[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.32,0:00:04.60,Default,,0000,0000,0000,,Je kama unaweza kuchukua kidonge \Nau chanjo Dialogue: 0,0:00:04.73,0:00:06.67,Default,,0000,0000,0000,,na kama ukawa unapona mafua, Dialogue: 0,0:00:06.78,0:00:08.78,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kuponya jeraha kwa urahisi? Dialogue: 0,0:00:08.90,0:00:12.05,Default,,0000,0000,0000,,Leo, kama tukiwa na upasuaji au ajali, Dialogue: 0,0:00:12.36,0:00:13.98,Default,,0000,0000,0000,,tunakaa hospitalini kwa wiki, Dialogue: 0,0:00:14.00,0:00:16.63,Default,,0000,0000,0000,,na mara nyingi tunabaki na makovu \Nna madhara ya uchungu Dialogue: 0,0:00:16.65,0:00:21.78,Default,,0000,0000,0000,,kwa uwezo wetu wa kutengeneza au\Nkukuza afya, na viungo visivyo na jeraha. Dialogue: 0,0:00:22.44,0:00:24.46,Default,,0000,0000,0000,,Nafanya kazi kujenga vifaa Dialogue: 0,0:00:24.49,0:00:28.69,Default,,0000,0000,0000,,vinavyofundisha mfumo wetu wa kinga ili\Nutupe alama za kukuza tishu mpya. Dialogue: 0,0:00:29.50,0:00:32.57,Default,,0000,0000,0000,,Kama tu chanjo inavyofundisha\Nmwili wetu kupigana na magonjwa, Dialogue: 0,0:00:32.60,0:00:35.32,Default,,0000,0000,0000,,badala yake tunaweza fundisha\Nmfumo wetu wa kinga Dialogue: 0,0:00:35.35,0:00:38.21,Default,,0000,0000,0000,,kujenga tishu\Nna kuponya majeraha kwa urahisi. Dialogue: 0,0:00:38.89,0:00:42.66,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, kukuza sehemu za mwili kutoka\Npopote inaweza kuonekana kama uchawi, Dialogue: 0,0:00:42.69,0:00:45.88,Default,,0000,0000,0000,,lakini kuna viumbe kadhaa\Nvinavyoweza kutimiza mafanikio haya. Dialogue: 0,0:00:45.90,0:00:48.35,Default,,0000,0000,0000,,Baadhi ya mijusi inaweza kukuza mikia yao, Dialogue: 0,0:00:48.37,0:00:52.32,Default,,0000,0000,0000,,yule salamanda mnyenyekevu\Nanaweza kukuza kabisa mkono wake, Dialogue: 0,0:00:52.34,0:00:55.23,Default,,0000,0000,0000,,na hata binadamu tu\Nwanaweza kukuza ini lao Dialogue: 0,0:00:55.25,0:00:58.34,Default,,0000,0000,0000,,baada ya kupoteza zaidi ya nusu\Nya uzito wao wa awali. Dialogue: 0,0:00:58.62,0:01:01.25,Default,,0000,0000,0000,,Ili kufanya uchawi huu\Nkuwa karibu zaidi na ukweli, Dialogue: 0,0:01:01.27,0:01:05.37,Default,,0000,0000,0000,,nina fanya uchunguzi wa jinsi mwili wetu\Nunaweza kuponya majeraha na kujenga tishu Dialogue: 0,0:01:05.39,0:01:07.52,Default,,0000,0000,0000,,kupitia maelekezo kutoka mfumo\Nwa kinga. Dialogue: 0,0:01:08.39,0:01:11.91,Default,,0000,0000,0000,,Kutoka kwenye mkato wa goti lako\Nmpaka maambukizi ya sinus yanayoboa, Dialogue: 0,0:01:11.94,0:01:14.62,Default,,0000,0000,0000,,mfumo wetu wa kinga unalinda\Nmwili wetu na hatari. Dialogue: 0,0:01:15.20,0:01:16.66,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ni immunolojisti Dialogue: 0,0:01:16.68,0:01:19.71,Default,,0000,0000,0000,,na kwa kutumia ninachojua\Nkuhusu mfumo wa ulinzi wa mwili wetu, Dialogue: 0,0:01:19.74,0:01:21.91,Default,,0000,0000,0000,,niliweza kutambua wachezaji wakuu Dialogue: 0,0:01:21.94,0:01:24.63,Default,,0000,0000,0000,,kwenye mapambano ya kujenga \Nmikato na michubuko yetu. Dialogue: 0,0:01:25.44,0:01:28.10,Default,,0000,0000,0000,,Tunapoangalia vifaa\Nvinavyojaribiwa kwa sasa Dialogue: 0,0:01:28.13,0:01:30.33,Default,,0000,0000,0000,,kwa uwezo wao wa kusaidia kukuza misuli, Dialogue: 0,0:01:30.35,0:01:34.51,Default,,0000,0000,0000,,timu yetu imeona kua baada ya kutibu\Nmsuli uliojeruhiwa na vifaa hivi, Dialogue: 0,0:01:34.53,0:01:36.86,Default,,0000,0000,0000,,kulikua na idadi kubwa ya seli za kinga Dialogue: 0,0:01:36.88,0:01:39.44,Default,,0000,0000,0000,,ndani ya kifaa\Nna inayozunguka msuli. Dialogue: 0,0:01:40.01,0:01:41.17,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kwa sababu hii, Dialogue: 0,0:01:41.19,0:01:45.41,Default,,0000,0000,0000,,badala ya seli za kinga kukimbilia\Nkwenye maambukizi kupigana na bakteria, Dialogue: 0,0:01:45.43,0:01:47.52,Default,,0000,0000,0000,,zinakimbilia kuelekea kwenye jeraha. Dialogue: 0,0:01:47.92,0:01:50.76,Default,,0000,0000,0000,,Nimegundua aina maalum\Nya seli za kinga, Dialogue: 0,0:01:50.78,0:01:52.07,Default,,0000,0000,0000,,ni msaidizi T kiini, Dialogue: 0,0:01:52.10,0:01:54.83,Default,,0000,0000,0000,,ilikua inapatikana ndani ya\Nkile kifaa nilichokipanda Dialogue: 0,0:01:54.85,0:01:57.77,Default,,0000,0000,0000,,na ni muhimu kabisa kwa ajili ya uponyaji\Njeraha. Dialogue: 0,0:01:58.32,0:02:01.77,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, kama tu ulivyokua mdogo na\Nukavunja penseli yako Dialogue: 0,0:02:01.79,0:02:04.33,Default,,0000,0000,0000,,na kujaribu kugundisha kwa pamoja tena, Dialogue: 0,0:02:04.35,0:02:05.51,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kupona, Dialogue: 0,0:02:05.53,0:02:07.78,Default,,0000,0000,0000,,lakini inaweza isiwe\Nnjia inayofanya kazi zaidi, Dialogue: 0,0:02:07.80,0:02:09.17,Default,,0000,0000,0000,,na tutapata kovu. Dialogue: 0,0:02:09.52,0:02:12.50,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kama hatuna hizi msaidizi T kiini, Dialogue: 0,0:02:12.52,0:02:14.11,Default,,0000,0000,0000,,badala ya misuli yenye afya, Dialogue: 0,0:02:14.13,0:02:16.74,Default,,0000,0000,0000,,misuli yetu inatengeneza\Nseli za mafuta ndani yake, Dialogue: 0,0:02:16.77,0:02:19.65,Default,,0000,0000,0000,,na kama kuna mafuta kwenye misuli yetu,\Nhaina nguvu. Dialogue: 0,0:02:20.03,0:02:22.43,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, kutumia mfumo wetu wa kinga, Dialogue: 0,0:02:22.46,0:02:24.95,Default,,0000,0000,0000,,miili yetu inaweza kukua tena\Nbila haya makovu Dialogue: 0,0:02:24.98,0:02:28.38,Default,,0000,0000,0000,,na kuonekana kama ilivyokua\Nkabla hata hatujajeruhiwa. Dialogue: 0,0:02:29.13,0:02:31.69,Default,,0000,0000,0000,,Nina fanya kazi kutengeneza vifaa Dialogue: 0,0:02:31.71,0:02:33.99,Default,,0000,0000,0000,,vinavyotuma alama\Nza kujenga tishu mpya Dialogue: 0,0:02:34.02,0:02:36.30,Default,,0000,0000,0000,,kwa kubadilisha mwitikio wa kinga. Dialogue: 0,0:02:36.84,0:02:41.06,Default,,0000,0000,0000,,Tunajua kua muda wowote\Nkifaa kinapopandwa mwilini mwetu, Dialogue: 0,0:02:41.08,0:02:43.13,Default,,0000,0000,0000,,mfumo wa kinga utaitikia kwake. Dialogue: 0,0:02:43.16,0:02:47.67,Default,,0000,0000,0000,,Hii hutofautiana kwanzia kipima mapigo ya\Nmoyo mpaka pampu za insulini Dialogue: 0,0:02:47.69,0:02:51.62,Default,,0000,0000,0000,,mpaka vifaa ambavyo wanatumia wahandisi\Nili kujaribu kujenga tishu mpya. Dialogue: 0,0:02:51.93,0:02:55.100,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ninapoweka hicho kifaa,\Nau kiguzo, ndani ya mwili, Dialogue: 0,0:02:56.02,0:03:00.43,Default,,0000,0000,0000,,mfumo wa kinga hutengeneza\Nmazingira madogo ya seli na protini Dialogue: 0,0:03:00.45,0:03:03.32,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zinaweza badili jinsi\Nseli shina zetu zinavyoishi. Dialogue: 0,0:03:03.82,0:03:07.72,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, kama hali ya hewa\Ninavyoathiri shughuli zetu za siku, Dialogue: 0,0:03:07.74,0:03:09.06,Default,,0000,0000,0000,,kama kwenda kukimbia Dialogue: 0,0:03:09.09,0:03:13.57,Default,,0000,0000,0000,,au kukaa ndani na kutazama\Nkipindi kizima cha TV kwenye Netflix, Dialogue: 0,0:03:13.60,0:03:15.56,Default,,0000,0000,0000,,mazingira ya kinga ya kiguzo Dialogue: 0,0:03:15.59,0:03:18.64,Default,,0000,0000,0000,,inaathiri jinsi seli shina zetu\Nzinavyokua na kuendelea. Dialogue: 0,0:03:18.88,0:03:20.90,Default,,0000,0000,0000,,Kama tunakua na ishara za mbovu, Dialogue: 0,0:03:20.92,0:03:22.60,Default,,0000,0000,0000,,tuseme kama ishara za Netflix, Dialogue: 0,0:03:22.62,0:03:25.75,Default,,0000,0000,0000,,tunapata seli za mafuta badala ya misuli. Dialogue: 0,0:03:26.79,0:03:29.92,Default,,0000,0000,0000,,Viguzo hivi vimetengenezwa na\Naina nyingi tofauti ya vitu, Dialogue: 0,0:03:29.94,0:03:33.31,Default,,0000,0000,0000,,kwanzia plastiki mpaka vitu\Nvinavyopatikana kiasili, Dialogue: 0,0:03:33.33,0:03:36.08,Default,,0000,0000,0000,,nyuzi ndogo zinazotofautiana unene, Dialogue: 0,0:03:36.10,0:03:38.52,Default,,0000,0000,0000,,sifongo ambazo zina matundu makubwa\Nau madogo, Dialogue: 0,0:03:38.54,0:03:40.66,Default,,0000,0000,0000,,jeli zenye ugumu unaotofautiana. Dialogue: 0,0:03:40.68,0:03:42.80,Default,,0000,0000,0000,,Na watafiti wanaweza hata \Nkutengeneza vifaa Dialogue: 0,0:03:42.82,0:03:44.86,Default,,0000,0000,0000,,kutoa ishara tofauti na mda. Dialogue: 0,0:03:45.47,0:03:50.72,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kwa maneno mengine, tunaweza kupanga\Nmaonyesho hayaya Broadway ya seli Dialogue: 0,0:03:50.74,0:03:54.60,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuzipa jukwaa, sehemu\Nna heshima sahihi Dialogue: 0,0:03:54.62,0:03:56.85,Default,,0000,0000,0000,,inayoweza kubadilishwa kwa tishu tofauti, Dialogue: 0,0:03:56.87,0:03:59.07,Default,,0000,0000,0000,,kama tu mtengenezaji anavyobadilisha\Njukwaa Dialogue: 0,0:03:59.09,0:04:02.01,Default,,0000,0000,0000,,kwa "Les Mis" dhidi ya \N"Little Shop of Horrors." Dialogue: 0,0:04:02.40,0:04:05.08,Default,,0000,0000,0000,,Nina changanya aina maalum za ishara Dialogue: 0,0:04:05.11,0:04:09.81,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zinaiga jinsi miili yetu inavyojibu\Nmaumivu kutusaidia kua wapya. Dialogue: 0,0:04:10.28,0:04:13.81,Default,,0000,0000,0000,,Huko mbeleni, tutaona bandi ya misaada\Nambayo ni kizuia kovu, Dialogue: 0,0:04:13.84,0:04:17.81,Default,,0000,0000,0000,,kijazo cha msuli kinachofinyangika\Nau hata chanjo inayoponya jeraha. Dialogue: 0,0:04:17.84,0:04:21.41,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, hatutaweza kuamka kesho na\Nkuweza kuponywa kama Wolverine. Dialogue: 0,0:04:21.44,0:04:23.30,Default,,0000,0000,0000,,Pengine hata sio Jumanne ijayo pia. Dialogue: 0,0:04:23.33,0:04:24.51,Default,,0000,0000,0000,,Ila na haya maednelelo, Dialogue: 0,0:04:24.54,0:04:28.74,Default,,0000,0000,0000,,na kufanya kazi na mfumo wetu wa kinga\Nkusaidia kuunda tishu na kutibu majeraha, Dialogue: 0,0:04:28.76,0:04:30.99,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kuanza kuona\Nbidhaa kwenye soko Dialogue: 0,0:04:31.02,0:04:34.88,Default,,0000,0000,0000,,zinazofanya kazi na mfumo wa ulinzi \Nmwilini kusaidia kutengeneza upya, Dialogue: 0,0:04:34.91,0:04:38.96,Default,,0000,0000,0000,,na labda siku moja tutaweza \Nkua sambamba na salamander. Dialogue: 0,0:04:39.88,0:04:41.03,Default,,0000,0000,0000,,Asante. Dialogue: 0,0:04:41.05,0:04:44.69,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)