1 00:00:01,260 --> 00:00:02,909 - Kama bado unasumbukana na kibali, 2 00:00:02,930 --> 00:00:05,240 fikiria tu badala ya kuanzisha ngono, 3 00:00:05,269 --> 00:00:07,044 unawatengezea kikombe cha chai. 4 00:00:07,463 --> 00:00:09,359 Unasema: "Hey, ungependa kikombe cha chai?" 5 00:00:09,402 --> 00:00:12,084 Na wataenda: "Oh Mungu Wangu, ndio! 6 00:00:12,084 --> 00:00:14,886 "Ningependa sana kikombe cha chai! Ahsante!" 7 00:00:15,597 --> 00:00:17,938 Kisha unajua wanataka kikombe cha chai. 8 00:00:18,186 --> 00:00:20,736 Ukisema, "Ungependa kikombe cha chai?" 9 00:00:20,736 --> 00:00:24,185 Na wako kama:"Sina uhakika kikamilifu." 10 00:00:24,185 --> 00:00:25,835 Basi unaeza watengezea kikombe cha chai, 11 00:00:25,865 --> 00:00:27,525 ama la, lakini uwe mwangalifu; 12 00:00:27,525 --> 00:00:29,066 wanaeza kosa kuikunywa. 13 00:00:29,076 --> 00:00:31,348 Na wasipoinywa, basi - 14 00:00:31,348 --> 00:00:33,289 - na hapa ndipo pahali muhimu - 15 00:00:33,289 --> 00:00:35,682 - usiwalazimishe kunywa. 16 00:00:35,682 --> 00:00:37,586 Kwa sababu wewe ndio uliyeitengeneza haimaanishi 17 00:00:37,586 --> 00:00:39,112 uko na haki ya kuwaona wakiinywa. 18 00:00:39,732 --> 00:00:41,669 Na wakisema, "Hapana, ahsante." 19 00:00:41,669 --> 00:00:44,605 basi usiwatengezee chai, kabsaa. 20 00:00:44,605 --> 00:00:46,537 Usiwategenzee chai. 21 00:00:46,537 --> 00:00:47,723 Usiwafanye wakunywe chai, 22 00:00:47,723 --> 00:00:48,709 usiwakasirikie 23 00:00:48,709 --> 00:00:50,279 kwa kukataa kutaka chai 24 00:00:50,279 --> 00:00:52,915 hawataki chai tu, sawa? 25 00:00:52,915 --> 00:00:55,452 Wanaeza sema: "Ndio, tafadhali, 26 00:00:55,452 --> 00:00:56,791 "Huu ndi ukarimu wako" 27 00:00:56,791 --> 00:00:58,406 Na alafu chai itakapo wasili, 28 00:00:58,406 --> 00:01:00,244 hawataki chai kabsaa. 29 00:01:00,244 --> 00:01:01,986 Kwa ukweli iyo inaudhi kwa sababu umejitolea 30 00:01:01,986 --> 00:01:04,423 nguvu ya kutengeneza chai, 31 00:01:04,423 --> 00:01:07,763 lakini hawako katika wajibu ya kukunywa chai. 32 00:01:08,413 --> 00:01:10,424 Walitaka chai, sahii hawataki. 33 00:01:10,424 --> 00:01:11,988 Watu wengine hubadilisha mawazo katika ule muda 34 00:01:11,988 --> 00:01:14,191 inachukua birika, kuandaa chai 35 00:01:14,191 --> 00:01:15,333 na kuongeza maziwa. 36 00:01:15,333 --> 00:01:17,510 na ni sawa kwa watu kubadilisha mawazo. 37 00:01:17,510 --> 00:01:19,449 Na bado huna haki ya kuwaona 38 00:01:19,449 --> 00:01:20,859 wakiinywa. 39 00:01:20,859 --> 00:01:23,663 And kama hawana fahamu, usiwatengezee kahawa. 40 00:01:23,663 --> 00:01:25,848 Watu hawana fahamu hawataki chai, na 41 00:01:25,848 --> 00:01:28,622 hawawezi jibu hilo swali, "Unataka chai?" 42 00:01:28,622 --> 00:01:31,097 kwa sababu hawana famahu. 43 00:01:31,097 --> 00:01:33,049 Sawa, labda walikuwa na fahamu wakati uliwauliza 44 00:01:33,049 --> 00:01:34,725 kama wanataka chai, na 45 00:01:34,725 --> 00:01:36,697 wakasema ndio, lakini katika wakati uliokuchukua 46 00:01:36,697 --> 00:01:38,051 kuchemsha birika, kuandaa hio chai na 47 00:01:38,051 --> 00:01:40,964 uongeza maziwa , hawana fahamu sahi. 48 00:01:40,964 --> 00:01:42,673 Unafaa kueka chai chini, 49 00:01:42,673 --> 00:01:45,166 hakikisha huyu 50 00:01:45,166 --> 00:01:47,280 Na hii ndio sehemu muhimu tena 51 00:01:47,280 --> 00:01:49,946 Usiwalazimishe wanywe kahawa! 52 00:01:49,946 --> 00:01:53,314 Walisema ndio angali, lakini watu wasio timamu 53 00:01:53,314 --> 00:01:55,451 hawataki chai. 54 00:01:55,451 --> 00:01:57,728 Kama mtu alisema ndio atakunywa chai, akanza 55 00:01:57,728 --> 00:01:59,002 kuinywa alafu akazimia 56 00:01:59,002 --> 00:02:00,964 kabla wamalize kuinywa, usiendelee 57 00:02:00,964 --> 00:02:02,955 kumwaga ndani mwa kinywa zao 58 00:02:02,955 --> 00:02:05,357 Peleka chai mbali, na uhakikishe ako salama. 59 00:02:05,357 --> 00:02:09,990 Kwa sababu watu wasio fahamu hawataki chai, nimamini. 60 00:02:10,440 --> 00:02:11,720 Kama kuna mtu alisema ndio kwa chai karibu na 61 00:02:11,720 --> 00:02:14,189 nyumba yako siku ya Juma Mosi, hio haimaanishi wanakutaka 62 00:02:14,189 --> 00:02:16,439 uwatengenezee chai kila wakati. 63 00:02:16,439 --> 00:02:17,399 Hawataki uje karibu na 64 00:02:17,399 --> 00:02:19,486 kwao bila kutarajiwa na uwatengezee chai, 65 00:02:19,486 --> 00:02:21,002 uwalazimishe kuinywa, ukisema: 66 00:02:21,002 --> 00:02:22,852 "Lakini ulisema unahitaji chai wiki iliopita." 67 00:02:22,852 --> 00:02:24,715 Ama waamke wapatae unawamwagia 68 00:02:24,715 --> 00:02:25,717 chai chini mwa vinywa vyao, ukisema: 69 00:02:25,717 --> 00:02:28,183 "Lakini ulisema unahitaji chai jana usiku." 70 00:02:28,183 --> 00:02:29,377 Kama unaeza elewa kabsaa namna ya 71 00:02:29,377 --> 00:02:31,180 upuzi kulazimisha watu kuchukua 72 00:02:31,180 --> 00:02:32,714 chai wakati hawataki kunywa chai, na 73 00:02:32,714 --> 00:02:34,347 unaweza kuelewa wakati watu 74 00:02:34,347 --> 00:02:37,206 hawataki chai, basi je, ni ugumu upi upo 75 00:02:37,206 --> 00:02:39,081 kuelewa inapokuja kwa ngono? 76 00:02:39,343 --> 00:02:41,402 Iwapo ni chai ama ngono, 77 00:02:42,004 --> 00:02:43,821 kibali ni kila kitu. 78 00:02:43,831 --> 00:02:45,831 Na juu ya huo wajibu, ninaenda 79 00:02:45,831 --> 00:02:48,462 kujitengezea kikombe cha chai.