[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.84,0:00:05.66,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka 2019, ubinadamu ulipata tahadhari: Dialogue: 0,0:00:05.69,0:00:08.40,Default,,0000,0000,0000,,30 ya wanasayansi mashuhuri duniani\Nwalipeana majibu Dialogue: 0,0:00:08.42,0:00:11.91,Default,,0000,0000,0000,,ya utafiti wa miaka mitatu ya\Nkilimo cha kimataifa Dialogue: 0,0:00:11.93,0:00:15.57,Default,,0000,0000,0000,,na kutangaza kuwa uzalishaji wa nyama\Nunaathiri sayari yetu Dialogue: 0,0:00:15.60,0:00:17.28,Default,,0000,0000,0000,,na kuhatarisha afya ya dunia. Dialogue: 0,0:00:17.80,0:00:19.56,Default,,0000,0000,0000,,Mwandishi mmoja wa utafiti alinena Dialogue: 0,0:00:19.58,0:00:23.13,Default,,0000,0000,0000,,ya kuwa "ubinadamu ni hatarisho\Nkwa utulivu wa sayari ... Dialogue: 0,0:00:23.15,0:00:28.07,Default,,0000,0000,0000,,[Hii inahitaji] sio chini ya\Nuvumbuzi mpya wa kilimo wa kimataifa." Dialogue: 0,0:00:28.94,0:00:31.08,Default,,0000,0000,0000,,Kama mtu ambaye ametumia miongo miwili Dialogue: 0,0:00:31.10,0:00:34.19,Default,,0000,0000,0000,,kutetea kuhama uzalishaji wa nyama \Nkwa viwanda, Dialogue: 0,0:00:34.21,0:00:38.14,Default,,0000,0000,0000,,nilitaka kuamini kuwa wito huu\Nulikuwa unaenda kuleta mabadiliko. Dialogue: 0,0:00:38.16,0:00:43.26,Default,,0000,0000,0000,,Jambo ni kuwa nimeona hili\Nmara kwa mara kwa miongo. Dialogue: 0,0:00:43.75,0:00:47.25,Default,,0000,0000,0000,,Hii hapa 2018 kutoka kwa jarida "Nature," Dialogue: 0,0:00:47.28,0:00:50.35,Default,,0000,0000,0000,,2017 kutoka "Bioscience Journal," Dialogue: 0,0:00:50.38,0:00:53.75,Default,,0000,0000,0000,,2016 kutoka Chuo cha Taifa cha Sayansi. Dialogue: 0,0:00:54.37,0:00:58.12,Default,,0000,0000,0000,,Lengo kuu la utafiti hizi\Nhuwa ni mabadiliko ya hewa. Dialogue: 0,0:00:58.15,0:01:02.16,Default,,0000,0000,0000,,Lakini upinzani wa kiuavijasumu\Nni tishio kubwa. Dialogue: 0,0:01:02.64,0:01:05.97,Default,,0000,0000,0000,,Tunawapa mifugo vipimo \Nkubwa vya viuavijasumu. Dialogue: 0,0:01:06.38,0:01:10.38,Default,,0000,0000,0000,,Viuavijasumu kisha hubadilika\Nna kuwa wadudu wenye nguvu Dialogue: 0,0:01:10.41,0:01:13.43,Default,,0000,0000,0000,,wanaotishia kufanya kiuavijasumu\Nkuwa bila kazi Dialogue: 0,0:01:13.45,0:01:15.50,Default,,0000,0000,0000,,katika maisha yetu. Dialogue: 0,0:01:15.98,0:01:17.16,Default,,0000,0000,0000,,Unataka kitisho? Dialogue: 0,0:01:17.18,0:01:19.70,Default,,0000,0000,0000,,Tafuta: "mwisho wa kazi wa kiuavijasumu." Dialogue: 0,0:01:20.59,0:01:22.62,Default,,0000,0000,0000,,Naenda kuweka bayana jambo moja: Dialogue: 0,0:01:22.64,0:01:24.94,Default,,0000,0000,0000,,Siko hapa kueleza mtu anachopaswa kula. Dialogue: 0,0:01:25.54,0:01:27.44,Default,,0000,0000,0000,,Hatua ya kibinafsi ni sawa, Dialogue: 0,0:01:27.46,0:01:30.16,Default,,0000,0000,0000,,lakini upinzani wa kiuavijasumu\Nna mabadiliko ya hewa -- Dialogue: 0,0:01:30.18,0:01:31.65,Default,,0000,0000,0000,,yanahitaji zaidi. Dialogue: 0,0:01:32.21,0:01:36.44,Default,,0000,0000,0000,,Kando na hayo, kusadikisha ulimwengu\Nkupunguza kula nyama haijafaulu. Dialogue: 0,0:01:36.92,0:01:41.59,Default,,0000,0000,0000,,Kwa miaka 50, wanaharakati wa mazingira, \Nwataalamu wa afya wa duniani Dialogue: 0,0:01:41.61,0:01:44.67,Default,,0000,0000,0000,,na wanaharakati wa wanyama, wamesihi umma\Nkula nyama kiasi. Dialogue: 0,0:01:45.19,0:01:47.25,Default,,0000,0000,0000,,Na bado, wastani wa ulaji nyama Dialogue: 0,0:01:47.27,0:01:50.68,Default,,0000,0000,0000,,umekuwa juu kihistoria. Dialogue: 0,0:01:51.38,0:01:55.19,Default,,0000,0000,0000,,Mkazi wastani wa Amerika Kaskazini\Nalikula pauni 200 ya nyama mwaka jana. Dialogue: 0,0:01:55.72,0:01:57.24,Default,,0000,0000,0000,,Na sikula ata. Dialogue: 0,0:01:57.26,0:01:58.49,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:01:58.52,0:02:01.58,Default,,0000,0000,0000,,Inamaanisha kuna mtu huko nje\Nalikula pauni 400 ya nyama. Dialogue: 0,0:02:01.60,0:02:03.69,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:02:03.71,0:02:05.42,Default,,0000,0000,0000,,Kwa njia tunayoelekea, Dialogue: 0,0:02:05.44,0:02:10.13,Default,,0000,0000,0000,,tunaenda kuhitaji kuzalisha asilimia\N70 hadi 100 zaidi ya nyama ifikapo 2050. Dialogue: 0,0:02:10.15,0:02:12.62,Default,,0000,0000,0000,,Hili linahitaji suluhisho la duniani pote. Dialogue: 0,0:02:13.32,0:02:17.27,Default,,0000,0000,0000,,Tunachohitaji ni kuzalisha nyama \Nambayo watu watapenda, Dialogue: 0,0:02:17.29,0:02:19.79,Default,,0000,0000,0000,,lakini tuizalishe kwa njia mpya. Dialogue: 0,0:02:20.46,0:02:22.32,Default,,0000,0000,0000,,Nina mawazo kadhaa. Dialogue: 0,0:02:22.35,0:02:25.79,Default,,0000,0000,0000,,Wazo la kwanza:\Ntukuze nyama kutoka kwa mimea. Dialogue: 0,0:02:25.81,0:02:28.26,Default,,0000,0000,0000,,Badala ya kukuza mimea,\Nkuyalisha kwa wanyama, Dialogue: 0,0:02:28.29,0:02:29.72,Default,,0000,0000,0000,,na hayo yote yasiyofaa, Dialogue: 0,0:02:29.74,0:02:32.65,Default,,0000,0000,0000,,tukuze mimea hiyo,\Ntuikuze na nyama, Dialogue: 0,0:02:32.67,0:02:34.33,Default,,0000,0000,0000,,tuifanye iwe na nyama. Dialogue: 0,0:02:34.97,0:02:37.81,Default,,0000,0000,0000,,Wazo la pili: kwa nyama halisi ya wanyama, Dialogue: 0,0:02:37.83,0:02:39.98,Default,,0000,0000,0000,,tuikuze kwa chembe moja kwa moja. Dialogue: 0,0:02:40.00,0:02:43.28,Default,,0000,0000,0000,,Badala ya kukuza wanyama waliohai,\Ntukuze chembe moja kwa moja, Dialogue: 0,0:02:43.97,0:02:46.73,Default,,0000,0000,0000,,Inachukua wiki sita kulea kuku\Nafike kimo cha kuchinjwa. Dialogue: 0,0:02:46.75,0:02:49.27,Default,,0000,0000,0000,,Kuza chembe moja kwa moja,\Nna utapata matokea sawia Dialogue: 0,0:02:49.30,0:02:50.76,Default,,0000,0000,0000,,kwa siku sita. Dialogue: 0,0:02:51.69,0:02:53.97,Default,,0000,0000,0000,,Hivi ndivyo itakuwa katika skeli. Dialogue: 0,0:02:55.24,0:02:57.92,Default,,0000,0000,0000,,Ni ujirani wa kirafiki wa kiwanda \Ncha nyama. Dialogue: 0,0:02:57.94,0:03:00.84,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:03:00.86,0:03:02.66,Default,,0000,0000,0000,,Nitataja mambo mawili kuhusu hili. Dialogue: 0,0:03:02.68,0:03:04.80,Default,,0000,0000,0000,,Jambo la kwanza, tunasadiki tunaweza. Dialogue: 0,0:03:04.83,0:03:08.81,Default,,0000,0000,0000,,Miaka iliyopita, makampuni mengine\Nyamekuwa yakikuza nyama kutoka kwa mimea Dialogue: 0,0:03:08.83,0:03:12.88,Default,,0000,0000,0000,,na walaji hawawezi tofautisha\Nna nyama halisi, Dialogue: 0,0:03:12.90,0:03:16.65,Default,,0000,0000,0000,,na sasa kuna makampuni mbalimbali\Nyanayokuza nyama halisi ya wanyama Dialogue: 0,0:03:16.68,0:03:18.56,Default,,0000,0000,0000,,moja kwa moja kutoka kwa chembe. Dialogue: 0,0:03:18.58,0:03:20.77,Default,,0000,0000,0000,,Nyama hii ya mimea na ya chembe Dialogue: 0,0:03:20.79,0:03:23.41,Default,,0000,0000,0000,,inawapa walaji vyote\Nwanavyopenda kuhusu nyama -- Dialogue: 0,0:03:23.43,0:03:25.44,Default,,0000,0000,0000,,ladha, umbile na kadhalika -- Dialogue: 0,0:03:25.46,0:03:27.54,Default,,0000,0000,0000,,lakini bila hitaji ya viuavijasumu Dialogue: 0,0:03:27.56,0:03:30.78,Default,,0000,0000,0000,,na sehemu ya madhara kwa hali ya hewa. Dialogue: 0,0:03:31.35,0:03:34.50,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa sababu teknolojia \Nhizi mbili ni bora zaidi, Dialogue: 0,0:03:34.53,0:03:35.97,Default,,0000,0000,0000,,kwa ukuzaji Dialogue: 0,0:03:35.100,0:03:38.01,Default,,0000,0000,0000,,bidhaa hizi zitakuwa za bei ya chini. Dialogue: 0,0:03:38.94,0:03:40.70,Default,,0000,0000,0000,,Jambo moja kuhusu hilo -- Dialogue: 0,0:03:40.73,0:03:42.58,Default,,0000,0000,0000,,haitakuwa rahisi. Dialogue: 0,0:03:42.60,0:03:46.51,Default,,0000,0000,0000,,Makampuni haya yanayotumia mimea\Nyametumia misandali kidogo kwa baga zao, Dialogue: 0,0:03:46.53,0:03:50.14,Default,,0000,0000,0000,,na chembe ya nyama bado\Nhaijazinduliwa kibiashara. Dialogue: 0,0:03:50.68,0:03:52.82,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo tutahitaji ushirikiano wa wote Dialogue: 0,0:03:52.84,0:03:55.28,Default,,0000,0000,0000,,ili kufanya hili liwe kiwanda \Ncha nyama duniani. Dialogue: 0,0:03:55.98,0:03:58.69,Default,,0000,0000,0000,,Mwanzo, tunahiaji sekta ya nyama\Nya sasa. Dialogue: 0,0:03:59.16,0:04:01.36,Default,,0000,0000,0000,,Hatutaki kuvuruga sekta ya nyama, Dialogue: 0,0:04:01.39,0:04:03.39,Default,,0000,0000,0000,,tunataka kuibadilisha. Dialogue: 0,0:04:03.41,0:04:05.12,Default,,0000,0000,0000,,Tunahitaji dhana yake ya uchumi, Dialogue: 0,0:04:05.14,0:04:08.32,Default,,0000,0000,0000,,msururu wake wa ugavi,\Nutaalam wake wa uuzaji Dialogue: 0,0:04:08.35,0:04:10.21,Default,,0000,0000,0000,,na wateja wake. Dialogue: 0,0:04:10.96,0:04:12.78,Default,,0000,0000,0000,,Tunahitaji pia serikali. Dialogue: 0,0:04:12.81,0:04:16.35,Default,,0000,0000,0000,,Serikali hutumia mabilioni ya madola \Nkila mwaka Dialogue: 0,0:04:16.37,0:04:18.01,Default,,0000,0000,0000,,kwa utafiti na maendeleo Dialogue: 0,0:04:18.03,0:04:20.54,Default,,0000,0000,0000,,unaozingatia afya duniani\Nna mazingira. Dialogue: 0,0:04:21.01,0:04:24.92,Default,,0000,0000,0000,,Yanafaa kuwekeza sehemu ya fedha hizo\Nkatika sadifisha na kuboresha Dialogue: 0,0:04:24.94,0:04:28.62,Default,,0000,0000,0000,,uzalishaji wa mimea na \Nnyama iliyokuzwa na chembe ya mimea. Dialogue: 0,0:04:29.67,0:04:34.97,Default,,0000,0000,0000,,Tazama, kumi ya maelfu ya watu walikufa\Nkutoka kwa usugu wa viuavijasumu Dialogue: 0,0:04:34.99,0:04:37.48,Default,,0000,0000,0000,,Amerika Kaskazini mwaka jana. Dialogue: 0,0:04:38.00,0:04:43.31,Default,,0000,0000,0000,,Ifikapo 2050, tarakimu hiyo itakuwa\Nmilioni 10 kwa mwaka duniani. Dialogue: 0,0:04:44.09,0:04:48.02,Default,,0000,0000,0000,,Mabadiliko ya hewa pia\Nni athari iliyopo Dialogue: 0,0:04:48.04,0:04:51.20,Default,,0000,0000,0000,,kwa sehemu kubwa ya familia yetu duniani, Dialogue: 0,0:04:51.22,0:04:54.65,Default,,0000,0000,0000,,wakiwemo watu maskini zaidi\Nhapa duniani. Dialogue: 0,0:04:55.40,0:04:59.68,Default,,0000,0000,0000,,Mabadiliko ya hewa, kinga ya \Nviuavijasumu-- hizi ni dharura duniani. Dialogue: 0,0:05:00.26,0:05:04.78,Default,,0000,0000,0000,,Uzalishaji wa nyama unazidi\Ndharura hizi kwa kipimo duniani. Dialogue: 0,0:05:05.43,0:05:08.04,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hatuendi kupunduza\Nulaji nyama Dialogue: 0,0:05:08.06,0:05:10.58,Default,,0000,0000,0000,,hadi tuwape walaji bidhaa mbadala Dialogue: 0,0:05:10.60,0:05:14.95,Default,,0000,0000,0000,,zitakazo gharimu sawa au chini\Nna ladha iwe sawia au bora. Dialogue: 0,0:05:15.64,0:05:16.97,Default,,0000,0000,0000,,Tuko na jawabu. Dialogue: 0,0:05:17.41,0:05:21.39,Default,,0000,0000,0000,,Tutengeneze nyama kutoka kwa mimea.\NTuikuze moja kwa moja kutoka kwa chembe. Dialogue: 0,0:05:21.42,0:05:25.39,Default,,0000,0000,0000,,Tayari tumechelewa kutumia\Nraslimali tulizonazo Dialogue: 0,0:05:25.41,0:05:29.77,Default,,0000,0000,0000,,kutengeneza mapinduzi ya kilimo mapya. Dialogue: 0,0:05:30.25,0:05:31.41,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni. Dialogue: 0,0:05:31.44,0:05:35.26,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)