[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.26,0:00:02.91,Default,,0000,0000,0000,,- Kama bado unasumbukana na kibali, Dialogue: 0,0:00:02.93,0:00:05.24,Default,,0000,0000,0000,,fikiria tu badala ya kuanzisha ngono, Dialogue: 0,0:00:05.27,0:00:07.04,Default,,0000,0000,0000,,unawatengezea kikombe cha chai. Dialogue: 0,0:00:07.46,0:00:09.36,Default,,0000,0000,0000,,Unasema: "Hey, ungependa kikombe cha chai?" Dialogue: 0,0:00:09.40,0:00:12.08,Default,,0000,0000,0000,,Na wataenda: "Oh Mungu Wangu, ndio! Dialogue: 0,0:00:12.08,0:00:14.89,Default,,0000,0000,0000,,"Ningependa sana kikombe cha chai! Ahsante!" Dialogue: 0,0:00:15.60,0:00:17.94,Default,,0000,0000,0000,,Kisha unajua wanataka kikombe cha chai. Dialogue: 0,0:00:18.19,0:00:20.74,Default,,0000,0000,0000,,Ukisema, "Ungependa kikombe cha chai?" Dialogue: 0,0:00:20.74,0:00:24.18,Default,,0000,0000,0000,,Na wako kama:"Sina uhakika kikamilifu." Dialogue: 0,0:00:24.18,0:00:25.84,Default,,0000,0000,0000,,Basi unaeza watengezea kikombe cha chai, Dialogue: 0,0:00:25.86,0:00:27.52,Default,,0000,0000,0000,,ama la, lakini uwe mwangalifu; Dialogue: 0,0:00:27.52,0:00:29.07,Default,,0000,0000,0000,,wanaeza kosa kuikunywa. Dialogue: 0,0:00:29.08,0:00:31.35,Default,,0000,0000,0000,,Na wasipoinywa, basi - Dialogue: 0,0:00:31.35,0:00:33.29,Default,,0000,0000,0000,,- na hapa ndipo pahali muhimu - Dialogue: 0,0:00:33.29,0:00:35.68,Default,,0000,0000,0000,,- usiwalazimishe kunywa. Dialogue: 0,0:00:35.68,0:00:37.59,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu wewe ndio uliyeitengeneza haimaanishi Dialogue: 0,0:00:37.59,0:00:39.11,Default,,0000,0000,0000,,uko na haki ya kuwaona wakiinywa. Dialogue: 0,0:00:39.73,0:00:41.67,Default,,0000,0000,0000,,Na wakisema, "Hapana, ahsante." Dialogue: 0,0:00:41.67,0:00:44.60,Default,,0000,0000,0000,,basi usiwatengezee chai, kabsaa. Dialogue: 0,0:00:44.60,0:00:46.54,Default,,0000,0000,0000,,Usiwategenzee chai. Dialogue: 0,0:00:46.54,0:00:47.72,Default,,0000,0000,0000,,Usiwafanye wakunywe chai, Dialogue: 0,0:00:47.72,0:00:48.71,Default,,0000,0000,0000,,usiwakasirikie Dialogue: 0,0:00:48.71,0:00:50.28,Default,,0000,0000,0000,,kwa kukataa kutaka chai Dialogue: 0,0:00:50.28,0:00:52.92,Default,,0000,0000,0000,,hawataki chai tu, sawa? Dialogue: 0,0:00:52.92,0:00:55.45,Default,,0000,0000,0000,,Wanaeza sema: "Ndio, tafadhali, Dialogue: 0,0:00:55.45,0:00:56.79,Default,,0000,0000,0000,,"Huu ndi ukarimu wako" Dialogue: 0,0:00:56.79,0:00:58.41,Default,,0000,0000,0000,,Na alafu chai itakapo wasili, Dialogue: 0,0:00:58.41,0:01:00.24,Default,,0000,0000,0000,,hawataki chai kabsaa. Dialogue: 0,0:01:00.24,0:01:01.99,Default,,0000,0000,0000,,Kwa ukweli iyo inaudhi kwa sababu umejitolea Dialogue: 0,0:01:01.99,0:01:04.42,Default,,0000,0000,0000,,nguvu ya kutengeneza chai, Dialogue: 0,0:01:04.42,0:01:07.76,Default,,0000,0000,0000,,lakini hawako katika wajibu ya kukunywa chai. Dialogue: 0,0:01:08.41,0:01:10.42,Default,,0000,0000,0000,,Walitaka chai, sahii hawataki. Dialogue: 0,0:01:10.42,0:01:11.99,Default,,0000,0000,0000,,Watu wengine hubadilisha mawazo katika ule muda Dialogue: 0,0:01:11.99,0:01:14.19,Default,,0000,0000,0000,,inachukua birika, kuandaa chai Dialogue: 0,0:01:14.19,0:01:15.33,Default,,0000,0000,0000,,na kuongeza maziwa. Dialogue: 0,0:01:15.33,0:01:17.51,Default,,0000,0000,0000,,na ni sawa kwa watu kubadilisha mawazo. Dialogue: 0,0:01:17.51,0:01:19.45,Default,,0000,0000,0000,,Na bado huna haki ya kuwaona Dialogue: 0,0:01:19.45,0:01:20.86,Default,,0000,0000,0000,,wakiinywa. Dialogue: 0,0:01:20.86,0:01:23.66,Default,,0000,0000,0000,,And kama hawana fahamu, usiwatengezee kahawa. Dialogue: 0,0:01:23.66,0:01:25.85,Default,,0000,0000,0000,,Watu hawana fahamu hawataki chai, na Dialogue: 0,0:01:25.85,0:01:28.62,Default,,0000,0000,0000,,hawawezi jibu hilo swali, "Unataka chai?" Dialogue: 0,0:01:28.62,0:01:31.10,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hawana famahu. Dialogue: 0,0:01:31.10,0:01:33.05,Default,,0000,0000,0000,,Sawa, labda walikuwa na fahamu wakati uliwauliza Dialogue: 0,0:01:33.05,0:01:34.72,Default,,0000,0000,0000,,kama wanataka chai, na Dialogue: 0,0:01:34.72,0:01:36.70,Default,,0000,0000,0000,,wakasema ndio, lakini katika wakati uliokuchukua Dialogue: 0,0:01:36.70,0:01:38.05,Default,,0000,0000,0000,,kuchemsha birika, kuandaa hio chai na Dialogue: 0,0:01:38.05,0:01:40.96,Default,,0000,0000,0000,,uongeza maziwa , hawana fahamu sahi. Dialogue: 0,0:01:40.96,0:01:42.67,Default,,0000,0000,0000,,Unafaa kueka chai chini, Dialogue: 0,0:01:42.67,0:01:45.17,Default,,0000,0000,0000,,hakikisha huyu Dialogue: 0,0:01:45.17,0:01:47.28,Default,,0000,0000,0000,,Na hii ndio sehemu muhimu tena Dialogue: 0,0:01:47.28,0:01:49.95,Default,,0000,0000,0000,,Usiwalazimishe wanywe kahawa! Dialogue: 0,0:01:49.95,0:01:53.31,Default,,0000,0000,0000,,Walisema ndio angali, lakini watu wasio timamu Dialogue: 0,0:01:53.31,0:01:55.45,Default,,0000,0000,0000,,hawataki chai. Dialogue: 0,0:01:55.45,0:01:57.73,Default,,0000,0000,0000,,Kama mtu alisema ndio atakunywa chai, akanza Dialogue: 0,0:01:57.73,0:01:59.00,Default,,0000,0000,0000,,kuinywa alafu akazimia Dialogue: 0,0:01:59.00,0:02:00.96,Default,,0000,0000,0000,,kabla wamalize kuinywa, usiendelee Dialogue: 0,0:02:00.96,0:02:02.96,Default,,0000,0000,0000,,kumwaga ndani mwa kinywa zao Dialogue: 0,0:02:02.96,0:02:05.36,Default,,0000,0000,0000,,Peleka chai mbali, na uhakikishe ako salama. Dialogue: 0,0:02:05.36,0:02:09.99,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu watu wasio fahamu hawataki chai, nimamini. Dialogue: 0,0:02:10.44,0:02:11.72,Default,,0000,0000,0000,,Kama kuna mtu alisema ndio kwa chai karibu na Dialogue: 0,0:02:11.72,0:02:14.19,Default,,0000,0000,0000,,nyumba yako siku ya Juma Mosi, hio haimaanishi wanakutaka Dialogue: 0,0:02:14.19,0:02:16.44,Default,,0000,0000,0000,,uwatengenezee chai kila wakati. Dialogue: 0,0:02:16.44,0:02:17.40,Default,,0000,0000,0000,,Hawataki uje karibu na Dialogue: 0,0:02:17.40,0:02:19.49,Default,,0000,0000,0000,,kwao bila kutarajiwa na uwatengezee chai, Dialogue: 0,0:02:19.49,0:02:21.00,Default,,0000,0000,0000,,uwalazimishe kuinywa, ukisema: Dialogue: 0,0:02:21.00,0:02:22.85,Default,,0000,0000,0000,,"Lakini ulisema unahitaji chai wiki iliopita." Dialogue: 0,0:02:22.85,0:02:24.72,Default,,0000,0000,0000,,Ama waamke wapatae unawamwagia Dialogue: 0,0:02:24.72,0:02:25.72,Default,,0000,0000,0000,,chai chini mwa vinywa vyao, ukisema: Dialogue: 0,0:02:25.72,0:02:28.18,Default,,0000,0000,0000,,"Lakini ulisema unahitaji chai jana usiku." Dialogue: 0,0:02:28.18,0:02:29.38,Default,,0000,0000,0000,,Kama unaeza elewa kabsaa namna ya Dialogue: 0,0:02:29.38,0:02:31.18,Default,,0000,0000,0000,,upuzi kulazimisha watu kuchukua Dialogue: 0,0:02:31.18,0:02:32.71,Default,,0000,0000,0000,,chai wakati hawataki kunywa chai, na Dialogue: 0,0:02:32.71,0:02:34.35,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kuelewa wakati watu Dialogue: 0,0:02:34.35,0:02:37.21,Default,,0000,0000,0000,,hawataki chai, basi je, ni ugumu upi upo Dialogue: 0,0:02:37.21,0:02:39.08,Default,,0000,0000,0000,,kuelewa inapokuja kwa ngono? Dialogue: 0,0:02:39.34,0:02:41.40,Default,,0000,0000,0000,,Iwapo ni chai ama ngono, Dialogue: 0,0:02:42.00,0:02:43.82,Default,,0000,0000,0000,,kibali ni kila kitu. Dialogue: 0,0:02:43.83,0:02:45.83,Default,,0000,0000,0000,,Na juu ya huo wajibu, ninaenda Dialogue: 0,0:02:45.83,0:02:48.46,Default,,0000,0000,0000,,kujitengezea kikombe cha chai.