[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.42,0:00:02.57,Default,,0000,0000,0000,,Ni milinganyo gani ni Dialogue: 0,0:00:02.57,0:00:06.86,Default,,0000,0000,0000,,sawa na x jumlisha mbili y jumlisha x jumlisha mbili? Dialogue: 0,0:00:06.86,0:00:09.87,Default,,0000,0000,0000,,Chagua mlinganyo sahihi. Dialogue: 0,0:00:09.87,0:00:13.28,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuone kama ninaweza kuufanya huu mlinganyo Dialogue: 0,0:00:13.28,0:00:16.66,Default,,0000,0000,0000,,Ngoja niuandike, kwa hiyo nina x jumlisha... Dialogue: 0,0:00:16.66,0:00:21.61,Default,,0000,0000,0000,,x jumlisha mbili y jumlisha x jumlisha mbili. Dialogue: 0,0:00:21.61,0:00:23.38,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, kitu cha kwanza kinachokuja akilini mwangu, Dialogue: 0,0:00:23.38,0:00:24.64,Default,,0000,0000,0000,,kabla hata sijaangalia hii milinganyo, Dialogue: 0,0:00:24.64,0:00:27.30,Default,,0000,0000,0000,,Nina x hapa, nina x pale. Dialogue: 0,0:00:27.30,0:00:29.35,Default,,0000,0000,0000,,Kama ni x moja, kisha nikajumlisha na x nyingine Dialogue: 0,0:00:29.35,0:00:32.85,Default,,0000,0000,0000,,zitakuwa x mbili hivyo nitaandika tena kama hivi... Dialogue: 0,0:00:32.85,0:00:34.35,Default,,0000,0000,0000,,ngoja nitumie rangi nyingine. Dialogue: 0,0:00:34.35,0:00:37.38,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kuiandika hii x na hii x, Dialogue: 0,0:00:37.38,0:00:40.08,Default,,0000,0000,0000,,kama nikizijumlisha zitakuwa x mbili Dialogue: 0,0:00:40.08,0:00:43.47,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hii ni...sitaki kuruka hatua yoyote Dialogue: 0,0:00:43.47,0:00:46.94,Default,,0000,0000,0000,,hivyo, x jumlisha x jumlisha mbili y... Dialogue: 0,0:00:46.94,0:00:49.24,Default,,0000,0000,0000,,sasa ngoja nibadilishe mpangilio. Dialogue: 0,0:00:49.24,0:00:51.52,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha hizi x mbili hapa, Dialogue: 0,0:00:51.52,0:00:54.22,Default,,0000,0000,0000,,ninaweza kuziandika ka mbili x. Dialogue: 0,0:00:54.22,0:00:57.58,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, nina mbili x jumlisha mbili y... Dialogue: 0,0:00:57.58,0:01:00.96,Default,,0000,0000,0000,,jumlisha mbili y jumlisha mbili. Dialogue: 0,0:01:00.96,0:01:03.24,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hebu tuone, katika hizi chaguzi zangu... Dialogue: 0,0:01:03.24,0:01:05.77,Default,,0000,0000,0000,,huu hapa, Dialogue: 0,0:01:05.77,0:01:10.25,Default,,0000,0000,0000,,huu mbili x jumlisha nne y jumlisha nne. Dialogue: 0,0:01:10.25,0:01:13.58,Default,,0000,0000,0000,,Huu siyo sahihi, nina mbili x jumlisha mbili y jumlisha 2, Dialogue: 0,0:01:13.58,0:01:15.25,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo naweza kuichukua hii Dialogue: 0,0:01:15.25,0:01:16.87,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, huu hapa unachekesha, unaonekana kama Dialogue: 0,0:01:16.87,0:01:17.95,Default,,0000,0000,0000,,wameizidisha mbili. Dialogue: 0,0:01:17.95,0:01:20.51,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuone kama tukizidisha mbili hapa nini kitatokea? Dialogue: 0,0:01:20.51,0:01:22.64,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo mbili ni kigawo cha hii namba Dialogue: 0,0:01:22.64,0:01:25.51,Default,,0000,0000,0000,,ni kigawo cha hii namba, ni kigawo cha hii namba Dialogue: 0,0:01:25.51,0:01:28.72,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuone kama tunaweza kugawanya. Dialogue: 0,0:01:28.72,0:01:32.52,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, itakuwa mbili mara x, Dialogue: 0,0:01:32.52,0:01:37.37,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo nitaiandika x kwa rangi hii hii, mbili mara x jumlisha, Dialogue: 0,0:01:37.37,0:01:40.85,Default,,0000,0000,0000,,y imebaki tulipoitoa mbili Dialogue: 0,0:01:40.85,0:01:42.35,Default,,0000,0000,0000,,Na kama ukiitoa mbili nje ya mabano hapa, Dialogue: 0,0:01:42.35,0:01:43.90,Default,,0000,0000,0000,,utabakiwa na moja. Dialogue: 0,0:01:43.90,0:01:46.98,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, mbili mara x jumlisha y jumlisha moja. Dialogue: 0,0:01:46.98,0:01:49.70,Default,,0000,0000,0000,,Ambacho ni sawa na tulichopata hapa. Dialogue: 0,0:01:49.70,0:01:51.51,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuwa niliweza kuchagua jibu, Dialogue: 0,0:01:51.51,0:01:56.36,Default,,0000,0000,0000,,Sitachagua 'hakuna jibu sahihi'