1 00:00:00,000 --> 00:00:01,977 {muziki wa kizalendo} 2 00:00:03,243 --> 00:00:06,261 Ukitaka kuweza kupiga kura Novemba 3 00:00:06,261 --> 00:00:08,071 Itabidi umejisajilisha kwanza 4 00:00:08,071 --> 00:00:09,737 hakikisha kutumia fungo hili 5 00:00:09,737 --> 00:00:12,021 kuona kama umesajiliwa tiyari. Kama bado 6 00:00:12,021 --> 00:00:14,806 ama kama ulihama au kubadli jina tangia 7 00:00:14,806 --> 00:00:18,338 ulipopiga kura tumia hilo fungo kusajili 8 00:00:18,338 --> 00:00:21,103 Kwa wale ambao wana leseni halali ya udereva ya Georgia 9 00:00:21,103 --> 00:00:23,709 ingiza nambari ya hiyo leseni kenye fomu mtandaoni 10 00:00:23,709 --> 00:00:27,364 Kama hauna leseni ya udereva ya Georgia, utaulizwa uipige chapa na kutia sahihi. 11 00:00:27,364 --> 00:00:29,006 na hatimaye kuituma kutumia posta. 12 00:00:29,006 --> 00:00:31,597 Najua inaudhi lakini ni muhimu kwa hivyo fanya tu. 13 00:00:31,597 --> 00:00:33,451 Makataa ya kusajili ni tarehe 5 Oktoba 14 00:00:33,451 --> 00:00:36,248 ukitaka kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Novemba 3 15 00:00:36,248 --> 00:00:39,112 Ukishajisajili unaweza chagua jinsi kadhaa 16 00:00:39,112 --> 00:00:41,716 ya kupiga kura. Yeyote aliye Georgia anaweza piga kura kwa njia ya posta 17 00:00:41,716 --> 00:00:44,046 al maarufu kama kupiga kura kwa kutokuwa' 18 00:00:44,046 --> 00:00:46,774 unachofaa kufanya ni kuyeyusha fomu kutoka kwenye fungo hili 19 00:00:46,774 --> 00:00:49,803 lijaze kisha ulitume kwa ofisi ya mrajisi wa bodi ya gatuzi lako. 20 00:00:49,803 --> 00:00:52,384 Hii hapa fungo la anwani zote maelezoni 21 00:00:52,384 --> 00:00:54,069 Kimsingi, maombi ya kupiga kura kwa kutokuwa yanakubalika Georgia kabla ya OKtoba 30. 22 00:00:54,069 --> 00:00:57,143 Pindi unapotuma ombi la kijisajili kama mpiga kura wa kutokuwa utapata 23 00:00:57,143 --> 00:01:00,927 kura yako na kuchukua muda mrefu wa kufanya uamuzi mwafaka. 24 00:01:00,927 --> 00:01:02,654 na kutuma kupitia posta kabla ya Novemba 3 25 00:01:03,522 --> 00:01:05,641 Pia unaweza piga kura mapema kuanzia Oktoba 12 hadi November 3 26 00:01:08,174 --> 00:01:09,431 Nyakati na maeneo yanatofautiana kutoka gatuzi moja hadi nyingine lakini zote zinakukubalia 27 00:01:09,431 --> 00:01:13,126 kupiga kura mapema angalau Jumamosi moja ikiwa kupiga kura mwishoni mwa wiki inakufaa. 28 00:01:13,126 --> 00:01:16,553 kuna fungo katika maelezo ambapo unaweza chagua gatuzi lako 29 00:01:16,553 --> 00:01:19,263 na itakueleza lini na wapi unaweza piga kura mapema. 30 00:01:19,263 --> 00:01:22,703 Ukitaka mbwembwe za kupiga kura binafsi Novemba 3 31 00:01:22,703 --> 00:01:26,683 ingawa unaweza pata pa kupigia kura kutumia fungo uliotumia kujisajili. 32 00:01:26,683 --> 00:01:30,256 Vituo vya kupiga kura inafunguliwa saa moja asubuhi hadi saa moja jioni nchini kote. 33 00:01:30,256 --> 00:01:34,009 Watakubali leseni ya udereva, kitambulisho cha jimbo, paspoti, kitambulisho cha jeshi au kitambulisho cha kabila 34 00:01:34,009 --> 00:01:36,558 Usipokuwa na aina yoyote ya hizo vitambulisho 35 00:01:37,703 --> 00:01:40,179 unaweza pata kitambulisho cha kupiga kura cha bure katika ofisi ya mrajisi wa gatuzi lako au DMV 36 00:01:40,179 --> 00:01:44,349 Saa ambazo ofisi hizo zimefunguliwa zinaweza tofautiana na pia unahitaji cheti cha kuzaliwa. 37 00:01:44,349 --> 00:01:46,604 na thibitisho ya anwani kupata kitambulisho cha kupiga kura cha bure. 38 00:01:46,604 --> 00:01:47,501 anza kuishughulikia sasa 39 00:01:47,501 --> 00:01:49,961 Ukitaka kuona kila kitu utakacho kipigia kura 40 00:01:49,961 --> 00:01:52,391 kuna fungo hapa chini kukuelekeza unapoweza kupata sampuli ya kura 41 00:01:52,391 --> 00:01:54,731 ni fungo hilohilo utakalolitumia kujisajili na kuangalia eneo lako la kupiga kura 42 00:01:54,731 --> 00:01:56,913 Hii inakupatia nafasi ya kutafiti wagombea 43 00:01:56,913 --> 00:01:58,601 katika uchaguzi wako wa mitaa mapema 44 00:01:58,601 --> 00:02:01,711 Si lazima upigie kura kila kipengee katika karatasi ya kura kama hautaki. 45 00:02:01,711 --> 00:02:04,773 lakini ukitaka kuwa na semi katika kura hizo za maana za mitaa 46 00:02:04,773 --> 00:02:07,267 ni muhimu kujua ni nini inaendelea huko 47 00:02:07,267 --> 00:02:09,007 kabla ya kuingia katika kibanda cha kupiga kura 48 00:02:09,007 --> 00:02:12,027 ukitaka unaweza kupiga moja chapa na kuja nayo kwa eneo la kupiga kura 49 00:02:12,027 --> 00:02:14,010 hivyo, unaweza kumbuka unayetaka kumpigia kura 50 00:02:14,010 --> 00:02:15,830 Cha mwisho, kama unaenda kupiga kura 51 00:02:15,830 --> 00:02:18,555 fungua programu yako ya nakala au karatasi na ufanye mpango 52 00:02:18,555 --> 00:02:20,552 andika lini na vipi unaenda kujisajili 53 00:02:20,552 --> 00:02:23,100 ni wakati upi utapiga kura na ni vipi utafika huko 54 00:02:23,100 --> 00:02:24,530 ni kitambulisho kipi utakitumia 55 00:02:24,530 --> 00:02:26,649 na hata kukileta katika kituo cha kupiga kura 56 00:02:26,649 --> 00:02:28,589 Kuwa na mpango ni nji mwafaka ya kuhakikisha 57 00:02:28,589 --> 00:02:31,239 kuwa hakuna kitu usichokitarajia kitakacho kuzuia kupiga kura Novemba 3 58 00:02:31,239 --> 00:02:33,359 Fungo zote unazohitaji kuangalia usajili wako 59 00:02:33,359 --> 00:02:35,109 na vituo vya kupiga kura vitakuwa katika maelezo 60 00:02:35,109 --> 00:02:36,580 Asante kwa kupiga kura 61 00:02:36,580 --> 00:02:38,971 Jinsi ya kupiga kura katika kila jimbo inaandaliwa na Complexly 62 00:02:38,971 --> 00:02:41,190 kwa usirikiano na mradi wa mpiga kura wa The MediaWise 63 00:02:41,190 --> 00:02:44,260 inayoongozwa na taasisi ya Polynter na kuungwa mkono na facebook.