WEBVTT 00:00:01.841 --> 00:00:05.665 Mwaka 2019, ubinadamu ulipata tahadhari: 00:00:05.689 --> 00:00:08.401 30 ya wanasayansi mashuhuri duniani walipeana majibu 00:00:08.425 --> 00:00:11.907 ya utafiti wa miaka mitatu ya kilimo cha kimataifa 00:00:11.931 --> 00:00:15.572 na kutangaza kuwa uzalishaji wa nyama unaathiri sayari yetu 00:00:15.596 --> 00:00:17.279 na kuhatarisha afya ya dunia. 00:00:17.804 --> 00:00:19.558 Mwandishi mmoja wa utafiti alinena 00:00:19.582 --> 00:00:23.126 ya kuwa "ubinadamu ni hatarisho kwa utulivu wa sayari ... 00:00:23.150 --> 00:00:28.070 [Hii inahitaji] sio chini ya uvumbuzi mpya wa kilimo wa kimataifa." NOTE Paragraph 00:00:28.935 --> 00:00:31.076 Kama mtu ambaye ametumia miongo miwili 00:00:31.100 --> 00:00:34.188 kutetea kuhama uzalishaji wa nyama kwa viwanda, 00:00:34.212 --> 00:00:38.140 nilitaka kuamini kuwa wito huu ulikuwa unaenda kuleta mabadiliko. 00:00:38.164 --> 00:00:43.264 Jambo ni kuwa nimeona hili mara kwa mara kwa miongo. 00:00:43.750 --> 00:00:47.252 Hii hapa 2018 kutoka kwa jarida "Nature," 00:00:47.276 --> 00:00:50.351 2017 kutoka "Bioscience Journal," 00:00:50.375 --> 00:00:53.753 2016 kutoka Chuo cha Taifa cha Sayansi. NOTE Paragraph 00:00:54.367 --> 00:00:58.122 Lengo kuu la utafiti hizi huwa ni mabadiliko ya hewa. 00:00:58.146 --> 00:01:02.165 Lakini upinzani wa kiuavijasumu ni tishio kubwa. 00:01:02.640 --> 00:01:05.969 Tunawapa mifugo vipimo kubwa vya viuavijasumu. 00:01:06.382 --> 00:01:10.383 Viuavijasumu kisha hubadilika na kuwa wadudu wenye nguvu 00:01:10.407 --> 00:01:13.426 wanaotishia kufanya kiuavijasumu kuwa bila kazi 00:01:13.450 --> 00:01:15.501 katika maisha yetu. 00:01:15.985 --> 00:01:17.161 Unataka kitisho? 00:01:17.185 --> 00:01:19.698 Tafuta: "mwisho wa kazi wa kiuavijasumu." NOTE Paragraph 00:01:20.589 --> 00:01:22.619 Naenda kuweka bayana jambo moja: 00:01:22.643 --> 00:01:24.937 Siko hapa kueleza mtu anachopaswa kula. 00:01:25.539 --> 00:01:27.435 Hatua ya kibinafsi ni sawa, 00:01:27.459 --> 00:01:30.160 lakini upinzani wa kiuavijasumu na mabadiliko ya hewa -- 00:01:30.184 --> 00:01:31.650 yanahitaji zaidi. 00:01:32.212 --> 00:01:36.445 Kando na hayo, kusadikisha ulimwengu kupunguza kula nyama haijafaulu. 00:01:36.918 --> 00:01:41.586 Kwa miaka 50, wanaharakati wa mazingira, wataalamu wa afya wa duniani 00:01:41.610 --> 00:01:44.671 na wanaharakati wa wanyama, wamesihi umma kula nyama kiasi. 00:01:45.194 --> 00:01:47.250 Na bado, wastani wa ulaji nyama 00:01:47.274 --> 00:01:50.678 umekuwa juu kihistoria. 00:01:51.378 --> 00:01:55.187 Mkazi wastani wa Amerika Kaskazini alikula pauni 200 ya nyama mwaka jana. 00:01:55.724 --> 00:01:57.237 Na sikula ata. NOTE Paragraph 00:01:57.261 --> 00:01:58.491 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:01:58.515 --> 00:02:01.575 Inamaanisha kuna mtu huko nje alikula pauni 400 ya nyama. NOTE Paragraph 00:02:01.599 --> 00:02:03.686 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:02:03.710 --> 00:02:05.415 Kwa njia tunayoelekea, 00:02:05.439 --> 00:02:10.127 tunaenda kuhitaji kuzalisha asilimia 70 hadi 100 zaidi ya nyama ifikapo 2050. 00:02:10.151 --> 00:02:12.618 Hili linahitaji suluhisho la duniani pote. 00:02:13.317 --> 00:02:17.270 Tunachohitaji ni kuzalisha nyama ambayo watu watapenda, 00:02:17.294 --> 00:02:19.793 lakini tuizalishe kwa njia mpya. 00:02:20.465 --> 00:02:22.323 Nina mawazo kadhaa. NOTE Paragraph 00:02:22.347 --> 00:02:25.789 Wazo la kwanza: tukuze nyama kutoka kwa mimea. 00:02:25.813 --> 00:02:28.262 Badala ya kukuza mimea, kuyalisha kwa wanyama, 00:02:28.286 --> 00:02:29.720 na hayo yote yasiyofaa, 00:02:29.744 --> 00:02:32.649 tukuze mimea hiyo, tuikuze na nyama, 00:02:32.673 --> 00:02:34.326 tuifanye iwe na nyama. 00:02:34.968 --> 00:02:37.806 Wazo la pili: kwa nyama halisi ya wanyama, 00:02:37.830 --> 00:02:39.978 tuikuze kwa chembe moja kwa moja. 00:02:40.002 --> 00:02:43.277 Badala ya kukuza wanyama waliohai, tukuze chembe moja kwa moja, 00:02:43.967 --> 00:02:46.726 Inachukua wiki sita kulea kuku afike kimo cha kuchinjwa. 00:02:46.750 --> 00:02:49.274 Kuza chembe moja kwa moja, na utapata matokea sawia 00:02:49.298 --> 00:02:50.756 kwa siku sita. 00:02:51.693 --> 00:02:53.970 Hivi ndivyo itakuwa katika skeli. 00:02:55.237 --> 00:02:57.917 Ni ujirani wa kirafiki wa kiwanda cha nyama. NOTE Paragraph 00:02:57.941 --> 00:03:00.836 (Kicheko) NOTE Paragraph 00:03:00.860 --> 00:03:02.659 Nitataja mambo mawili kuhusu hili. 00:03:02.683 --> 00:03:04.805 Jambo la kwanza, tunasadiki tunaweza. 00:03:04.829 --> 00:03:08.807 Miaka iliyopita, makampuni mengine yamekuwa yakikuza nyama kutoka kwa mimea 00:03:08.831 --> 00:03:12.878 na walaji hawawezi tofautisha na nyama halisi, 00:03:12.902 --> 00:03:16.653 na sasa kuna makampuni mbalimbali yanayokuza nyama halisi ya wanyama 00:03:16.677 --> 00:03:18.558 moja kwa moja kutoka kwa chembe. 00:03:18.582 --> 00:03:20.770 Nyama hii ya mimea na ya chembe 00:03:20.794 --> 00:03:23.407 inawapa walaji vyote wanavyopenda kuhusu nyama -- 00:03:23.431 --> 00:03:25.440 ladha, umbile na kadhalika -- 00:03:25.464 --> 00:03:27.537 lakini bila hitaji ya viuavijasumu 00:03:27.561 --> 00:03:30.781 na sehemu ya madhara kwa hali ya hewa. 00:03:31.352 --> 00:03:34.505 Na kwa sababu teknolojia hizi mbili ni bora zaidi, 00:03:34.529 --> 00:03:35.972 kwa ukuzaji 00:03:35.996 --> 00:03:38.011 bidhaa hizi zitakuwa za bei ya chini. NOTE Paragraph 00:03:38.940 --> 00:03:40.704 Jambo moja kuhusu hilo -- 00:03:40.728 --> 00:03:42.579 haitakuwa rahisi. 00:03:42.603 --> 00:03:46.506 Makampuni haya yanayotumia mimea yametumia misandali kidogo kwa baga zao, 00:03:46.530 --> 00:03:50.145 na chembe ya nyama bado haijazinduliwa kibiashara. 00:03:50.685 --> 00:03:52.816 Kwa hivyo tutahitaji ushirikiano wa wote 00:03:52.840 --> 00:03:55.282 ili kufanya hili liwe kiwanda cha nyama duniani. NOTE Paragraph 00:03:55.979 --> 00:03:58.688 Mwanzo, tunahiaji sekta ya nyama ya sasa. 00:03:59.156 --> 00:04:01.362 Hatutaki kuvuruga sekta ya nyama, 00:04:01.386 --> 00:04:03.388 tunataka kuibadilisha. 00:04:03.412 --> 00:04:05.115 Tunahitaji dhana yake ya uchumi, 00:04:05.139 --> 00:04:08.323 msururu wake wa ugavi, utaalam wake wa uuzaji 00:04:08.347 --> 00:04:10.209 na wateja wake. NOTE Paragraph 00:04:10.962 --> 00:04:12.782 Tunahitaji pia serikali. 00:04:12.806 --> 00:04:16.350 Serikali hutumia mabilioni ya madola kila mwaka 00:04:16.374 --> 00:04:18.010 kwa utafiti na maendeleo 00:04:18.034 --> 00:04:20.539 unaozingatia afya duniani na mazingira. 00:04:21.007 --> 00:04:24.919 Yanafaa kuwekeza sehemu ya fedha hizo katika sadifisha na kuboresha 00:04:24.943 --> 00:04:28.625 uzalishaji wa mimea na nyama iliyokuzwa na chembe ya mimea. NOTE Paragraph 00:04:29.673 --> 00:04:34.966 Tazama, kumi ya maelfu ya watu walikufa kutoka kwa usugu wa viuavijasumu 00:04:34.990 --> 00:04:37.475 Amerika Kaskazini mwaka jana. 00:04:38.004 --> 00:04:43.309 Ifikapo 2050, tarakimu hiyo itakuwa milioni 10 kwa mwaka duniani. 00:04:44.091 --> 00:04:48.019 Mabadiliko ya hewa pia ni athari iliyopo 00:04:48.043 --> 00:04:51.199 kwa sehemu kubwa ya familia yetu duniani, 00:04:51.223 --> 00:04:54.652 wakiwemo watu maskini zaidi hapa duniani. NOTE Paragraph 00:04:55.396 --> 00:04:59.678 Mabadiliko ya hewa, kinga ya viuavijasumu-- hizi ni dharura duniani. 00:05:00.263 --> 00:05:04.780 Uzalishaji wa nyama unazidi dharura hizi kwa kipimo duniani. 00:05:05.430 --> 00:05:08.039 Lakini hatuendi kupunduza ulaji nyama 00:05:08.063 --> 00:05:10.581 hadi tuwape walaji bidhaa mbadala 00:05:10.605 --> 00:05:14.954 zitakazo gharimu sawa au chini na ladha iwe sawia au bora. NOTE Paragraph 00:05:15.637 --> 00:05:16.968 Tuko na jawabu. 00:05:17.412 --> 00:05:21.393 Tutengeneze nyama kutoka kwa mimea. Tuikuze moja kwa moja kutoka kwa chembe. 00:05:21.417 --> 00:05:25.390 Tayari tumechelewa kutumia raslimali tulizonazo 00:05:25.414 --> 00:05:29.773 kutengeneza mapinduzi ya kilimo mapya. NOTE Paragraph 00:05:30.252 --> 00:05:31.412 Asanteni. NOTE Paragraph 00:05:31.436 --> 00:05:35.260 (Makofi)