WEBVTT 00:00:00.419 --> 00:00:02.573 Ni milinganyo gani ni 00:00:02.573 --> 00:00:06.860 sawa na x jumlisha mbili y jumlisha x jumlisha mbili? 00:00:06.860 --> 00:00:09.867 Chagua mlinganyo sahihi. 00:00:09.867 --> 00:00:13.281 Hebu tuone kama ninaweza kuufanya huu mlinganyo 00:00:13.281 --> 00:00:16.657 Ngoja niuandike, kwa hiyo nina x jumlisha... 00:00:16.657 --> 00:00:21.611 x jumlisha mbili y jumlisha x jumlisha mbili. 00:00:21.611 --> 00:00:23.379 Kwa hiyo, kitu cha kwanza kinachokuja akilini mwangu, 00:00:23.379 --> 00:00:24.637 kabla hata sijaangalia hii milinganyo, 00:00:24.637 --> 00:00:27.299 Nina x hapa, nina x pale. 00:00:27.299 --> 00:00:29.351 Kama ni x moja, kisha nikajumlisha na x nyingine 00:00:29.351 --> 00:00:32.846 zitakuwa x mbili hivyo nitaandika tena kama hivi... 00:00:32.846 --> 00:00:34.350 ngoja nitumie rangi nyingine. 00:00:34.350 --> 00:00:37.376 Ninaweza kuiandika hii x na hii x, 00:00:37.376 --> 00:00:40.078 kama nikizijumlisha zitakuwa x mbili 00:00:40.078 --> 00:00:43.471 Kwa hiyo hii ni...sitaki kuruka hatua yoyote 00:00:43.471 --> 00:00:46.945 hivyo, x jumlisha x jumlisha mbili y... 00:00:46.945 --> 00:00:49.242 sasa ngoja nibadilishe mpangilio. 00:00:49.242 --> 00:00:51.517 Na kisha hizi x mbili hapa, 00:00:51.517 --> 00:00:54.220 ninaweza kuziandika ka mbili x. 00:00:54.220 --> 00:00:57.575 Kwa hiyo, nina mbili x jumlisha mbili y... 00:00:57.575 --> 00:01:00.955 jumlisha mbili y jumlisha mbili. 00:01:00.955 --> 00:01:03.240 Sasa hebu tuone, katika hizi chaguzi zangu... 00:01:03.240 --> 00:01:05.767 huu hapa, 00:01:05.767 --> 00:01:10.247 huu mbili x jumlisha nne y jumlisha nne. 00:01:10.247 --> 00:01:13.581 Huu siyo sahihi, nina mbili x jumlisha mbili y jumlisha 2, 00:01:13.581 --> 00:01:15.247 kwa hiyo naweza kuichukua hii 00:01:15.247 --> 00:01:16.871 Sasa, huu hapa unachekesha, unaonekana kama 00:01:16.871 --> 00:01:17.950 wameizidisha mbili. 00:01:17.950 --> 00:01:20.509 Hebu tuone kama tukizidisha mbili hapa nini kitatokea? 00:01:20.509 --> 00:01:22.642 Kwa hiyo mbili ni kigawo cha hii namba 00:01:22.642 --> 00:01:25.507 ni kigawo cha hii namba, ni kigawo cha hii namba 00:01:25.507 --> 00:01:28.717 Hebu tuone kama tunaweza kugawanya. 00:01:28.717 --> 00:01:32.516 Kwa hiyo, itakuwa mbili mara x, 00:01:32.516 --> 00:01:37.373 kwa hiyo nitaiandika x kwa rangi hii hii, mbili mara x jumlisha, 00:01:37.373 --> 00:01:40.847 y imebaki tulipoitoa mbili 00:01:40.847 --> 00:01:42.350 Na kama ukiitoa mbili nje ya mabano hapa, 00:01:42.350 --> 00:01:43.895 utabakiwa na moja. 00:01:43.895 --> 00:01:46.983 Kwa hiyo, mbili mara x jumlisha y jumlisha moja. 00:01:46.983 --> 00:01:49.705 Ambacho ni sawa na tulichopata hapa. 00:01:49.705 --> 00:01:51.513 Kwa kuwa niliweza kuchagua jibu, 00:01:51.513 --> 00:01:56.355 Sitachagua 'hakuna jibu sahihi'