1 00:00:01,841 --> 00:00:05,665 Mwaka 2019, ubinadamu ulipata tahadhari: 2 00:00:05,689 --> 00:00:08,401 30 ya wanasayansi mashuhuri duniani walipeana majibu 3 00:00:08,425 --> 00:00:11,907 ya utafiti wa miaka mitatu ya kilimo cha kimataifa 4 00:00:11,931 --> 00:00:15,572 na kutangaza kuwa uzalishaji wa nyama unaathiri sayari yetu 5 00:00:15,596 --> 00:00:17,279 na kuhatarisha afya ya dunia. 6 00:00:17,804 --> 00:00:19,558 Mwandishi mmoja wa utafiti alinena 7 00:00:19,582 --> 00:00:23,126 ya kuwa "ubinadamu ni hatarisho kwa utulivu wa sayari ... 8 00:00:23,150 --> 00:00:28,070 [Hii inahitaji] sio chini ya uvumbuzi mpya wa kilimo wa kimataifa." 9 00:00:28,935 --> 00:00:31,076 Kama mtu ambaye ametumia miongo miwili 10 00:00:31,100 --> 00:00:34,188 kutetea kuhama uzalishaji wa nyama kwa viwanda, 11 00:00:34,212 --> 00:00:38,140 nilitaka kuamini kuwa wito huu ulikuwa unaenda kuleta mabadiliko. 12 00:00:38,164 --> 00:00:43,264 Jambo ni kuwa nimeona hili mara kwa mara kwa miongo. 13 00:00:43,750 --> 00:00:47,252 Hii hapa 2018 kutoka kwa jarida "Nature," 14 00:00:47,276 --> 00:00:50,351 2017 kutoka "Bioscience Journal," 15 00:00:50,375 --> 00:00:53,753 2016 kutoka Chuo cha Taifa cha Sayansi. 16 00:00:54,367 --> 00:00:58,122 Lengo kuu la utafiti hizi huwa ni mabadiliko ya hewa. 17 00:00:58,146 --> 00:01:02,165 Lakini upinzani wa kiuavijasumu ni tishio kubwa. 18 00:01:02,640 --> 00:01:05,969 Tunawapa mifugo vipimo kubwa vya viuavijasumu. 19 00:01:06,382 --> 00:01:10,383 Viuavijasumu kisha hubadilika na kuwa wadudu wenye nguvu 20 00:01:10,407 --> 00:01:13,426 wanaotishia kufanya kiuavijasumu kuwa bila kazi 21 00:01:13,450 --> 00:01:15,501 katika maisha yetu. 22 00:01:15,985 --> 00:01:17,161 Unataka kitisho? 23 00:01:17,185 --> 00:01:19,698 Tafuta: "mwisho wa kazi wa kiuavijasumu." 24 00:01:20,589 --> 00:01:22,619 Naenda kuweka bayana jambo moja: 25 00:01:22,643 --> 00:01:24,937 Siko hapa kueleza mtu anachopaswa kula. 26 00:01:25,539 --> 00:01:27,435 Hatua ya kibinafsi ni sawa, 27 00:01:27,459 --> 00:01:30,160 lakini upinzani wa kiuavijasumu na mabadiliko ya hewa -- 28 00:01:30,184 --> 00:01:31,650 yanahitaji zaidi. 29 00:01:32,212 --> 00:01:36,445 Kando na hayo, kusadikisha ulimwengu kupunguza kula nyama haijafaulu. 30 00:01:36,918 --> 00:01:41,586 Kwa miaka 50, wanaharakati wa mazingira, wataalamu wa afya wa duniani 31 00:01:41,610 --> 00:01:44,671 na wanaharakati wa wanyama, wamesihi umma kula nyama kiasi. 32 00:01:45,194 --> 00:01:47,250 Na bado, wastani wa ulaji nyama 33 00:01:47,274 --> 00:01:50,678 umekuwa juu kihistoria. 34 00:01:51,378 --> 00:01:55,187 Mkazi wastani wa Amerika Kaskazini alikula pauni 200 ya nyama mwaka jana. 35 00:01:55,724 --> 00:01:57,237 Na sikula ata. 36 00:01:57,261 --> 00:01:58,491 (Kicheko) 37 00:01:58,515 --> 00:02:01,575 Inamaanisha kuna mtu huko nje alikula pauni 400 ya nyama. 38 00:02:01,599 --> 00:02:03,686 (Kicheko) 39 00:02:03,710 --> 00:02:05,415 Kwa njia tunayoelekea, 40 00:02:05,439 --> 00:02:10,127 tunaenda kuhitaji kuzalisha asilimia 70 hadi 100 zaidi ya nyama ifikapo 2050. 41 00:02:10,151 --> 00:02:12,618 Hili linahitaji suluhisho la duniani pote. 42 00:02:13,317 --> 00:02:17,270 Tunachohitaji ni kuzalisha nyama ambayo watu watapenda, 43 00:02:17,294 --> 00:02:19,793 lakini tuizalishe kwa njia mpya. 44 00:02:20,465 --> 00:02:22,323 Nina mawazo kadhaa. 45 00:02:22,347 --> 00:02:25,789 Wazo la kwanza: tukuze nyama kutoka kwa mimea. 46 00:02:25,813 --> 00:02:28,262 Badala ya kukuza mimea, kuyalisha kwa wanyama, 47 00:02:28,286 --> 00:02:29,720 na hayo yote yasiyofaa, 48 00:02:29,744 --> 00:02:32,649 tukuze mimea hiyo, tuikuze na nyama, 49 00:02:32,673 --> 00:02:34,326 tuifanye iwe na nyama. 50 00:02:34,968 --> 00:02:37,806 Wazo la pili: kwa nyama halisi ya wanyama, 51 00:02:37,830 --> 00:02:39,978 tuikuze kwa chembe moja kwa moja. 52 00:02:40,002 --> 00:02:43,277 Badala ya kukuza wanyama waliohai, tukuze chembe moja kwa moja, 53 00:02:43,967 --> 00:02:46,726 Inachukua wiki sita kulea kuku afike kimo cha kuchinjwa. 54 00:02:46,750 --> 00:02:49,274 Kuza chembe moja kwa moja, na utapata matokea sawia 55 00:02:49,298 --> 00:02:50,756 kwa siku sita. 56 00:02:51,693 --> 00:02:53,970 Hivi ndivyo itakuwa katika skeli. 57 00:02:55,237 --> 00:02:57,917 Ni ujirani wa kirafiki wa kiwanda cha nyama. 58 00:02:57,941 --> 00:03:00,836 (Kicheko) 59 00:03:00,860 --> 00:03:02,659 Nitataja mambo mawili kuhusu hili. 60 00:03:02,683 --> 00:03:04,805 Jambo la kwanza, tunasadiki tunaweza. 61 00:03:04,829 --> 00:03:08,807 Miaka iliyopita, makampuni mengine yamekuwa yakikuza nyama kutoka kwa mimea 62 00:03:08,831 --> 00:03:12,878 na walaji hawawezi tofautisha na nyama halisi, 63 00:03:12,902 --> 00:03:16,653 na sasa kuna makampuni mbalimbali yanayokuza nyama halisi ya wanyama 64 00:03:16,677 --> 00:03:18,558 moja kwa moja kutoka kwa chembe. 65 00:03:18,582 --> 00:03:20,770 Nyama hii ya mimea na ya chembe 66 00:03:20,794 --> 00:03:23,407 inawapa walaji vyote wanavyopenda kuhusu nyama -- 67 00:03:23,431 --> 00:03:25,440 ladha, umbile na kadhalika -- 68 00:03:25,464 --> 00:03:27,537 lakini bila hitaji ya viuavijasumu 69 00:03:27,561 --> 00:03:30,781 na sehemu ya madhara kwa hali ya hewa. 70 00:03:31,352 --> 00:03:34,505 Na kwa sababu teknolojia hizi mbili ni bora zaidi, 71 00:03:34,529 --> 00:03:35,972 kwa ukuzaji 72 00:03:35,996 --> 00:03:38,011 bidhaa hizi zitakuwa za bei ya chini. 73 00:03:38,940 --> 00:03:40,704 Jambo moja kuhusu hilo -- 74 00:03:40,728 --> 00:03:42,579 haitakuwa rahisi. 75 00:03:42,603 --> 00:03:46,506 Makampuni haya yanayotumia mimea yametumia misandali kidogo kwa baga zao, 76 00:03:46,530 --> 00:03:50,145 na chembe ya nyama bado haijazinduliwa kibiashara. 77 00:03:50,685 --> 00:03:52,816 Kwa hivyo tutahitaji ushirikiano wa wote 78 00:03:52,840 --> 00:03:55,282 ili kufanya hili liwe kiwanda cha nyama duniani. 79 00:03:55,979 --> 00:03:58,688 Mwanzo, tunahiaji sekta ya nyama ya sasa. 80 00:03:59,156 --> 00:04:01,362 Hatutaki kuvuruga sekta ya nyama, 81 00:04:01,386 --> 00:04:03,388 tunataka kuibadilisha. 82 00:04:03,412 --> 00:04:05,115 Tunahitaji dhana yake ya uchumi, 83 00:04:05,139 --> 00:04:08,323 msururu wake wa ugavi, utaalam wake wa uuzaji 84 00:04:08,347 --> 00:04:10,209 na wateja wake. 85 00:04:10,962 --> 00:04:12,782 Tunahitaji pia serikali. 86 00:04:12,806 --> 00:04:16,350 Serikali hutumia mabilioni ya madola kila mwaka 87 00:04:16,374 --> 00:04:18,010 kwa utafiti na maendeleo 88 00:04:18,034 --> 00:04:20,539 unaozingatia afya duniani na mazingira. 89 00:04:21,007 --> 00:04:24,919 Yanafaa kuwekeza sehemu ya fedha hizo katika sadifisha na kuboresha 90 00:04:24,943 --> 00:04:28,625 uzalishaji wa mimea na nyama iliyokuzwa na chembe ya mimea. 91 00:04:29,673 --> 00:04:34,966 Tazama, kumi ya maelfu ya watu walikufa kutoka kwa usugu wa viuavijasumu 92 00:04:34,990 --> 00:04:37,475 Amerika Kaskazini mwaka jana. 93 00:04:38,004 --> 00:04:43,309 Ifikapo 2050, tarakimu hiyo itakuwa milioni 10 kwa mwaka duniani. 94 00:04:44,091 --> 00:04:48,019 Mabadiliko ya hewa pia ni athari iliyopo 95 00:04:48,043 --> 00:04:51,199 kwa sehemu kubwa ya familia yetu duniani, 96 00:04:51,223 --> 00:04:54,652 wakiwemo watu maskini zaidi hapa duniani. 97 00:04:55,396 --> 00:04:59,678 Mabadiliko ya hewa, kinga ya viuavijasumu-- hizi ni dharura duniani. 98 00:05:00,263 --> 00:05:04,780 Uzalishaji wa nyama unazidi dharura hizi kwa kipimo duniani. 99 00:05:05,430 --> 00:05:08,039 Lakini hatuendi kupunduza ulaji nyama 100 00:05:08,063 --> 00:05:10,581 hadi tuwape walaji bidhaa mbadala 101 00:05:10,605 --> 00:05:14,954 zitakazo gharimu sawa au chini na ladha iwe sawia au bora. 102 00:05:15,637 --> 00:05:16,968 Tuko na jawabu. 103 00:05:17,412 --> 00:05:21,393 Tutengeneze nyama kutoka kwa mimea. Tuikuze moja kwa moja kutoka kwa chembe. 104 00:05:21,417 --> 00:05:25,390 Tayari tumechelewa kutumia raslimali tulizonazo 105 00:05:25,414 --> 00:05:29,773 kutengeneza mapinduzi ya kilimo mapya. 106 00:05:30,252 --> 00:05:31,412 Asanteni. 107 00:05:31,436 --> 00:05:35,260 (Makofi)