0:00:00.917,0:00:06.393 Ninataka kuzungumza namna kusoma [br]kunavyoweza kubadilisha maisha yetu 0:00:06.417,0:00:08.792 na kuhusu mipaka ya mabadiliko hayo 0:00:09.750,0:00:14.018 Ninataka kuzungumza na wewe namna kusoma[br]kunavyoweza kutupa ulimwengu wa ushirika 0:00:14.042,0:00:16.750 wa muunganiko wenye nguvu wa kibinadamu 0:00:17.833,0:00:21.393 pia namna ambavyo muunganiko huo [br]ni sehemu tu mara zote 0:00:21.417,0:00:26.500 Kusoma mwisho wa siku ni kitendo cha [br]upweke na kisicho cha kawaida. 0:00:27.625,0:00:30.476 Muandishi aliyebadilisha maisha yangu 0:00:30.500,0:00:34.934 Ni mmarekani mweusi na mwandishi[br]wa riwaya James Baldwin 0:00:34.958,0:00:38.226 Wakati ninakuwa katika eneo la[br]Magharibi mwa Michigan miaka ya 1980, 0:00:38.250,0:00:42.167 hakukuwa na wamarekani wenye asili ya asia[br]wengi wanaoandika kuhusu mabadiliko ya kijamii 0:00:43.292,0:00:46.518 Na ndio maana nilimgeukia James Baldwin 0:00:46.542,0:00:50.583 kama namna ya kuliziba hili ombwe,[br]kama namna ya kuwamakini na rangi 0:00:51.958,0:00:55.934 lakini haswa kwa sababu nilifahamu[br]mimi sikuwa mmarekani mweusi, 0:00:55.958,0:01:00.476 Pia nilisikia kupata changamoto na[br]kuthibitishwa na maneno yake. 0:01:00.500,0:01:02.625 Hasusani maneno haya: 0:01:03.458,0:01:07.059 "Ni watu huria walio na mitazamo sahihi, 0:01:07.083,0:01:09.042 lakini hawana misimamo halisi. 0:01:10.083,0:01:14.018 pale ambapo vipande vipo chini[br]na unawategemea kuleta matokeo, 0:01:14.042,0:01:16.518 na huenda hawako hapo kwa namna fulani". 0:01:16.542,0:01:19.351 Hawako hapo kwa namna fulani. 0:01:19.375,0:01:21.726 Nikayachukua hayo maneno nikitafakari. 0:01:21.750,0:01:23.458 Nijiweke wapi? 0:01:24.500,0:01:26.518 Nilikwenda kwenye delta ya Mississippi, 0:01:26.542,0:01:29.684 mojawapo ya maeneo masikini sana ya[br]Marekani. 0:01:29.708,0:01:32.601 Hii ni sehemu ambayo imejengwa[br]na historia yenye nguvu. 0:01:32.625,0:01:37.768 Katika mwaka wa 1960, Wamarekani weusi[br]walijitoa maisha yao kupigania Elimu, 0:01:37.792,0:01:39.500 kupigania haki ya kupiga kura. 0:01:40.625,0:01:43.059 Nilitaka kuwa sehemu ya badiliko hilo, 0:01:43.083,0:01:46.792 kuwasaidia vijana wadogo wamalize shule[br]na kujiunga na vyuo. 0:01:48.250,0:01:50.976 Nilipoenda kwenye Delta ya Mississipi, 0:01:51.000,0:01:53.434 Palikuwa ni mahali duni bado, 0:01:53.458,0:01:55.184 bado pametengwa, 0:01:55.208,0:01:57.750 Bado panahitaji mabadiliko ya kasi. 0:01:58.958,0:02:02.393 Shule yangu, pale nilipokuwa nasoma, 0:02:02.417,0:02:06.726 haikuwa na maktaba, hakuna mshauri, 0:02:06.750,0:02:09.726 lakini ilikuwa na afisa wa polisi. 0:02:09.750,0:02:12.309 Nusu ya walimu walikuwa ni mbadala 0:02:12.333,0:02:14.309 na wanafunzi walipoingia kwenye ugomvi, 0:02:14.333,0:02:18.208 Shule iliwapeleka kwenye jela ya [br]mahali hapo. 0:02:20.250,0:02:23.226 Hii ndiyo shule nilipokutana na Patrick. 0:02:23.250,0:02:28.184 Alikuwa na miaka 15 na alikamatwa mara[br]mbili, alikuwa darasa la nane. 0:02:28.208,0:02:30.684 Alikuwa ni mkimya na mndani, 0:02:30.708,0:02:33.518 ni kama kila wakati alikuwa mwenye mawazo. 0:02:33.542,0:02:36.333 Na alichukia kuona wengine wakipigana. 0:02:37.500,0:02:41.309 Nilimuona mara moja akiruka kati ya [br]mabinti wawili walipokuwa wakipigana 0:02:41.333,0:02:44.042 Na akajikuta akidondoka na kuanguka chini. 0:02:45.375,0:02:47.893 Patrick alikuwa na tatizo moja. 0:02:47.917,0:02:49.708 Hakuwa akifika shuleni. 0:02:51.249,0:02:53.726 Alisema kuwa shule wakati mwingine humfanya kuwa na msongo 0:02:53.750,0:02:56.792 Sababu wanafunzi hupigana mara zote na[br]walimu wanaondoka. 0:02:58.042,0:03:03.500 Lakini pia, mama yake anafanya kazi mbili[br]na huwa anachoka kuweza kumfanya aje shule. 0:03:04.417,0:03:07.184 Hivyo nikafanya iwe kazi yangu[br]kumfanya awe anakuja shule. 0:03:07.208,0:03:11.268 Na sababu nilikuwa na wazimu na miaka 22[br]na mwenye bidii ya matumaini 0:03:11.292,0:03:13.434 Njia yangu ilikuwa ni[br]kwenda nyumbani kwao 0:03:13.458,0:03:15.583 na kusema "Eti, kwanini hauji[br]shuleni?" 0:03:16.542,0:03:18.184 Na njia hii ilifanya kazi, 0:03:18.208,0:03:20.643 akaanza kuja shuleni kila siku. 0:03:20.667,0:03:23.059 Na akaanza kufanikiwa katika darasa langu. 0:03:23.083,0:03:26.000 Aliandika mashairi,[br]alisoma vitabu. 0:03:26.917,0:03:29.208 Alikuja shuleni kila siku. 0:03:31.042,0:03:32.518 takriban muda ule ule 0:03:32.542,0:03:35.226 Nilipogundua namna ya kushirikiana[br]na Patrick, 0:03:35.250,0:03:37.458 Nilikwenda shule ya sheria Harvard. 0:03:39.583,0:03:42.934 Nilikutana tena na swali hili,[br]nijiweke wapi, 0:03:42.958,0:03:44.667 niuweke wapi mwili wangu? 0:03:45.458,0:03:48.101 Na nikawaza mwenyewe 0:03:48.125,0:03:51.643 Kuwa Mississipi Delta[br]ni mahali ambapo watu wenye fedha, 0:03:51.667,0:03:53.559 watu wenye fursa, 0:03:53.583,0:03:54.833 watu hao huondoka. 0:03:55.875,0:03:57.309 Na watu wanaobakia 0:03:57.333,0:03:59.833 ni watu ambao hawana fursa ya kuondoka. 0:04:00.833,0:04:03.101 Sikutaka kuwa mtu anayeondoka. 0:04:03.125,0:04:05.167 Nilitaka kuwa mtu anayebakia. 0:04:06.333,0:04:09.268 Kwa upande mwingine, nilikuwa mpweke [br]na mchovu. 0:04:09.292,0:04:12.750 Na hivyo nilijishawishi mwenyewe[br]kuwa ninaweza kufanya mabadiliko 0:04:14.125,0:04:17.708 Kwa kiasi kikubwa kama ningekuwa[br]na shahada yenye heshima ya sheria. 0:04:19.541,0:04:20.791 Hivyo nikaondoka. 0:04:22.750,0:04:24.351 Miaka mitatu baadaye, 0:04:24.375,0:04:26.768 Nilipokaribia kuhitimu[br]shule ya sheria, 0:04:26.792,0:04:28.518 rafiki yangu alinipigia simu 0:04:28.542,0:04:33.458 na kuniambia kuwa Patrick [br]amepigana na kuua mtu. 0:04:35.333,0:04:37.393 Nilitaharuki. 0:04:37.417,0:04:39.851 Sehemu ya mimi haikuamini, 0:04:39.875,0:04:42.542 na sehemu ya mimi pia iliamini kuwa [br]ni kweli. 0:04:43.583,0:04:45.583 Nilisafiri kwenda kumuona Patrick. 0:04:46.750,0:04:49.458 Nilimtembelea gerezani. 0:04:50.542,0:04:54.184 Na aliniambia kuwa ilikuwa kweli. 0:04:54.208,0:04:56.601 Ya kwamba ameua mtu. 0:04:56.625,0:04:58.875 Na asingependa kuzungumzia suala hilo. 0:04:59.833,0:05:01.851 Nilimuuliza nini kiliendelea kuhusu shule 0:05:01.875,0:05:06.018 na akasema aliacha shule mwaka mooja[br]baada ya mimi kuondoka. 0:05:06.042,0:05:08.684 Na alitaka kuniambia kuhusu kitu kingine 0:05:08.708,0:05:11.976 Alitazama chini akasema[br]ya kwamba amepata mtoto wa kike 0:05:12.000,0:05:13.768 ambaye ndiye kwanza amezaliwa. 0:05:13.792,0:05:16.375 Na anahisi kuwa amemuangusha binti yake. 0:05:18.625,0:05:22.000 Hivyo ndivyo ilivyokuwa, mazungumzo yetu[br]yalikuwa ya haraka na mabaya. 0:05:23.417,0:05:28.476 Nilipotoka nje ya gereza,[br]sauti ndani yangu iliniambia, 0:05:28.500,0:05:29.768 "Rudi. 0:05:29.792,0:05:33.083 Usiporudi sasa, hutarudi kamwe". 0:05:36.292,0:05:39.875 Hivyo nikahitimu shule ya sheria na[br]nikarudi. 0:05:40.833,0:05:42.518 Nikarudi kumuona Patrick, 0:05:42.542,0:05:45.500 Nikarudi kuona kama ninaweza kumsaidia[br]na kesi yake ya sheria. 0:05:46.917,0:05:50.268 Muda huu,[br]nilipomuona kwa mara ya pili, 0:05:50.292,0:05:52.559 Nilidhani nina hili wazo zuri, [br]nikamwambia, 0:05:52.583,0:05:56.184 "Hey, Patrick, kwanini usiandike barua[br]kwa binti yako, 0:05:56.208,0:05:59.976 ili uweze kumuweka katika[br]fikra zako?" 0:06:00.000,0:06:03.684 Nikampatia kalamu na[br]kipande cha karatasi, 0:06:03.708,0:06:05.333 na akaanza kuandika. 0:06:06.542,0:06:09.351 Lakini nilipoiona karatasi aliyonipatia, 0:06:09.375,0:06:10.708 Nilipigwa na butwaa. 0:06:13.000,0:06:15.101 Sikuutambua mwandiko wake, 0:06:15.125,0:06:17.958 alikuwa amefanya makosa[br]machache ya matamshi. 0:06:19.167,0:06:21.851 na nikawaza mwenyewe kama mwalimu, 0:06:21.875,0:06:25.351 Ninafahamu ya kuwa mwanafunzi[br]anaweza kufanya vizuri kwa kasi 0:06:25.375,0:06:28.434 Kwa muda mfupi sana, 0:06:28.458,0:06:32.125 lakini sikuwahi kuwaza kuwa mwanafunzi[br]anaweza kurudi nyuma kwa kasi. 0:06:34.375,0:06:36.268 kilichoniumiza zaidi, 0:06:36.292,0:06:39.476 ni kuona kile alichokiandika[br]kwa binti yake. 0:06:39.500,0:06:40.893 aliandika, 0:06:40.917,0:06:45.208 "Ninasikitika kwa makosa yangu,[br]ninasikitika kutokuwa pamoja nawe." 0:06:46.458,0:06:49.292 Na hiki ndicho alichojisikia[br]anataka kusema naye. 0:06:50.250,0:06:54.559 Nikajiuliza ni namna gani ninaweza[br]kumshawishi kuwa anaweza kumwambia zaidi, 0:06:54.583,0:06:58.000 ile sehemu yake ambayo[br]hahitaji kuomba radhi kwayo. 0:06:58.958,0:07:00.226 Nilitaka yeye ajisikie 0:07:00.250,0:07:04.208 kuwa anakitu cha thamani[br]kumshirikisha binti yake. 0:07:05.917,0:07:09.101 Kwa kila siku kwa miezi saba iliyofuatia, 0:07:09.125,0:07:11.809 Nilimtembelea na kumpelekea vitabu. 0:07:11.833,0:07:15.684 Mkoba wangu uligeuka kuwa maktaba ndogo. 0:07:15.708,0:07:17.768 Nilimpelekea James Baldwin, 0:07:17.792,0:07:22.684 Nilipeleka Walt Whitman, C.S.Lewis. 0:07:22.708,0:07:27.518 Nilileta vitabu vya mwongozo wa miti, [br]wa ndege, 0:07:27.542,0:07:30.750 na kitabu alichotokea kukipenda zaidi, [br]kamusi. 0:07:31.667,0:07:33.351 Kwa baadhi ya siku, 0:07:33.375,0:07:37.167 tulikaa kimya kwa masaa,[br]wote wawili tukisoma. 0:07:38.083,0:07:39.934 Na siku nyingine, 0:07:39.958,0:07:43.476 tulisoma pamoja,[br]tulisoma mashairi. 0:07:43.500,0:07:47.393 tulianza kwa kusoma haikus,[br]mamia ya haikus, 0:07:47.417,0:07:50.309 ni kito rahisi na danganyifu. 0:07:50.333,0:07:53.143 Na ningemuuliza,[br]"Nishirikishe haiku zako unazozipenda". 0:07:53.167,0:07:56.226 Na baadhi yake ni za kufurahisha sana. 0:07:56.250,0:07:58.101 Kuna hii ya Issa: 0:07:58.125,0:08:01.833 "Usijali, buibui,[br]ninaweka nyumba kikawaida." 0:08:02.750,0:08:07.292 Na hii: "Nimelala nusu ya siku,[br]na hakuna aliyeniadhibu!" 0:08:08.667,0:08:13.101 Na hii nyingine ya kuvutia, inayohusu[br]siku ya kwanza barafu ilipodondoka, 0:08:13.125,0:08:17.583 "Kulungu wakilamba baridi ya kwanza[br]kutoka kwenye koti la kila mmoja wao." 0:08:19.250,0:08:22.268 Kuna kitu cha ajabu na cha kuvutia 0:08:22.292,0:08:24.934 kuhusu namna shairi linavyoonekana. 0:08:24.958,0:08:29.583 Nafasi ya shairi ni muhimu[br]kama maneno yenyewe. 0:08:31.375,0:08:33.893 Tunasoma shairi hili lililoandikwa na[br]W.S.Merwin, 0:08:33.917,0:08:38.143 ambalo aliliandika baada ya kumuona[br]mkewe akifanya kazi kwenye bustani 0:08:38.167,0:08:42.042 na akakumbuka kuwa wataishi maisha[br]yao yote yaliyobaki wakiwa pamoja. 0:08:43.167,0:08:45.518 "Wacha nifikiri kuwa tutakuja tena 0:08:45.542,0:08:48.934 tutakapotaka na itakuwa wakati wa masika 0:08:48.958,0:08:52.143 hatutakuwa na umri mkubwa[br]kuliko tulivyowahi kuwa 0:08:52.167,0:08:56.101 na majonzi yatakuwa mepesi kama[br]mawingu ya mapema 0:08:56.125,0:08:59.893 ambayo kwayo asubuhi[br]huja yenyewe taratibu" 0:08:59.917,0:09:03.309 Nikamuuliza Patrick mstari alioupenda [br]zaidi ni upi, na akasema 0:09:03.333,0:09:06.875 "Hatutakuwa na umri mkubwa [br]kuliko tulivyokuwa." 0:09:08.375,0:09:12.809 Alisema inamkumbusha[br]mahali ambapo muda husimama, 0:09:12.833,0:09:15.768 pale ambapo muda haumaanishi[br]kitu chochote. 0:09:15.792,0:09:17.851 Na nikamuuliza kama amewahi kuwa[br]na mahali pa jinsi hiyo. 0:09:17.875,0:09:20.268 pale ambapo muda hudumu milele. 0:09:20.292,0:09:21.958 Na akasema, "Mama yangu". 0:09:23.875,0:09:28.184 Na pale unaposoma shairi [br]pamoja na mtu mwingine, 0:09:28.208,0:09:30.083 shairi hubadilika katika maana. 0:09:31.333,0:09:36.000 Kwa sababu huwa la kibinafsi kwa mtu huyo,[br]huwa la kibinafsi kwako. 0:09:37.500,0:09:40.184 Halafu tulisoma vitabu,[br]tulisoma vitabu vingi sana, 0:09:40.208,0:09:43.351 tulisoma kumbukumbu za Frederick Douglass, 0:09:43.375,0:09:46.976 Mtumwa wa Marekani aliyejifunza mwenyewe[br]kusoma na kuandika 0:09:47.000,0:09:50.333 na aliyetoroka na kuwa huru[br]sababu ya kuelimika kwake. 0:09:51.875,0:09:54.518 Nimekua nikimfikiria Frederick Douglass [br]kama shujaa 0:09:54.542,0:09:57.750 na niliiona hii simulizi kama[br]iliyojaa matumaini na yenye kuinua 0:09:58.917,0:10:01.750 Lakini kitabu hiki kilimuweka Patrick[br]katika hofu. 0:10:02.875,0:10:07.934 Alibakia katika simulizi aliyoielezea [br]Douglass jinsi ambavyo, katika Christmas, 0:10:07.958,0:10:11.059 Mabwana waliwapa watumwa jini(pombe kali) 0:10:11.083,0:10:14.559 kama namna ya kuwaaminisha kuwa[br]hawawezi kuumudu uhuru. 0:10:14.583,0:10:17.375 Kwa sababu watumwa waliweweseka[br]katika mashamba. 0:10:19.500,0:10:21.500 Patrick alisema anajifananisha na hili. 0:10:22.333,0:10:25.809 Alisema kuwa kuna watu gerezani ambao,[br]kama watumwa, 0:10:25.833,0:10:28.059 hawataki kuwaza juu ya hali zao, 0:10:28.083,0:10:29.893 kwa sababu inawaumiza sana. 0:10:29.917,0:10:32.101 Inaumiza sana kuwaza mambo ya nyuma, 0:10:32.125,0:10:35.458 inaumiza sana kuwaza[br]kuhusu umbali gani tunapaswa kwenda. 0:10:36.958,0:10:39.851 Mstari alioupenda sana ulikuwa huu: 0:10:39.875,0:10:43.476 "Chochote kile, bila kujali chochote,[br]kujiondoa katika kuwaza! 0:10:43.500,0:10:48.542 Ilikuwa ni huku kuwaza kusiko koma kuhusu[br]hali yangu ndiko kunako kipa mateso." 0:10:49.958,0:10:53.917 Patrick alisema Douglass alikuwa jasiri [br]kuandika, ili aendelee kuwaza. 0:10:55.083,0:11:00.643 Lakini Patrick hakufahamu kuwa alionekana [br]kufanana sana na Douglass kwangu. 0:11:00.667,0:11:04.417 Namna alivyoendelea kusoma,[br]ijapokuwa ilimuweka katika hofu. 0:11:05.250,0:11:08.309 Alimaliza kitabu kabla yangu, 0:11:08.333,0:11:12.042 akisoma katika ngazi za [br]zege zisizo na taa. 0:11:13.583,0:11:16.309 Halafu tukaendelea kusoma mojawapo[br]ya vitabu ninavyovipenda, 0:11:16.333,0:11:18.518 Cha Marilynne Robinson's "Gilead," 0:11:18.542,0:11:22.684 ambayo ni barua endelevu kutoka[br]kwa baba kwenda kwa mwanae. 0:11:22.708,0:11:25.059 Alipenda mstari huu: 0:11:25.083,0:11:27.268 "Ninaandika hii kwa sehemu kukuambia 0:11:27.292,0:11:30.601 ya kwamba kama umewahi kujiuliza[br]kile umekifanya katika maisha yako... 0:11:30.625,0:11:32.643 umekuwa neema ya Mungu kwangu, 0:11:32.667,0:11:35.833 muujiza, kitu ambacho ni zaidi [br]ya muujiza." 0:11:37.375,0:11:43.018 Kitu kimoja kuhusu hii lugha,[br]upendo wake, subira yake, sauti yake, 0:11:43.042,0:11:45.500 iliamsha shauku ya Patrick katika kuandika. 0:11:46.292,0:11:49.393 Na alijaza daftari kwa daftari 0:11:49.417,0:11:52.726 na barua kwenda kwa binti yake. 0:11:52.750,0:11:55.684 katika barua hizi nzuri na imara, 0:11:55.708,0:12:01.684 alijiwazia yeye na binti yake[br]wakipanda mtumbwi katika mto Mississipi 0:12:01.708,0:12:04.518 Alijiwazia yeye na binti yake[br]wakipata vijito vya milimani 0:12:04.542,0:12:06.708 vikiwa na maji masafi bila kasoro. 0:12:08.042,0:12:10.083 Nilipomtazama Patrick akiandika, 0:12:11.250,0:12:13.393 Nilijiwazia mwenyewe, 0:12:13.417,0:12:15.476 na sasa ninawaulizeni nyote, 0:12:15.500,0:12:20.792 ni wangapi wenu mmewahi kuandika barua[br]kwa mtu unayehisi umemwangusha? 0:12:22.042,0:12:27.125 Ni rahisi sana[br]kuwaweka hao watu nje ya fikra zako. 0:12:28.083,0:12:32.726 Lakini Patrick alijitokeza kila siku,[br]akimkabili binti yake, 0:12:32.750,0:12:35.684 akijiwajibisha kwake, 0:12:35.708,0:12:39.417 neno kwa neno kwa umakini wa hali ya juu. 0:12:42.417,0:12:44.958 Ningependa katika maisha yangu binafsi 0:12:46.042,0:12:49.101 kujiweka katika hatari kwa namna hiyo. 0:12:49.125,0:12:52.750 Kwa sababu hatari hiyo inadhihirisha[br]nguvu za moyo wa mtu. 0:12:56.625,0:13:00.684 Ngoja nirudi hatua moja nyuma na niulize[br]swali ambalo linaleta wasiwasi. 0:13:00.708,0:13:04.417 Mimi ni nani kusimulia simulizi hii,[br]hii simulizi ya Patrick? 0:13:06.042,0:13:09.018 Patrick ndiye aliyeishi kwenye [br]maumivu haya 0:13:09.042,0:13:13.208 na mimi sijawahi kukaa na njaa hata [br]kwa siku moja kwenye maisha yangu 0:13:15.250,0:13:17.018 Ninawaza sana kuhusu swali hili, 0:13:17.042,0:13:20.768 lakini ninachotaka kusema ni kuwa hii [br]simulizi sio tu kuhusu Patrick. 0:13:20.792,0:13:22.309 Inatuhusu sisi, 0:13:22.333,0:13:24.833 ni kuhusu tofauti kati yetu. 0:13:25.667,0:13:27.083 Ulimwengu wa vingi 0:13:28.375,0:13:32.018 ambao Patrick na wazazi wake [br]na mababu zake 0:13:32.042,0:13:33.851 hawajawahi kuuona. 0:13:33.875,0:13:36.958 Katika simulizi hii, mimi ninawakilisha[br]huo ulimwengu wa vingi. 0:13:37.792,0:13:41.601 Na katika kueleza simulizi hii[br]sikutaka kujificha mwenyewe. 0:13:41.625,0:13:44.292 Kuficha nguvu ambazo ninazo. 0:13:45.333,0:13:48.893 Katika kueleza simulizi hii,[br]ninataka kuifichua nguvu hiyo 0:13:48.917,0:13:51.309 halafu kuuliza, 0:13:51.333,0:13:54.250 tunawezaje kuipunguza[br]umbali kati yetu? 0:13:56.250,0:13:59.851 Kusoma ni njia mojawapo ya kuipunguza[br]hiyo nafasi. 0:13:59.875,0:14:04.309 Kunatuma ulimwengu wa ukimya[br]ambao tunaweza kuushiriki pamoja, 0:14:04.333,0:14:06.583 ambao tunaweza kuushiriki kwa usawa. 0:14:08.500,0:14:11.601 Inawezekana unajiuliza sasa kuwa[br]ni nini kilitokea kwa Patrick. 0:14:11.625,0:14:13.333 Je kusoma kuliokoa maisha yake? 0:14:14.583,0:14:16.708 Kuliyaokoa na hakukuyaokoa. 0:14:17.875,0:14:20.768 Patrick alipotoka gerezani, 0:14:20.792,0:14:23.125 safari yake ilikuwa ya maumivu. 0:14:24.292,0:14:27.768 Waajiri hawakumkubali kwa sababu[br]ya historia yake, 0:14:27.792,0:14:30.934 rafiki yake mpenzi, mama yake,[br]alifariki katika umri wa miaka 43 0:14:30.958,0:14:33.434 kwa ugonjwa wa moyo na kisukari. 0:14:33.458,0:14:36.167 Alikuwa hana pa kuishi,[br]amekuwa hana chakula. 0:14:38.250,0:14:42.792 Kwa hiyo watu wanasema mengi kuhusu kusoma[br]ambayo kwangu ninahisi wanazidisha chumvi. 0:14:43.792,0:14:47.768 Uwezo wa kusoma haukumzuia yeye[br]asitengwe na jamii. 0:14:47.792,0:14:50.417 Hakukumzuia mama yake asifariki. 0:14:51.708,0:14:54.083 Kwa hiyo kusoma kunaweza kufanya nini? 0:14:55.375,0:14:59.333 Nina majibu machache ninapomalizia leo. 0:15:00.667,0:15:03.417 Kusoma kulibadili utu wake wa ndani 0:15:05.083,0:15:08.143 kwa mambo yaliyofichika na uwezo wa[br]kuwaza kwa picha. 0:15:08.167,0:15:09.417 kwa uzuri. 0:15:10.292,0:15:14.625 Kusoma kulimpa taswira zilizompa furaha: 0:15:15.417,0:15:20.976 milima, bahari, kulungu, theluji. 0:15:21.000,0:15:25.125 Maneno yenye ladha ya ulimwengu huru[br]na halisi. 0:15:27.625,0:15:31.143 Kusoma kulimpa lugha kwa yale aliyopoteza. 0:15:31.167,0:15:35.809 Ni jinsi gani yalivyo mazuri haya maneno [br]kutoka kwa mshairi Derek Walcott? 0:15:35.833,0:15:38.059 Patrick alilikariri hili shairi. 0:15:38.083,0:15:40.184 "Siku ambazo nilizishikilia, 0:15:40.208,0:15:42.476 siku ambazo nilizipoteza, 0:15:42.500,0:15:45.726 siku ambazo zinakuwa kupitiliza,[br]kama mabinti, 0:15:45.750,0:15:47.583 mikono yangu inayoshikilia." 0:15:48.667,0:15:51.643 Kusoma kulimfundisha ujasiri wake[br]mwenyewe. 0:15:51.667,0:15:54.976 Kumbuka kwamba aliendelea kusoma[br]Frederick Douglass, 0:15:55.000,0:15:57.143 ijapokuwa ilikuwa ya kuumiza. 0:15:57.167,0:16:00.875 Aliendelea kuwa makini,[br]ijapokuwa kuwa makini kunauma. 0:16:02.208,0:16:04.768 Kusoma ni aina ya kutafakari, 0:16:04.792,0:16:08.851 ndio maana ni vigumu sana kusoma[br]kwa sababu tunataka kutafakari. 0:16:08.875,0:16:13.125 Na Patrick alichagua kutafakari,[br]badala ya kutokutafakari. 0:16:16.000,0:16:19.958 Na mwishoni, kusoma kulimpa lugha[br]ya kuongea na binti yake. 0:16:21.375,0:16:24.601 Kusoma kulimpa shauku ya kutaka kuandika. 0:16:24.625,0:16:28.768 Muunganiko kati ya kusoma na[br]kuandika ni wenye nguvu sana. 0:16:28.792,0:16:30.851 Tunapoanza kusoma, 0:16:30.875,0:16:32.958 tunaanza kupata maneno. 0:16:33.958,0:16:38.601 Na alipata maneno ya kutafakari[br]wao wawili wakiwa pamoja. 0:16:38.625,0:16:40.333 Alipata maneno 0:16:41.958,0:16:44.208 ya kumwelezea ni namna gani anampenda. 0:16:46.042,0:16:49.976 Kusoma pia kulibadilisha[br]mahusiano baina yetu. 0:16:50.000,0:16:52.059 Kunatupa nyakati za kuwa karibu, 0:16:52.083,0:16:54.976 kuweza kuona zaidi ya mitazamo yetu. 0:16:55.000,0:16:57.684 Na kusoma kulichukua mahusiano ya[br]kutokuwa sawa 0:16:57.708,0:17:00.375 na kulitupa usawa wa muda mfupi. 0:17:02.125,0:17:05.059 Ukikutana na mtu kama msomaji, 0:17:05.083,0:17:07.059 unakutana naye kwa mara ya kwanza, 0:17:07.083,0:17:08.791 kwa upya kabisa. 0:17:09.875,0:17:13.083 Hakuna namna unaweza kufahamu mstari [br]anaoupenda sana ni upi. 0:17:14.458,0:17:17.666 Ni kumbukumbu zipi na huzuni zipi za [br]siri alizonazo. 0:17:18.833,0:17:22.833 Na unakutana na sitara ya hali ya juu[br]ya utu wake wa ndani. 0:17:23.666,0:17:27.101 Na halafu unaanza kushangaa,[br]"Eti,utu wangu wa ndani umejengwa na nini? 0:17:27.125,0:17:30.375 Ni kitu gani nilichonacho cha thamani[br]cha kumshirikisha mwingine?" 0:17:33.000,0:17:34.333 Ninataka kufunga 0:17:36.208,0:17:40.500 kwa mistari yangu ninayoipenda[br]kutoka kwa barua za Patrick kwa bintiye. 0:17:41.333,0:17:44.101 "Mto una kivuli kwenye baadhi ya maeneo 0:17:44.125,0:17:47.393 lakini mwanga unaangaza[br]kupitia mianya ya miti... 0:17:47.417,0:17:50.976 Kwenye baadhi ya matawi[br]muliberi nyingi zimening'inia. 0:17:51.000,0:17:54.458 Unanyoosha mkono wako[br]ili uweze kuyachukua baadhi". 0:17:56.042,0:17:58.476 Na barua hii ya upendo, anapoandika, 0:17:58.500,0:18:02.851 "Fumba macho yako na usikilize[br]sauti ya maneno. 0:18:02.875,0:18:05.059 Ninafahamu shairi hili kwa moyo 0:18:05.083,0:18:07.917 na ningependa pia wewe ulifahamu." 0:18:09.375,0:18:11.184 Ninawashukuruni nyote. 0:18:11.208,0:18:14.500 (Makofi)