0:00:01.324,0:00:04.602 Je kama unaweza kuchukua kidonge [br]au chanjo 0:00:04.730,0:00:06.670 na kama ukawa unapona mafua, 0:00:06.780,0:00:08.785 unaweza kuponya jeraha kwa urahisi? 0:00:08.899,0:00:12.051 Leo, kama tukiwa na upasuaji au ajali, 0:00:12.355,0:00:13.976 tunakaa hospitalini kwa wiki, 0:00:14.000,0:00:16.626 na mara nyingi tunabaki na makovu [br]na madhara ya uchungu 0:00:16.650,0:00:21.785 kwa uwezo wetu wa kutengeneza au[br]kukuza afya, na viungo visivyo na jeraha. 0:00:22.436,0:00:24.462 Nafanya kazi kujenga vifaa 0:00:24.486,0:00:28.689 vinavyofundisha mfumo wetu wa kinga ili[br]utupe alama za kukuza tishu mpya. 0:00:29.497,0:00:32.571 Kama tu chanjo inavyofundisha[br]mwili wetu kupigana na magonjwa, 0:00:32.595,0:00:35.323 badala yake tunaweza fundisha[br]mfumo wetu wa kinga 0:00:35.347,0:00:38.211 kujenga tishu[br]na kuponya majeraha kwa urahisi. 0:00:38.886,0:00:42.664 Sasa, kukuza sehemu za mwili kutoka[br]popote inaweza kuonekana kama uchawi, 0:00:42.688,0:00:45.879 lakini kuna viumbe kadhaa[br]vinavyoweza kutimiza mafanikio haya. 0:00:45.903,0:00:48.346 Baadhi ya mijusi inaweza kukuza mikia yao, 0:00:48.370,0:00:52.315 yule salamanda mnyenyekevu[br]anaweza kukuza kabisa mkono wake, 0:00:52.339,0:00:55.228 na hata binadamu tu[br]wanaweza kukuza ini lao 0:00:55.252,0:00:58.343 baada ya kupoteza zaidi ya nusu[br]ya uzito wao wa awali. 0:00:58.615,0:01:01.250 Ili kufanya uchawi huu[br]kuwa karibu zaidi na ukweli, 0:01:01.274,0:01:05.369 nina fanya uchunguzi wa jinsi mwili wetu[br]unaweza kuponya majeraha na kujenga tishu 0:01:05.393,0:01:07.522 kupitia maelekezo kutoka mfumo[br]wa kinga. 0:01:08.387,0:01:11.912 Kutoka kwenye mkato wa goti lako[br]mpaka maambukizi ya sinus yanayoboa, 0:01:11.936,0:01:14.617 mfumo wetu wa kinga unalinda[br]mwili wetu na hatari. 0:01:15.199,0:01:16.660 Mimi ni immunolojisti 0:01:16.684,0:01:19.714 na kwa kutumia ninachojua[br]kuhusu mfumo wa ulinzi wa mwili wetu, 0:01:19.738,0:01:21.914 niliweza kutambua wachezaji wakuu 0:01:21.938,0:01:24.626 kwenye mapambano ya kujenga [br]mikato na michubuko yetu. 0:01:25.436,0:01:28.105 Tunapoangalia vifaa[br]vinavyojaribiwa kwa sasa 0:01:28.129,0:01:30.327 kwa uwezo wao wa kusaidia kukuza misuli, 0:01:30.351,0:01:34.510 timu yetu imeona kua baada ya kutibu[br]msuli uliojeruhiwa na vifaa hivi, 0:01:34.534,0:01:36.857 kulikua na idadi kubwa ya seli za kinga 0:01:36.881,0:01:39.438 ndani ya kifaa[br]na inayozunguka msuli. 0:01:40.010,0:01:41.168 Hivyo kwa sababu hii, 0:01:41.192,0:01:45.406 badala ya seli za kinga kukimbilia[br]kwenye maambukizi kupigana na bakteria, 0:01:45.430,0:01:47.517 zinakimbilia kuelekea kwenye jeraha. 0:01:47.922,0:01:50.755 Nimegundua aina maalum[br]ya seli za kinga, 0:01:50.779,0:01:52.073 ni msaidizi T kiini, 0:01:52.097,0:01:54.826 ilikua inapatikana ndani ya[br]kile kifaa nilichokipanda 0:01:54.850,0:01:57.767 na ni muhimu kabisa kwa ajili ya uponyaji[br]jeraha. 0:01:58.325,0:02:01.767 Sasa, kama tu ulivyokua mdogo na[br]ukavunja penseli yako 0:02:01.791,0:02:04.329 na kujaribu kugundisha kwa pamoja tena, 0:02:04.353,0:02:05.507 tunaweza kupona, 0:02:05.531,0:02:07.776 lakini inaweza isiwe[br]njia inayofanya kazi zaidi, 0:02:07.800,0:02:09.173 na tutapata kovu. 0:02:09.515,0:02:12.499 Hivyo kama hatuna hizi msaidizi T kiini, 0:02:12.523,0:02:14.110 badala ya misuli yenye afya, 0:02:14.134,0:02:16.745 misuli yetu inatengeneza[br]seli za mafuta ndani yake, 0:02:16.769,0:02:19.646 na kama kuna mafuta kwenye misuli yetu,[br]haina nguvu. 0:02:20.033,0:02:22.433 Sasa, kutumia mfumo wetu wa kinga, 0:02:22.457,0:02:24.954 miili yetu inaweza kukua tena[br]bila haya makovu 0:02:24.978,0:02:28.380 na kuonekana kama ilivyokua[br]kabla hata hatujajeruhiwa. 0:02:29.128,0:02:31.688 Nina fanya kazi kutengeneza vifaa 0:02:31.712,0:02:33.991 vinavyotuma alama[br]za kujenga tishu mpya 0:02:34.015,0:02:36.305 kwa kubadilisha mwitikio wa kinga. 0:02:36.840,0:02:41.055 Tunajua kua muda wowote[br]kifaa kinapopandwa mwilini mwetu, 0:02:41.079,0:02:43.134 mfumo wa kinga utaitikia kwake. 0:02:43.158,0:02:47.667 Hii hutofautiana kwanzia kipima mapigo ya[br]moyo mpaka pampu za insulini 0:02:47.691,0:02:51.617 mpaka vifaa ambavyo wanatumia wahandisi[br]ili kujaribu kujenga tishu mpya. 0:02:51.932,0:02:55.997 Hivyo ninapoweka hicho kifaa,[br]au kiguzo, ndani ya mwili, 0:02:56.021,0:03:00.426 mfumo wa kinga hutengeneza[br]mazingira madogo ya seli na protini 0:03:00.450,0:03:03.322 ambazo zinaweza badili jinsi[br]seli shina zetu zinavyoishi. 0:03:03.817,0:03:07.715 Sasa, kama hali ya hewa[br]inavyoathiri shughuli zetu za siku, 0:03:07.739,0:03:09.064 kama kwenda kukimbia 0:03:09.088,0:03:13.573 au kukaa ndani na kutazama[br]kipindi kizima cha TV kwenye Netflix, 0:03:13.597,0:03:15.565 mazingira ya kinga ya kiguzo 0:03:15.589,0:03:18.644 inaathiri jinsi seli shina zetu[br]zinavyokua na kuendelea. 0:03:18.883,0:03:20.899 Kama tunakua na ishara za mbovu, 0:03:20.923,0:03:22.598 tuseme kama ishara za Netflix, 0:03:22.622,0:03:25.746 tunapata seli za mafuta badala ya misuli. 0:03:26.790,0:03:29.917 Viguzo hivi vimetengenezwa na[br]aina nyingi tofauti ya vitu, 0:03:29.941,0:03:33.306 kwanzia plastiki mpaka vitu[br]vinavyopatikana kiasili, 0:03:33.330,0:03:36.081 nyuzi ndogo zinazotofautiana unene, 0:03:36.105,0:03:38.518 sifongo ambazo zina matundu makubwa[br]au madogo, 0:03:38.542,0:03:40.661 jeli zenye ugumu unaotofautiana. 0:03:40.685,0:03:42.795 Na watafiti wanaweza hata [br]kutengeneza vifaa 0:03:42.819,0:03:44.858 kutoa ishara tofauti na mda. 0:03:45.473,0:03:50.719 Hivyo kwa maneno mengine, tunaweza kupanga[br]maonyesho hayaya Broadway ya seli 0:03:50.743,0:03:54.601 kwa kuzipa jukwaa, sehemu[br]na heshima sahihi 0:03:54.625,0:03:56.846 inayoweza kubadilishwa kwa tishu tofauti, 0:03:56.870,0:03:59.066 kama tu mtengenezaji anavyobadilisha[br]jukwaa 0:03:59.090,0:04:02.013 kwa "Les Mis" dhidi ya [br]"Little Shop of Horrors." 0:04:02.398,0:04:05.082 Nina changanya aina maalum za ishara 0:04:05.106,0:04:09.814 ambazo zinaiga jinsi miili yetu inavyojibu[br]maumivu kutusaidia kua wapya. 0:04:10.283,0:04:13.811 Huko mbeleni, tutaona bandi ya misaada[br]ambayo ni kizuia kovu, 0:04:13.835,0:04:17.813 kijazo cha msuli kinachofinyangika[br]au hata chanjo inayoponya jeraha. 0:04:17.837,0:04:21.414 Sasa, hatutaweza kuamka kesho na[br]kuweza kuponywa kama Wolverine. 0:04:21.438,0:04:23.304 Pengine hata sio Jumanne ijayo pia. 0:04:23.328,0:04:24.512 Ila na haya maednelelo, 0:04:24.536,0:04:28.741 na kufanya kazi na mfumo wetu wa kinga[br]kusaidia kuunda tishu na kutibu majeraha, 0:04:28.765,0:04:30.994 tunaweza kuanza kuona[br]bidhaa kwenye soko 0:04:31.018,0:04:34.884 zinazofanya kazi na mfumo wa ulinzi [br]mwilini kusaidia kutengeneza upya, 0:04:34.908,0:04:38.963 na labda siku moja tutaweza [br]kua sambamba na salamander. 0:04:39.876,0:04:41.027 Asante. 0:04:41.051,0:04:44.690 (Makofi)