[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.96,0:00:03.02,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa na umri wa miaka 14 Dialogue: 0,0:00:03.04,0:00:04.62,Default,,0000,0000,0000,,nikiwa kwenye jumba la michezo, Dialogue: 0,0:00:04.64,0:00:06.40,Default,,0000,0000,0000,,nikiiba kwenye mashine ya mchezo, Dialogue: 0,0:00:07.20,0:00:08.98,Default,,0000,0000,0000,,na nilipokuwa nikitoka nje ya jengo Dialogue: 0,0:00:09.00,0:00:11.38,Default,,0000,0000,0000,,mlinzi alikamata mkono wangu, \Nhivyo nikakimbia. Dialogue: 0,0:00:11.76,0:00:14.74,Default,,0000,0000,0000,,Nilikimbilia mtaani,\Nna nikaruka juu ya uzio. Dialogue: 0,0:00:14.76,0:00:16.38,Default,,0000,0000,0000,,Na nilipofika juu, Dialogue: 0,0:00:16.40,0:00:18.58,Default,,0000,0000,0000,,uzito wa sarafu 3,000 kwenye mkoba wangu Dialogue: 0,0:00:18.60,0:00:20.24,Default,,0000,0000,0000,,ulinielemea na kunivuta chini. Dialogue: 0,0:00:20.88,0:00:23.94,Default,,0000,0000,0000,,Niliponyanyuka, mlinzi \Nalikuwa amesima juu yangu, Dialogue: 0,0:00:23.96,0:00:27.38,Default,,0000,0000,0000,,na akasema, "Siku nyingine nyinyi vibaka, \Nibeni vitu mnavyoweza kubeba." Dialogue: 0,0:00:27.40,0:00:29.42,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:00:29.44,0:00:31.58,Default,,0000,0000,0000,,Nilipelekwa kwenye mahabusu ya watoto Dialogue: 0,0:00:31.60,0:00:34.16,Default,,0000,0000,0000,,na nilipoachiliwa \Nchini ya dhamana ya mama yangu, Dialogue: 0,0:00:35.08,0:00:38.06,Default,,0000,0000,0000,,maneno ya kwanza mjomba wangu\Nalisema yalikuwa, "Ulikamatwaje?" Dialogue: 0,0:00:38.08,0:00:40.26,Default,,0000,0000,0000,,Nikasema, "Mzee, mkoba \Nulikuwa mzito sana." Dialogue: 0,0:00:40.28,0:00:42.66,Default,,0000,0000,0000,,Akasema, "Mzee, \Nhukutakiwa kuchukua sarafu zote." Dialogue: 0,0:00:42.66,0:00:46.06,Default,,0000,0000,0000,,Nikasema, "Mzee, zilikuwa ndogo. \NNingefanyaje?" Dialogue: 0,0:00:46.08,0:00:50.98,Default,,0000,0000,0000,,na dakika 10 baadaye, alinipeleka kuiba \Nkwenye mashine nyingine ya mchezo. Dialogue: 0,0:00:51.00,0:00:53.02,Default,,0000,0000,0000,,Tulihitaji pesa ya petroli kufika maskani. Dialogue: 0,0:00:53.25,0:00:55.29,Default,,0000,0000,0000,,Hayo ndiyo yalikuwa maisha yangu. Dialogue: 0,0:00:55.44,0:00:57.30,Default,,0000,0000,0000,,Nimekulia Oakland, Kalifornia, Dialogue: 0,0:00:57.32,0:00:59.66,Default,,0000,0000,0000,,na mama yangu \Nna ndugu wa karibu wa familia Dialogue: 0,0:00:59.68,0:01:00.92,Default,,0000,0000,0000,,walevi wa madawa ya kulevya ya kokeini . Dialogue: 0,0:01:01.56,0:01:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Mazingira yangu yalijumuisha \Nkuishi na familia, marafiki, Dialogue: 0,0:01:06.96,0:01:08.56,Default,,0000,0000,0000,,na makazi kwa wasio-na-makazi. Dialogue: 0,0:01:09.04,0:01:12.72,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingi, mlo wa jioni tuliupata \Nkwenye foleni za vyakula vya msaada. Dialogue: 0,0:01:13.44,0:01:15.30,Default,,0000,0000,0000,,Mjomba aliniambia hivi: Dialogue: 0,0:01:15.32,0:01:17.30,Default,,0000,0000,0000,,pesa inatawala dunia Dialogue: 0,0:01:17.32,0:01:18.54,Default,,0000,0000,0000,,na kila kitu ndani yake. Dialogue: 0,0:01:18.56,0:01:20.64,Default,,0000,0000,0000,,Na katika hii mitaa, pesa ni Mfalme. Dialogue: 0,0:01:21.32,0:01:22.94,Default,,0000,0000,0000,,Na ikiwa utafuata pesa, Dialogue: 0,0:01:22.96,0:01:25.48,Default,,0000,0000,0000,,itakupeleka kwa mtu mbaya au mtu mzuri. Dialogue: 0,0:01:26.08,0:01:28.62,Default,,0000,0000,0000,,Baadaye kidogo,\Nnilifanya uhalifu wangu wa kwanza, Dialogue: 0,0:01:28.64,0:01:31.62,Default,,0000,0000,0000,,na ndiyo mara ya kwanza \Nnilipoambiwa kuwa nina kipaji Dialogue: 0,0:01:31.64,0:01:33.79,Default,,0000,0000,0000,,na nikajisikia kuwa kuna mtu ananiaminia. Dialogue: 0,0:01:34.24,0:01:36.95,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna aliyewahi-niambia kuwa\Nningeweza kuwa mwanasheria, Dialogue: 0,0:01:36.95,0:01:38.06,Default,,0000,0000,0000,,daktari au mhandisi. Dialogue: 0,0:01:38.08,0:01:41.60,Default,,0000,0000,0000,,Yaani, ningewezaje kufanya hivyo?\NSikuweza kusoma, kuandika wala kutahajia. Dialogue: 0,0:01:41.60,0:01:42.74,Default,,0000,0000,0000,,Sikuwa mtu aliyesoma. Dialogue: 0,0:01:42.76,0:01:45.88,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo, mara zote nilifikiri\Nuhalifu ndio njia ya kwenda. Dialogue: 0,0:01:47.48,0:01:49.18,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha siku moja Dialogue: 0,0:01:49.20,0:01:50.46,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa naongea na mtu Dialogue: 0,0:01:50.48,0:01:54.08,Default,,0000,0000,0000,,na alikuwa ananiambia juu ya \Nhuu wizi ambao tungeweza fanya. Dialogue: 0,0:01:54.76,0:01:55.96,Default,,0000,0000,0000,,Na tukaufanya. Dialogue: 0,0:01:57.08,0:01:58.90,Default,,0000,0000,0000,,Ukweli ni kwamba nilikuwa nakulia Dialogue: 0,0:01:58.92,0:02:01.30,Default,,0000,0000,0000,,kwenye nchi yenye uwezo mkubwa\Nwa kifedha duniani, Dialogue: 0,0:02:01.30,0:02:03.02,Default,,0000,0000,0000,,Marekani, Dialogue: 0,0:02:03.04,0:02:07.12,Default,,0000,0000,0000,,huku nikiangalia mama yangu, \Nakisimama kwenye foleni ya benki ya damu Dialogue: 0,0:02:08.68,0:02:12.36,Default,,0000,0000,0000,,kuuza damu yake kwa Dola 40\Nkujaribu tu kulisha wanae. Dialogue: 0,0:02:13.32,0:02:16.64,Default,,0000,0000,0000,,Bado ana alama za sindano \Nmikononi mwake leo kudhihirisha hilo. Dialogue: 0,0:02:17.48,0:02:19.22,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo sikuijali jumuiya yangu, Dialogue: 0,0:02:19.24,0:02:20.74,Default,,0000,0000,0000,,Hawakujali maisha yangu. Dialogue: 0,0:02:20.76,0:02:24.18,Default,,0000,0000,0000,,Kila mtu pale alifanya anachotaka fanya kupata alichotaka, Dialogue: 0,0:02:24.20,0:02:26.38,Default,,0000,0000,0000,,wauza mihadarati,\Nwezi, benki ya damu. Dialogue: 0,0:02:26.40,0:02:28.02,Default,,0000,0000,0000,,Kila mtu alichukua fedha ya damu. Dialogue: 0,0:02:28.04,0:02:30.20,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nilipata yangu \Nkwa njia yoyote ile. Dialogue: 0,0:02:30.20,0:02:31.56,Default,,0000,0000,0000,,Nilipata yangu. Dialogue: 0,0:02:31.56,0:02:33.68,Default,,0000,0000,0000,,Elimu ya fedha\Nkweli ilitawala dunia, Dialogue: 0,0:02:34.68,0:02:36.66,Default,,0000,0000,0000,,na nilikuwa mtoto mtumwa kwake Dialogue: 0,0:02:36.68,0:02:37.92,Default,,0000,0000,0000,,nikifuata mtu mbaya. Dialogue: 0,0:02:40.28,0:02:43.46,Default,,0000,0000,0000,,Nikiwa na miaka 17, \Nnilikamatwa kwa wizi na mauaji Dialogue: 0,0:02:43.48,0:02:47.46,Default,,0000,0000,0000,,na punde nikajifunza kuwa fedha jela \Nzinatawala zaidi ya zilivyo mitaani, Dialogue: 0,0:02:47.48,0:02:48.68,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nilitaka kuingia. Dialogue: 0,0:02:49.60,0:02:52.66,Default,,0000,0000,0000,,Siku moja, nilikurupuka kushika \Nukurasa wa michezo katika gazeti Dialogue: 0,0:02:52.68,0:02:54.50,Default,,0000,0000,0000,,ili mfungwa mwenzangu anisomee, Dialogue: 0,0:02:54.52,0:02:56.94,Default,,0000,0000,0000,,na kwa bahati mbaya \Nnikachukua sehemu ya biashara. Dialogue: 0,0:02:56.96,0:03:00.22,Default,,0000,0000,0000,,Na huyu mzee akasema,\N"Hey, kijana, umechukua hisa?" Dialogue: 0,0:03:00.24,0:03:01.50,Default,,0000,0000,0000,,Na nikasema, "Ndio nini hicho?" Dialogue: 0,0:03:01.52,0:03:04.76,Default,,0000,0000,0000,,Akasema, "Hiyo ndiyo sehemu ambayo\Nwatu weupe huweka pesa yao yote." Dialogue: 0,0:03:04.76,0:03:05.94,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:03:05.96,0:03:09.82,Default,,0000,0000,0000,,Na ilikuwa ndiyo mara ya kwanza \Nnilipata ono fupi la tumaini, Dialogue: 0,0:03:09.84,0:03:11.34,Default,,0000,0000,0000,,siku za baadaye. Dialogue: 0,0:03:11.36,0:03:13.96,Default,,0000,0000,0000,,Alinipa maelezo mafupi \Nya hisa zilikuwa ni nini, Dialogue: 0,0:03:14.80,0:03:16.34,Default,,0000,0000,0000,,lakini ilikuwa ni muhtasari tu. Dialogue: 0,0:03:18.36,0:03:20.14,Default,,0000,0000,0000,,Yaani, ningewezaje kuifanya? Dialogue: 0,0:03:20.16,0:03:22.21,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kusoma, kuandika wala kutahajia. Dialogue: 0,0:03:22.60,0:03:25.22,Default,,0000,0000,0000,,Ujuzi niliokuwa nimeukuza \Nkuficha kutokusoma kwangu Dialogue: 0,0:03:25.24,0:03:27.30,Default,,0000,0000,0000,,haukufanya kazi tena\Nkatika mazingira haya. Dialogue: 0,0:03:27.30,0:03:30.34,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa nimenaswa kwenye kizimba\Nmateka kati ya watekaji, Dialogue: 0,0:03:30.36,0:03:32.26,Default,,0000,0000,0000,,nikipigania uhuru ambao sijawahi kuwa nao. Dialogue: 0,0:03:32.28,0:03:34.46,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa nimepotea, nimechoka, Dialogue: 0,0:03:34.48,0:03:35.84,Default,,0000,0000,0000,,na sikuwa na machaguzi. Dialogue: 0,0:03:37.00,0:03:38.78,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo nikiwa na miaka 20, Dialogue: 0,0:03:38.80,0:03:42.13,Default,,0000,0000,0000,,nilifanya kitu kigumu kuliko vyote\Nnilivyowahi kufanya maishani mwangu. Dialogue: 0,0:03:42.16,0:03:43.36,Default,,0000,0000,0000,,Nilichukua kitabu, Dialogue: 0,0:03:45.40,0:03:47.88,Default,,0000,0000,0000,,na ilikuwa ni kipindi kigumu sana \Nmaishani mwangu. Dialogue: 0,0:03:49.32,0:03:51.14,Default,,0000,0000,0000,,kujaribu kujifunza jinsi ya kusoma, Dialogue: 0,0:03:51.16,0:03:53.78,Default,,0000,0000,0000,,kutengana na familia yangu, Dialogue: 0,0:03:53.80,0:03:55.00,Default,,0000,0000,0000,,na rafiki zangu. Dialogue: 0,0:03:56.28,0:03:57.74,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa shida, mzee. Dialogue: 0,0:03:57.76,0:03:59.14,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa ni mahangaiko. Dialogue: 0,0:03:59.16,0:04:00.86,Default,,0000,0000,0000,,Lakini sikufahamu japo kidogo kuwa Dialogue: 0,0:04:00.88,0:04:04.30,Default,,0000,0000,0000,,nilikuwa napata zawadi kubwa kuliko zote\Nnilizowahi kuziota, Dialogue: 0,0:04:04.32,0:04:05.52,Default,,0000,0000,0000,,kujithamini, Dialogue: 0,0:04:06.32,0:04:08.16,Default,,0000,0000,0000,,maarifa, nidhamu. Dialogue: 0,0:04:09.00,0:04:12.70,Default,,0000,0000,0000,,Nilisisimka mno kusoma, kiasi kwamba\Nnilisoma kila kitu nilichokitia mkononi: Dialogue: 0,0:04:12.72,0:04:16.06,Default,,0000,0000,0000,,makaratasi ya pipi, nembo za nguo, \Nalama za barabarani, kila kitu. Dialogue: 0,0:04:16.08,0:04:17.33,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa nikisoma tu vitu! Dialogue: 0,0:04:17.33,0:04:18.34,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi na Vifijo) Dialogue: 0,0:04:18.36,0:04:19.56,Default,,0000,0000,0000,,kusoma tu vitu. Dialogue: 0,0:04:21.36,0:04:24.56,Default,,0000,0000,0000,,Nilisisimka sana kujua jinsi ya kusoma\Nna kujua jinsi ya kutahajia. Dialogue: 0,0:04:24.72,0:04:27.01,Default,,0000,0000,0000,,Rafiki alikuja, akaniuliza,\N"Mzee, unakula nini?" Dialogue: 0,0:04:27.01,0:04:28.74,Default,,0000,0000,0000,,Nikasema, "P-I-P-I, pipi." Dialogue: 0,0:04:28.76,0:04:31.02,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:04:31.04,0:04:33.66,Default,,0000,0000,0000,,Akasema, "Nipe kidogo."\NNikasema, "L-A. La." Dialogue: 0,0:04:33.66,0:04:34.78,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:04:34.80,0:04:36.22,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa babukubwa. Dialogue: 0,0:04:36.24,0:04:39.42,Default,,0000,0000,0000,,Yaani, sasa naweza, kwa mara ya kwanza\Nkatika maisha yangu, kusoma. Dialogue: 0,0:04:39.44,0:04:41.48,Default,,0000,0000,0000,,Hisia niliyoipata, ni ya kustaajabu sana. Dialogue: 0,0:04:43.24,0:04:45.84,Default,,0000,0000,0000,,Kisha, nikiwa na miaka 22, \Nnikijisikia mwenyewe, Dialogue: 0,0:04:46.80,0:04:48.54,Default,,0000,0000,0000,,nikijiamini, Dialogue: 0,0:04:48.56,0:04:50.40,Default,,0000,0000,0000,,Nilikumbuka kile yule mzee aliniambia. Dialogue: 0,0:04:51.76,0:04:55.50,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo nilichukua \Nkurasa za biashara za gazeti. Dialogue: 0,0:04:55.52,0:04:57.46,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kuwatafuta hawa matajiri weupe. Dialogue: 0,0:04:57.48,0:04:59.08,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:05:00.52,0:05:02.44,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo nilitafuta ule muhtasari. Dialogue: 0,0:05:03.48,0:05:05.10,Default,,0000,0000,0000,,Nilipokuwa nikijiendeleza kikazi Dialogue: 0,0:05:05.12,0:05:08.98,Default,,0000,0000,0000,,nikifundisha wengine namna ya \Nkusimamia fedha na kuwekeza, Dialogue: 0,0:05:09.00,0:05:12.34,Default,,0000,0000,0000,,punde nikajifunza kuwa \Nnilihitaji kuwajibika kwa matendo yangu. Dialogue: 0,0:05:12.36,0:05:15.38,Default,,0000,0000,0000,,Kweli, \Nnilikulia kwenye mazingira tata sana, Dialogue: 0,0:05:15.40,0:05:17.34,Default,,0000,0000,0000,,lakini nilichagua kufanya uhalifu, Dialogue: 0,0:05:17.36,0:05:19.14,Default,,0000,0000,0000,,na nilipaswa kukiri hilo. Dialogue: 0,0:05:19.16,0:05:21.78,Default,,0000,0000,0000,,Nilipaswa kuwajibika kwa hilo, \Nna nilifanya hivyo. Dialogue: 0,0:05:21.80,0:05:24.70,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa nikiunda mtaala ambao\Nungeweza kuwafundisha wafungwa Dialogue: 0,0:05:24.72,0:05:27.11,Default,,0000,0000,0000,,namna ya kusimamia fedha\Nkupitia ajira za gerezani. Dialogue: 0,0:05:28.72,0:05:31.90,Default,,0000,0000,0000,,Kutiisha mtindo wetu wa maisha\Nkungeweza kutoa zana zihamishikazo Dialogue: 0,0:05:31.92,0:05:35.26,Default,,0000,0000,0000,,ambazo tunaweza kuzitumia kusimamia fedha\Ntunapoirudi kwenye jamii, Dialogue: 0,0:05:35.28,0:05:38.54,Default,,0000,0000,0000,,kama watu wengi walivyofanya\Nambao hawakufanya uhalifu. Dialogue: 0,0:05:38.56,0:05:39.76,Default,,0000,0000,0000,,Kisha niligundua Dialogue: 0,0:05:40.68,0:05:42.74,Default,,0000,0000,0000,,kulingana takwimu ya MarketWatch, Dialogue: 0,0:05:42.76,0:05:45.30,Default,,0000,0000,0000,,zaidi ya asilimia 60 ya wakazi wa Marekani Dialogue: 0,0:05:45.32,0:05:47.44,Default,,0000,0000,0000,,wana chini ya Dola 1,000 katika akiba. Dialogue: 0,0:05:48.20,0:05:51.42,Default,,0000,0000,0000,,Michezo ilielezea kwamba zaidi ya asilimia 60 ya wachezaji wa NBA Dialogue: 0,0:05:51.44,0:05:52.98,Default,,0000,0000,0000,,na wachezaji wa NFL hufilisika. Dialogue: 0,0:05:53.00,0:05:56.04,Default,,0000,0000,0000,,Asilimia 40 ya matatizo ya ndoa\Nhutokana na masuala ya kifedha. Dialogue: 0,0:05:57.08,0:05:58.30,Default,,0000,0000,0000,,Balaa gani? Dialogue: 0,0:05:58.32,0:06:00.46,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:06:00.48,0:06:03.18,Default,,0000,0000,0000,,Unataka kuniambia,\Nwatu wamefanya kazi maisha yao yote, Dialogue: 0,0:06:03.20,0:06:05.78,Default,,0000,0000,0000,,wakinunua magari, nguo, nyumba\Nna vitu mbalimbali Dialogue: 0,0:06:05.80,0:06:08.02,Default,,0000,0000,0000,,lakini walikuwa waliishi hundi kwa hundi? Dialogue: 0,0:06:08.04,0:06:12.38,Default,,0000,0000,0000,,Ni namna gani duniani wanajamii \Nwangekwenda kuwasaidia wafungwa Dialogue: 0,0:06:12.40,0:06:13.62,Default,,0000,0000,0000,,kurudi kwenye jamii Dialogue: 0,0:06:13.64,0:06:15.83,Default,,0000,0000,0000,,ikiwa hawakuweza kusimamia \Nmambo yao wenyewe? Dialogue: 0,0:06:16.16,0:06:17.42,Default,,0000,0000,0000,,Tumevurugwa. Dialogue: 0,0:06:17.44,0:06:19.18,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:06:19.20,0:06:20.60,Default,,0000,0000,0000,,Nahitaji mpango mzuri zaidi. Dialogue: 0,0:06:22.52,0:06:24.64,Default,,0000,0000,0000,,Hii haitakwenda kufanya kazi vizuri. Dialogue: 0,0:06:25.04,0:06:26.24,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ... Dialogue: 0,0:06:27.88,0:06:29.08,Default,,0000,0000,0000,,Nilifikiria. Dialogue: 0,0:06:31.80,0:06:35.02,Default,,0000,0000,0000,,Sasa nilikuwa na wajibu kukutana\Nna wale waliokuwa kwenye mkondo huo Dialogue: 0,0:06:36.36,0:06:37.58,Default,,0000,0000,0000,,na kuwasaidia, Dialogue: 0,0:06:37.60,0:06:40.86,Default,,0000,0000,0000,,na ilikuwa ni ajabu sababu \Nsasa nilijali jumuiya yangu Dialogue: 0,0:06:40.88,0:06:43.24,Default,,0000,0000,0000,,Lo, hebu fikiria.\NNilijali kuhusu jumuiya yangu. Dialogue: 0,0:06:44.64,0:06:46.94,Default,,0000,0000,0000,,Ujinga juu ya Fedha ni ugonjwa Dialogue: 0,0:06:46.96,0:06:49.98,Default,,0000,0000,0000,,ambao umedhohofisha wachache\Nna walio chini katika jamii yetu Dialogue: 0,0:06:50.00,0:06:52.14,Default,,0000,0000,0000,,kwa vizazi na vizazi, Dialogue: 0,0:06:52.16,0:06:54.66,Default,,0000,0000,0000,,na tunapaswa kukasirika juu ya hilo. Dialogue: 0,0:06:54.68,0:06:56.26,Default,,0000,0000,0000,,Ebu jiulize: Dialogue: 0,0:06:56.28,0:06:59.54,Default,,0000,0000,0000,,Inawezekanaje asilimia 50 \Nya wakazi wa Marekani Dialogue: 0,0:06:59.56,0:07:03.52,Default,,0000,0000,0000,,wasiwe na elimu ya fedha katika nchi\Ninayoendeshwa kwa ustawi wa kifedha? Dialogue: 0,0:07:05.00,0:07:07.86,Default,,0000,0000,0000,,Kupatikana kwa haki kwetu, \Nhadhi yetu ya kijamii, Dialogue: 0,0:07:07.88,0:07:10.90,Default,,0000,0000,0000,,hali ya maisha, usafirishaji na chakula Dialogue: 0,0:07:10.92,0:07:13.98,Default,,0000,0000,0000,,vyote vinategemea fedha\Nambayo watu wengi hawawezi kuisimamia. Dialogue: 0,0:07:14.00,0:07:15.58,Default,,0000,0000,0000,,Ni ajabu! Dialogue: 0,0:07:15.60,0:07:16.98,Default,,0000,0000,0000,,Ni janga Dialogue: 0,0:07:17.00,0:07:20.00,Default,,0000,0000,0000,,na hatari kubwa kwa usalama wa umma\Nkuliko suala jingine lolote. Dialogue: 0,0:07:21.72,0:07:24.38,Default,,0000,0000,0000,,Kadiri ya \NKitengo cha Urekebishaji cha Kalifornia, Dialogue: 0,0:07:24.40,0:07:26.74,Default,,0000,0000,0000,,zaidi ya asilimia 70 ya wale waliofungwa Dialogue: 0,0:07:26.76,0:07:30.38,Default,,0000,0000,0000,,wamefanya au wameshtakiwa kwa uhalifu \Nuhusianao na fedha: Dialogue: 0,0:07:30.40,0:07:34.92,Default,,0000,0000,0000,,wizi wa kutumia nguvu, kuvunja nyumba, \Nkutapeli, uporaji, ghusubu -- Dialogue: 0,0:07:35.72,0:07:37.04,Default,,0000,0000,0000,,na orodha inaendelea. Dialogue: 0,0:07:37.92,0:07:39.14,Default,,0000,0000,0000,,Angalia hii: Dialogue: 0,0:07:39.16,0:07:42.10,Default,,0000,0000,0000,,Mfungwa wa kawaida Dialogue: 0,0:07:42.12,0:07:44.62,Default,,0000,0000,0000,,huingia katika mfumo wa gereza \Nwa Kalifornia Dialogue: 0,0:07:44.64,0:07:46.20,Default,,0000,0000,0000,,pasipo kuwa na elimu ya fedha, Dialogue: 0,0:07:46.84,0:07:48.82,Default,,0000,0000,0000,,hupata ujira wa senti 30 kwa saa, Dialogue: 0,0:07:48.84,0:07:51.06,Default,,0000,0000,0000,,zaidi ya Dola 800 kwa mwaka, Dialogue: 0,0:07:51.08,0:07:53.84,Default,,0000,0000,0000,,bila ya kuwa na matumizi yoyote \Nna kuweka akiba yoyote. Dialogue: 0,0:07:54.76,0:07:59.10,Default,,0000,0000,0000,,Anapopewa msamaha, \Nhupewa dola 200 pesa ya geti na kuambiwa, Dialogue: 0,0:07:59.12,0:08:02.34,Default,,0000,0000,0000,,"Wee, mafanikio mema, kaa mbali na\Nmatatizo. Usirudi gerezani tena." Dialogue: 0,0:08:02.80,0:08:06.10,Default,,0000,0000,0000,,Bila kuwa na maandalizi yoyote ya maana\Nau mpango fedha wa muda mrefu, Dialogue: 0,0:08:06.12,0:08:07.32,Default,,0000,0000,0000,,anafanyaje ...? Dialogue: 0,0:08:08.60,0:08:09.80,Default,,0000,0000,0000,,Akiwa na miaka 60? Dialogue: 0,0:08:11.12,0:08:12.46,Default,,0000,0000,0000,,Apate kazi nzuri, Dialogue: 0,0:08:12.48,0:08:16.40,Default,,0000,0000,0000,,au arudi kwenye tabia ile ile ya uhalifu \Niliyompeleka gerezani kwanza? Dialogue: 0,0:08:17.40,0:08:19.18,Default,,0000,0000,0000,,Nyinyi walipakodi, chagueni wenyewe. Dialogue: 0,0:08:19.20,0:08:22.36,Default,,0000,0000,0000,,Hakika, elimu yake \Nimeshamchagulia, pengine. Dialogue: 0,0:08:23.12,0:08:25.48,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, tunatibuje ugonjwa huu? Dialogue: 0,0:08:26.24,0:08:27.98,Default,,0000,0000,0000,,Nilishiriki kuanzisha programu Dialogue: 0,0:08:28.00,0:08:32.58,Default,,0000,0000,0000,,tuliyoiita Elimu Hisia \Nya Uwezeshaji wa Kifedha Dialogue: 0,0:08:32.60,0:08:34.06,Default,,0000,0000,0000,,tunaiita FEEL Dialogue: 0,0:08:34.08,0:08:37.26,Default,,0000,0000,0000,,na inafundisha namna ya kutenganisha\Nmaamuzi ya kihisia Dialogue: 0,0:08:37.28,0:08:39.26,Default,,0000,0000,0000,,na maamuzi ya kifedha, Dialogue: 0,0:08:39.28,0:08:42.70,Default,,0000,0000,0000,,na sheria 4 aushi \Nza utawala fedha binafsi: Dialogue: 0,0:08:42.72,0:08:44.28,Default,,0000,0000,0000,,njia sahihi ya kuweka akiba, Dialogue: 0,0:08:45.56,0:08:47.20,Default,,0000,0000,0000,,kudhibiti gharama zako za maisha, Dialogue: 0,0:08:48.32,0:08:50.10,Default,,0000,0000,0000,,kukopa fedha kwenye ufanisi Dialogue: 0,0:08:50.12,0:08:53.90,Default,,0000,0000,0000,,kutawanya fedha yako \Nkuruhusu fedha yako ikufanyie kazi Dialogue: 0,0:08:53.92,0:08:55.74,Default,,0000,0000,0000,,badala ya wewe kuifanyia kazi. Dialogue: 0,0:08:55.76,0:08:59.92,Default,,0000,0000,0000,,Wafungwa wanahitaji ujuzi huu \Nkabla ya kuingia tena kwenye jamii. Dialogue: 0,0:09:01.48,0:09:05.38,Default,,0000,0000,0000,,Hatuwezi kubadilika kuwa na maisha \Nya kawaida bila ujuzi huu wa maisha. Dialogue: 0,0:09:05.40,0:09:09.22,Default,,0000,0000,0000,,Hii dhana kuwa ni Weledi tu\Nwanaweza kuwekeza na kusimamia fedha Dialogue: 0,0:09:09.24,0:09:11.50,Default,,0000,0000,0000,,ni ya fedheha kabisa, Dialogue: 0,0:09:11.52,0:09:13.59,Default,,0000,0000,0000,,na yeyote aliyewaambia hivyo anadanganya. Dialogue: 0,0:09:13.63,0:09:18.18,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi na Vifijo) Dialogue: 0,0:09:18.20,0:09:20.62,Default,,0000,0000,0000,,Mweledi ni mtu Dialogue: 0,0:09:20.64,0:09:23.14,Default,,0000,0000,0000,,anayejua kazi zake kuliko walio wengi, Dialogue: 0,0:09:23.16,0:09:28.10,Default,,0000,0000,0000,,na hakuna mtu ajuaye kiasi gani cha fedha\Nwahitaji, unacho, au wataka zaidi ya wewe, Dialogue: 0,0:09:28.12,0:09:30.08,Default,,0000,0000,0000,,ikimaanisha kuwa wewe ni mweledi. Dialogue: 0,0:09:30.88,0:09:35.10,Default,,0000,0000,0000,,Elimu ya fedha siyo stadi,\Nmabibi na mabwana. Dialogue: 0,0:09:35.12,0:09:36.32,Default,,0000,0000,0000,,Ni mtindo wa maisha. Dialogue: 0,0:09:37.56,0:09:42.06,Default,,0000,0000,0000,,Uimara wa kifedha ni matokeo ya ziada \Nya mtindo sahihi wa maisha. Dialogue: 0,0:09:42.08,0:09:45.88,Default,,0000,0000,0000,,Mfungwa mwenye elimu nzuri ya kifedha\Nanaweza kuwa mwananchi mlipakodi, Dialogue: 0,0:09:46.68,0:09:50.18,Default,,0000,0000,0000,,na mwananchi mlipakodi mwenye elimu\Nnzuri ya kifedha anaweza kubaki hivyo. Dialogue: 0,0:09:50.20,0:09:54.54,Default,,0000,0000,0000,,Hii inatuwezesha kuunda daraja \Nkati ya wale watu tunaowashawishi: Dialogue: 0,0:09:54.56,0:09:57.30,Default,,0000,0000,0000,,familia, marafiki na wale vijana Dialogue: 0,0:09:57.32,0:10:00.24,Default,,0000,0000,0000,,ambao bado wanaamini \Nkuwa uhalifu na pesa vina uhusiano. Dialogue: 0,0:10:01.72,0:10:04.62,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tupoteze uwoga na wasiwasi Dialogue: 0,0:10:04.64,0:10:06.10,Default,,0000,0000,0000,,wa maneno makubwa ya kifedha Dialogue: 0,0:10:06.12,0:10:09.70,Default,,0000,0000,0000,,na ujinga mwingine wote \Nambao mmekuwa mkisikia huko nje. Dialogue: 0,0:10:09.72,0:10:13.58,Default,,0000,0000,0000,,Na tujikite kwenye kiini \Nkilichokuwa kinadhoofisha jamii yetu Dialogue: 0,0:10:13.60,0:10:17.96,Default,,0000,0000,0000,,kuanzia kutimiza wajibu wako \Nla kuwa meneja mzuri wa maisha. Dialogue: 0,0:10:19.00,0:10:22.34,Default,,0000,0000,0000,,Na tutoe mtaala mwepesi na rahisi kutumia Dialogue: 0,0:10:22.36,0:10:24.62,Default,,0000,0000,0000,,ambao utaingia kwenye kiini, kiini Dialogue: 0,0:10:24.64,0:10:28.58,Default,,0000,0000,0000,,cha ni nini ukweli wa\Nuwezeshaji wa kifedha na elimu ya hisia. Dialogue: 0,0:10:28.60,0:10:31.50,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, ikiwa umekaa hapa kwa wasikilizaji \Nna umesema, Dialogue: 0,0:10:31.52,0:10:33.94,Default,,0000,0000,0000,,"Ndiyo, kweli, hiyo si mimi \Nna sikubaliani nayo," Dialogue: 0,0:10:33.96,0:10:35.45,Default,,0000,0000,0000,,basi njoo uchukue somo langu -- Dialogue: 0,0:10:35.45,0:10:36.98,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:10:37.00,0:10:40.68,Default,,0000,0000,0000,,ili nikuoneshe ni kiasi gani cha pesa \Ninakugharimu kila unaposhikwa na hisia. Dialogue: 0,0:10:41.96,0:10:45.12,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi na Vifijo) Dialogue: 0,0:10:47.60,0:10:49.14,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni sana. Asanteni. Dialogue: 0,0:10:49.16,0:10:50.32,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi na Vifijo)