Kuna swali tunafaa kujiuliza: Kipi hakikwenda sawa? Si tu kuhusiana na janga lakini na uraia wetu. Nini kilichotuletea huu mgawano na chuki kisiasa ? Kwa miongo ya karibu, utengano baina ya washindi na walioshindwa umezidi, na kutia sumu siasa yetu, kututenganisha. Mgawanyiko huu unahusu udhalimu kwa kiasi fulani. Lakini pia mtazamo kuhusu kushinda na kushindwa ambayo huja nayo. Walio kileleni wanaamini ufanisi wao ni juhudi yao, kipimo cha ustahili wao, na walioanguka hawana wa kulaumu bali nafsi zao. Mtazamo huu wa mafanikio unatokana na kanuni inayovutia, kwamba kila mtu ana nafasi sawa, na washindi wanstahili ushindi wao. Huu ndio kiini cha wazo la ustahi. Kwa vitendo,bila shaka, tuna upungufu. Si kila mtu ana nafasi sawa kuinuka. Watoto wazaliwao kwa jamii maskini hukua kwa umaskini, Wazazi tajiri wana uwezo kupitisha manufaa kwa wototo wao. Kwa mfano, katika vyuo bora zaidi, idadi wengi wametoka familia tajiri sana kushinda nusu ya chini ya nchi ukijumuishwa. Shida sio tu kushindwa kufikia mawazo ya ustahi tunavyopiga mbiu. Wazo lenyewe lina kasoro. Ina dosari. Ustahi una madhara kwa manufaa kwa watu wote. unaleta kiburi kwa washindi na kufedhehesha waliopeteza. huchochea washindi kujiona bora zaidi na kusahau nasibu na uenyemali iliyowasaidia kupata mafanikio. Na kupelekea kuonea wasiobahatika, na wasio na wasifi kama wao. Huu hujalisha kisiasa. Mojawapo ya chanzo kuu cha upinzani maarufu miongoni mwa wafanyikazi ni dhana ya wasomi kuwadharau. Ni lawama halali. Ingawaje utandawazi umezidi kukosesha usawa na mshahara usioongezeka, watetezi wake walishauri wafanyikazi. "Kama unataka kushindana na kushinada karika uchumi wa kimataifa, enda chuo" "Mapato yako yanalingana na masomo yako" "Utafaulu ukijaribu" Hawa wasomi hawazingatii tusi fiche kwenye huu ushauri. Usipoenda chuo, usiponawiri kwenye huu uchumi mpya, basi shida ni lako. Huo ndio sababu. Si ajabu wafanyikzi wengi waligeukia ustahi wa wasomi. Tunafaa tufanye nini ? Tunafaa kuwazia kipengee tatu cha uraia wetu. Nafasi ya chuo, usharifu wa kazi na maana ya ufanisi. Tunafaa kuwazia tena nafasi ya vyuo kama suluhishi la fursa. Kwa watu kama sisi tunaotangamana na wasomi, ni rahisi kusahau hakika sahili: Watu wengi hawana sahada la miaka minee chuoni. Kwa hakika, thuluthi mbili Wamerikani hawana. Kwa hivyo ni upumbavu kujenga uchumi inayoshurutisha shahada ya chuo ili kuwepo na maisha sharifu. Kuhimiza watu kwenda chuo ni wazo mzuri. Upanuzi wa ufikavu kwa wasiojiweza ni bora zaidi Lakini huu si suluhu la kutokuwa na usawe. Haina faida kuandaa watu kupambania ustahi ni kuboresha maisha tunafaa kuzingatia kwa watu hawana diploma lakini wenye mchango muhimu katika jamii. Tunafaa kufufua usharifu wa kazi. na kuiweka kati kwenye siasa zetu Tunafaa kukumbuaka kazi sio tu kupata riziki, ila pia ni kuchangia uzuri wa pamoja na kushindania utambuzi wakati huo Robert F. Kennedy alisema vyema nusu karne iliyopita Ushirika,jumuiya, uzalendo shirika Malengo haya hayaji kwa ununuzi na ulaji wa bidhaa pamoja. Zinatokana na ajira adhama, kwa mshahara lifaalo. Ni aina ya ajira inatuwezesha kusema, "Nilichangia ujuenzi wa huu nchi. Mimi ni mshiriki wa ubia umma zake kubwa" Huu hisia wa uraia Haipo pakubwa katika maisha ya umma siku hizi Mara mingi tunadhania kipato cha watu ni kipimo cha mchango wao kwa mazuri kwa wote Huu ni kosa. Martin Luther King Jr alielezea mbona. Kwa kutafakari mgomo wa wasafishaji mazingira uko Memphis, Tennessee, muda mfupi kabla hajawawa, King alisema, "Mtu anyezoa takataka, kwa uchambuzi wa kina, ana umuhimu sawa na daktari, asipofanya kazi yake, magonjwa yanakithiri. Kazi zote zina usharifu" Janga tunao leo unadhihirisha huu. Unaonyesha tunavyotegemea sana wafanykazi kunapuuza wakati mwingi. Wafanyikazi wa upelekaji, wafanyikazi wa matengenezo, karani wa duka, wafanyikazi wa bohari, madereva wa lori, wauguzi wasaidizi, watunza watoto, wahuduma wa afya nyumbani. Wafanyikazi hawa kipato ni duni na wanapuuziliwa. Lakini sasa, tunawaona muhimu. Huu ni fursa wa mjadala wa umma kuhusu kuinua mapato yao na kuwatambua kulingana na umuhimu wa kazi wanayofanya. Ni wakati wa kubadili maadili, hata roho, kuulizia kiburi cha ustahi. Kimaadili,nastahiki talanta zinazoniwezesha kunawiri ? Ni uwezo wangu kua naishi katika jamii inayothamini talanta ninazo ? Ama ni bahati ? Kusisitiza ufanisi ni haki yangu huleta ugumu kujiweka kwa niaba ya watu wengine. Kuthamini nafasi ya baraka maishani yanaweza leta unyenyekevu flani. Kama si kwa ajali ya uzazi, ama neema ya mungu ama fimbo la hatima, ningekua nani. Huu moyo wa unyenyekevu ndio fadhila ya uraia tunahitaji sasa. Ndio mwanzo wa kurudi toka maadili makali ya ufanisi unaotutenganisha. Inatuelekeza kupita ubabe wa ustahi hadi maisha ya ukarimu zaidi ya umma