0:00:02.753,0:00:06.008 Saida Aden Said: Bado nina taswira hii[br]mbaya katika kumbukumbu zangu. 0:00:06.032,0:00:08.322 ningeweza ona watu wakianguka chini, 0:00:08.346,0:00:09.510 milio ya risasi. 0:00:09.534,0:00:10.862 Niliogopa sana. 0:00:10.886,0:00:13.095 Kwa kweli, nililia sana. 0:00:13.119,0:00:16.455 Mtu aliyewajua baba na mama yangu[br]akanishika mkono, akisema, 0:00:16.479,0:00:18.443 "Twenda! Twende! Twende!" 0:00:18.467,0:00:21.324 Nikawa nasema," Mamangu yuwapi?[br]Mama yangu? Mama yangu?" 0:00:22.245,0:00:25.341 Noria Dambrine Dusabireme:[br]Usiku tungesikia milio ya risasi, 0:00:25.365,0:00:26.558 tulisikia bunduki, 0:00:26.582,0:00:28.276 Uchaguzi ulitakiwa kufanyika. 0:00:28.300,0:00:30.847 Vijana walienda barabarani, 0:00:30.871,0:00:32.697 walikuwa na migomo. 0:00:32.721,0:00:34.738 Na vijana wengi walifariki 0:00:35.627,0:00:37.428 SAS: Tulipanda gari. 0:00:37.452,0:00:38.652 Lilikuwa limejaa sana 0:00:38.676,0:00:41.181 Watu walikimbia kunusuru maisha yao, 0:00:41.205,0:00:43.662 Hivi ndivyo nilivyochipuruka Somalia. 0:00:44.221,0:00:45.685 Mama yangu alinimisi sana. 0:00:45.709,0:00:47.780 Hakuna yeyote aliyemweleza nilikokwenda. 0:00:48.520,0:00:50.554 NDD:Ukweli ni kwamba, [br]hatukusoma, 0:00:50.578,0:00:53.309 Hatukuweza kwenda sokoni,[br]tulibaki nyumbani tu 0:00:53.333,0:00:57.937 ikanifanya nijue kuwa ningepata [br]nafasi ya kuchagua kitu kizuri, 0:00:57.961,0:01:00.855 ningeweza kukichagua na kuwa na[br]maisha bora mbeleni. 0:01:01.448,0:01:02.540 (Muziki) 0:01:02.564,0:01:05.274 Ignazio Matteini: Duniani, [br]idadi wa watu walio uhamishoni 0:01:05.298,0:01:06.452 imekuwa ikiongezeka 0:01:06.476,0:01:10.414 Sasa takriban watu Millioni 60[br]wako uhamishoni duniani 0:01:10.438,0:01:12.791 Na kwa bahati mbaya, haipungui. 0:01:13.410,0:01:15.984 Chrystina Russell:Nafikiri jamii [br]ya misaada kibinadamu 0:01:16.008,0:01:18.273 inaanza kugundua kutokana na [br]utafiti na uhakika 0:01:18.297,0:01:20.981 tunaongelea tatizo la kudumu zaidi 0:01:21.005,0:01:24.386 Baylie Damtie Yeshita: Wanafunzi hawa,[br]wanahitaji elimu ya juu, 0:01:24.410,0:01:26.900 shahada wanayoweza kuitumia. 0:01:26.924,0:01:29.268 Ikiwa wanafunzi wanaishi Rwanda sasa, 0:01:29.292,0:01:32.579 Ikiwa watahama,[br]bado wataendelea na masomo yao. 0:01:32.603,0:01:36.806 Bado, shahada yao itakuwa na maana,[br]kokote wako 0:01:37.778,0:01:40.537 CR: Mradi wetu wa kijasiri[br]ulikuwa ni kwa ajili ya kupima 0:01:40.561,0:01:43.662 Vuguvugu la Elimu Ulimwenguni la Chuo cha[br]New Hampshire ya Kusini 0:01:43.686,0:01:45.720 uwezo wa kukuza 0:01:45.744,0:01:48.979 shahada za kwanza na [br]mifumo ya kupata ajira 0:01:49.003,0:01:53.577 kufikia wahamiaji na wale ambao [br]wasingeweza kufikia elimu ya juu 0:01:54.402,0:01:57.543 SAS: Kama mhamiaji,[br]ni changamani 0:01:57.567,0:02:01.330 kujiendeleza kielimu[br]na kitaaluma. 0:02:01.354,0:02:03.231 Jina langu ni Saida Aden Said, 0:02:03.255,0:02:05.824 Na ninatokea Somalia, 0:02:05.848,0:02:08.550 Nilikuwa na miaka tisa, [br]nilipokuja Kakuma, 0:02:08.574,0:02:11.635 na nikaanza shule nikiwa na miaka 17 0:02:11.659,0:02:14.510 Kwa sasa nafanya shahada yangu ya kwanza 0:02:14.534,0:02:16.360 na SNHU. 0:02:17.896,0:02:21.165 NDD: My name is Noria Dambrine Dusabireme. 0:02:21.189,0:02:25.583 Ninasomea shahada ya kwanza ya sanaa [br]katika mawasiliano 0:02:25.607,0:02:27.971 nikijikita katika masuala ya biashara. 0:02:27.995,0:02:31.694 CR:Tunahudumia wanafunzi kutoka[br]nchi tano tofauti: 0:02:31.718,0:02:36.021 Lebanon, Kenya, Malawi,[br]Rwanda na Afrika ya Kusini. 0:02:36.045,0:02:41.615 Tunafurahia wahitimu wa kiwango cha AA[br]800 na zaidi ya 400 wa shahada ya kwanza 0:02:41.639,0:02:45.051 na karibu wanafunzi 1000 [br]walioandikisha kwa sasa. 0:02:47.391,0:02:52.563 la ajabu, tunaangazia maisha ya [br]wakimbizi kama yalivyo. 0:02:52.587,0:02:54.004 Hakuna ubaguzi kitabaka 0:02:54.028,0:02:55.735 Hakuna mihadhara. 0:02:55.759,0:02:57.239 Hakuna tarehe za mwisho 0:02:57.263,0:02:58.976 Hakuna mitihani ya mwisho. 0:02:59.573,0:03:03.503 shahada hili linapima uwezo [br]na haujafungwa na muda. 0:03:03.527,0:03:05.928 Unachagua muda wa kuanza mradi wako. 0:03:05.952,0:03:08.475 Unachagua utakavyoikabili 0:03:08.499,0:03:11.977 NDD:Unapofungua jukwaa,[br]ndipo unapoweza kuona malengo. 0:03:12.001,0:03:15.253 Kwenye kila lengo, tunaweza kupata miradi. 0:03:15.277,0:03:18.358 Unapofungua mradi,[br]unakutana na uweza 0:03:18.382,0:03:20.235 ambao unatakiwa kumudu, 0:03:20.259,0:03:21.584 uelekeo 0:03:21.608,0:03:23.191 na muhtasari wa mradi, 0:03:23.754,0:03:25.953 CR: Kiungo muhimu cha SNHU 0:03:25.977,0:03:30.197 ni kujumuisha usomaji kwa kuangalia[br]uwezo 0:03:30.221,0:03:33.379 pamoja na usomaji wa pamoja na washirika 0:03:33.403,0:03:35.793 ili kuwa na msaada pande zote 0:03:35.817,0:03:38.123 Hii ni pamoja na ufundishaji kitaaluma. 0:03:38.147,0:03:39.969 Inamaanisha msaada saikolojia-jamii, 0:03:39.993,0:03:41.586 msaada wa kimatibabu, 0:03:41.610,0:03:44.630 na pia ni ule msaada wa mlango [br]wa nyuma wa ajira 0:03:44.654,0:03:48.138 ndiyo inasababisha [br]hitimu kwa asilimia 95, 0:03:48.162,0:03:50.257 na asilimia 88 kuajiriwa, 0:03:50.281,0:03:53.214 NDD: mimi mzoezi wa [br]vitendo ya kuratibu mitandao ya kijamii. 0:03:53.238,0:03:56.937 Inahusiana na shahada ya [br]mawasiliano ninayoifanya. 0:03:56.961,0:04:02.229 Nimejifunza mambo mengi[br]katika mradi huu na dunia halisi. 0:04:02.253,0:04:04.832 CR: Mazoezi ya vitendo yanayoongozwa[br]ni nafasi 0:04:04.856,0:04:07.118 kwa wanafunzi kufanyia mazoezi ujuzi wao 0:04:07.142,0:04:10.493 kwa sisi kutengeneza daraja katika[br]mazoezi kwa vitendo 0:04:10.517,0:04:13.038 na upatikanaji wa nafasi za kazi baadae. 0:04:13.703,0:04:15.693 (Muziki) 0:04:16.110,0:04:20.091 Hii ni modeli ambayo inazuia[br]kuweka muda 0:04:20.115,0:04:22.791 na sera za chuo kikuu[br]na utaratibu kipao mbele 0:04:22.815,0:04:25.354 na badala yake unamweka mwanafunzi [br]kileleni 0:04:26.158,0:04:30.730 IM: Modeli ya SNHU ni njia kubwa ya [br]kutikisa mti. 0:04:31.770,0:04:32.922 Kubwa 0:04:32.946,0:04:37.899 ni mtikisiko mkubwa kwenye njia ya [br]asili ya elimu ya juu hapa 0:04:39.610,0:04:43.525 BDY:inaweza badilisha maisha[br]ya wanafunzi 0:04:43.549,0:04:46.545 kutoka katika hali ya mashaka na[br]ukimbizi 0:04:46.569,0:04:48.006 NDD: nikipata shahada 0:04:48.030,0:04:51.541 naweza rudi na kufanya[br]kazi popote nitakapo 0:04:51.565,0:04:55.060 Ninaweza kufanya shahada ya pili [br]kwa ujasiri katika Kiingereza, 0:04:55.084,0:04:58.384 kitu nisingewazia[br]hapo awali 0:04:58.408,0:05:01.795 Na nina ujasiri na ujuzi unaohitajika 0:05:01.819,0:05:05.356 kwenda na kupambana katika[br]mazingira ya kazi 0:05:05.380,0:05:09.239 bila kujali kuwa nitaweza. 0:05:09.263,0:05:11.779 SAS: Nilitaka kufanya kazi na jamii. 0:05:11.803,0:05:14.420 Nataka kuanzisha shirika isiyo ya faida 0:05:14.444,0:05:17.725 Tunahimiza elimu ya wanawake. 0:05:17.749,0:05:21.227 Ninataka kuwa mtu ambaye [br]ni kama balozi 0:05:21.251,0:05:23.968 na kuwashawishi kusoma 0:05:23.992,0:05:27.086 na kuwaambia hawajachelewa. 0:05:28.206,0:05:29.777 Ni ndoto