0:00:01.841,0:00:05.665 Mwaka 2019, ubinadamu ulipata tahadhari: 0:00:05.689,0:00:08.401 30 ya wanasayansi mashuhuri duniani[br]walipeana majibu 0:00:08.425,0:00:11.907 ya utafiti wa miaka mitatu ya[br]kilimo cha kimataifa 0:00:11.931,0:00:15.572 na kutangaza kuwa uzalishaji wa nyama[br]unaathiri sayari yetu 0:00:15.596,0:00:17.279 na kuhatarisha afya ya dunia. 0:00:17.804,0:00:19.558 Mwandishi mmoja wa utafiti alinena 0:00:19.582,0:00:23.126 ya kuwa "ubinadamu ni hatarisho[br]kwa utulivu wa sayari ... 0:00:23.150,0:00:28.070 [Hii inahitaji] sio chini ya[br]uvumbuzi mpya wa kilimo wa kimataifa." 0:00:28.935,0:00:31.076 Kama mtu ambaye ametumia miongo miwili 0:00:31.100,0:00:34.188 kutetea kuhama uzalishaji wa nyama [br]kwa viwanda, 0:00:34.212,0:00:38.140 nilitaka kuamini kuwa wito huu[br]ulikuwa unaenda kuleta mabadiliko. 0:00:38.164,0:00:43.264 Jambo ni kuwa nimeona hili[br]mara kwa mara kwa miongo. 0:00:43.750,0:00:47.252 Hii hapa 2018 kutoka kwa jarida "Nature," 0:00:47.276,0:00:50.351 2017 kutoka "Bioscience Journal," 0:00:50.375,0:00:53.753 2016 kutoka Chuo cha Taifa cha Sayansi. 0:00:54.367,0:00:58.122 Lengo kuu la utafiti hizi[br]huwa ni mabadiliko ya hewa. 0:00:58.146,0:01:02.165 Lakini upinzani wa kiuavijasumu[br]ni tishio kubwa. 0:01:02.640,0:01:05.969 Tunawapa mifugo vipimo [br]kubwa vya viuavijasumu. 0:01:06.382,0:01:10.383 Viuavijasumu kisha hubadilika[br]na kuwa wadudu wenye nguvu 0:01:10.407,0:01:13.426 wanaotishia kufanya kiuavijasumu[br]kuwa bila kazi 0:01:13.450,0:01:15.501 katika maisha yetu. 0:01:15.985,0:01:17.161 Unataka kitisho? 0:01:17.185,0:01:19.698 Tafuta: "mwisho wa kazi wa kiuavijasumu." 0:01:20.589,0:01:22.619 Naenda kuweka bayana jambo moja: 0:01:22.643,0:01:24.937 Siko hapa kueleza mtu anachopaswa kula. 0:01:25.539,0:01:27.435 Hatua ya kibinafsi ni sawa, 0:01:27.459,0:01:30.160 lakini upinzani wa kiuavijasumu[br]na mabadiliko ya hewa -- 0:01:30.184,0:01:31.650 yanahitaji zaidi. 0:01:32.212,0:01:36.445 Kando na hayo, kusadikisha ulimwengu[br]kupunguza kula nyama haijafaulu. 0:01:36.918,0:01:41.586 Kwa miaka 50, wanaharakati wa mazingira, [br]wataalamu wa afya wa duniani 0:01:41.610,0:01:44.671 na wanaharakati wa wanyama, wamesihi umma[br]kula nyama kiasi. 0:01:45.194,0:01:47.250 Na bado, wastani wa ulaji nyama 0:01:47.274,0:01:50.678 umekuwa juu kihistoria. 0:01:51.378,0:01:55.187 Mkazi wastani wa Amerika Kaskazini[br]alikula pauni 200 ya nyama mwaka jana. 0:01:55.724,0:01:57.237 Na sikula ata. 0:01:57.261,0:01:58.491 (Kicheko) 0:01:58.515,0:02:01.575 Inamaanisha kuna mtu huko nje[br]alikula pauni 400 ya nyama. 0:02:01.599,0:02:03.686 (Kicheko) 0:02:03.710,0:02:05.415 Kwa njia tunayoelekea, 0:02:05.439,0:02:10.127 tunaenda kuhitaji kuzalisha asilimia[br]70 hadi 100 zaidi ya nyama ifikapo 2050. 0:02:10.151,0:02:12.618 Hili linahitaji suluhisho la duniani pote. 0:02:13.317,0:02:17.270 Tunachohitaji ni kuzalisha nyama [br]ambayo watu watapenda, 0:02:17.294,0:02:19.793 lakini tuizalishe kwa njia mpya. 0:02:20.465,0:02:22.323 Nina mawazo kadhaa. 0:02:22.347,0:02:25.789 Wazo la kwanza:[br]tukuze nyama kutoka kwa mimea. 0:02:25.813,0:02:28.262 Badala ya kukuza mimea,[br]kuyalisha kwa wanyama, 0:02:28.286,0:02:29.720 na hayo yote yasiyofaa, 0:02:29.744,0:02:32.649 tukuze mimea hiyo,[br]tuikuze na nyama, 0:02:32.673,0:02:34.326 tuifanye iwe na nyama. 0:02:34.968,0:02:37.806 Wazo la pili: kwa nyama halisi ya wanyama, 0:02:37.830,0:02:39.978 tuikuze kwa chembe moja kwa moja. 0:02:40.002,0:02:43.277 Badala ya kukuza wanyama waliohai,[br]tukuze chembe moja kwa moja, 0:02:43.967,0:02:46.726 Inachukua wiki sita kulea kuku[br]afike kimo cha kuchinjwa. 0:02:46.750,0:02:49.274 Kuza chembe moja kwa moja,[br]na utapata matokea sawia 0:02:49.298,0:02:50.756 kwa siku sita. 0:02:51.693,0:02:53.970 Hivi ndivyo itakuwa katika skeli. 0:02:55.237,0:02:57.917 Ni ujirani wa kirafiki wa kiwanda [br]cha nyama. 0:02:57.941,0:03:00.836 (Kicheko) 0:03:00.860,0:03:02.659 Nitataja mambo mawili kuhusu hili. 0:03:02.683,0:03:04.805 Jambo la kwanza, tunasadiki tunaweza. 0:03:04.829,0:03:08.807 Miaka iliyopita, makampuni mengine[br]yamekuwa yakikuza nyama kutoka kwa mimea 0:03:08.831,0:03:12.878 na walaji hawawezi tofautisha[br]na nyama halisi, 0:03:12.902,0:03:16.653 na sasa kuna makampuni mbalimbali[br]yanayokuza nyama halisi ya wanyama 0:03:16.677,0:03:18.558 moja kwa moja kutoka kwa chembe. 0:03:18.582,0:03:20.770 Nyama hii ya mimea na ya chembe 0:03:20.794,0:03:23.407 inawapa walaji vyote[br]wanavyopenda kuhusu nyama -- 0:03:23.431,0:03:25.440 ladha, umbile na kadhalika -- 0:03:25.464,0:03:27.537 lakini bila hitaji ya viuavijasumu 0:03:27.561,0:03:30.781 na sehemu ya madhara kwa hali ya hewa. 0:03:31.352,0:03:34.505 Na kwa sababu teknolojia [br]hizi mbili ni bora zaidi, 0:03:34.529,0:03:35.972 kwa ukuzaji 0:03:35.996,0:03:38.011 bidhaa hizi zitakuwa za bei ya chini. 0:03:38.940,0:03:40.704 Jambo moja kuhusu hilo -- 0:03:40.728,0:03:42.579 haitakuwa rahisi. 0:03:42.603,0:03:46.506 Makampuni haya yanayotumia mimea[br]yametumia misandali kidogo kwa baga zao, 0:03:46.530,0:03:50.145 na chembe ya nyama bado[br]haijazinduliwa kibiashara. 0:03:50.685,0:03:52.816 Kwa hivyo tutahitaji ushirikiano wa wote 0:03:52.840,0:03:55.282 ili kufanya hili liwe kiwanda [br]cha nyama duniani. 0:03:55.979,0:03:58.688 Mwanzo, tunahiaji sekta ya nyama[br]ya sasa. 0:03:59.156,0:04:01.362 Hatutaki kuvuruga sekta ya nyama, 0:04:01.386,0:04:03.388 tunataka kuibadilisha. 0:04:03.412,0:04:05.115 Tunahitaji dhana yake ya uchumi, 0:04:05.139,0:04:08.323 msururu wake wa ugavi,[br]utaalam wake wa uuzaji 0:04:08.347,0:04:10.209 na wateja wake. 0:04:10.962,0:04:12.782 Tunahitaji pia serikali. 0:04:12.806,0:04:16.350 Serikali hutumia mabilioni ya madola [br]kila mwaka 0:04:16.374,0:04:18.010 kwa utafiti na maendeleo 0:04:18.034,0:04:20.539 unaozingatia afya duniani[br]na mazingira. 0:04:21.007,0:04:24.919 Yanafaa kuwekeza sehemu ya fedha hizo[br]katika sadifisha na kuboresha 0:04:24.943,0:04:28.625 uzalishaji wa mimea na [br]nyama iliyokuzwa na chembe ya mimea. 0:04:29.673,0:04:34.966 Tazama, kumi ya maelfu ya watu walikufa[br]kutoka kwa usugu wa viuavijasumu 0:04:34.990,0:04:37.475 Amerika Kaskazini mwaka jana. 0:04:38.004,0:04:43.309 Ifikapo 2050, tarakimu hiyo itakuwa[br]milioni 10 kwa mwaka duniani. 0:04:44.091,0:04:48.019 Mabadiliko ya hewa pia[br]ni athari iliyopo 0:04:48.043,0:04:51.199 kwa sehemu kubwa ya familia yetu duniani, 0:04:51.223,0:04:54.652 wakiwemo watu maskini zaidi[br]hapa duniani. 0:04:55.396,0:04:59.678 Mabadiliko ya hewa, kinga ya [br]viuavijasumu-- hizi ni dharura duniani. 0:05:00.263,0:05:04.780 Uzalishaji wa nyama unazidi[br]dharura hizi kwa kipimo duniani. 0:05:05.430,0:05:08.039 Lakini hatuendi kupunduza[br]ulaji nyama 0:05:08.063,0:05:10.581 hadi tuwape walaji bidhaa mbadala 0:05:10.605,0:05:14.954 zitakazo gharimu sawa au chini[br]na ladha iwe sawia au bora. 0:05:15.637,0:05:16.968 Tuko na jawabu. 0:05:17.412,0:05:21.393 Tutengeneze nyama kutoka kwa mimea.[br]Tuikuze moja kwa moja kutoka kwa chembe. 0:05:21.417,0:05:25.390 Tayari tumechelewa kutumia[br]raslimali tulizonazo 0:05:25.414,0:05:29.773 kutengeneza mapinduzi ya kilimo mapya. 0:05:30.252,0:05:31.412 Asanteni. 0:05:31.436,0:05:35.260 (Makofi)