-
Tupo katika taharuki ya plastiki
-
Lakini ni nani wa kulauminwa ? Na ni vipi tunaweza badili hali hii?
-
Wacha niwape niwape vipengee chache.
-
Zaidi ya nusu ya palstiki ziliyoundwa ziliundwa mwongo jana.
-
Na zaidi ya asilimia tisa ya plastiki ziliyowahi kuundwa tiyari zishatengenezwa upya.
-
Kabla haujamlaumu jirani wako mzembe
-
kwa hicho kiwango cha chini mno cha kutengeneza upya,
-
pengine twafaa kuchukua hatua nyuma
-
na kuona jinsi tulivyofika hapo mwanzoni.
-
Na kujibu hilo swali.
-
Itabidi tumerudi nyuma sana hadi pale plastiki zilipoanzia.
-
Hapana... siyo nyuma hivyo.
-
Naam, hiyo ni sawa.
-
hivi ni visima vya madini,
-
ambapo ndipo ... (ashakum si matusi) ya plastiki
-
unaoyoona mazingirani huanzia.
-
Katika mwongo jana,
-
serikali ilitoa mabilioni ya dola ya ruzuku za ushuru
-
na kufadhaisha sheria za kimazingira
-
ili kuhimiza uendelevu wa mafuta na gesi asilia.
-
Hiyo ilihakikisha mafuta na gesi mpya yenye bei nafuu
-
ambazo kampuni kama vile Dow na Exxon walibadili kuwa plastiki.
-
yaani, mafuta mengi na gesi yenye bei ya chini inamaanisha plastiki yenye bei ya chini.
-
Kihakika, plastiki kwa sasa ni chanzo inayokuwa kwa haraka ya cha gesi chafu
-
kwa vile CO2 na methane.
-
Kampuni kubwa za bidhaa za matumizi
-
hatimaye hugeuza plastiki kuwa vifurushi
-
ambavyo hutumiwa mara moja halafu hazitengenezwi upya tena
-
Na bila sheria
-
dhidi ya waundaji wa plastiki kuhusu taka za plastiki wanayounda.
-
kisia ni nani anayelipia hayo yote?
-
Umepata. Ni sisi walipaushuru.
-
Kampuni zinazounda plastiki zinazotumiwa mara moja
-
wanataka kukushawishi kuwa kutengeneza upya itasuluhisha hayo yote.
-
Lakini ukweli ni kuwa ni ghali kutengeneza kitu upya
-
kuliko kuunda plastiki mpya.
-
Baadhi ya miji na majiji
-
vinafikiria hata kutupilia mbali michakato yao ya kutengeneza upya.
-
Kwa mfano Maine.
-
Wakazi wa Maine wanataka kufanya haki,
-
lakini bidhaa zinaendelea kufurushwa kwa njia ya hasara
-
na miji inapambana na cha kuzifanyia
-
zinapofika jalalani.
-
pale ambapo watu wanaounda vifurushi vya plastiki
-
wasipowajibika kwa kusimamia na kulipia taka zao, mabaya hutendeka.
-
Mabaya sana.
-
Ndiyo maana wengi wanafikiria njia mbadala za kufurusha na kutupa taka.
-
Njia moja ya kufanya hivyo
-
Ni kwa kupitia mfumo unaoitwa EPR Uendelezi wa uajibikaji wa muundaji.
-
Unaweza kuiita, 'anayechafua mazingira analipa' ama "dhana kuu"
-
EPR ya vifurushi huwekea makampuni ndoano
-
kwa kuzifanya ziwajibike kwa bidhaa zinazoleta kwenye rafu zetu.
-
Kwa mfano kulipia kwa bei ya juu bidhaa ambazo haziwezi tengenezwa upya.
-
Ingawa Marekani haiwaitaji watengenezaji kusaidia kudhibiti taka za vifurushi vyao,
-
sehemu zinginezo zinahitaji
-
pamoja na jimbo kadhaa za Kanada na nchi zote za Umoja wa Ulaya (EU).
-
Baadhi ya hizi sheria zimekuwapo kwa miaka thelathini
-
na baadhi ya sehemu hizi zinashuhudia kuongezeka kwa viwango vya utengenezaji upya.
-
Na hata bora zaidi,
-
kampuni zinapowajibika kuhusu taka zao, maajabu hutendeka.
-
wanagundua kuwa ni bei nafuu kupunguza vifurushi vyao
-
kuliko kulipia usafishaji wa taka zao.
-
Ndio uzuri wa kunyumbua uajibikaji kwa wachafuaji mazingira wa kweli.
-
Inaweza saidia kupunguza taka za plastiki mwanzoni,
-
kuboresha kutengeneza upya kwa kuunda mkondo mpya msafi,
-
na ndiyo,
-
na kukabiliana na hiki kitu kiitwacho mabadiliko ya hali ya anga pia.
-
Kushirikiana na njia nyinginezo kupunguza plastiki isiyo ya lazima,
-
kama vile vikapu na vifurushi vya chakula,
-
kutekeleza utengenezaji upya kupitia EPR kwa ufurushi
-
ndicho ulimwengu unachohitaji.
-
Ni nini maoni yako kuhusu EPR? Tuambie maoni yako hapa chini.
-
Asante kwa kutizama.
-
Kama umependa video hii tafadhali bonyeza penda na ujiunge.