Return to Video

Exosuit Inaposukuma Kiwango cha Utafiti wa Chini ya Maji - na Sayansi Marekani

 • 0:00 - 0:04
  Muziki
 • 0:09 - 0:11
  Jina langu ni Michael Lombardi,
 • 0:11 - 0:12
  ni afisa usalama wa wazamia maji
 • 0:12 - 0:14
  katika makumbusho ya asili ya Marekani.
 • 0:14 - 0:16
  Hii suti imetengenezwana aluminium
 • 0:16 - 0:18
  ni aloi, Kwa hiyo ni kwamba
 • 0:18 - 0:21
  uko ndani ya chombo chenye mgandamizo,
 • 0:22 - 0:25
  uko ndani ya nyambizi, haiwezi kuminyika.
 • 0:26 - 0:29
  Huo ndio ufunguo hasa kuondoa mgandamizo
 • 0:30 - 0:33
  Kama ungekuwa kwenye mgandamizo, au
 • 0:33 - 0:35
  mfano, ungekuwa kwenye vazi la kuogelea
 • 0:35 - 0:37
  mwili wa binadamu unakutana na mgandamizo
 • 0:37 - 0:40
  Ni chanzo cha matatizo ya fiziolojia.
 • 0:40 - 0:42
  Tunaondoa tatizo hili kupitia fiziolojia,
 • 0:42 - 0:45
  tunafungua ulimwengu mpya wa uchunguzi.
 • 0:46 - 0:48
  Unachohitaji ili kuishi kiko kwenye suti
 • 0:49 - 0:51
  Unatumia kipumulia oksijeni
 • 0:52 - 0:53
  ndani ya kebini. Unasindika hewa
 • 0:54 - 0:56
  kwenye kabini huku kaboni dayoksaidi
 • 0:56 - 0:58
  ikiondolewa kwa njia ya kemikali
 • 0:58 - 1:01
  na oksijeni inarejeshwa kulingana
 • 1:01 - 1:03
  na viashiria mwili vyako.
 • 1:03 - 1:05
  kama tungeogelea kwa kina kirefu hivihivi
 • 1:05 - 1:09
  ingekuwa vigumu kupumua gesi mchanganyiko
 • 1:09 - 1:11
  kama oksijeni, nitrojeni na heliamu
 • 1:11 - 1:13
  zingetumeza kwa kina hicho kirefu
 • 1:13 - 1:16
  Nimekuwa na uzoefu kufanya hivyo
 • 1:16 - 1:17
  unajikuta umeishia kwenye vizuizi kirahisi kwa
 • 1:17 - 1:19
  muda unaotumia ukiwa kwenye kina
 • 1:19 - 1:21
  kirefu ukifanya haya.
 • 1:21 - 1:23
  kwa hiyo, kwenye Exosuit unakuwa kwenye
 • 1:23 - 1:24
  mgandamizo sawasawa na ardhini
 • 1:24 - 1:26
  unasindika hewa ya kebini
 • 1:26 - 1:29
  unapumua hewa kama uko nje ya maji
 • 1:29 - 1:32
  na una masaa 50 ya kupata hewa safi
 • 1:32 - 1:34
  Kwa hiyo, hapa tuna kifaa ambacho
 • 1:34 - 1:37
  kinaweza kutumika kusaidia maneo mengi
 • 1:37 - 1:39
  kuliko tulivoyweza kabla.
 • 1:40 - 1:42
  Moja, mbili.. tatu
 • 1:42 - 1:44
  (Anatumbukia kwenye maji)
 • 1:44 - 1:46
  Ni mimi, Michael Moyer,
 • 1:46 - 1:48
  mhariri wa Sayansi ya Anga na Fizikia Marekani
 • 1:49 - 1:51
  Kuelewa kwa nini naogelea upande huu
 • 1:51 - 1:54
  wa boti, ninatafuta chakula,
 • 1:54 - 1:56
  unatakiwa urudi nyuma kidogo.
Títol:
Exosuit Inaposukuma Kiwango cha Utafiti wa Chini ya Maji - na Sayansi Marekani
Descripció:

more » « less
Video Language:
English
Team:
Scientific American
Projecte:
Instant Egghead
Duration:
01:57

Swahili subtitles

Revisions