493 kwa sisi kutengeneza daraja katika mazoezi kwa vitendo 00:04:10.517 --> 00:04:13.038 na upatikanaji wa nafasi za kazi baadae. NOTE Paragraph 00:04:13.703 --> 00:04:15.693 (Muziki) NOTE Paragraph 00:04:16.110 --> 00:04:20.091 Hii ni modeli ambayo inazuia kuweka muda 00:04:20.115 --> 00:04:22.791 na sera za chuo kikuu na utaratibu kipao mbele 00:04:22.815 --> 00:04:25.354 na badala yake unamweka mwanafunzi kileleni NOTE Paragraph 00:04:26.158 --> 00:04:30.730 IM: Modeli ya SNHU ni njia kubwa ya kutikisa mti. 00:04:31.770 --> 00:04:32.922 Kubwa 00:04:32.946 --> 00:04:37.899 ni mtikisiko mkubwa kwenye njia ya asili ya elimu ya juu hapa NOTE Paragraph 00:04:39.610 --> 00:04:43.525 BDY:inaweza badilisha maisha ya wanafunzi 00:04:43.549 --> 00:04:46.545 kutoka katika hali ya mashaka na ukimbizi NOTE Paragraph 00:04:46.569 --> 00:04:48.006 NDD: nikipata shahada 00:04:48.030 --> 00:04:51.541 naweza rudi na kufanya kazi popote nitakapo 00:04:51.565 --> 00:04:55.060 Ninaweza kufanya shahada ya pili kwa ujasiri katika Kiingereza, 00:04:55.084 --> 00:04:58.384 kitu nisingewazia hapo awali 00:04:58.408 --> 00:05:01.795 Na nina ujasiri na ujuzi unaohitajika 00:05:01.819 --> 00:05:05.356 kwenda na kupambana katika mazingira ya kazi 00:05:05.380 --> 00:05:09.239 bila kujali kuwa nitaweza. NOTE Paragraph 00:05:09.263 --> 00:05:11.779 SAS: Nilitaka kufanya kazi na jamii. 00:05:11.803 --> 00:05:14.420 Nataka kuanzisha shirika isiyo ya faida 00:05:14.444 --> 00:05:17.725 Tunahimiza elimu ya wanawake. 00:05:17.749 --> 00:05:21.227 Ninataka kuwa mtu ambaye ni kama balozi 00:05:21.251 --> 00:05:23.968 na kuwashawishi kusoma 00:05:23.992 --> 00:05:27.086 na kuwaambia hawajachelewa. 00:05:28.206 --> 00:05:29.777 Ni ndoto