0:00:00.419,0:00:02.573 Ni milinganyo gani ni 0:00:02.573,0:00:06.860 sawa na x jumlisha mbili y jumlisha x jumlisha mbili? 0:00:06.860,0:00:09.867 Chagua mlinganyo sahihi. 0:00:09.867,0:00:13.281 Hebu tuone kama ninaweza kuufanya huu mlinganyo 0:00:13.281,0:00:16.657 Ngoja niuandike, kwa hiyo nina x jumlisha... 0:00:16.657,0:00:21.611 x jumlisha mbili y jumlisha x jumlisha mbili. 0:00:21.611,0:00:23.379 Kwa hiyo, kitu cha kwanza kinachokuja akilini mwangu, 0:00:23.379,0:00:24.637 kabla hata sijaangalia hii milinganyo, 0:00:24.637,0:00:27.299 Nina x hapa, nina x pale. 0:00:27.299,0:00:29.351 Kama ni x moja, kisha nikajumlisha na x nyingine 0:00:29.351,0:00:32.846 zitakuwa x mbili hivyo nitaandika tena kama hivi... 0:00:32.846,0:00:34.350 ngoja nitumie rangi nyingine. 0:00:34.350,0:00:37.376 Ninaweza kuiandika hii x na hii x, 0:00:37.376,0:00:40.078 kama nikizijumlisha zitakuwa x mbili 0:00:40.078,0:00:43.471 Kwa hiyo hii ni...sitaki kuruka hatua yoyote 0:00:43.471,0:00:46.945 hivyo, x jumlisha x jumlisha mbili y... 0:00:46.945,0:00:49.242 sasa ngoja nibadilishe mpangilio. 0:00:49.242,0:00:51.517 Na kisha hizi x mbili hapa, 0:00:51.517,0:00:54.220 ninaweza kuziandika ka mbili x. 0:00:54.220,0:00:57.575 Kwa hiyo, nina mbili x jumlisha mbili y... 0:00:57.575,0:01:00.955 jumlisha mbili y jumlisha mbili. 0:01:00.955,0:01:03.240 Sasa hebu tuone, katika hizi chaguzi zangu... 0:01:03.240,0:01:05.767 huu hapa, 0:01:05.767,0:01:10.247 huu mbili x jumlisha nne y jumlisha nne. 0:01:10.247,0:01:13.581 Huu siyo sahihi, nina mbili x jumlisha mbili y jumlisha 2, 0:01:13.581,0:01:15.247 kwa hiyo naweza kuichukua hii 0:01:15.247,0:01:16.871 Sasa, huu hapa unachekesha, unaonekana kama 0:01:16.871,0:01:17.950 wameizidisha mbili. 0:01:17.950,0:01:20.509 Hebu tuone kama tukizidisha mbili hapa nini kitatokea? 0:01:20.509,0:01:22.642 Kwa hiyo mbili ni kigawo cha hii namba 0:01:22.642,0:01:25.507 ni kigawo cha hii namba, ni kigawo cha hii namba 0:01:25.507,0:01:28.717 Hebu tuone kama tunaweza kugawanya. 0:01:28.717,0:01:32.516 Kwa hiyo, itakuwa mbili mara x, 0:01:32.516,0:01:37.373 kwa hiyo nitaiandika x kwa rangi hii hii, mbili mara x jumlisha, 0:01:37.373,0:01:40.847 y imebaki tulipoitoa mbili 0:01:40.847,0:01:42.350 Na kama ukiitoa mbili nje ya mabano hapa, 0:01:42.350,0:01:43.895 utabakiwa na moja. 0:01:43.895,0:01:46.983 Kwa hiyo, mbili mara x jumlisha y jumlisha moja. 0:01:46.983,0:01:49.705 Ambacho ni sawa na tulichopata hapa. 0:01:49.705,0:01:51.513 Kwa kuwa niliweza kuchagua jibu, 0:01:51.513,0:01:56.355 Sitachagua 'hakuna jibu sahihi'