[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:08.38,0:00:09.56,Default,,0000,0000,0000,,Asante Dialogue: 0,0:00:16.27,0:00:21.20,Default,,0000,0000,0000,,Palikuwa na mfalme nchini India, Maharaja \Nna siku yake ya kuzaliwa ilitolewa amri Dialogue: 0,0:00:21.20,0:00:24.20,Default,,0000,0000,0000,,kwamba machifu wote walete\Nzawadi kwa mfalme. Dialogue: 0,0:00:24.40,0:00:28.37,Default,,0000,0000,0000,,Wengine wakaleta hariri bora,\Nwengine wakaleta panga maridadi, Dialogue: 0,0:00:28.37,0:00:29.49,Default,,0000,0000,0000,,wengine dhahabu Dialogue: 0,0:00:29.49,0:00:32.66,Default,,0000,0000,0000,,mwisho wa mstari alikuja akitembea\Nmzee mdogo mwenye makunyanzi Dialogue: 0,0:00:32.66,0:00:36.63,Default,,0000,0000,0000,,ambaye alitembea kutoka kijijini kwake\Nkwa safari ya siku nyingi kando ya bahari. Dialogue: 0,0:00:36.63,0:00:41.15,Default,,0000,0000,0000,,alipokuwa akisogea mwana mfalme akauliza,\N'Umemletea zawadi gani Mfalme?' Dialogue: 0,0:00:41.46,0:00:44.75,Default,,0000,0000,0000,,Na mzee yule taratibu sana\Nakakunjua mkono wake kuonyesha Dialogue: 0,0:00:44.75,0:00:49.60,Default,,0000,0000,0000,,kombe la baharini zuri sana, lenye makoa\Nya zambarau na njano,nyekundu na bluu. Dialogue: 0,0:00:50.16,0:00:51.38,Default,,0000,0000,0000,,Na mwana Mfalme akasema, Dialogue: 0,0:00:51.46,0:00:54.40,Default,,0000,0000,0000,,"Hiyo si zawadi kwa Mfalme!\NNi zawadi gani hiyo?" Dialogue: 0,0:00:54.60,0:00:57.40,Default,,0000,0000,0000,,Mzee yule akamwangalia taratibu\Nna kusema Dialogue: 0,0:00:57.59,0:01:00.75,Default,,0000,0000,0000,,"Kutembea mwendo mrefu.. ni sehemu\Nya zawadi" Dialogue: 0,0:01:01.06,0:01:02.56,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:01:02.90,0:01:05.97,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya muda mfupi,\NNitawapa zawadi, Dialogue: 0,0:01:05.97,0:01:08.27,Default,,0000,0000,0000,,zawadi niaminiyo\Nni zawadi inayostahili kuenezwa. Dialogue: 0,0:01:08.29,0:01:10.05,Default,,0000,0000,0000,,Ila kabla ya hayo, ngoja niwachukue Dialogue: 0,0:01:10.05,0:01:11.96,Default,,0000,0000,0000,,kwenye mwendo wangu mrefu. Dialogue: 0,0:01:12.16,0:01:13.74,Default,,0000,0000,0000,,Kama wengi wenu, Dialogue: 0,0:01:13.74,0:01:15.32,Default,,0000,0000,0000,,Nilianza maisha kama mtoto mdogo. Dialogue: 0,0:01:15.32,0:01:17.46,Default,,0000,0000,0000,,Wangapi kati yenu\Nmlianza maisha kama mtoto ? Dialogue: 0,0:01:17.46,0:01:18.51,Default,,0000,0000,0000,,Aliyezaliwa mchanga? Dialogue: 0,0:01:18.74,0:01:20.50,Default,,0000,0000,0000,,Karibia nusu yenu.. Sawa Dialogue: 0,0:01:20.57,0:01:21.59,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:01:21.82,0:01:24.91,Default,,0000,0000,0000,,Na mliobakia, vipi?\NMlizaliwa mkiwa watu wazima? Dialogue: 0,0:01:25.06,0:01:27.64,Default,,0000,0000,0000,,Ama kweli, nataka kukutana na mama zenu! Dialogue: 0,0:01:27.82,0:01:29.46,Default,,0000,0000,0000,,Ongelea yasiyowezekana! Dialogue: 0,0:01:30.56,0:01:34.74,Default,,0000,0000,0000,,Nikiwa mtoto mdogo, siku zote nilipendezwa\Nkufanya mambo yasiyowezekana Dialogue: 0,0:01:35.62,0:01:38.88,Default,,0000,0000,0000,,Leo ni siku ambayo nimekuwa nikiitarajia\Nkwa miaka mingi, Dialogue: 0,0:01:38.88,0:01:41.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu leo ni siku ambayo\Nnitajaribu Dialogue: 0,0:01:41.02,0:01:43.62,Default,,0000,0000,0000,,kufanya yasiyowezekana\Nmbele ya macho yenu Dialogue: 0,0:01:43.62,0:01:45.46,Default,,0000,0000,0000,,Hapahapa TEDxMaastrich Dialogue: 0,0:01:45.80,0:01:48.16,Default,,0000,0000,0000,,Nitaanza Dialogue: 0,0:01:48.76,0:01:50.88,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuonyesha mwisho wake: Dialogue: 0,0:01:51.22,0:01:52.64,Default,,0000,0000,0000,,Na nitawathibitishia kwamba Dialogue: 0,0:01:52.64,0:01:54.94,Default,,0000,0000,0000,,yasiyowezekana siyo hayawezekani Dialogue: 0,0:01:55.30,0:01:58.21,Default,,0000,0000,0000,,Na nitamalizia kwa kuwapa\Nzawadi yenye kustahili kuieneza: Dialogue: 0,0:01:58.21,0:02:01.35,Default,,0000,0000,0000,,Nitawaonyesha kwamba unaweza\Nkufanya yasiyowezekana maishani mwako. Dialogue: 0,0:02:02.66,0:02:05.42,Default,,0000,0000,0000,,katika kutafuta kufanya yasiyowezekana,\Nnimegundua kuna Dialogue: 0,0:02:05.42,0:02:08.23,Default,,0000,0000,0000,,mambo mawili yanayofanana\Nkati ya watu duniani. Dialogue: 0,0:02:08.23,0:02:09.87,Default,,0000,0000,0000,,Kila mtu ana hofu, Dialogue: 0,0:02:09.87,0:02:11.64,Default,,0000,0000,0000,,na kila mtu ana ndoto. Dialogue: 0,0:02:12.90,0:02:17.56,Default,,0000,0000,0000,,Katika kutafuta kufanya yasiyowezekana\Nnimegundua kuna vitu vitatu Dialogue: 0,0:02:17.56,0:02:20.10,Default,,0000,0000,0000,,ambavyo nimevifanya miaka mingi ambavyo Dialogue: 0,0:02:20.11,0:02:23.29,Default,,0000,0000,0000,,vimenisababishia kufanya yasiyowezekana: Dialogue: 0,0:02:24.20,0:02:26.90,Default,,0000,0000,0000,,Mchezo wa mpira wa kuchenga au "Trefball" Dialogue: 0,0:02:27.29,0:02:28.36,Default,,0000,0000,0000,,Superman, Dialogue: 0,0:02:28.46,0:02:29.46,Default,,0000,0000,0000,,na Mbu Dialogue: 0,0:02:29.46,0:02:30.81,Default,,0000,0000,0000,,Hayo ni maneno yangu matatu makuu. Dialogue: 0,0:02:30.81,0:02:33.50,Default,,0000,0000,0000,,Mmeshajua kwanini nafanya\Nyasiyowezekana maishani mwangu Dialogue: 0,0:02:33.61,0:02:36.22,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nitawachukua katika safari\Nyangu, ya mwendo mrefu Dialogue: 0,0:02:36.32,0:02:38.68,Default,,0000,0000,0000,,kutoka kwenye hofu hadi ndoto Dialogue: 0,0:02:38.74,0:02:40.98,Default,,0000,0000,0000,,kutoka kwenye maneno hadi panga, Dialogue: 0,0:02:41.16,0:02:42.74,Default,,0000,0000,0000,,Kutoka Mpira wa kuchenga Dialogue: 0,0:02:42.85,0:02:44.02,Default,,0000,0000,0000,,hadi Superman Dialogue: 0,0:02:44.02,0:02:45.34,Default,,0000,0000,0000,,hadi kwa Mbu Dialogue: 0,0:02:45.80,0:02:47.36,Default,,0000,0000,0000,,Na ninatumaini kuwaonyesha Dialogue: 0,0:02:47.36,0:02:49.90,Default,,0000,0000,0000,,unawezaje kufanya yasiyo\Nwezekana maishani mwako Dialogue: 0,0:02:52.48,0:02:54.93,Default,,0000,0000,0000,,Oktoba 4, mwaka 2007. Dialogue: 0,0:02:55.84,0:02:58.12,Default,,0000,0000,0000,,Moyo wangu ulienda mbio,\Nmagoti yangu yalitetema Dialogue: 0,0:02:58.12,0:02:59.34,Default,,0000,0000,0000,,nilipokuwa napanda jukwaani Dialogue: 0,0:02:59.34,0:03:00.93,Default,,0000,0000,0000,,kwenye ukumbi wa Sanders Dialogue: 0,0:03:01.04,0:03:03.24,Default,,0000,0000,0000,,Chuo cha Harvard kupokea Dialogue: 0,0:03:03.24,0:03:06.16,Default,,0000,0000,0000,,Tuzo ya Ig Nobel katika Utabibu Dialogue: 0,0:03:06.16,0:03:08.66,Default,,0000,0000,0000,,kwa kushiriki kuandika ikisiri\Nya utafiti wa kitabibu Dialogue: 0,0:03:08.66,0:03:10.27,Default,,0000,0000,0000,,ulioitwa "Kumeza Upanga... Dialogue: 0,0:03:10.42,0:03:11.74,Default,,0000,0000,0000,,...na Athari zake" Dialogue: 0,0:03:11.87,0:03:13.28,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:03:13.84,0:03:17.88,Default,,0000,0000,0000,,Ilichapishwa kwenye jarida dogo\Nambalo sikuwahi kulisoma kabla, Dialogue: 0,0:03:18.46,0:03:20.42,Default,,0000,0000,0000,,Jarida la Kitabibu la Uingereza. Dialogue: 0,0:03:21.36,0:03:24.74,Default,,0000,0000,0000,,Na kwangu, hiyo ilikuwa ndoto\Nisiyowezekana kuwa kweli, Dialogue: 0,0:03:24.90,0:03:28.12,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa ni mshangao usiotegemewa\Nkwa mtu kama mimi, Dialogue: 0,0:03:28.13,0:03:31.46,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa ni heshima ambayo sitaweza kusahau Dialogue: 0,0:03:31.46,0:03:34.54,Default,,0000,0000,0000,,Lakini haikuwa sehemu ya kubwa ya\Nkukumbuka maishani mwangu. Dialogue: 0,0:03:35.54,0:03:37.64,Default,,0000,0000,0000,,Mnamo Oktoba 4, mwaka 1967 Dialogue: 0,0:03:38.02,0:03:40.26,Default,,0000,0000,0000,,kijana mwoga, mwenye aibu, mwembamba Dialogue: 0,0:03:41.10,0:03:43.12,Default,,0000,0000,0000,,aliteseka na hofu kubwa kupita kiasi. Dialogue: 0,0:03:43.46,0:03:45.58,Default,,0000,0000,0000,,Alipojiandaa kupanda jukwaani, Dialogue: 0,0:03:45.58,0:03:47.23,Default,,0000,0000,0000,,moyo wake ulienda mbio, Dialogue: 0,0:03:47.50,0:03:49.16,Default,,0000,0000,0000,,magoti yake yalikuwa yakitetemeka. Dialogue: 0,0:03:49.78,0:03:52.12,Default,,0000,0000,0000,,Alikwenda kufungua kinywa chake kuongea, Dialogue: 0,0:03:56.49,0:03:58.13,Default,,0000,0000,0000,,maneno hayakuweza kutoka. Dialogue: 0,0:03:58.13,0:04:00.04,Default,,0000,0000,0000,,Alisimama akitetemeka na kutoa machozi. Dialogue: 0,0:04:00.63,0:04:02.36,Default,,0000,0000,0000,,Alipooza kwa mshtuko wa ghafla, Dialogue: 0,0:04:02.36,0:04:03.76,Default,,0000,0000,0000,,alipatwa fadhaa kwa hofu. Dialogue: 0,0:04:03.96,0:04:06.13,Default,,0000,0000,0000,,huyu kijana mwoga, mwenye aibu, mwembamba Dialogue: 0,0:04:06.13,0:04:08.14,Default,,0000,0000,0000,,alitesekana na hofu kubwa kupita kiasi. Dialogue: 0,0:04:08.65,0:04:10.33,Default,,0000,0000,0000,,Alikuwa na hofu ya giza, Dialogue: 0,0:04:10.52,0:04:11.64,Default,,0000,0000,0000,,hofu ya vimo virefu, Dialogue: 0,0:04:11.64,0:04:13.04,Default,,0000,0000,0000,,hofu ya buibui na nyoka ... Dialogue: 0,0:04:13.04,0:04:15.14,Default,,0000,0000,0000,,Kuna yeyote anayeogopa buibui na nyoka? Dialogue: 0,0:04:15.28,0:04:16.66,Default,,0000,0000,0000,,Naam, wachache wenu ... Dialogue: 0,0:04:16.66,0:04:19.08,Default,,0000,0000,0000,,Alikuwa na hofu ya maji na papa ... Dialogue: 0,0:04:19.08,0:04:21.94,Default,,0000,0000,0000,,Hofu ya madaktari na manesi na madaktari\Nwa meno, Dialogue: 0,0:04:21.94,0:04:24.68,Default,,0000,0000,0000,,na sindano na kutobolewa na vitu vya\Nncha kali. Dialogue: 0,0:04:24.68,0:04:27.38,Default,,0000,0000,0000,,Lakini zaidi ya chochote,\Nalikuwa na hofu ya Dialogue: 0,0:04:27.47,0:04:28.47,Default,,0000,0000,0000,,watu Dialogue: 0,0:04:29.38,0:04:31.53,Default,,0000,0000,0000,,Huyo kijana mwoga,mwenye aibu na mwembamba Dialogue: 0,0:04:31.54,0:04:32.57,Default,,0000,0000,0000,,alikuwa mimi. Dialogue: 0,0:04:33.32,0:04:35.100,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa na hofu ya kushindwa na \Nkukataliwa, Dialogue: 0,0:04:37.30,0:04:39.52,Default,,0000,0000,0000,,kutojithamini, kujiona duni, Dialogue: 0,0:04:39.52,0:04:42.84,Default,,0000,0000,0000,,na kitu ambacho hata hatukujua \Nunaweza kujiandikisha kwa siku hizo: Dialogue: 0,0:04:42.84,0:04:44.66,Default,,0000,0000,0000,,ugonjwa wa hofu ya ukaribu na watu. Dialogue: 0,0:04:44.96,0:04:48.61,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu nilikuwa na hofu, waonevu\Nwalinitania na kunipiga. Dialogue: 0,0:04:48.61,0:04:52.24,Default,,0000,0000,0000,,Walinicheka na kuniita majina,\NHawakuniruhusu kucheza nao Dialogue: 0,0:04:52.30,0:04:54.26,Default,,0000,0000,0000,,michezo ya aina yoyote. Dialogue: 0,0:04:55.02,0:04:58.06,Default,,0000,0000,0000,,Ah, kulikuwa na mchezo mmoja\Nwalikuwa wakiruhusu kucheza kwenye ... Dialogue: 0,0:04:58.10,0:04:59.43,Default,,0000,0000,0000,,Mpira wa kuchenga - Dialogue: 0,0:04:59.50,0:05:01.44,Default,,0000,0000,0000,,na sikuwa mchengaji nzuri. Dialogue: 0,0:05:01.76,0:05:03.50,Default,,0000,0000,0000,,Waonevu waliita jina langu, Dialogue: 0,0:05:03.50,0:05:05.97,Default,,0000,0000,0000,,na nilipoangalia \Nniliona mipira myekundu ya kukwepa Dialogue: 0,0:05:05.97,0:05:08.20,Default,,0000,0000,0000,,ikivurumishwa usoni wangu kwa kasi kubwa Dialogue: 0,0:05:08.21,0:05:09.95,Default,,0000,0000,0000,,bam, bam, bam! Dialogue: 0,0:05:10.58,0:05:13.22,Default,,0000,0000,0000,,Ninakumbuka siku nyingi\Nnikirudi nyumbani kutoka shule, Dialogue: 0,0:05:13.30,0:05:18.18,Default,,0000,0000,0000,,uso wangu ulikuwa mwekundu ukichonyota,\Nmasikio yangu yalikuwa mekundu yakivuma. Dialogue: 0,0:05:18.18,0:05:21.14,Default,,0000,0000,0000,,Macho yangu yalichoma kwa machozi, Dialogue: 0,0:05:21.18,0:05:23.52,Default,,0000,0000,0000,,na maneno yao yalichoma masikioni mwangu. Dialogue: 0,0:05:23.74,0:05:25.00,Default,,0000,0000,0000,,Na yeyote aliyesema, Dialogue: 0,0:05:25.02,0:05:28.66,Default,,0000,0000,0000,,"Fimbo na mawe vyaweza kunivunja mifupa,\Nbali maneno hayatoniumiza kamwe "... Dialogue: 0,0:05:28.88,0:05:30.13,Default,,0000,0000,0000,,Ni uongo. Dialogue: 0,0:05:30.31,0:05:31.98,Default,,0000,0000,0000,,Maneno huweza kukata kama kisu. Dialogue: 0,0:05:31.98,0:05:34.03,Default,,0000,0000,0000,,Maneno huweza kupenya kama upanga. Dialogue: 0,0:05:34.21,0:05:36.04,Default,,0000,0000,0000,,Maneno huwezafanya majeraha yenye kina Dialogue: 0,0:05:36.04,0:05:37.78,Default,,0000,0000,0000,,yasiweze kuonekana. Dialogue: 0,0:05:38.15,0:05:41.07,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nilikuwa na hofu.\NNa maneno yalikuwa adui yangu mkubwa. Dialogue: 0,0:05:41.26,0:05:42.49,Default,,0000,0000,0000,,Bado ni adui yangu. Dialogue: 0,0:05:43.36,0:05:45.30,Default,,0000,0000,0000,,Lakini pia nilikuwa na ndoto. Dialogue: 0,0:05:45.30,0:05:47.98,Default,,0000,0000,0000,,Nilienda nyumbani\Nna kutorokea kwenye futuhi za Superman Dialogue: 0,0:05:47.98,0:05:49.77,Default,,0000,0000,0000,,na nilisoma futuhi za Superman Dialogue: 0,0:05:49.77,0:05:53.44,Default,,0000,0000,0000,,na niliota kutaka kuwa shujaa mkubwa\Nkama Superman. Dialogue: 0,0:05:53.48,0:05:56.24,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kupigania kweli na haki, Dialogue: 0,0:05:56.24,0:05:58.68,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kupambana dhidi ya\Nwahalifu na mahasimu, Dialogue: 0,0:05:58.68,0:06:02.90,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kupaa duniani kote\Nkufanya vitendo vya ujasiri kuokoa maisha. Dialogue: 0,0:06:03.40,0:06:05.85,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa pia navutiwa mno\Nna vitu vilivyokuwa kweli. Dialogue: 0,0:06:05.86,0:06:09.46,Default,,0000,0000,0000,,Nilisoma kitabu cha Rekodi za Dunia za Guiness\Nna kitabu cha Ripley kiitwacho Amini au Usiamini. Dialogue: 0,0:06:09.46,0:06:13.08,Default,,0000,0000,0000,,Yeyote kati yenu amewahi kusoma kitabu cha Rekodi za Dunia za Guinness au kitabu cha Ripley? Dialogue: 0,0:06:13.10,0:06:14.39,Default,,0000,0000,0000,,Navipenda vitabu hivi! Dialogue: 0,0:06:14.39,0:06:16.27,Default,,0000,0000,0000,,Niliona watu wafanyao ujasiri halisia.\N Dialogue: 0,0:06:16.27,0:06:17.79,Default,,0000,0000,0000,,Nikasema, Nataka kufanya hivyo. Dialogue: 0,0:06:17.79,0:06:19.33,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa waonevu hawataniruhusu Dialogue: 0,0:06:19.33,0:06:21.03,Default,,0000,0000,0000,,kucheza katika michezo yao yoyote, Dialogue: 0,0:06:21.03,0:06:23.34,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kufanya maajabu, ujasiri halisi. Dialogue: 0,0:06:23.34,0:06:26.66,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kufanya kitu cha kusifika\Nambacho hao waonevu hawawezi kufanya. Dialogue: 0,0:06:26.66,0:06:28.61,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kupata kusudi langu na wito wangu, Dialogue: 0,0:06:28.61,0:06:30.73,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kujua kuwa maisha yangu yana maana, Dialogue: 0,0:06:30.73,0:06:33.32,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kufanya kitu cha kushangaza\Nkubadili ulimwengu; Dialogue: 0,0:06:33.32,0:06:36.96,Default,,0000,0000,0000,,Ninataka kuthibitisha\Nyasiyowezekana sio hayawezekani. Dialogue: 0,0:06:38.34,0:06:40.24,Default,,0000,0000,0000,,Kupeleka mbele miaka 10 - Dialogue: 0,0:06:40.24,0:06:42.71,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa wiki kabla ya kutimiza miaka 21. Dialogue: 0,0:06:42.82,0:06:46.80,Default,,0000,0000,0000,,Mambo mawili yalitokea kwa siku moja\Nambayo yangebadilisha maisha yangu milele. Dialogue: 0,0:06:47.04,0:06:49.39,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa nikiishi Tamil Nadu, India Kusini Dialogue: 0,0:06:49.54,0:06:51.02,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa mmishonari huko, Dialogue: 0,0:06:51.02,0:06:53.09,Default,,0000,0000,0000,,na mshauri wangu, rafiki yangu aliniuliza, Dialogue: 0,0:06:53.09,0:06:54.72,Default,,0000,0000,0000,,"Je, una Thromu, Daniel?" Dialogue: 0,0:06:54.72,0:06:57.44,Default,,0000,0000,0000,,Na nikasema, "Thromu?\NThromu ni nini? " Dialogue: 0,0:06:57.44,0:07:00.49,Default,,0000,0000,0000,,Alisema, "Thromu ni malengo makuu ya\Nmaisha. Dialogue: 0,0:07:00.49,0:07:04.63,Default,,0000,0000,0000,,Ni muunganiko\Nwa ndoto na malengo, kama ungeweza Dialogue: 0,0:07:04.63,0:07:07.24,Default,,0000,0000,0000,,kufanya chochote unachotaka,\Nkwenda popote unapotaka Dialogue: 0,0:07:07.24,0:07:08.48,Default,,0000,0000,0000,,kuwa mtu yeyote unayetaka, Dialogue: 0,0:07:08.48,0:07:10.36,Default,,0000,0000,0000,,ungekwenda wapi?\NUngefanya nini? Dialogue: 0,0:07:10.36,0:07:11.28,Default,,0000,0000,0000,,Ungekuwa nani? Dialogue: 0,0:07:11.28,0:07:14.50,Default,,0000,0000,0000,,Nikasema, "Siwezi kufanya hivyo!\NNaogopa sana! Naogopa mengi mno! " Dialogue: 0,0:07:14.50,0:07:17.80,Default,,0000,0000,0000,,Usiku huo nilichukua mkeka wangu wa mchele\Njuu ya paa la ghorofa, Dialogue: 0,0:07:17.81,0:07:19.26,Default,,0000,0000,0000,,nikautandika chini ya nyota, Dialogue: 0,0:07:19.26,0:07:21.87,Default,,0000,0000,0000,,na kuangalia popo wakiwashambulia mbu. Dialogue: 0,0:07:21.87,0:07:26.20,Default,,0000,0000,0000,,Na yote niliyofikiria ilikuwa thromu,\Nna ndoto na malengo, Dialogue: 0,0:07:26.20,0:07:28.36,Default,,0000,0000,0000,,na wale washujaaji wenye mipira ya kuchenga. Dialogue: 0,0:07:28.76,0:07:30.73,Default,,0000,0000,0000,,Masaa machache baadaye niliamka. Dialogue: 0,0:07:31.22,0:07:33.94,Default,,0000,0000,0000,,Moyo wangu ulienda mbio,\Nmagoti yangu yakitetemeka. Dialogue: 0,0:07:34.08,0:07:36.02,Default,,0000,0000,0000,,Safari hii haikuwa na hofu. Dialogue: 0,0:07:36.42,0:07:38.40,Default,,0000,0000,0000,,Mwili wangu wote ulitikisika. Dialogue: 0,0:07:38.50,0:07:40.18,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa siku tano zilizofuata Dialogue: 0,0:07:40.33,0:07:44.20,Default,,0000,0000,0000,,Nilipoteza na kurudisha fahamu,\Nkitandani nikipigania maisha yangu. Dialogue: 0,0:07:44.20,0:07:48.24,Default,,0000,0000,0000,,Ubongo wangu ulikuwa unawaka\Nna homa ya malaria yenye jotoridi la 105. Dialogue: 0,0:07:48.39,0:07:51.60,Default,,0000,0000,0000,,Na kila fahamu ziliponirudia,\Nnilichowaza ilikuwa kuhusu thromu. Dialogue: 0,0:07:51.60,0:07:53.82,Default,,0000,0000,0000,,Niliwaza\N"Nataka kufanya nini na maisha yangu?" Dialogue: 0,0:07:53.95,0:07:56.38,Default,,0000,0000,0000,,Hatimaye, usiku kabla\Nsijafikisha miaka 21, Dialogue: 0,0:07:56.38,0:07:58.03,Default,,0000,0000,0000,,katika wakati wa kuelewa, Dialogue: 0,0:07:58.03,0:07:59.64,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuja kutambua: Dialogue: 0,0:07:59.64,0:08:02.10,Default,,0000,0000,0000,,Nilitambua kwamba yule mbu mdogo, Dialogue: 0,0:08:02.62,0:08:05.02,Default,,0000,0000,0000,,Anofelesi Stefensi, Dialogue: 0,0:08:05.28,0:08:06.61,Default,,0000,0000,0000,,yule mbu mdogo Dialogue: 0,0:08:06.61,0:08:08.39,Default,,0000,0000,0000,,aliye na uzito chini ya mikrogramu 5 Dialogue: 0,0:08:08.39,0:08:09.81,Default,,0000,0000,0000,,chini ya punje ya chumvi, Dialogue: 0,0:08:09.81,0:08:12.78,Default,,0000,0000,0000,,anaweza kuangusha\Nmtu wa ratili 170, mtu wa kilo 80, Dialogue: 0,0:08:12.78,0:08:14.86,Default,,0000,0000,0000,,Niligundua kwamba alikuwa hasimu wangu. Dialogue: 0,0:08:14.86,0:08:17.15,Default,,0000,0000,0000,,Kisha nikagundua,\Nhapana, hapana, sio mbu, Dialogue: 0,0:08:17.15,0:08:19.48,Default,,0000,0000,0000,,Ni vimelea vidogo\Nndani ya mbu, Dialogue: 0,0:08:19.48,0:08:23.16,Default,,0000,0000,0000,,Plasmodium Falciparum,\Nambao huua zaidi ya watu milioni kwa mwaka Dialogue: 0,0:08:23.51,0:08:25.100,Default,,0000,0000,0000,,Kisha nikagundua\NHapana, hapana, tena ni ndogo zaidi, Dialogue: 0,0:08:25.100,0:08:28.55,Default,,0000,0000,0000,,lakini kwangu, ilionekana kubwa zaidi. Dialogue: 0,0:08:28.55,0:08:29.64,Default,,0000,0000,0000,,Niligundua, Dialogue: 0,0:08:29.64,0:08:31.27,Default,,0000,0000,0000,,hofu ilikuwa hasimu yangu, Dialogue: 0,0:08:31.27,0:08:32.14,Default,,0000,0000,0000,,vimelea yangu, Dialogue: 0,0:08:32.14,0:08:34.99,Default,,0000,0000,0000,,vilivyonitia ulemavu\Nna kunipooza mimi maisha yangu yote. Dialogue: 0,0:08:35.20,0:08:38.08,Default,,0000,0000,0000,,Unajua, kuna tofauti\Nkati ya hatari na hofu. Dialogue: 0,0:08:38.11,0:08:39.70,Default,,0000,0000,0000,,Hatari ni halisi. Dialogue: 0,0:08:39.99,0:08:42.01,Default,,0000,0000,0000,,Hofu ni hiari. Dialogue: 0,0:08:42.08,0:08:44.31,Default,,0000,0000,0000,,Na nikagundua kuwa nina hiari: Dialogue: 0,0:08:44.31,0:08:48.18,Default,,0000,0000,0000,,Aidha niishi kwa hofu,\Nna kufa katika kushindwa usiku ule, Dialogue: 0,0:08:49.07,0:08:52.08,Default,,0000,0000,0000,,au ningeweza kuua hofu yangu,\Nna ningeweza Dialogue: 0,0:08:52.08,0:08:56.06,Default,,0000,0000,0000,,kufikia ndoto zangu,\NNingeweza kuthubutu kuishi maisha. Dialogue: 0,0:08:56.68,0:08:59.56,Default,,0000,0000,0000,,Na unajua, kuna kitu kuhusu\Nkuwa kwenye kitanda cha mauti Dialogue: 0,0:08:59.56,0:09:04.08,Default,,0000,0000,0000,,na kukabiliwa na kifo ambacho haswa\Nkinakufanya utake kweli kuishi maisha. Dialogue: 0,0:09:04.18,0:09:07.14,Default,,0000,0000,0000,,Nikagundua kuwa kila mtu hufa,\Nsi kila mtu huishi. Dialogue: 0,0:09:08.04,0:09:09.89,Default,,0000,0000,0000,,Ni katika kufa ndio sisi tunaishi. Dialogue: 0,0:09:09.89,0:09:11.58,Default,,0000,0000,0000,,Unajua, wakati unapojifunza kufa, Dialogue: 0,0:09:11.58,0:09:13.07,Default,,0000,0000,0000,,unajifunza kweli kuishi. Dialogue: 0,0:09:13.07,0:09:15.14,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo nikaamua nitaenda kubadilisha Dialogue: 0,0:09:15.14,0:09:16.42,Default,,0000,0000,0000,,hadithi yangu usiku huo. Dialogue: 0,0:09:16.92,0:09:18.23,Default,,0000,0000,0000,,Sikutaka kufa. Dialogue: 0,0:09:18.23,0:09:20.01,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nikafanya sala ndogo, nikasema, Dialogue: 0,0:09:20.01,0:09:22.23,Default,,0000,0000,0000,,"Mungu, ukiniruhusu niishi\Nnifikishe miaka 21, Dialogue: 0,0:09:22.23,0:09:24.54,Default,,0000,0000,0000,,Sitaruhusu hofu\Nitawale maisha yangu tena. Dialogue: 0,0:09:24.67,0:09:26.52,Default,,0000,0000,0000,,Nitaziweka hofu zangu kifoni, Dialogue: 0,0:09:26.52,0:09:29.53,Default,,0000,0000,0000,,Nitaenda kuzifikia ndoto zangu, Dialogue: 0,0:09:29.53,0:09:31.27,Default,,0000,0000,0000,,Ninataka kubadilisha mtazamo wangu, Dialogue: 0,0:09:31.27,0:09:33.54,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kufanya kitu cha ajabu\Nna maisha yangu, Dialogue: 0,0:09:33.54,0:09:35.55,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kupata kusudi langu na wito wangu, Dialogue: 0,0:09:35.55,0:09:38.63,Default,,0000,0000,0000,,Ninataka kujua kuwa yasiyowezekana\Nsi hayawezekani. " Dialogue: 0,0:09:38.78,0:09:42.82,Default,,0000,0000,0000,,Sitawaambia kama nilinusurika usiku ule;\NNitawaacha mfikirie. Dialogue: 0,0:09:42.85,0:09:43.98,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:09:43.98,0:09:47.10,Default,,0000,0000,0000,,Lakini usiku huo niliandika orodha\Nya Thromu zangu 10 za kwanza: Dialogue: 0,0:09:47.10,0:09:50.21,Default,,0000,0000,0000,,Niliamua nilitaka\Nkutembelea mabara makubwa Dialogue: 0,0:09:50.21,0:09:51.82,Default,,0000,0000,0000,,kutembelea Maajabu 7 ya Dunia Dialogue: 0,0:09:51.82,0:09:53.41,Default,,0000,0000,0000,,kujifunza lugha nyingi, Dialogue: 0,0:09:53.41,0:09:54.94,Default,,0000,0000,0000,,kuishi kwenye kisiwa kitupu, Dialogue: 0,0:09:54.94,0:09:56.48,Default,,0000,0000,0000,,kuishi kwenye meli baharini, Dialogue: 0,0:09:56.48,0:09:58.65,Default,,0000,0000,0000,,kuishi na kabila la Wahindi\Nkatika Amazon, Dialogue: 0,0:09:58.65,0:10:01.21,Default,,0000,0000,0000,,kupanda hadi juu\Nya mlima mrefu kuliko yote Sweden, Dialogue: 0,0:10:01.21,0:10:03.18,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kuona mawio Mlima Everest, Dialogue: 0,0:10:03.19,0:10:05.39,Default,,0000,0000,0000,,kufanya kazi na biashara ya muziki\NNashville, Dialogue: 0,0:10:05.40,0:10:07.06,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kufanya kazi ya sarakasi, Dialogue: 0,0:10:07.08,0:10:09.12,Default,,0000,0000,0000,,na nilitaka kuruka nje ya ndege. Dialogue: 0,0:10:09.12,0:10:12.38,Default,,0000,0000,0000,,Zaidi ya miaka ishirini iliyofuata,\NNilitimiza thromu hizo kwa wingi. Dialogue: 0,0:10:12.41,0:10:14.65,Default,,0000,0000,0000,,Kila wakati niliondoa\Nthromu kwenye orodha yangu, Dialogue: 0,0:10:14.65,0:10:18.19,Default,,0000,0000,0000,,Niliongeza 5 au 10 zaidi kwenye orodha\Nna orodha yangu iliendelea kukua. Dialogue: 0,0:10:18.80,0:10:23.28,Default,,0000,0000,0000,,Kwa miaka saba iliyofuata, niliishi\Nkwenye kisiwa kidogo katika Bahamas Dialogue: 0,0:10:23.32,0:10:25.36,Default,,0000,0000,0000,,kwa karibu miaka saba Dialogue: 0,0:10:25.37,0:10:27.27,Default,,0000,0000,0000,,katika kibanda cha makuti, Dialogue: 0,0:10:29.48,0:10:33.82,Default,,0000,0000,0000,,nikiwinda papa na taa wa kula,\Nnikiwa mtu pekee kwenye kisiwa, Dialogue: 0,0:10:33.82,0:10:36.25,Default,,0000,0000,0000,,nikiwa nimevaa msuli, Dialogue: 0,0:10:36.68,0:10:39.16,Default,,0000,0000,0000,,na nikajifunza kuogelea na papa. Dialogue: 0,0:10:39.16,0:10:40.98,Default,,0000,0000,0000,,Na kutoka huko, nikahamia Mexico, Dialogue: 0,0:10:40.98,0:10:45.00,Default,,0000,0000,0000,,na kisha nikasafiri\Nkwa bonde la Mto Amazon nchini Ecuador, Dialogue: 0,0:10:45.24,0:10:48.10,Default,,0000,0000,0000,,Pujo Pongo Ecuador,\Nniliishi na kabila moja huko, Dialogue: 0,0:10:48.10,0:10:52.18,Default,,0000,0000,0000,,na kidogo kidogo nilianza kuongeza\Nkujiamini kwa thromu zangu tu. Dialogue: 0,0:10:52.18,0:10:55.10,Default,,0000,0000,0000,,Nilihamia biashara ya muziki Nashville,\Nkisha Sweden, Dialogue: 0,0:10:55.11,0:10:57.87,Default,,0000,0000,0000,,nikahamia Stockholm,\Nkufanyakazi katika biashara ya muziki, Dialogue: 0,0:10:57.87,0:11:01.92,Default,,0000,0000,0000,,ambapo nilipanda kilele cha Ml. Kebnekaise\Njuu ya mzunguko wa Arctic. Dialogue: 0,0:11:03.30,0:11:04.75,Default,,0000,0000,0000,,Nilijifunza udamisi, Dialogue: 0,0:11:04.75,0:11:05.86,Default,,0000,0000,0000,,na viinimacho, Dialogue: 0,0:11:05.86,0:11:07.48,Default,,0000,0000,0000,,na kutembea kama ngongoti, Dialogue: 0,0:11:07.48,0:11:10.44,Default,,0000,0000,0000,,kuendesha baiskeli kwa tairi moja,\Nkula moto, kula kioo. Dialogue: 0,0:11:10.45,0:11:13.62,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka 1997 nilisikia kuna\Nwameza panga wasiozidi kumi na mbili Dialogue: 0,0:11:13.62,0:11:15.41,Default,,0000,0000,0000,,na nikasema, "Inabidi kufanya hivyo!" Dialogue: 0,0:11:15.42,0:11:18.29,Default,,0000,0000,0000,,Nilikutana na mmeza panga,\Nna nikamwomba vidokezo. Dialogue: 0,0:11:18.29,0:11:20.19,Default,,0000,0000,0000,,Akasema, "Naam, nitakupa vidokezo 2: Dialogue: 0,0:11:20.19,0:11:21.93,Default,,0000,0000,0000,,Namba 1: Ni hatari sana, Dialogue: 0,0:11:21.93,0:11:23.95,Default,,0000,0000,0000,,Watu wamekufa wakifanya hivi. Dialogue: 0,0:11:23.95,0:11:24.95,Default,,0000,0000,0000,,Namba 2: Dialogue: 0,0:11:24.95,0:11:26.21,Default,,0000,0000,0000,,Usijaribu! " Dialogue: 0,0:11:26.21,0:11:27.52,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:11:27.54,0:11:29.54,Default,,0000,0000,0000,,Basi nikaiongeza kwenye orodha ya thromu. Dialogue: 0,0:11:30.44,0:11:33.32,Default,,0000,0000,0000,,Na nikafanya mazoezi\Nmara 10 hadi 12 kwa siku, kila siku Dialogue: 0,0:11:33.66,0:11:35.16,Default,,0000,0000,0000,,kwa miaka minne. Dialogue: 0,0:11:35.21,0:11:36.71,Default,,0000,0000,0000,,Sasa nilipigia hesabu hizo... Dialogue: 0,0:11:36.71,0:11:40.02,Default,,0000,0000,0000,,4 x 365 [x 12] Dialogue: 0,0:11:40.02,0:11:42.66,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa karibu 13,000\Nmajaribio yasiyofanikiwa Dialogue: 0,0:11:42.66,0:11:45.42,Default,,0000,0000,0000,,kabla sijatia panga langu wa kwanza\Nchini koo mwaka 2001. Dialogue: 0,0:11:46.00,0:11:47.63,Default,,0000,0000,0000,,Wakati huo nikaweka thromu Dialogue: 0,0:11:47.63,0:11:50.94,Default,,0000,0000,0000,,kuwa mtaalamu wa ulimwengu\Nkwa kumeza panga. Dialogue: 0,0:11:50.97,0:11:53.82,Default,,0000,0000,0000,,Basi nilitafuta kila kitabu,\Ngazeti, makala ya gazeti, Dialogue: 0,0:11:53.82,0:11:57.67,Default,,0000,0000,0000,,kila ripoti ya kitabibu,\NNilijifunza fiziolojia, anatomia, Dialogue: 0,0:11:57.68,0:11:59.72,Default,,0000,0000,0000,,Niliongea na madaktari na manesi, Dialogue: 0,0:11:59.72,0:12:01.76,Default,,0000,0000,0000,,niliwakutanisha wameza panga wote\Npamoja Dialogue: 0,0:12:01.76,0:12:04.25,Default,,0000,0000,0000,,kwenye Shirikisho la Wameza Panga\NKimataifa, Dialogue: 0,0:12:04.25,0:12:06.45,Default,,0000,0000,0000,,nikafanya ikisiri miaka 2\Nya utafiti kitabibu Dialogue: 0,0:12:06.45,0:12:08.58,Default,,0000,0000,0000,,kuhusu Umezaji wa Panga na athari zake Dialogue: 0,0:12:08.58,0:12:10.98,Default,,0000,0000,0000,,iliyochapishwa\Nkatika Jarida la Kitabibu Uingereza. Dialogue: 0,0:12:10.98,0:12:11.84,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:12:11.84,0:12:12.94,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni. Dialogue: 0,0:12:12.96,0:12:17.75,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:12:18.20,0:12:21.57,Default,,0000,0000,0000,,Na nilijifunza mambo ya kuvutia sana\Nkuhusu umezaji wa panga. Dialogue: 0,0:12:21.57,0:12:25.26,Default,,0000,0000,0000,,Vitu vingine ambavyo haujawahi kufikiria\Nkabla, hutasahau baada ya usiku huu. Dialogue: 0,0:12:25.26,0:12:28.55,Default,,0000,0000,0000,,Wakati utakapoenda nyumbani, na unakata\Nsteki yako na kisu chako Dialogue: 0,0:12:28.55,0:12:31.76,Default,,0000,0000,0000,,au panga, au "bestek" zako,\Nutafikiri juu ya hili ... Dialogue: 0,0:12:34.26,0:12:36.59,Default,,0000,0000,0000,,Nilijifunza kwamba umezaji panga\Nulianzia India - Dialogue: 0,0:12:36.59,0:12:39.89,Default,,0000,0000,0000,,mahali nilipona kwa mara ya kwanza\Nnikiwa kijana wa miaka 20 - Dialogue: 0,0:12:39.89,0:12:42.29,Default,,0000,0000,0000,,karibu miaka 4000 ya kale, karibu 2000 BC. Dialogue: 0,0:12:42.29,0:12:45.58,Default,,0000,0000,0000,,Zaidi ya miaka 150 iliyopita,\Nwameza panga walitumika Dialogue: 0,0:12:45.59,0:12:47.40,Default,,0000,0000,0000,,katika medani za sayansi na kitabibu Dialogue: 0,0:12:47.48,0:12:51.16,Default,,0000,0000,0000,,ili kusaidia kuunda\Nendoskopia imara mwaka 1868 Dialogue: 0,0:12:51.16,0:12:53.82,Default,,0000,0000,0000,,wakiwa na Dk. Adolf Kussmaul wa Freiburg, Ujerumani Dialogue: 0,0:12:53.88,0:12:56.64,Default,,0000,0000,0000,,Mnamo 1906, elektrokadiogramu huko Wales, Dialogue: 0,0:12:56.64,0:13:00.24,Default,,0000,0000,0000,,kujifunza matatizo ya kumeza,\Nna mmeng'enyo wa chakula, Dialogue: 0,0:13:00.24,0:13:01.86,Default,,0000,0000,0000,,aina ya bronkoskopia, . Dialogue: 0,0:13:01.86,0:13:03.84,Default,,0000,0000,0000,,Lakini zaidi ya miaka 150 iliyopita, Dialogue: 0,0:13:03.84,0:13:07.86,Default,,0000,0000,0000,,tunajua mamia ya madhara\Nna vifo kadhaa ... Dialogue: 0,0:13:07.88,0:13:14.56,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni endoskopia imara\Niliyoanzishwa na Dk. Adolph Kussmaul. Dialogue: 0,0:13:14.74,0:13:18.68,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tuligundua kuwa kulikuwa na\NVifo 29 zaidi ya miaka 150 iliyopita. Dialogue: 0,0:13:18.68,0:13:22.46,Default,,0000,0000,0000,,pamoja na mmezaji panga huko London\Naliyetoboa moyo wake kwa panga Dialogue: 0,0:13:23.14,0:13:25.34,Default,,0000,0000,0000,,Tulijifunza pia kuwa kuna kesi tatu hadi nane za Dialogue: 0,0:13:25.34,0:13:27.78,Default,,0000,0000,0000,,madhara mkubwa ya umezaji panga\Nkila mwaka. Dialogue: 0,0:13:27.78,0:13:29.88,Default,,0000,0000,0000,,Najua kwa sababu mimi hupata simu. Dialogue: 0,0:13:29.88,0:13:31.15,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa na wawili, Dialogue: 0,0:13:31.15,0:13:34.32,Default,,0000,0000,0000,,mmoja kutoka Sweden, na kutoka Orlando\Nwiki chache zilizopita, Dialogue: 0,0:13:34.32,0:13:37.02,Default,,0000,0000,0000,,wamezaji panga waliopo hospitalini\Nkutokana na madhara. Dialogue: 0,0:13:37.02,0:13:38.77,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo ni hatari sana. Dialogue: 0,0:13:38.77,0:13:41.63,Default,,0000,0000,0000,,Jambo jingine nililojifunza ni kuwa\Nkumeza panga huchukua Dialogue: 0,0:13:41.63,0:13:44.32,Default,,0000,0000,0000,,miaka 2 hadi miaka 10\Nkujifunza jinsi ya kumeza panga Dialogue: 0,0:13:44.32,0:13:45.61,Default,,0000,0000,0000,,kwa watu wengi. Dialogue: 0,0:13:45.61,0:13:48.02,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ugunduzi unaovutia sana\NNilijifunza ilikuwa Dialogue: 0,0:13:48.02,0:13:51.36,Default,,0000,0000,0000,,jinsi wameza panga wanavyojifunza\Nkufanya yasiyowezekana. Dialogue: 0,0:13:51.46,0:13:53.46,Default,,0000,0000,0000,,Nami nitawapa siri ndogo: Dialogue: 0,0:13:53.52,0:13:57.58,Default,,0000,0000,0000,,Usizingatie kwenye asilimia 99.9\Nkuwa haiwezekani. Dialogue: 0,0:13:57.58,0:14:02.03,Default,,0000,0000,0000,,Unazingatia hiyo 1% ambayo inawezekana,\Nna fikiria jinsi ya kufanya iwezeikane Dialogue: 0,0:14:02.82,0:14:06.14,Default,,0000,0000,0000,,Sasa napenda kukupeleka kwenye safari\Nndani ya akili ya mmeza panga. Dialogue: 0,0:14:06.14,0:14:09.48,Default,,0000,0000,0000,,Ili kumeza panga,\Ninahitaji akili itafakari jambo, Dialogue: 0,0:14:09.48,0:14:12.27,Default,,0000,0000,0000,,uzingativu wa hali ya juu,\Nkuonyesha ufasaha ili Dialogue: 0,0:14:12.27,0:14:15.67,Default,,0000,0000,0000,,kutenganisha viungo vya ndani vya mwili\Nna kushinda vitendo hiari mwilini Dialogue: 0,0:14:15.71,0:14:20.37,Default,,0000,0000,0000,,kupitia njia ya ubongo iliyoimarishwa,\Nkupitia marido ya kumbukumbu ya misuli Dialogue: 0,0:14:20.45,0:14:23.72,Default,,0000,0000,0000,,kwa mazoezi ya makusudi\Nzaidi ya mara 10,000. Dialogue: 0,0:14:24.02,0:14:28.09,Default,,0000,0000,0000,,Sasa ngoja niwasafirishe kidogo\Nndani ya mwili wa mmeza panga Dialogue: 0,0:14:28.31,0:14:30.13,Default,,0000,0000,0000,,Ili kumeza panga, Dialogue: 0,0:14:30.13,0:14:32.25,Default,,0000,0000,0000,,Lazima niteleze panga juu ya ulimi wangu, Dialogue: 0,0:14:32.25,0:14:34.78,Default,,0000,0000,0000,,nizuie kutaka kutapika\Nkwenye shingo ya umio, Dialogue: 0,0:14:34.78,0:14:37.74,Default,,0000,0000,0000,,zungusha mgeuko wa nyuzi 90\Nchini ya gegedu ya ulimi, Dialogue: 0,0:14:38.24,0:14:41.04,Default,,0000,0000,0000,,pitia kwenye msuli juu ya kilinda umio, Dialogue: 0,0:14:41.06,0:14:42.60,Default,,0000,0000,0000,,zuia vitendohiari vya tumbo, Dialogue: 0,0:14:42.60,0:14:44.38,Default,,0000,0000,0000,,telezea makali kwenye shimo la kifua Dialogue: 0,0:14:44.38,0:14:45.96,Default,,0000,0000,0000,,kati ya mapafu. Dialogue: 0,0:14:46.08,0:14:48.35,Default,,0000,0000,0000,,Katika hatua hii, Dialogue: 0,0:14:48.40,0:14:50.39,Default,,0000,0000,0000,,Lazma kweli nisukume moyo wangu pembeni. Dialogue: 0,0:14:50.39,0:14:51.72,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa utaangalia kwa makini, Dialogue: 0,0:14:51.72,0:14:53.86,Default,,0000,0000,0000,,unawezaona moyo ukidunda kwa panga langu Dialogue: 0,0:14:53.86,0:14:55.86,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu linaegemea moyo Dialogue: 0,0:14:55.86,0:14:58.81,Default,,0000,0000,0000,,ikitenganishwa na karibu thumuni ya inchi\Nya tishu ya umio. Dialogue: 0,0:14:58.81,0:15:00.58,Default,,0000,0000,0000,,Hicho sio kitu unaweza kudanganya. Dialogue: 0,0:15:00.58,0:15:02.71,Default,,0000,0000,0000,,Kisha hutelezesha\Nkupita mfupa wa kifua, Dialogue: 0,0:15:02.71,0:15:05.54,Default,,0000,0000,0000,,kupita kilinda umio,\Nchini ndani ya tumbo, Dialogue: 0,0:15:05.54,0:15:09.02,Default,,0000,0000,0000,,zuia vitendohiari ndani ya tumbo\Nnjia yote hadi kwenye mbuti. Dialogue: 0,0:15:09.02,0:15:09.75,Default,,0000,0000,0000,,Rahisi sana. Dialogue: 0,0:15:09.75,0:15:10.93,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:15:10.93,0:15:12.88,Default,,0000,0000,0000,,Kama ningetakiwa kwenda zaidi ya hapo, Dialogue: 0,0:15:12.88,0:15:17.72,Default,,0000,0000,0000,,hadi kufikia mirija yangu ya mayai.\Nmirija ya mayai! (Kidachi) Dialogue: 0,0:15:17.72,0:15:20.98,Default,,0000,0000,0000,,Wanaume, mnaweza kuwauliza wake zenu \Nkuhusu hiyo baadaye ... Dialogue: 0,0:15:22.16,0:15:23.90,Default,,0000,0000,0000,,Watu huniuliza, wanasema, Dialogue: 0,0:15:23.90,0:15:26.74,Default,,0000,0000,0000,,"lazima kuchukua ujasiri mwingi\Nili kuhatarisha maisha yako, Dialogue: 0,0:15:26.74,0:15:28.80,Default,,0000,0000,0000,,kusogeza moyo wako,\Nna kumeza panga ... " Dialogue: 0,0:15:28.80,0:15:30.50,Default,,0000,0000,0000,,Hapana. Kinachofanya ujasiri halisi Dialogue: 0,0:15:30.50,0:15:33.02,Default,,0000,0000,0000,,ni kwa yule kijana mwoga, mwenye aibu,\Nmwembamba Dialogue: 0,0:15:33.08,0:15:35.62,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuhatarisha kushindwa na kukataliwa, Dialogue: 0,0:15:35.62,0:15:37.04,Default,,0000,0000,0000,,kufungua moyo wake, Dialogue: 0,0:15:37.04,0:15:38.24,Default,,0000,0000,0000,,na kumeza kiburi chake Dialogue: 0,0:15:38.24,0:15:41.06,Default,,0000,0000,0000,,na kusimama hapa mbele\Nya kundi la watu asiowafahamu kabisa Dialogue: 0,0:15:41.06,0:15:43.67,Default,,0000,0000,0000,,na kukuambia hadithi yake\Nkuhusu hofu na ndoto zake, Dialogue: 0,0:15:43.68,0:15:47.58,Default,,0000,0000,0000,,kwa hatarisha kumwaga habari zake,\Nvyote kihalisia na kitamathali. Dialogue: 0,0:15:48.28,0:15:49.45,Default,,0000,0000,0000,,Unaona - asante. Dialogue: 0,0:15:49.45,0:15:53.72,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:15:53.85,0:15:56.25,Default,,0000,0000,0000,,Unaona, jambo la kustaajabisha sana ni Dialogue: 0,0:15:56.25,0:15:58.65,Default,,0000,0000,0000,,Nimetaka kufanya mambo\Nya kusifika maishani mwangu Dialogue: 0,0:15:58.65,0:15:59.78,Default,,0000,0000,0000,,na sasa nimesifika. Dialogue: 0,0:15:59.78,0:16:02.88,Default,,0000,0000,0000,,Lakini jambo la kusifika haswa\Nsio kwamba ninaweza kumeza Dialogue: 0,0:16:02.88,0:16:05.17,Default,,0000,0000,0000,,panga 21 kwa mara moja, Dialogue: 0,0:16:07.64,0:16:10.50,Default,,0000,0000,0000,,au futi 20 chini ya maji kwenye tanki\Nla papa 88 na taa Dialogue: 0,0:16:10.50,0:16:12.31,Default,,0000,0000,0000,,kwa kitabu cha Amini au Usiamini, Dialogue: 0,0:16:13.84,0:16:17.60,Default,,0000,0000,0000,,au kuchowa hadi kuwa mwekundu nyuzi 1500\Nkwa Watu jasiri wa Stan Lee Dialogue: 0,0:16:17.61,0:16:19.47,Default,,0000,0000,0000,,kama "Mtu wa Chuma" Dialogue: 0,0:16:19.52,0:16:21.57,Default,,0000,0000,0000,,na yule jamaa alikuwa moto! Dialogue: 0,0:16:22.46,0:16:24.92,Default,,0000,0000,0000,,Au kuvuta gari kwa upanga kwa Ripley, Dialogue: 0,0:16:24.93,0:16:26.29,Default,,0000,0000,0000,,au Guinness, Dialogue: 0,0:16:26.29,0:16:28.76,Default,,0000,0000,0000,,au kufikia fainali za\Nshindano la vipaji Marekani, Dialogue: 0,0:16:28.82,0:16:31.54,Default,,0000,0000,0000,,au kushinda 2007\Ntuzo ya Ig Nobel katika Utabibu. Dialogue: 0,0:16:31.55,0:16:33.90,Default,,0000,0000,0000,,La, hilo sio\Njambo la kusifika sana. Dialogue: 0,0:16:33.90,0:16:36.35,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ndio watu wanafikiria.\NLa, la, la. Sio hivyo. Dialogue: 0,0:16:36.35,0:16:37.80,Default,,0000,0000,0000,,Jambo la kusifika sana Dialogue: 0,0:16:37.80,0:16:40.66,Default,,0000,0000,0000,,ni Mungu angemchukua kijana,\Nmwoga, mwenye aibu mwembamba Dialogue: 0,0:16:40.66,0:16:42.20,Default,,0000,0000,0000,,aliyehofia vimo virefu, Dialogue: 0,0:16:42.20,0:16:43.89,Default,,0000,0000,0000,,aliyehofia ya maji na papa, Dialogue: 0,0:16:43.89,0:16:46.37,Default,,0000,0000,0000,,na madaktari na manesi\Nna sindano na vyenye ncha kali Dialogue: 0,0:16:46.37,0:16:47.64,Default,,0000,0000,0000,,na kuzungumza na watu Dialogue: 0,0:16:47.64,0:16:49.80,Default,,0000,0000,0000,,na sasa ananifanya\Nnipae duniani kote Dialogue: 0,0:16:49.80,0:16:51.32,Default,,0000,0000,0000,,katika kina cha futi 30,000 Dialogue: 0,0:16:51.32,0:16:53.90,Default,,0000,0000,0000,,kumeza vitu vya ncha\Nchini ya maji ya tanki ya papa, Dialogue: 0,0:16:53.90,0:16:57.43,Default,,0000,0000,0000,,na kuzungumza na madaktari na wauguzi\Nna hadhira kama ninyi duniani Dialogue: 0,0:16:57.43,0:16:59.58,Default,,0000,0000,0000,,Hilo ni jambo la kustaajabu sana kwangu. Dialogue: 0,0:16:59.58,0:17:01.45,Default,,0000,0000,0000,,Nimetaka kufanya mambo yasiyowezekana - Dialogue: 0,0:17:01.45,0:17:02.38,Default,,0000,0000,0000,,Asante. Dialogue: 0,0:17:02.38,0:17:03.76,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:17:03.76,0:17:05.22,Default,,0000,0000,0000,,Asante. Dialogue: 0,0:17:05.66,0:17:09.04,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:17:09.70,0:17:12.57,Default,,0000,0000,0000,,Sikuzote nilitaka kufanya yasiyowezekana,\Nna sasa nimeweza. Dialogue: 0,0:17:12.57,0:17:15.86,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kufanya kitu cha kusifika\Nmaishani na kubadilisha ulimwengu, Dialogue: 0,0:17:15.86,0:17:16.90,Default,,0000,0000,0000,,na sasa nimeweza. Dialogue: 0,0:17:16.90,0:17:19.82,Default,,0000,0000,0000,,Siku zote nilitaka kupaa duniani kote\Nkufanya vitendo vigumu Dialogue: 0,0:17:19.82,0:17:21.38,Default,,0000,0000,0000,,na kuokoa maisha, sasa nimeweza. Dialogue: 0,0:17:21.38,0:17:22.72,Default,,0000,0000,0000,,Na unajua nini? Dialogue: 0,0:17:22.72,0:17:25.57,Default,,0000,0000,0000,,Bado kuna sehemu ndogo\Nya ndoto kubwa ya yule mtoto mdogo Dialogue: 0,0:17:25.57,0:17:27.29,Default,,0000,0000,0000,,ndani kabisa. Dialogue: 0,0:17:30.32,0:17:36.20,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) (Makofi) Dialogue: 0,0:17:37.00,0:17:40.24,Default,,0000,0000,0000,,Na unajua, sikuzote nilitaka kupata\Nkusudi langu na wito wangu, Dialogue: 0,0:17:40.27,0:17:41.53,Default,,0000,0000,0000,,na sasa nimepata. Dialogue: 0,0:17:41.54,0:17:42.92,Default,,0000,0000,0000,,Lakini nadhani nini? Dialogue: 0,0:17:42.92,0:17:46.23,Default,,0000,0000,0000,,Si kwa panga,\Nsio unavyofikiria, si kwa nguvu zangu. Dialogue: 0,0:17:46.23,0:17:48.51,Default,,0000,0000,0000,,Ni kwa udhaifu wangu, maneno yangu. Dialogue: 0,0:17:48.51,0:17:51.09,Default,,0000,0000,0000,,Kusudi langu na wito\Nni kubadili ulimwengu Dialogue: 0,0:17:51.09,0:17:52.39,Default,,0000,0000,0000,,kwa kukata kupitia hofu, Dialogue: 0,0:17:52.39,0:17:54.91,Default,,0000,0000,0000,,upanga mmoja kwa wakati, neno moja \Nkwa wakati, Dialogue: 0,0:17:55.07,0:17:57.45,Default,,0000,0000,0000,,kisu moja kwa wakati, maisha kwa wakati, Dialogue: 0,0:17:57.54,0:17:59.70,Default,,0000,0000,0000,,kuhamasisha watu kuwa mashujaa Dialogue: 0,0:17:59.70,0:18:01.86,Default,,0000,0000,0000,,na kufanya yasiyowezekana maishani mwao. Dialogue: 0,0:18:02.06,0:18:04.68,Default,,0000,0000,0000,,Kusudi langu ni kusaidia wengine \Nkupata yao. Dialogue: 0,0:18:04.68,0:18:05.68,Default,,0000,0000,0000,,La kwako ni lipi? Dialogue: 0,0:18:05.68,0:18:06.96,Default,,0000,0000,0000,,Nini kusudi lako? Dialogue: 0,0:18:06.96,0:18:08.96,Default,,0000,0000,0000,,Uliwekwa kufanya nini hapa? Dialogue: 0,0:18:09.26,0:18:11.59,Default,,0000,0000,0000,,Naamini sisi wote\Ntumeitwa kuwa mashujaa. Dialogue: 0,0:18:12.16,0:18:14.26,Default,,0000,0000,0000,,Nguvu yako kubwa ni nini? Dialogue: 0,0:18:14.56,0:18:17.99,Default,,0000,0000,0000,,Kati ya idadi ya watu duniani\Nya watu zaidi ya bilioni 7, Dialogue: 0,0:18:17.99,0:18:20.25,Default,,0000,0000,0000,,kuna wameza upanga\Nwachache sana Dialogue: 0,0:18:20.25,0:18:21.66,Default,,0000,0000,0000,,waliobakia duniani kote leo, Dialogue: 0,0:18:21.66,0:18:22.94,Default,,0000,0000,0000,,lakini kuna wewe mmoja. Dialogue: 0,0:18:22.94,0:18:24.07,Default,,0000,0000,0000,,Wewe ni wa pekee. Dialogue: 0,0:18:24.07,0:18:25.54,Default,,0000,0000,0000,,Hadithi yako ni nini? Dialogue: 0,0:18:25.54,0:18:27.76,Default,,0000,0000,0000,,Nini kinakufanya uwe tofauti? Dialogue: 0,0:18:27.76,0:18:29.18,Default,,0000,0000,0000,,Simulia hadithi yako, Dialogue: 0,0:18:29.18,0:18:31.72,Default,,0000,0000,0000,,hata kama sauti yako ni nyembamba \Nna inatetemeka. Dialogue: 0,0:18:31.90,0:18:33.34,Default,,0000,0000,0000,,Je, thromu zako ni nini? Dialogue: 0,0:18:33.34,0:18:35.85,Default,,0000,0000,0000,,kama ungefanya chochote,\Nkuwa yeyote, kwenda popote - Dialogue: 0,0:18:35.85,0:18:37.43,Default,,0000,0000,0000,,Ungefanya nini?\NUngekwenda wapi? Dialogue: 0,0:18:37.43,0:18:38.48,Default,,0000,0000,0000,,Ungefanya nini? Dialogue: 0,0:18:38.48,0:18:40.34,Default,,0000,0000,0000,,Unataka kufanya nini na maisha yako? Dialogue: 0,0:18:40.34,0:18:41.76,Default,,0000,0000,0000,,Nini ndoto zako kubwa? Dialogue: 0,0:18:41.76,0:18:44.45,Default,,0000,0000,0000,,Nini ndoto zako kubwa ulipokuwa mdogo?\NFikiria tena Dialogue: 0,0:18:44.45,0:18:46.24,Default,,0000,0000,0000,,Nina uhakika hii haikuwa hivyo, si ndiyo? Dialogue: 0,0:18:46.48,0:18:47.88,Default,,0000,0000,0000,,Nini zilikuwa ndoto zako \Nkuu Dialogue: 0,0:18:47.88,0:18:50.45,Default,,0000,0000,0000,,ulizofikiri zilikuwa ajabu sana\Nna zisizoeleweka? Dialogue: 0,0:18:50.45,0:18:54.04,Default,,0000,0000,0000,,Hakika hii inafanya ndoto zako zisionekane\Nza ajabu tena, sivyo? Dialogue: 0,0:18:55.37,0:18:57.05,Default,,0000,0000,0000,,Upanga wako ni nini? Dialogue: 0,0:18:57.05,0:18:58.65,Default,,0000,0000,0000,,Kila mmoja wenu ana upanga, Dialogue: 0,0:18:58.65,0:19:00.60,Default,,0000,0000,0000,,upanga wa pande mbili wa hofu na ndoto. Dialogue: 0,0:19:00.60,0:19:03.52,Default,,0000,0000,0000,,Meza upanga wako, chochote utachokuwa. Dialogue: 0,0:19:03.89,0:19:05.87,Default,,0000,0000,0000,,Fuata ndoto zako, mabibi na mabwana, Dialogue: 0,0:19:05.87,0:19:08.90,Default,,0000,0000,0000,,Hujachelewa sana kuwa\Nchochote unataka kuwa. Dialogue: 0,0:19:09.72,0:19:12.92,Default,,0000,0000,0000,,Kwa wale waonevu na mipira ya kukwepa, \Nwale watoto waliodhani Dialogue: 0,0:19:12.92,0:19:14.92,Default,,0000,0000,0000,,kuwa sitaweza kufanya yasiyowezekana, Dialogue: 0,0:19:15.06,0:19:17.64,Default,,0000,0000,0000,,Nina kitu kimoja tu cha kuwaambia: Dialogue: 0,0:19:17.64,0:19:18.84,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni. Dialogue: 0,0:19:18.94,0:19:22.22,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu kama si kwa wahalifu,\Ntusingekuwa kuwa na mashujaa. Dialogue: 0,0:19:23.02,0:19:27.24,Default,,0000,0000,0000,,Nipo hapa kuthibitisha\Nyasiyowezekana si hayawezekani. Dialogue: 0,0:19:28.30,0:19:32.31,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni hatari sana,\NInaweza kuniua. Dialogue: 0,0:19:32.34,0:19:33.72,Default,,0000,0000,0000,,Natumaini mtafurahia. Dialogue: 0,0:19:33.72,0:19:35.26,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:19:36.35,0:19:38.70,Default,,0000,0000,0000,,Nitahitaji msaada wenu kwenye hili. Dialogue: 0,0:19:46.73,0:19:48.40,Default,,0000,0000,0000,,Hadhira:Mbili, tatu. Dialogue: 0,0:19:48.40,0:19:52.10,Default,,0000,0000,0000,,Dan Meyer:La, la, la. Nahitaji msaada wenu\Nkwenye kuhesabu, nyote, sawa? Dialogue: 0,0:19:52.10,0:19:53.21,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:19:53.21,0:19:55.84,Default,,0000,0000,0000,,Kama unajua maneno? Sawa?\NHesabu na mimi. Tayari? Dialogue: 0,0:19:55.87,0:19:56.96,Default,,0000,0000,0000,,Moja. Dialogue: 0,0:19:56.96,0:19:58.15,Default,,0000,0000,0000,,Mbili. Dialogue: 0,0:19:58.17,0:19:58.98,Default,,0000,0000,0000,,Tatu. Dialogue: 0,0:19:58.98,0:20:00.92,Default,,0000,0000,0000,,La, hiyo ni 2, lakini mmeelewa Dialogue: 0,0:20:06.76,0:20:07.78,Default,,0000,0000,0000,,Hadhira: Moja. Dialogue: 0,0:20:07.84,0:20:08.75,Default,,0000,0000,0000,,Mbili. Dialogue: 0,0:20:08.80,0:20:10.01,Default,,0000,0000,0000,,Tatu. Dialogue: 0,0:20:11.26,0:20:13.28,Default,,0000,0000,0000,,(Vuta pumzi) Dialogue: 0,0:20:14.36,0:20:15.94,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:20:16.25,0:20:17.45,Default,,0000,0000,0000,,DM: Ndiyo! Dialogue: 0,0:20:17.45,0:20:23.10,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) (Kushangilia) Dialogue: 0,0:20:23.10,0:20:24.82,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni sana. Dialogue: 0,0:20:25.45,0:20:28.80,Default,,0000,0000,0000,,Asante, asante, asante.\NAsante kutoka kina cha moyo wangu Dialogue: 0,0:20:28.80,0:20:31.29,Default,,0000,0000,0000,,Kweli, asante\Nkutoka chini ya tumbo langu. Dialogue: 0,0:20:31.88,0:20:35.02,Default,,0000,0000,0000,,Niliwaambia nimekuja hapa kufanya\Nyasiyowezekana, na sasa nimeweza. Dialogue: 0,0:20:35.03,0:20:37.73,Default,,0000,0000,0000,,Ila hii haikuwa isiyowezekana.\NNinafanya hivi kila siku. Dialogue: 0,0:20:37.80,0:20:42.80,Default,,0000,0000,0000,,Kitu kisichowezekana ilikuwa yule mwoga, \Nmwenye aibu mwembamba kukabili hofu zake Dialogue: 0,0:20:42.84,0:20:44.60,Default,,0000,0000,0000,,kusimama hapa kwenye jukwaa la [TEDx], Dialogue: 0,0:20:44.60,0:20:47.10,Default,,0000,0000,0000,,na kubadilisha dunia,\Nneno moja kwa wakati, Dialogue: 0,0:20:47.10,0:20:49.08,Default,,0000,0000,0000,,upanga kwa wakati, maisha kwa wakati.\N Dialogue: 0,0:20:49.08,0:20:52.06,Default,,0000,0000,0000,,kama nimekufanya ufikiri kwa njia mpya,\Nkama nimekufanya uamini Dialogue: 0,0:20:52.06,0:20:54.46,Default,,0000,0000,0000,,yasiyowekana si hayawezekani, Dialogue: 0,0:20:54.46,0:20:57.96,Default,,0000,0000,0000,,ikiwa nimekufanya uelewe kuwa waweza\Nfanya yasiyowezekana maishani mwako, Dialogue: 0,0:20:58.12,0:21:01.02,Default,,0000,0000,0000,,basi kazi yangu imekwisha,\Nna yako ndiyo kwanza imeanza. Dialogue: 0,0:21:01.02,0:21:04.10,Default,,0000,0000,0000,,Usiache kuwa na ndoto. Usiache kuamini. Dialogue: 0,0:21:04.82,0:21:06.35,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni kwa kuniamini Dialogue: 0,0:21:06.35,0:21:08.25,Default,,0000,0000,0000,,na asanteni kuwa sehemu \Nya ndoto yangu. Dialogue: 0,0:21:08.25,0:21:09.55,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni zawadi kwenu:\N Dialogue: 0,0:21:09.55,0:21:11.49,Default,,0000,0000,0000,,Yasiyowezekana si ... Dialogue: 0,0:21:11.49,0:21:12.92,Default,,0000,0000,0000,,Hadhira: Hayawezekani. Dialogue: 0,0:21:12.92,0:21:14.92,Default,,0000,0000,0000,,Mwendo mrefu ni sehemu ya zawadi. Dialogue: 0,0:21:15.10,0:21:19.56,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:21:19.56,0:21:21.02,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni. Dialogue: 0,0:21:21.06,0:21:25.36,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:21:25.58,0:21:27.56,Default,,0000,0000,0000,,(Kushangilia) Dialogue: 0,0:21:27.75,0:21:30.57,Default,,0000,0000,0000,,Mwenyeji: Asante, Dan Meyer, wow!